”Hivi ndivyo vizazi vya Yakobo. Yusufu, aliyekuwa mwenye miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo pamoja na ndugu zake; naye alikuwa kijana pamoja na wana wa Bilha, na wana wa Zilpa, wake wa baba yake. Yusufu akamletea baba yao habari zao mbaya. Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu. Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.“ Mwa 37:2-4 SUV 3:38
Asilimia 70 ni ndoto (mwilini) 20% nafsi 10% rohoni hii ni ajabu sana. Aksante kwa ufahamu yaani naona jinsi watu wengi wanavyokimbizana ma ndoto za mwilini.
Pastor naomba uniambie kuhusu hii ndoto yangu ...... niliota nikiwa nimenunua samaki watatu kisha nikagawa miwili nikabaki na moja je? Hii ni ndoto ya aina gani
Samaki mara nyingi ni positive dream .Depending with the context can mean utajiri as in provision Zingatia mazingira ya ndoto na uulize roho mtakatifu akusaidie.
Nimebarikiwa! Na kuendelea kujifunza kitu! Maarifa kila siku...Barikiwa Mtumishi wa BWANA.
Napenda sana anavyochambua biblia na anavyofundisha.Mungu akubariki sana Mtumishi.
Looking forward to the other teachings about nafsi na roho
Reality mmepata neema kubwa sana kuna wakat nataman ningekua naish jiran nisingekosa ibada hata mojaa👏👏👏👏👏👏
Hakika
😅
mimi je ningekua naishi dar ningekua naudhurua pia
Amen mtumishi barikiwa sana
Shalom!
You are my spiritual father
”Hivi ndivyo vizazi vya Yakobo. Yusufu, aliyekuwa mwenye miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo pamoja na ndugu zake; naye alikuwa kijana pamoja na wana wa Bilha, na wana wa Zilpa, wake wa baba yake. Yusufu akamletea baba yao habari zao mbaya. Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu. Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.“
Mwa 37:2-4 SUV
3:38
You are a True Servant of God. That's all..!!!!
Very powerful .Nahitaji connection na mchungaji .Niko Kenya.Nahubiri pia
So Powerful 🔥
Barikiwa sana babah
More GRACE
Asilimia 70 ni ndoto (mwilini) 20% nafsi 10% rohoni hii ni ajabu sana. Aksante kwa ufahamu yaani naona jinsi watu wengi wanavyokimbizana ma ndoto za mwilini.
🙏🙏🙏
Blessed is Pastor Sunbella Kyando
Mumejaliwa na neema kubwa saana itunzeni hiyo neema.
Asante kwa mafundisho mazuri Bishop wangu. Mafuta ya ualimu yazidi kutupa maarifa.
Mwili
”Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno.“
Mhu 5:3 SUV
22:47
Blessing 😊
Amen. Blessing
Nashukuru sana amen
Mwanza ngapi ariye sikia anisaidiye Amina
37:3-4
Mwanzo 37:2-4
🙌🙏🙏🙏
MUNGU AZIDI KUKUINUA MTUMISHI
hivi tutajua aje ndoto za ukweli, manake naona umekataa ndoto zote
Naomba namba ya huduma
Pastor naomba uniambie kuhusu hii ndoto yangu ...... niliota nikiwa nimenunua samaki watatu kisha nikagawa miwili nikabaki na moja je? Hii ni ndoto ya aina gani
Unahuduma Gani .
Naomba munieke kwa group la maombi
Mimi nimekuwa nikiota navua samaki wakubwa na hii ndoto imekuwa ikijirudia
Samaki mara nyingi ni positive dream
.Depending with the context can mean utajiri as in provision
Zingatia mazingira ya ndoto na uulize roho mtakatifu akusaidie.
Au pia unatakiwa uwe mtumishi wa Mungu
Utatajrka
Go Evangelism, you will win many souls for Christ
@@bensonnjenga6436 Amen