Yammi: Sijawahi kufanya Mapenzi! Sijawahi kuwa kwenye Mapenzi, 'Sina My Man' Part 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лют 2024
  • Yammi afunguka status yake ya mahusiano katika kipindi cha Valentines Day, 'Sijawahi kufanya mapenzi'
    Tazama full interview hapa, Subscribe, Like, Comment & Share!
    #Sitetereki
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 20

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 4 місяці тому +7

    Nilivyoona kichwa Cha habari tu Wala sijajisumbua kuangalia hayo mahojiano ila nimekuja kwenye comment section kushauri kitu ,, waandishi wa kibongo ubunifu ziro ,, lazima muandike kitu Cha hovyo ili kuvutia watazamaji kuangalia videos zenu ,, Kama yeye hajawahi kufanya mapenzi Mimi inanihusu Nini,, Kama yeye Ni msanii Mimi nataka kusikia kuhusu kazi zake sio maswala ya ngono ,, mnafeli Sana waandishi...

    • @PrincessHellen-pg1oy
      @PrincessHellen-pg1oy 4 місяці тому

      Acha roho mbaya

    • @isdorchuvu6280
      @isdorchuvu6280 4 місяці тому +5

      @@PrincessHellen-pg1oy hapana mamy ,, halafu Mimi cpo hivyo ,, nimeshauri tu, huyo ni msanii wa mziki so alitakiwa amuhoji kuhusu mziki wake ili mashabiki zake wamfahamu zaidi ,, lakini kichwa cha habari chenyewe kinasema msanii Fulani hajawahi kufanya mapenzi,,, Sasa inshu ya kufanya mapenzi mbona Kama iko personal Sana ,, so ni kwamba waandishi tu wanazingua kwa kuwauliza hao wasanii maswali ya hovyo yasiyoendana na kazi yao...ivo Yani..

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 4 місяці тому

    Wow amekua sasa 😊 MUNGU amtangulie inshaalah

  • @Mith-Quinn
    @Mith-Quinn 2 місяці тому

    ❤️Lovely melody😍

  • @user-ck9pt2ct9c
    @user-ck9pt2ct9c 3 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @KID8WITNAOFFICIAL7039
    @KID8WITNAOFFICIAL7039 Місяць тому

    Nimegundua kipaji kipya huyu Dada anajua saaana . Ngoma yake ya upepo badass🤔🤔🤔🤔Nipo Congo

  • @user-ku4uh2ze6i
    @user-ku4uh2ze6i 4 місяці тому +4

    eti bado kudinyan

  • @giant_701
    @giant_701 3 місяці тому

    Huyu mtoto anaongea vzr jmn sijui ntampataje

  • @officialdatonepro
    @officialdatonepro 4 місяці тому +4

    Huyu mtoto muongo Sijapata kuona😂

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 4 місяці тому +1

    Ypo vzuri sema hpo kw kua single kma ka2piga hvi mafisi

  • @BabyLulu-xf3rf
    @BabyLulu-xf3rf 4 місяці тому

    usitudanganye kwenda zako nakushauri tu usijichanganye kwa bilnas yule mpare atakuzima kabisaa😅😅

  • @Falsefacegamer
    @Falsefacegamer 3 місяці тому

    Is this an individual interview or a interrogation,she should learn to respond to questions, too much full stops

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 місяці тому +4

    Nandy Malaya mnategemea nn kwa huyu binti?

    • @jacqueli18
      @jacqueli18 4 місяці тому

      Umetembea na nandy? Hivi wewe? Huyo nandi hata uliwai kumuona?😂😂😂😂😂😂😂

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 4 місяці тому +1

      @@jacqueli18 Malaya mpaka umle kwani? Kapapasa rungu nyingi sn mjini hapa Yammi mulemule!

    • @PrincessHellen-pg1oy
      @PrincessHellen-pg1oy 4 місяці тому +1

      Unaaana ya bibi na babu

  • @salumungassa9217
    @salumungassa9217 4 місяці тому +1

    Awe ajatobwa uyu wee kuma yake mbichi apa ndo yanapogo niuz maxanii yetu waga maong maong2

    • @rahmaoman470
      @rahmaoman470 4 місяці тому +4

      😂😂😂😂😂msimpime mtu kwa macho na muonekano wa nje

    • @salumungassa9217
      @salumungassa9217 4 місяці тому

      @@rahmaoman470 sio kwa xaiv kizazi jeur iki arafu naww uwajui wasanii mfano juz2 apa hamo na posh xiwalikua wanakan kua awap p1 kikwapi xaiv