SOMO: YESU AMEKUJA KUTOA MAPIGO YA SHETANI SEHEM YA 4 MUHUBIRI MCH. ABIUD MISHOLI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • MKUTANO WA INJILI ULIO FANYIKA FEBRUARY 2024 ARUSHA KWA ASIKOFU NA KATIBU MKUU WA EAGT TANZANIA DR.LEONARD MWIZARUBI
    MWALIM NA MUHUBIRI. MCHUNGAJI ABIUDI MISHOLI, KWAUSHAURI NA MAOMBI +255 754 045 328

КОМЕНТАРІ • 20

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 3 місяці тому +1

    Amina nimebarikiwa sana na hubili hili Mungu akubariki sana.

  • @APSTLEJEREMIAHMBAYOMBAYO
    @APSTLEJEREMIAHMBAYOMBAYO 4 дні тому

    AMINA MY FARHAT MY FARHAT MY FARHAT 🔥🔥🔥

  • @user-zg4bt4it2p
    @user-zg4bt4it2p 6 місяців тому +1

    Mungu azidi kukutumia baba kwa huduma.. mm binafs nabarikiwa ninaposikiliza mahubiri yako kupitia mtandao wa kijamii

  • @user-or4ch8el9o
    @user-or4ch8el9o 6 місяців тому +1

    Amina baba Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya kazi yake

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv 6 місяців тому

    Barikiwa baba karibu tena katavi mpanda tumekukumbuka

  • @alphaxadackim
    @alphaxadackim 6 місяців тому +1

    Loooh injili isiyo goshiwa zimeanza kua adimu Mungu akutunze

  • @hebronijaluomahuvi1025
    @hebronijaluomahuvi1025 6 місяців тому

    🤝

  • @Fazeofbros
    @Fazeofbros 6 місяців тому +1

    Lini utatupatia wimbo mypa?

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 6 місяців тому

    Kwa maana hiyo kwanini Mungu kaweka vito vya thamani duniani? Wavae watt wa ibilisi?

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 6 місяців тому +1

    Ndio maana tuna Damu ya YESU tunatakiwe tuitumie kwenye kila kitu kutakasa. Navaa mawigi navaa cheni navaa bangili lakini nikinunua ni jambo la kwanza kuvitakasa kwa Damu ya YESU. Nina Roho Mtakatifu na Mbingu nitaiona.

    • @user-md8xi7bu4j
      @user-md8xi7bu4j 6 місяців тому

      Mmmmmh weee humwogopi mungu?

    • @dorcasanderson4825
      @dorcasanderson4825 6 місяців тому +1

      Unaweza kunywa na pombe ukaitakasa kwa damu ya Yesu kwa sababu kazi ya damu ya Yesu ni kutakasa?

    • @user-un2td1no5f
      @user-un2td1no5f 6 місяців тому +1

      Mbingu huioni labda mbingu ya morogoro ukitaka kuiona mbingu achana na hivo vitu

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 6 місяців тому

      Shida watu mnakuwa wabishi yani kama unaongea hivyo ujue hujaokoka aliyeokoka anapoonywa juu ya jambo lazima aliache.damu ya YESU inaponya magonjwa na kufunga waliofungwa na dhambi Ili kuwaokoa haisafishi mawigi Wala cheni jitambue na he unaweza takasa simu alafu ukanywa na unajua ni simu usife???nakwambia huwezi ona mbingu kama huponi pale unapoonywa nilikuwa mbishi kama wewe lakini MUNGU aliposema ni baada ya kuomba juu ya kile nachoambiwa kuhusu nywele na cheni na MUNGU akanidhihirishia kuwa havifai so mwogope MUNGU

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 6 місяців тому

    1 TIMOTHEO 9,10.

    • @annachachage4931
      @annachachage4931 6 місяців тому

      Usimjaribu BWANA MUNGU wako,na hilo andiko ulilotoa halijaeleweka 1timotheo,9,10 halipo

    • @cmoshi7014
      @cmoshi7014 6 місяців тому

      @@annachachage4931 Kumjaribu Mungu ndio nini? Kunawatu mnapenda kujifanya wa kiroho sana mimi always nasema finale Repture period!

    • @annachachage4931
      @annachachage4931 6 місяців тому

      @@cmoshi7014 hakuna kujifanya wa kiroho,nina maana kama unajua kitu fulani si salama kwa afya ya kiroho,hata uombe unajisumbua bora ungekua hujui, maana huna hatia, mathayo 4:6-7

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 6 місяців тому

      Bora ukasema MUNGU yupo na ukaishi anavyotaka na usiende kumkuta kuliko kusema hayupo alafu ukamkute itakuwa ni kilio na kusaga meno....

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 6 місяців тому

      Hakuna 1timotheo 9,10 zinaisha 6