D VOICE afunguka kumtaka KIMAPENZI YAMMI aweka HISIA zake HADHARANI
Вставка
- Опубліковано 7 чер 2024
- _________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp - Розваги
D.voice bana eti aa mi apao nipo katikati sijielewi ni jinsia gani 😂kwamba hajui ye ni jinsia gani au nimesikia pekee yangu
Kijana anajichanganya sana
Wasanii wakubwa awasemi wanalipwa bei gani yeye anajishaua ngoja limkute jambo ndyo ajue 😢😢😢
Mmm balaaa😅
Mmmmmh D voice litakukuta jambo
Yammi weeeee
Nice 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mmm imekaa,bombaa😢😢
Ww d voice achana na wasichan
Mmmh dogo mjinga kinyama
Dogo ameanza kuji brags sasa hata kama ni kujipa thaman lakin!!! Hii inaenda kumuletea shida huyu dogo anakua na tambo sana aongee tu kawaida aache brags brag tunakubalii kazii zake mtaani zinalia sana.....!!!!