Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Sheikh Mohammed Suleiman Allah akuzidishie kheir.Golden voice
Yaa Allah tunakuomba umpe jannah ya firdaus baba yetu huu kwa kazi kubwa anayo ifanya amrithishe mwengine kama yeye
Sheikh Muhammad Suleiman (Tall) tunamkubali kupitiliza.Kapewa sauti special kwa kutafsiri Qur'an MashaAllah
Maaashallah yaani tokea utotoni nafahamu sauti hiiAllah amzidishie umri mrefu
Yaani ukiiskiliza lazima uipende Mashallah. Allah akurizie.
Mashaallah allah akulipe kheri na akupe mwisho mwema
Maa Shaa Allah Allah amlimpe kila lenye kheri kwake kwa elimu anayotupatia
Maashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu . na Akujaalie umri mrefu uliokuwa mwema . Akuzidishie na elimu yenye manufaa biidhinillah
Maashaallah huku kwetu tunakwita msema kweli kwenye maelezo baada ya khabari ❤
Mungu akupe kauli thabit
Alhamdulillah lillah napia kuwashukuru alfatah kwakutufahamisha muhusika wa alieweka sauti ya tafsiri kurani kwa lugha ya Kiswahili Allah atusamehe kwa makosa tunayoyajua na tusiyoyajua pia atukutanishe katika firdausiljannah
Mashaallah Mashaallah Mashaallah allah atujaalie peponi na familia yko allahumma amiiin.
MashaAllah huyu mzee nampenda sana hivyo tunaomba utuletea sh. Othman maalim tumpate historia yake
Othman Maalim mbn tyr kashafanya nae mazungumzo..search2 itakuja
Mashaallah kwa kazi kubwa tarjama ya Quran tukufu
Sheikh Allah akulipe wema
Maashaalah..Allah aibariki al fatah tv na watu wake
Sauti nzur masha allah
Allah awabarik
Maashallh kazi kubwa sana allh akulipe kila la kheri
Nampenda sana sh mohd
Masha-alah barakah alah kheir insha-alah alah
Jamaa ana sauti haijapata kutokea
Mungu akupe wepsi
Mashallah mzeee wangu rahaaaa
Maelezo bada ya habari ikaingizwa na siasa ikageuka kuwa mafumbo na majungu dhidi ya upande wa pili kisiasa.
مشاالله و جزك الله خير
ماشاء الله
Mashaallah
Hapo sijaelewa amesema amezaliwa mwaka 1951 alafu amesema ameanza kusoma komorian school mwaka 19951 kuzaliwa tu na kuanza kusoma au sijaelewa
Kweli amekosea apoIla na ww umekosea kuandika mwaka 19951😂mwaka huo hatujafika
Hahahaha
Jina la tall limetokea wapi na kwann baadhi ya watu wanamuita hivyo
Othman malim muhuni tu
Na we ni nani.
Muhuni Mama yako aliyekuzaa wewe nje ya ndoa mwanaharamu mkubwa wewe. Mungu akulaani mbwa weye
Sheikh Mohammed Suleiman Allah akuzidishie kheir.
Golden voice
Yaa Allah tunakuomba umpe jannah ya firdaus baba yetu huu kwa kazi kubwa anayo ifanya amrithishe mwengine kama yeye
Sheikh Muhammad Suleiman (Tall) tunamkubali kupitiliza.
Kapewa sauti special kwa kutafsiri Qur'an MashaAllah
Maaashallah yaani tokea utotoni nafahamu sauti hii
Allah amzidishie umri mrefu
Yaani ukiiskiliza lazima uipende Mashallah. Allah akurizie.
Mashaallah allah akulipe kheri na akupe mwisho mwema
Maa Shaa Allah
Allah amlimpe kila lenye kheri kwake kwa elimu anayotupatia
Maashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu . na Akujaalie umri mrefu uliokuwa mwema . Akuzidishie na elimu yenye manufaa biidhinillah
Maashaallah huku kwetu tunakwita msema kweli kwenye maelezo baada ya khabari ❤
Mungu akupe kauli thabit
Alhamdulillah lillah napia kuwashukuru alfatah kwakutufahamisha muhusika wa alieweka sauti ya tafsiri kurani kwa lugha ya Kiswahili Allah atusamehe kwa makosa tunayoyajua na tusiyoyajua pia atukutanishe katika firdausiljannah
Mashaallah Mashaallah Mashaallah allah atujaalie peponi na familia yko allahumma amiiin.
MashaAllah huyu mzee nampenda sana hivyo tunaomba utuletea sh. Othman maalim tumpate historia yake
Othman Maalim mbn tyr kashafanya nae mazungumzo..search2 itakuja
Mashaallah kwa kazi kubwa tarjama ya Quran tukufu
Sheikh Allah akulipe wema
Maashaalah..Allah aibariki al fatah tv na watu wake
Sauti nzur masha allah
Allah awabarik
Maashallh kazi kubwa sana allh akulipe kila la kheri
Nampenda sana sh mohd
Masha-alah barakah alah kheir insha-alah alah
Jamaa ana sauti haijapata kutokea
Mungu akupe wepsi
Mashallah mzeee wangu rahaaaa
Maelezo bada ya habari ikaingizwa na siasa ikageuka kuwa mafumbo na majungu dhidi ya upande wa pili kisiasa.
مشاالله و جزك الله خير
ماشاء الله
Mashaallah
Hapo sijaelewa amesema amezaliwa mwaka 1951 alafu amesema ameanza kusoma komorian school mwaka 19951 kuzaliwa tu na kuanza kusoma au sijaelewa
Kweli amekosea apo
Ila na ww umekosea kuandika mwaka 19951
😂mwaka huo hatujafika