MBWADUKE: Kibabe sana! Simba Yacheza kikubwa kuwaua kwao Watunisia Sfaxien/ Sare tu na Bravos...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @JaphaliAlly-oj9pw
    @JaphaliAlly-oj9pw 17 годин тому +1

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼 wewe nimchambuz mahli mungu akulinde akupe maisha malefu🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr День тому +19

    Mimi naomba tff watoe tunzo ya mchambuzi bora Kila siku atabeba mwanuke

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 День тому +2

      huyu jamaa ni hatarii

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe День тому

      Mbwaduke sio Mwanuke, wanao Manuka ni Utopolo tu. Wanagusa vitu vya ajabu wakinogewa wanaachia wanaenda kwao kutoa utamu 😂😂😂😂

    • @allyally1077
      @allyally1077 День тому

      😂😂Sio mwanuke

    • @AllyMwinyi-rx8gr
      @AllyMwinyi-rx8gr День тому

      @allyally1077 mwaduke

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 День тому +2

    Simba has played objective football.

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z День тому

    ❤❤Mzee anajua sana huchoki kumsikiliza mungu aendeleee kukuweka duniani❤❤❤

  • @benclever
    @benclever День тому +3

    Unajua sanaa mbwaduke, big up blood, we ni mtu wa maaana kabisa

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h День тому +4

    Ubaya ubwela ❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @charlesnzenga4681
    @charlesnzenga4681 19 годин тому

    Baada ya Dr. Reacky, Mzee Kashasha na Sasa NI Mbwaduke bravo bro!

  • @BensonGoodluck-f2i
    @BensonGoodluck-f2i День тому +1

    Simba nguvu moyaaa, ubaya ubwela tyu dadeki 🎉🎉,Mbwaduke nakubalii

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 День тому +5

    MBWADUKE UPO BORA SANA KWA UCHAMBUZI WEWE BORA SANA

  • @BensonGoodluck-f2i
    @BensonGoodluck-f2i День тому +3

    Mbwaduke ubongo mkubwa 🎉🎉

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw День тому

    Hongera sanaa kk mbwaduke🎉🎉🎉🎉

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 День тому

    Naomba Mungu Simba tushinde mechi zote 2zilizobki inshaallah

  • @nabiiplatnumz147
    @nabiiplatnumz147 День тому

    Brother Upo Vizuri Kwa Uchambuzi Nakupa Big Up

  • @benjaminmirambi9567
    @benjaminmirambi9567 День тому +2

    Hongera mbwaduke tuchambulie boli kaka

  • @DanielYusto
    @DanielYusto День тому +2

    Huwa nakuelewa sana kaka 🎉🎉🎉

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs День тому +2

    ❤❤❤❤unajua sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PiusMatara
    @PiusMatara День тому

    Uko vizuri sana kimpira

  • @SaadIssa-e1e
    @SaadIssa-e1e День тому

    Sheh mwaduke upo vzr brother🎉🎉

  • @FrancoErick-g4t
    @FrancoErick-g4t День тому +1

    🎉🎉🎉🎉 uko vzuri kiuchambuz

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 День тому +1

    Huyu ndie mchambuzi,huwezi kumsikia akipo club au mchezaji,yeye huchambuwa mchezo sio umbea na mchongo,hongera R Mbweduke

  • @AbdallahPeter-b4s
    @AbdallahPeter-b4s День тому

    Upo bora sana kaka

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo День тому +1

    asante kwa uchambuzi bora kabisa ila shauku yangu tushinde mechi zetu zilizobaki mbili ubaya ubwela

  • @edwinmunga
    @edwinmunga День тому +1

    Asante mechi ijayo wacheze kama hivyo

  • @ShameNgeza
    @ShameNgeza 20 годин тому

    Kwa kweli jina la Mzee WA data limekaa mahali pake

  • @DANIELKADALAJA
    @DANIELKADALAJA День тому +1

    Uko poa Mzee wangu nakufuatilia sana

  • @SaadIssa-e1e
    @SaadIssa-e1e День тому

    This is Simba🎉🎉🎉

  • @kenanmwabamba
    @kenanmwabamba День тому

    Big up.👍

  • @ezekielmlay8219
    @ezekielmlay8219 День тому

    Simba nguvu moja#

  • @mujunvicta6379
    @mujunvicta6379 День тому +2

    Nilisubilia uchambuzi huu kwa hamu sanaaa

  • @Luciana-zs7fo
    @Luciana-zs7fo День тому +2

    Kwanini kaka mbwaduke usipewe Tunzo Yauchambuzi bora

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 День тому

    This man is very talented

  • @saidsalum2546
    @saidsalum2546 День тому +1

    Simba nguvu moja,,,

  • @WiliamMisheck
    @WiliamMisheck 2 години тому

    umeruka robo moja tuliyotolewa na mazembe Mzee wa data umetupiga changa

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI День тому +2

    Safi

  • @JamesSendu
    @JamesSendu День тому +1

    Jee Simba akifugwa jameni

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 День тому +1

      Labda simba afungwe mechi zote mbili lakinia kama simba atafungwa mechi ya mwisho akashinda na bravo akashinda ya mwisho point zitakuwa zinalingana hivyo wataangalia walipokutana mara ya mwisho nani alishinda mwenzake hivyo basi simba ndiyo ilimfunga bravo walipokuana mara ya kwanza hivyo simba takuwa amepita la sivyo simba afungwe mechi zote halafu bravo ashinde zote ndiyo simba atakuwa ametoka

  • @ElikanaKimayi
    @ElikanaKimayi День тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 День тому

    Kumbe kuna mchambuzi wamaan kabisa Mbwaduke huchoki kumsikiliza

  • @YusufIbrahim-d3d
    @YusufIbrahim-d3d День тому

    ❤❤

  • @AlfredEmmanuel-b6t
    @AlfredEmmanuel-b6t День тому

    tunakukubali sanaa tupo mwanza

  • @JAMESALPHONCE-b8p
    @JAMESALPHONCE-b8p День тому

    We unajua me nikua nasubilia Kwa ham sana

  • @JamesMaiga-z1n
    @JamesMaiga-z1n День тому

    Simba wajengeni ki saikolojia wachezaji washinde michezo YOTE; siyo eti wakatafute sare !

  • @frankmpanda3405
    @frankmpanda3405 20 годин тому

    Samahani nikusahishe kam utojali ukafatilie...
    Ligi ya mabingwa ndo wanaangali h2h match kam point zitalingana ila shirikisho wanacheki goal diff. kam point zitalingan kafatilie hilo mkuu na unipe zawadi😂😂😂😂

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  14 годин тому +1

      Umeangalia kanuni zipi za CAF? Kwa msimu huu unaoendelea wa 2024/2025, michuano yote ya CAF, pale timu mbili zinapolingana pointi KUFIKIA MWISHO WA HATUA YA MAKUNDI wanaangalia mwenye matokeo bora zaidi pindi timu hizo zilizolingana pointi zilipokutana (head to head). Muhimu hapo cha kuzingatia katika kanuni hii ("tie breaker rule"), ni maneno hayo tuliyoyaainisha kwa herufi kubwa. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.

    • @frankmpanda3405
      @frankmpanda3405 13 годин тому

      @MbwadukeStats ua-cam.com/users/shortseUkMVQe_TIc?si=Fnd1cUJFZTO4oWvN sawa kaka ila hapa siwez attach picha ningekutumia hyo dcmnt niliyo iona inayosema hvyo
      Ila nashukuru kwa kunijibu kaka

    • @frankmpanda3405
      @frankmpanda3405 13 годин тому

      ua-cam.com/users/shortseUkMVQe_TIc?si=Fnd1cUJFZTO4oWvN

    • @frankmpanda3405
      @frankmpanda3405 12 годин тому

      ua-cam.com/users/shortseUkMVQe_TIc?si=2ducpNJFn0ijz_hB

  • @saidchallange6498
    @saidchallange6498 День тому

    mwaduke unatisha sana mzee inabidi upewe tuzo kaka

  • @stephenmwakipesile7893
    @stephenmwakipesile7893 День тому

    Upewe maua Yako

  • @RahymRamadhani
    @RahymRamadhani 12 годин тому

    upo wewe na muro yaan hatar sana

  • @Aed126
    @Aed126 День тому

    Tukiqualify kwenda robo fainali itakua ni robo fainali yetu ya sita.😃😄
    Orlando- tulicheza nao shirikisho
    Tp Mazembe-Klabu bingwa
    Kaizer chief-Klabu bingwa
    Wydad-Klabu bingwa
    Al ahly-Klabu bingwa.

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  День тому +1

      Sawa. Ila sikiliza vizuri Mkuu na bila shaka utaelewa kuna neno MFULULIZO ambalo ndilo amezungumzia Mzee wa Data. Yaani hapo inazungumziwa timu kwenda robo fainali 5 michuano ya CAF kwa mfululizo. Kwa muktadha huu, hiyo ya 2018/2019 haimo katika orodha ya zile za "mfululizo". Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin День тому

    Unachanganya siyo mara tano ni mara sita. Mara mbili ni confederation na mara 4 ni xhampions league

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  23 години тому

      Hapana Mkuu...sikiliza vizuri. Bila shaka unaelewa maana ya neno MFULULIZO. Mzee wa Data anazungumzia MFULULIZO...hiyo unayosema wewe kweli ni ya sita lakini haiwi MFULULIZO kwa sababu baada ya ile ya ile Robo Fainali ya 2018/2019, Simba haikufika Robo Fainali msimu uliofuata wa 2019/2020 baada ya kutolewa hatua za awali na UD Songo ya kina Luis Miquesson ya Msumbiji. Neno MFULULIZO linaanzia msimu wa 2020/2021 hadi sasa. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @HamisiJustine
    @HamisiJustine День тому

    Mzee huyu Ana baraaa kama la chaz ohoua kule tunisia

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c День тому

    Kwa angola lazima tukalie kule hakuna mchezo

  • @beatuskamanyisa7611
    @beatuskamanyisa7611 День тому

    Huyu ndo muchambuzi hawa wengine wana jua kuchambua mbog pekee

  • @ibrahimseif5811
    @ibrahimseif5811 День тому

    Nakukumbusha mwaka wa kwanza tulitolewa na mazembe

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  День тому

      Sawa. Ila sikiliza vizuri Mkuu na bila shaka utaelewa kuna neno MFULULIZO ambalo ndilo amezungumzia Mzee wa Data. Yaani hapo inazungumziwa timu kwenda robo fainali 5 michuano ya CAF kwa mfululizo. Kwa muktadha huu, hiyo ya 2018/2019 haimo katika orodha ya zile za "mfululizo". Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @shadrackline5811
    @shadrackline5811 День тому

    Ni mara sita mfululizo ya kwanza tulitolewa na mazembe

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  23 години тому

      Hapana...sikiliza vizuri. Mzee wa Data anazungumzia MFULULIZO...hiyo unayosema wewe kweli ni ya sita lakini haiwi mfululizo kwa sababu baada ya ile ya 2018/2019, Simba haikufika Robo Fainali msimu wa 2019/2020 baada ya kutolewa hatua za awali na UD Songo ya kina Luis Miquesson. Neno MFULULIZO linaanzia msimu wa 2020/2021 hadi sasa. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @StevenSimeo
    @StevenSimeo День тому

    Unajua baba kuchambua

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c День тому

    Angola hawajawahi kutoka wote walokwenda pale

    • @MatiasBroo-z7b
      @MatiasBroo-z7b День тому

      Rekod inawekwa ili kuvunjwa bravos wamewafunga waarabu maana kule kwao Kuna joto.sana.kama la dar hivo Simba hataathiriwa na joto.la uko..

    • @jamestaifa3461
      @jamestaifa3461 День тому

      Simba ilimpiga primero de agosto 3 kwa 1

    • @AbuuAyubu-t7c
      @AbuuAyubu-t7c День тому

      @jamestaifa3461 mi nazungumzia kombe la shirikisho msimu huu we unaenda mwaka gani tena?

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c День тому

    Bado tunakibarua kizito kundi gumu sana hili

  • @Mgondakisimbo-o2b
    @Mgondakisimbo-o2b День тому

    Robo fainali yakwanza tulitolewa tp mazembe hii 6 pamoja sana mwamba

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  День тому

      Sawa. Ila sikiliza vizuri Mkuu na bila shaka utaelewa neno MFULULIZO. Hapo inazungumkziwa timun kwenda robo bfainali 5 mfululizo. Hiyo unayosema ya 2018/2019 haimo katika orodha ya mfululizo. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @DomnHppy
    @DomnHppy День тому

    Swali? mbwaduke wewe ni shabiki wa timu ipi hapa TANZANIA?????

    • @AzariaBiseko
      @AzariaBiseko День тому +1

      Yy ni mchambuzi skiliza vzr video zake zote ndo utajuA ana75% za Simba 🎉

    • @ElyrehemaMartin
      @ElyrehemaMartin День тому

      Yanga

  • @davidmponda2665
    @davidmponda2665 День тому

    Safi