DARASA KUBWA ASKOFU KILAINI AELEZA HISTORIA YA KANISA LA KWANZA |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @solomonkahuta5154
    @solomonkahuta5154 2 місяці тому

    Asante mtumishi wa MUNGU. Ningependa kujua sababu na chanzocha kuwazuia wasioe. Kama Kuna maandiko katika Biblia unisaidie

  • @tumusiimeomukama3151
    @tumusiimeomukama3151 2 роки тому +2

    Tumsifu Yesu kristo, jamani mmi naomba vijana wanaosoma historian Tz wajifunze namna ya kuwa wanahistoria kama Baba Asikofu. 🌹

  • @damianmhagama4398
    @damianmhagama4398 Рік тому

    Asante sana

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 3 місяці тому

    Tumsifu Yesu Kristu
    Naitwa Johannes Asala porokia ya Bikira Maria Mererani
    Je Yesu kristo ndiye Issa anayetajwa na Waisilamu?

  • @danielnyabungi693
    @danielnyabungi693 11 місяців тому

    Padre msimamo wako ni upi petro ndo papa wa kwanza au uliyemtaja hapo ndo papa wakwanza?,Nimwkufuatilia kwenye video moja umesema petro ndo papa wa kwanza kwa sababu wakatoliki ni kanisa mama,mbona video mbili hizo zinatofautiana kwa upande wa papa wa kwanza?

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 10 місяців тому

    Kanisa la Mama Maria huko Bagamoyo(bwagamoyo) ni historia muhimu. Ila waislamu wamekataa kuwa waarabu hawakuwahi kufanya biashara ya utumwa..nauliza nani waliuza watumwa waliookolewa na wamisionari