Ni ipi tofauti ya kanisa la Katoliki la Magharibi na Mashariki????

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @atukuzwenoorath4254
    @atukuzwenoorath4254 8 місяців тому

    Asante kwa Mafundisho mazuri

  • @edwinjhilbajojo2429
    @edwinjhilbajojo2429 Рік тому +1

    Tunashukuru kwa mafundisho,,,Mungu awalinde na awape nguvu zaidi ili imani yetu iweze kuimarika zaidi.

    • @radiomariatanzania
      @radiomariatanzania  Рік тому +1

      SABABU ZA KUTENGANA KWA MAKANISA YA MAGHARIBI NA MASHARIKI
      Sababu zimegawanyika katika makundi makuu mawili yaani:
      I. Sababu ndogo ndogo ambazo ni za kawaida
      II. Sababu kubwa ambazo hazikuweza kuvumilika
      I. SABABU NDOGO NDOGO
       Lugha
      Lugha iliyotumika kwa vikubwa katika Kanisa Katoliki la Magharibi ilikuwa ni lugha ya Kilatini wakati kwa upande wa lugha ya Kanisa Katoliki la Mashariki lugha iliyotumika ilikuwa ni Kigiriki.
       Tamaduni
      Tamaduni za Kanisa Katoliki la Magharibi zilitofautiana kwa namna fulani na tamaduni za Kanisa Katoliki la Mashariki. Mfano suala la useja. Magharibi wanazingatia useja mashariki ni hiyari, hasa kwa wale wenye matazamio ya kuwa maaskofu.
       Jiografia
      Tofauti za kijiografia kati ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki, sababu hii ikachochewa na siasa zilizopelekea mvutano wa wapi makao makuu ya Kanisa yanapaswa kuwepo Roma au Constantinopoli kwa sasa Istanibul huko Uturuki.
       Tofauti ya mtazamo wa mamlaka ya Kidini na Kisiasa
      Mtazamo katika Kanisa Katoliki la Magharibi ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha kwa Papa na kutoka kwa Papa wanafuata maaskofu, na baadaye mfalme. Wakati kwa upande wa Kanisa Katoliki la Mashariki mtazamo ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha mfalme na kutoka kwa mfalme angefuata askofu (patriarki).
       Suala la Useja
      Kanisa la Magharibi Makasisi hawaoi, Suala likawa ni kikwazo kwa Kanisa Katoliki la Mashariki na hivi kwao Mapadre wanaruhusiwa kuoa tofauti na Kanisa Katoliki la Magharibi.
      II. SABABU KUBWA ZISIZOVUMILIKA
       Kuvunja kwa Sanamu (Iconoclasm)
      Mwaka 726, mfalme Leo wa tatu alidai kwamba kuwaheshimu watakatifu kwa kutumia vitu kama vile picha na takatifu na masalia kulikuwa ni kuabudu Sanamu.
      Hapo ulizuka mtindo uliojulikana kwa jina la ‘Ikonoklasm’ neno ya Kiyunani lenye kumaanisha ‘kuvunja kwa sanamu’. Walioshikiria mtindo huo walizunguka katika makanisa na kuvunja picha na sanamu zilizopo. Mtaguso wa II wa Nikea uliitishwa na Malkia Irene wa Bizanti mwaka 787 ili kujadili matumizi ya sanamu katika Ukristo, kutokana na ombi la Papa Adrian I (772-795).
      Patriarki wa Konstantinopoli alilazimika kujiuzulu. Uamuzi wa kaisari ulizidi kupingwa hasa na wamonaki na Yohane wa Damasko. Sera ya dola ilibadilika na ndipo aliposhika uongozi Irene kwa niaba ya mtoto wake mdogo Konstantino VI. Mtaguso ulianza Konstantinopoli mwaka 786, lakini ulipoingiliwa na jeshi waliowaunga mkono maaskofu waliopinga sanamu, Irene aliuhamishia Nikea ambapo vilifanyika vikao 7 kuanzia tarehe 28 Septemba 787.
      Papa alituma mabalozi wake wawili ambao walikwenda na barua moja kutoka kwa papa. Kwa ujumla mtaguso ulitofautisha heshima inayokubalika kwa sanamu na ibada isiyovumilika. Hoja kuu ni kwamba sanamu si kitu, ila inamwakilisha yule aliyechorwa ndani yake. Kimsingi sanamu zinakubalika kutokana na umwilisho wa Mwana wa Mungu uliomfanya atwae sura na kuonekana.
      Mabishano kuhusu Kanuni ya Imani ya Nikea
      Katika Kanuni ya Imani, Kanisa Katoliki la Mashariki walikuwa wakisema kwamba Roho Mtakatifu katoka kwa Baba kupitia kwa Mwana. Wakati Kanisa Katoliki la Magharibi wao walikuwa wakisema na ndiyo tusemavyo hata leo hii kwamba Roho Mtakatifu atokaye kwa Baba na Mwana. Hivyo kukawa mtengano baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki (1054).
       Uhusiano wa Maisha ya Watawa na Walei
      Kwa upande wa Kanisa Katoliki la Magharibi watawa waliruhusiwa kufanya kazi pamoja na jamii zilizowazunguka. na hivyo walipata fursa ya kuweza kuwafundisha walei baadhi ya mambo ambayo iliwapasa kuyafahamu. Jambo hilo halikutokea kabisa katika Makanisa ya Mashariki. Hivyo kukasababisha mtengano.
       Maaskofu kutoka Magharibi na Mashariki
      Suala zima la maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi kuwa na mamlaka juu ya Kanisa Katoliki la Mashariki, halikuvumilika kwa upande wa Mashariki, hasa katika ‘vita vya msalaba’ au ‘vita takatifu’. Tangu mwaka 1096 mpaka mwaka 1291, Wakristo walipigana vita kumi ili wawe watawala tena wa Nchi iliyokuwa ni Nchi ya Yesu na hasa Yerusalemu, Mji Mtakatifu, ingawa walishindwa.
      Katika vita ya Msalaba, baadhi ya maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi walipewa mamlaka juu ya makanisa ya Mashariki. Kutokana na hili basi hakukuwa na mazungumzano mazuri baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki.
       Mtawala Mikaeli Cerularius
      Mnamo mwaka 1043, Patriarki Mikaeli Cerularius. Alikuwa na tamaa kutafuta vyeo vya juu na kuwa mtu wa sifa. Hakutambua na kukubali nafasi ya Papa wa Roma. Alitaka Patriarki aheshimiwe sawa na Papa wa Roma.
      Kutokana na matamanio yake hayo, mwaka 1052 alililaumu Kanisa Katoliki la Magharibi kwa ajili ya makosa ya kila aina, Mashtaka hayo ni:
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wakitumia mkate usiotiwa chachu mpaka leo hii, wakati wakristo wa Mashariki walikuwa wanatumia mkate wa kawaida mpaka sasa.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wanakula nyama iliyokuwa bado na damu ndani yake; kumbe wakristo wa Mashariki wakaona kwamba ni kutoyatii Maandiko Matakatifu.
       Wakristo wa Magharibi walifunga chakula siku ya Jumamosi; jambo hilo lilidhihirisha kwamba wanashikilia siku ya Sabato ya Wayahudi tofauti kabisa na vile walivyokuwa wakifanya wakristo wa Mashariki.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa hawaimbi “Alleluia” wakati wa Kwaresma, kumbe kwa kufanya hivyo Mashariki waliona kuwa ilikuwa ni kukosa uaminifu kwa mapokeo ya Kanisa.
       Makasisi wa Kanisa Katoliki la Magharibi walikuwa wananyoa ndevu zao na ndivyo wanavyofanya hata leo hii ingawa pia karama ya shirika fulani inaweza kuruhusu vinginevyo. Kanisa la Masharini hata leo hii wao wanafuga ndevu zao kwa sababu kwa kunyoa ndevu kadiri yao ni kukosa adabu.

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 Рік тому

    Yana chamsingi ukiwa na imani pale unapo pahamini kwanini uwe na mashaka sababu mimi sidhani kama mungu atakuuliza dini au sanam sijunini tengeneza moyo wako to maswali ya mwanadam ata yesu aliulizwa maswali mengi to tena yakejeri ,mtumishi wamungu songa mbele na mungu akubaliki

  • @anodsimbeye9093
    @anodsimbeye9093 Рік тому

    Amani kwa wa katoliki na wengine ambao wako nje na kanisa katoliki kanisa la Mungu tuna sema hamuja chelewa tuna wakaribisha kwajina la Yesu kristu Amina

    • @rwenenahomechannel1634
      @rwenenahomechannel1634 Рік тому

      Mimi ni mkatoliki ila sipendi kunyanyasa uhuru wa wenzetu.
      Je, unaweza mkaribisha kila mtu kwenye biological family yako awe ndugu yako mia kwa mia na ikaeleweka?

  • @NikanorosPapadhulu-qb3zb
    @NikanorosPapadhulu-qb3zb Рік тому +1

    Ndugu tunashukuru kwa fundisho,lakini bado haujatueleza vizuri tulifahamu kanisa la mashariki ni lipi na kanisa la magharibi ni lipi ili tuweze kuyafahamu hayo makanisa mawili na mwaka rasmi waliotengana, Asante sana

    • @LucasKasenegala
      @LucasKasenegala Рік тому

      Roman Catholic na Orthodox

    • @radiomariatanzania
      @radiomariatanzania  Рік тому +1

      SABABU ZA KUTENGANA KWA MAKANISA YA MAGHARIBI NA MASHARIKI
      Sababu zimegawanyika katika makundi makuu mawili yaani:
      I. Sababu ndogo ndogo ambazo ni za kawaida
      II. Sababu kubwa ambazo hazikuweza kuvumilika
      I. SABABU NDOGO NDOGO
       Lugha
      Lugha iliyotumika kwa vikubwa katika Kanisa Katoliki la Magharibi ilikuwa ni lugha ya Kilatini wakati kwa upande wa lugha ya Kanisa Katoliki la Mashariki lugha iliyotumika ilikuwa ni Kigiriki.
       Tamaduni
      Tamaduni za Kanisa Katoliki la Magharibi zilitofautiana kwa namna fulani na tamaduni za Kanisa Katoliki la Mashariki. Mfano suala la useja. Magharibi wanazingatia useja mashariki ni hiyari, hasa kwa wale wenye matazamio ya kuwa maaskofu.
       Jiografia
      Tofauti za kijiografia kati ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki, sababu hii ikachochewa na siasa zilizopelekea mvutano wa wapi makao makuu ya Kanisa yanapaswa kuwepo Roma au Constantinopoli kwa sasa Istanibul huko Uturuki.
       Tofauti ya mtazamo wa mamlaka ya Kidini na Kisiasa
      Mtazamo katika Kanisa Katoliki la Magharibi ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha kwa Papa na kutoka kwa Papa wanafuata maaskofu, na baadaye mfalme. Wakati kwa upande wa Kanisa Katoliki la Mashariki mtazamo ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha mfalme na kutoka kwa mfalme angefuata askofu (patriarki).
       Suala la Useja
      Kanisa la Magharibi Makasisi hawaoi, Suala likawa ni kikwazo kwa Kanisa Katoliki la Mashariki na hivi kwao Mapadre wanaruhusiwa kuoa tofauti na Kanisa Katoliki la Magharibi.
      II. SABABU KUBWA ZISIZOVUMILIKA
       Kuvunja kwa Sanamu (Iconoclasm)
      Mwaka 726, mfalme Leo wa tatu alidai kwamba kuwaheshimu watakatifu kwa kutumia vitu kama vile picha na takatifu na masalia kulikuwa ni kuabudu Sanamu.
      Hapo ulizuka mtindo uliojulikana kwa jina la ‘Ikonoklasm’ neno ya Kiyunani lenye kumaanisha ‘kuvunja kwa sanamu’. Walioshikiria mtindo huo walizunguka katika makanisa na kuvunja picha na sanamu zilizopo. Mtaguso wa II wa Nikea uliitishwa na Malkia Irene wa Bizanti mwaka 787 ili kujadili matumizi ya sanamu katika Ukristo, kutokana na ombi la Papa Adrian I (772-795).
      Patriarki wa Konstantinopoli alilazimika kujiuzulu. Uamuzi wa kaisari ulizidi kupingwa hasa na wamonaki na Yohane wa Damasko. Sera ya dola ilibadilika na ndipo aliposhika uongozi Irene kwa niaba ya mtoto wake mdogo Konstantino VI. Mtaguso ulianza Konstantinopoli mwaka 786, lakini ulipoingiliwa na jeshi waliowaunga mkono maaskofu waliopinga sanamu, Irene aliuhamishia Nikea ambapo vilifanyika vikao 7 kuanzia tarehe 28 Septemba 787.
      Papa alituma mabalozi wake wawili ambao walikwenda na barua moja kutoka kwa papa. Kwa ujumla mtaguso ulitofautisha heshima inayokubalika kwa sanamu na ibada isiyovumilika. Hoja kuu ni kwamba sanamu si kitu, ila inamwakilisha yule aliyechorwa ndani yake. Kimsingi sanamu zinakubalika kutokana na umwilisho wa Mwana wa Mungu uliomfanya atwae sura na kuonekana.
      Mabishano kuhusu Kanuni ya Imani ya Nikea
      Katika Kanuni ya Imani, Kanisa Katoliki la Mashariki walikuwa wakisema kwamba Roho Mtakatifu katoka kwa Baba kupitia kwa Mwana. Wakati Kanisa Katoliki la Magharibi wao walikuwa wakisema na ndiyo tusemavyo hata leo hii kwamba Roho Mtakatifu atokaye kwa Baba na Mwana. Hivyo kukawa mtengano baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki (1054).
       Uhusiano wa Maisha ya Watawa na Walei
      Kwa upande wa Kanisa Katoliki la Magharibi watawa waliruhusiwa kufanya kazi pamoja na jamii zilizowazunguka. na hivyo walipata fursa ya kuweza kuwafundisha walei baadhi ya mambo ambayo iliwapasa kuyafahamu. Jambo hilo halikutokea kabisa katika Makanisa ya Mashariki. Hivyo kukasababisha mtengano.
       Maaskofu kutoka Magharibi na Mashariki
      Suala zima la maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi kuwa na mamlaka juu ya Kanisa Katoliki la Mashariki, halikuvumilika kwa upande wa Mashariki, hasa katika ‘vita vya msalaba’ au ‘vita takatifu’. Tangu mwaka 1096 mpaka mwaka 1291, Wakristo walipigana vita kumi ili wawe watawala tena wa Nchi iliyokuwa ni Nchi ya Yesu na hasa Yerusalemu, Mji Mtakatifu, ingawa walishindwa.
      Katika vita ya Msalaba, baadhi ya maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi walipewa mamlaka juu ya makanisa ya Mashariki. Kutokana na hili basi hakukuwa na mazungumzano mazuri baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki.
       Mtawala Mikaeli Cerularius
      Mnamo mwaka 1043, Patriarki Mikaeli Cerularius. Alikuwa na tamaa kutafuta vyeo vya juu na kuwa mtu wa sifa. Hakutambua na kukubali nafasi ya Papa wa Roma. Alitaka Patriarki aheshimiwe sawa na Papa wa Roma.
      Kutokana na matamanio yake hayo, mwaka 1052 alililaumu Kanisa Katoliki la Magharibi kwa ajili ya makosa ya kila aina, Mashtaka hayo ni:
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wakitumia mkate usiotiwa chachu mpaka leo hii, wakati wakristo wa Mashariki walikuwa wanatumia mkate wa kawaida mpaka sasa.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wanakula nyama iliyokuwa bado na damu ndani yake; kumbe wakristo wa Mashariki wakaona kwamba ni kutoyatii Maandiko Matakatifu.
       Wakristo wa Magharibi walifunga chakula siku ya Jumamosi; jambo hilo lilidhihirisha kwamba wanashikilia siku ya Sabato ya Wayahudi tofauti kabisa na vile walivyokuwa wakifanya wakristo wa Mashariki.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa hawaimbi “Alleluia” wakati wa Kwaresma, kumbe kwa kufanya hivyo Mashariki waliona kuwa ilikuwa ni kukosa uaminifu kwa mapokeo ya Kanisa.
       Makasisi wa Kanisa Katoliki la Magharibi walikuwa wananyoa ndevu zao na ndivyo wanavyofanya hata leo hii ingawa pia karama ya shirika fulani inaweza kuruhusu vinginevyo. Kanisa la Masharini hata leo hii wao wanafuga ndevu zao kwa sababu kwa kunyoa ndevu kadiri yao ni kukosa adabu.

  • @venancemiyeji6804
    @venancemiyeji6804 Рік тому

    Amina

  • @nmedardbenedicto5544
    @nmedardbenedicto5544 Рік тому +1

    Wewe hujui. Ni kanisa la Roman lilivohama kutoka kanisa la orthodox chini ya askofu wao Pius aliye kuwa katika kiti cha Roma chini ya kanisa la orthodox

  • @mkurangacnajemasabatochane4626

    Wote ni wahalifu wa kidini , mathayo 23:9

  • @nmedardbenedicto5544
    @nmedardbenedicto5544 Рік тому +1

    Je ni kanisa gani lililotangulia kuanzishwa kati ya magharibi na mashariki.

    • @blakitech
      @blakitech Рік тому

      hakuna aliyemtangulia mwenzie kwani wote ni ni kanisa moja sema kutokana na utawala wa kirumi kua mkubwa sana ndio wakaugawa mara mbili mashariki na maghalibi, lakini siku zilivyozidi kwenda utawala wa maghalibi ulitaka kuudominate utawala wa mashariki ambao kimsingi wote Wana nguvu sawa ndio mizozo ikaanzia hapo

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому +1

    Kwa visababu vyote ulivyotaja bado hujamfunua Kristo naona utukufu wa wanadamu, je, Bwana Yesu aliagiza nini kwa kanisa bila kujali West or East?

    • @radiomariatanzania
      @radiomariatanzania  Рік тому

      SABABU ZA KUTENGANA KWA MAKANISA YA MAGHARIBI NA MASHARIKI
      Sababu zimegawanyika katika makundi makuu mawili yaani:
      I. Sababu ndogo ndogo ambazo ni za kawaida
      II. Sababu kubwa ambazo hazikuweza kuvumilika
      I. SABABU NDOGO NDOGO
       Lugha
      Lugha iliyotumika kwa vikubwa katika Kanisa Katoliki la Magharibi ilikuwa ni lugha ya Kilatini wakati kwa upande wa lugha ya Kanisa Katoliki la Mashariki lugha iliyotumika ilikuwa ni Kigiriki.
       Tamaduni
      Tamaduni za Kanisa Katoliki la Magharibi zilitofautiana kwa namna fulani na tamaduni za Kanisa Katoliki la Mashariki. Mfano suala la useja. Magharibi wanazingatia useja mashariki ni hiyari, hasa kwa wale wenye matazamio ya kuwa maaskofu.
       Jiografia
      Tofauti za kijiografia kati ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki, sababu hii ikachochewa na siasa zilizopelekea mvutano wa wapi makao makuu ya Kanisa yanapaswa kuwepo Roma au Constantinopoli kwa sasa Istanibul huko Uturuki.
       Tofauti ya mtazamo wa mamlaka ya Kidini na Kisiasa
      Mtazamo katika Kanisa Katoliki la Magharibi ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha kwa Papa na kutoka kwa Papa wanafuata maaskofu, na baadaye mfalme. Wakati kwa upande wa Kanisa Katoliki la Mashariki mtazamo ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha mfalme na kutoka kwa mfalme angefuata askofu (patriarki).
       Suala la Useja
      Kanisa la Magharibi Makasisi hawaoi, Suala likawa ni kikwazo kwa Kanisa Katoliki la Mashariki na hivi kwao Mapadre wanaruhusiwa kuoa tofauti na Kanisa Katoliki la Magharibi.
      II. SABABU KUBWA ZISIZOVUMILIKA
       Kuvunja kwa Sanamu (Iconoclasm)
      Mwaka 726, mfalme Leo wa tatu alidai kwamba kuwaheshimu watakatifu kwa kutumia vitu kama vile picha na takatifu na masalia kulikuwa ni kuabudu Sanamu.
      Hapo ulizuka mtindo uliojulikana kwa jina la ‘Ikonoklasm’ neno ya Kiyunani lenye kumaanisha ‘kuvunja kwa sanamu’. Walioshikiria mtindo huo walizunguka katika makanisa na kuvunja picha na sanamu zilizopo. Mtaguso wa II wa Nikea uliitishwa na Malkia Irene wa Bizanti mwaka 787 ili kujadili matumizi ya sanamu katika Ukristo, kutokana na ombi la Papa Adrian I (772-795).
      Patriarki wa Konstantinopoli alilazimika kujiuzulu. Uamuzi wa kaisari ulizidi kupingwa hasa na wamonaki na Yohane wa Damasko. Sera ya dola ilibadilika na ndipo aliposhika uongozi Irene kwa niaba ya mtoto wake mdogo Konstantino VI. Mtaguso ulianza Konstantinopoli mwaka 786, lakini ulipoingiliwa na jeshi waliowaunga mkono maaskofu waliopinga sanamu, Irene aliuhamishia Nikea ambapo vilifanyika vikao 7 kuanzia tarehe 28 Septemba 787.
      Papa alituma mabalozi wake wawili ambao walikwenda na barua moja kutoka kwa papa. Kwa ujumla mtaguso ulitofautisha heshima inayokubalika kwa sanamu na ibada isiyovumilika. Hoja kuu ni kwamba sanamu si kitu, ila inamwakilisha yule aliyechorwa ndani yake. Kimsingi sanamu zinakubalika kutokana na umwilisho wa Mwana wa Mungu uliomfanya atwae sura na kuonekana.
      Mabishano kuhusu Kanuni ya Imani ya Nikea
      Katika Kanuni ya Imani, Kanisa Katoliki la Mashariki walikuwa wakisema kwamba Roho Mtakatifu katoka kwa Baba kupitia kwa Mwana. Wakati Kanisa Katoliki la Magharibi wao walikuwa wakisema na ndiyo tusemavyo hata leo hii kwamba Roho Mtakatifu atokaye kwa Baba na Mwana. Hivyo kukawa mtengano baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki (1054).
       Uhusiano wa Maisha ya Watawa na Walei
      Kwa upande wa Kanisa Katoliki la Magharibi watawa waliruhusiwa kufanya kazi pamoja na jamii zilizowazunguka. na hivyo walipata fursa ya kuweza kuwafundisha walei baadhi ya mambo ambayo iliwapasa kuyafahamu. Jambo hilo halikutokea kabisa katika Makanisa ya Mashariki. Hivyo kukasababisha mtengano.
       Maaskofu kutoka Magharibi na Mashariki
      Suala zima la maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi kuwa na mamlaka juu ya Kanisa Katoliki la Mashariki, halikuvumilika kwa upande wa Mashariki, hasa katika ‘vita vya msalaba’ au ‘vita takatifu’. Tangu mwaka 1096 mpaka mwaka 1291, Wakristo walipigana vita kumi ili wawe watawala tena wa Nchi iliyokuwa ni Nchi ya Yesu na hasa Yerusalemu, Mji Mtakatifu, ingawa walishindwa.
      Katika vita ya Msalaba, baadhi ya maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi walipewa mamlaka juu ya makanisa ya Mashariki. Kutokana na hili basi hakukuwa na mazungumzano mazuri baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki.
       Mtawala Mikaeli Cerularius
      Mnamo mwaka 1043, Patriarki Mikaeli Cerularius. Alikuwa na tamaa kutafuta vyeo vya juu na kuwa mtu wa sifa. Hakutambua na kukubali nafasi ya Papa wa Roma. Alitaka Patriarki aheshimiwe sawa na Papa wa Roma.
      Kutokana na matamanio yake hayo, mwaka 1052 alililaumu Kanisa Katoliki la Magharibi kwa ajili ya makosa ya kila aina, Mashtaka hayo ni:
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wakitumia mkate usiotiwa chachu mpaka leo hii, wakati wakristo wa Mashariki walikuwa wanatumia mkate wa kawaida mpaka sasa.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wanakula nyama iliyokuwa bado na damu ndani yake; kumbe wakristo wa Mashariki wakaona kwamba ni kutoyatii Maandiko Matakatifu.
       Wakristo wa Magharibi walifunga chakula siku ya Jumamosi; jambo hilo lilidhihirisha kwamba wanashikilia siku ya Sabato ya Wayahudi tofauti kabisa na vile walivyokuwa wakifanya wakristo wa Mashariki.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa hawaimbi “Alleluia” wakati wa Kwaresma, kumbe kwa kufanya hivyo Mashariki waliona kuwa ilikuwa ni kukosa uaminifu kwa mapokeo ya Kanisa.
       Makasisi wa Kanisa Katoliki la Magharibi walikuwa wananyoa ndevu zao na ndivyo wanavyofanya hata leo hii ingawa pia karama ya shirika fulani inaweza kuruhusu vinginevyo. Kanisa la Masharini hata leo hii wao wanafuga ndevu zao kwa sababu kwa kunyoa ndevu kadiri yao ni kukosa adabu.

    • @NikanorosPapadhulu-qb3zb
      @NikanorosPapadhulu-qb3zb Рік тому

      Ukweli ni huu na mbaka leo umebaki a kanisa la Roma lilitenga na kanisa la mashariki ambolo ninajumla ya majimbo manne hapo mwazo yalikuwa matano (Jerusalem, Constantinople, Alexandria,achiochia na Roma)Roma alitoka huko akabaki pekee yake na ndiyo maana Wana papa mmoja lakini mkumbuke kwamba hayo majimbo mengine ,kila Jimbo lina papa wake,ndio maana kwa akili yako tu unaweza kufikili Kama yesu alizaliwa islael akakulia kule na pia akafia kule na kuzikwa kule na kufufuka kule ,kwanini Leo makao makuu yawe Roma ambako hata mkutano mmoja wa kiekumeni haujawahi kufanyika kutoka mitume mkaka kutengana 1054.kwa wale myefahamu nawafahamisha Sasa pale Jerusalem Kuna papa wa Jerusalem ambaye yupo kanisa la mashariki (Orthodox Church)ndiyo maana hata kaburi la yesu lipo chini ya kanisa la mashariki.na mkumbuke msemaji hapo amezungumzia ile vita ya msalaba ,hebu fikiria Kama mashariki na magharibi mritengana 1054 je ile vita ililenga nini kwa kanisa la mashariki (kiufupi vita ya msalaba baada ya kutengana ilikuwa na lengo la kuzoofisha kanisa la mashariki,ndiyo maana wengi hawalifamu ,Ila kwa wale mliotembelea majimbo hayo yote matano mnajua ukweli.

  • @rwenenahomechannel1634
    @rwenenahomechannel1634 Рік тому +1

    Mie nasikia ni kitu kimoja.
    Ila tamaa na siasa zilizoanzishwa na ibilisi mgawa watu.
    Siku watu wakiungana amani itatawala dunia yote na Eden iliyopotea itakuwa imerudi.
    Wafalme hawa wanaotawaliwa wakula nini?

  • @MaloleKatelezu-ws3ux
    @MaloleKatelezu-ws3ux Рік тому

    Baba mtakatifu ndyoo nani
    Na ni biblia ipi imesema sanamu ziendelee kutumika tupeni majibu

  • @dawoudal-arabiybik3747
    @dawoudal-arabiybik3747 Рік тому

    Vita ya msalaba ilihusu nini?

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 Рік тому +1

    Kanisa la Mashariki lilijitenga mwaka 1054....

    • @radiomariatanzania
      @radiomariatanzania  Рік тому

      SABABU ZA KUTENGANA KWA MAKANISA YA MAGHARIBI NA MASHARIKI
      Sababu zimegawanyika katika makundi makuu mawili yaani:
      I. Sababu ndogo ndogo ambazo ni za kawaida
      II. Sababu kubwa ambazo hazikuweza kuvumilika
      I. SABABU NDOGO NDOGO
       Lugha
      Lugha iliyotumika kwa vikubwa katika Kanisa Katoliki la Magharibi ilikuwa ni lugha ya Kilatini wakati kwa upande wa lugha ya Kanisa Katoliki la Mashariki lugha iliyotumika ilikuwa ni Kigiriki.
       Tamaduni
      Tamaduni za Kanisa Katoliki la Magharibi zilitofautiana kwa namna fulani na tamaduni za Kanisa Katoliki la Mashariki. Mfano suala la useja. Magharibi wanazingatia useja mashariki ni hiyari, hasa kwa wale wenye matazamio ya kuwa maaskofu.
       Jiografia
      Tofauti za kijiografia kati ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki, sababu hii ikachochewa na siasa zilizopelekea mvutano wa wapi makao makuu ya Kanisa yanapaswa kuwepo Roma au Constantinopoli kwa sasa Istanibul huko Uturuki.
       Tofauti ya mtazamo wa mamlaka ya Kidini na Kisiasa
      Mtazamo katika Kanisa Katoliki la Magharibi ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha kwa Papa na kutoka kwa Papa wanafuata maaskofu, na baadaye mfalme. Wakati kwa upande wa Kanisa Katoliki la Mashariki mtazamo ulikuwa ni kwamba mamlaka ya juu kabisa yanatoka kwa Mungu, kisha mfalme na kutoka kwa mfalme angefuata askofu (patriarki).
       Suala la Useja
      Kanisa la Magharibi Makasisi hawaoi, Suala likawa ni kikwazo kwa Kanisa Katoliki la Mashariki na hivi kwao Mapadre wanaruhusiwa kuoa tofauti na Kanisa Katoliki la Magharibi.
      II. SABABU KUBWA ZISIZOVUMILIKA
       Kuvunja kwa Sanamu (Iconoclasm)
      Mwaka 726, mfalme Leo wa tatu alidai kwamba kuwaheshimu watakatifu kwa kutumia vitu kama vile picha na takatifu na masalia kulikuwa ni kuabudu Sanamu.
      Hapo ulizuka mtindo uliojulikana kwa jina la ‘Ikonoklasm’ neno ya Kiyunani lenye kumaanisha ‘kuvunja kwa sanamu’. Walioshikiria mtindo huo walizunguka katika makanisa na kuvunja picha na sanamu zilizopo. Mtaguso wa II wa Nikea uliitishwa na Malkia Irene wa Bizanti mwaka 787 ili kujadili matumizi ya sanamu katika Ukristo, kutokana na ombi la Papa Adrian I (772-795).
      Patriarki wa Konstantinopoli alilazimika kujiuzulu. Uamuzi wa kaisari ulizidi kupingwa hasa na wamonaki na Yohane wa Damasko. Sera ya dola ilibadilika na ndipo aliposhika uongozi Irene kwa niaba ya mtoto wake mdogo Konstantino VI. Mtaguso ulianza Konstantinopoli mwaka 786, lakini ulipoingiliwa na jeshi waliowaunga mkono maaskofu waliopinga sanamu, Irene aliuhamishia Nikea ambapo vilifanyika vikao 7 kuanzia tarehe 28 Septemba 787.
      Papa alituma mabalozi wake wawili ambao walikwenda na barua moja kutoka kwa papa. Kwa ujumla mtaguso ulitofautisha heshima inayokubalika kwa sanamu na ibada isiyovumilika. Hoja kuu ni kwamba sanamu si kitu, ila inamwakilisha yule aliyechorwa ndani yake. Kimsingi sanamu zinakubalika kutokana na umwilisho wa Mwana wa Mungu uliomfanya atwae sura na kuonekana.
      Mabishano kuhusu Kanuni ya Imani ya Nikea
      Katika Kanuni ya Imani, Kanisa Katoliki la Mashariki walikuwa wakisema kwamba Roho Mtakatifu katoka kwa Baba kupitia kwa Mwana. Wakati Kanisa Katoliki la Magharibi wao walikuwa wakisema na ndiyo tusemavyo hata leo hii kwamba Roho Mtakatifu atokaye kwa Baba na Mwana. Hivyo kukawa mtengano baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki (1054).
       Uhusiano wa Maisha ya Watawa na Walei
      Kwa upande wa Kanisa Katoliki la Magharibi watawa waliruhusiwa kufanya kazi pamoja na jamii zilizowazunguka. na hivyo walipata fursa ya kuweza kuwafundisha walei baadhi ya mambo ambayo iliwapasa kuyafahamu. Jambo hilo halikutokea kabisa katika Makanisa ya Mashariki. Hivyo kukasababisha mtengano.
       Maaskofu kutoka Magharibi na Mashariki
      Suala zima la maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi kuwa na mamlaka juu ya Kanisa Katoliki la Mashariki, halikuvumilika kwa upande wa Mashariki, hasa katika ‘vita vya msalaba’ au ‘vita takatifu’. Tangu mwaka 1096 mpaka mwaka 1291, Wakristo walipigana vita kumi ili wawe watawala tena wa Nchi iliyokuwa ni Nchi ya Yesu na hasa Yerusalemu, Mji Mtakatifu, ingawa walishindwa.
      Katika vita ya Msalaba, baadhi ya maaskofu wa Kanisa Katoliki la Magharibi walipewa mamlaka juu ya makanisa ya Mashariki. Kutokana na hili basi hakukuwa na mazungumzano mazuri baina ya Kanisa Katoliki la Magharibi na Kanisa Katoliki la Mashariki.
       Mtawala Mikaeli Cerularius
      Mnamo mwaka 1043, Patriarki Mikaeli Cerularius. Alikuwa na tamaa kutafuta vyeo vya juu na kuwa mtu wa sifa. Hakutambua na kukubali nafasi ya Papa wa Roma. Alitaka Patriarki aheshimiwe sawa na Papa wa Roma.
      Kutokana na matamanio yake hayo, mwaka 1052 alililaumu Kanisa Katoliki la Magharibi kwa ajili ya makosa ya kila aina, Mashtaka hayo ni:
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wakitumia mkate usiotiwa chachu mpaka leo hii, wakati wakristo wa Mashariki walikuwa wanatumia mkate wa kawaida mpaka sasa.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa wanakula nyama iliyokuwa bado na damu ndani yake; kumbe wakristo wa Mashariki wakaona kwamba ni kutoyatii Maandiko Matakatifu.
       Wakristo wa Magharibi walifunga chakula siku ya Jumamosi; jambo hilo lilidhihirisha kwamba wanashikilia siku ya Sabato ya Wayahudi tofauti kabisa na vile walivyokuwa wakifanya wakristo wa Mashariki.
       Wakristo wa Magharibi walikuwa hawaimbi “Alleluia” wakati wa Kwaresma, kumbe kwa kufanya hivyo Mashariki waliona kuwa ilikuwa ni kukosa uaminifu kwa mapokeo ya Kanisa.
       Makasisi wa Kanisa Katoliki la Magharibi walikuwa wananyoa ndevu zao na ndivyo wanavyofanya hata leo hii ingawa pia karama ya shirika fulani inaweza kuruhusu vinginevyo. Kanisa la Masharini hata leo hii wao wanafuga ndevu zao kwa sababu kwa kunyoa ndevu kadiri yao ni kukosa adabu.

    • @nmedardbenedicto5544
      @nmedardbenedicto5544 Рік тому

      Ni kanisa la magharibi lilojitenga mwaka 1954 chini ya patriack wao pius kama hujui ndo ivo bro

    • @nmedardbenedicto5544
      @nmedardbenedicto5544 Рік тому +1

      Lugha ya kilatini kwa kanisa la magharibi ilianzishwa mwaka 1700 baada ya papa Gregory kuanzisha biblia ya kirumi iliyotafisliwa kutoka lugha ya kigiriki maana lugha ya kanisa ilikuwa kigiriki wakati huo. kwahiyo baada ya hapo papa ndo kutangaza lugha ya kanisa la magharibi kuwa kirumi badala ya kigiriki

  • @CanisiusJohnKayombo-ch6fw
    @CanisiusJohnKayombo-ch6fw Рік тому

    Hamna lolote. Oeni tu. Waseja wakati watoto wamejaa mitaani

  • @laurent6577
    @laurent6577 Рік тому

    Waelezeni watu ukweli acheni kuvutia ngoma kwa Roma Catholic. Semeni ukweli watu waelewe

    • @exprodigitaltechtv5571
      @exprodigitaltechtv5571 Рік тому

      Kasome tena historia ya kanisa katoliki

    • @laurent6577
      @laurent6577 Рік тому

      Nimbie mtaguso wa pili wa Vatican mambo gani ulibadili mambo ya imani?Anzia hapo ndo utaelewa Kanisa la Roma Catholics.