ELIE MPANZU AZUA ZOGO KWA JEMEDARI NA GEOFF LEA/ "MCHANGO WAKE NI MDOGO SIMBA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 51

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 День тому +12

    Mpanzu is a brilliant player! Let's give him time to perform at his best! Yajayo yanafurahisha!

    • @halimalachpat1927
      @halimalachpat1927 20 годин тому

      @@enockmlyuka6475 oky kama ni hivho BC tumpe muda pia maombi muhimu

  • @AnnaSilyvester
    @AnnaSilyvester День тому +1

    Naitakia safari njema chama langu venance kutoka kahama❤

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 День тому +8

    We ukitaka kujua thamani ya Auhoua, Simba icheze bila yeye

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja День тому +3

      Kweli kabisa

    • @NathanaelKatundu
      @NathanaelKatundu День тому +1

      Nilisha sema mara nyingi. Yule Dogo ni mfhezaji mzuri Sana. Watu hawajamtazama anachezaje kama siyo hivyo wanataka achezi style zao. Ukitaka kujua Hilo angalia anavyo angaliwa Simba ikicheza.. watu hamuachi

  • @FeisalSongambele
    @FeisalSongambele День тому +3

    Jemedari anatupanga ngoma alipoteza pasi zaidi ya sita mpaka dk ya 15 mbona hasemi oyaa mpira uangallii mwenyewe bro

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 День тому

      😂😂...wala Jemadari hakupangi...unajipanga wewe mwenyewe na ufahamu wako... jemedari ametoa maoni, mawazo,na ufahamu wake kwanza kama mchezaji aliyecheza mpira kwa mafanikio makubwa na pia kumbuka yeye ni kocha kitaaluma...sasa wewe huna lolote zaidi ya ushabiki kubali kataa mwezio ameuishi mpira

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani День тому

      Alicheza kwa mafanikio makubwa wapi?

  • @FuneyJojo
    @FuneyJojo 6 годин тому

    Kukaba sio lazma upokonye mpira no ata kumzuia mpizani arudishe mpira kwao ni kukaba pia kwaio haua atakua vizur tu ila jimmy ni mchambuz wa kwer kuliko wachambuz wengi broo anajenga sana plays

  • @desolz3809
    @desolz3809 День тому +1

    CEO wa JKT TZ😂😂😂😂

  • @RashidAhmed-c3p
    @RashidAhmed-c3p День тому

    Wabongo mvamilia fani za ulaya wenzenu wengi huwa ni waliocheza mpiira kuna nyny sasa ni wapiga storry tu

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd День тому +1

    Mtu hayacheza miez 8 unataka awe na mchango kidogo

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 18 годин тому +1

    Anao anao sanaaaa😅 bila faida YOYOTE ile

  • @NovatusKaboneka-x7v
    @NovatusKaboneka-x7v 11 годин тому

    No

  • @SaidiIduri
    @SaidiIduri День тому +1

    Huyo jemedar ni mjinga hata Kuna wachezaji Wanakuwa Bora wakiwa na mpira hata Messi alikuwa hivo

  • @victorcampbell2659
    @victorcampbell2659 18 годин тому

    Ni mchezaji mzuri ila anapoteza sana mpira kizembe

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 День тому

    Mimi ni simba damu naipenda simba kwa moyo wote nikiona mtu anaiongelea vibaya simba inaniuma sana Naomba uongozi wa simba wampeleke huyu Mpazu kwa Mwamposa aombewe kwanini akipiga pass inatoka nje aombewe na yeye

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee День тому

      Sasa kwa nini MWAMPOSYA asiwalete wale ambao Anawaombea kila mara, ili timu zetu zitumie PESA kidogo kwa Wachezaji wetu WAZAWA?

  • @Philosophy219
    @Philosophy219 День тому +1

    Shule shule shule shule muwe mnasoma kabla yakujifanya mnajua, hizi ni stori za mpira sio uchambuzi wa mpira wa miguu

    • @MussaHajikimwaga
      @MussaHajikimwaga 18 годин тому

      unatamani achambuliwe mzize huna lolote we ni mnazi tu

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi День тому

    Hivi bila kujituma unaweza kufunga goli kama la jana??Acheni utani aisee

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr День тому

    Katika wachambuzi tanzania hii ambae yanga wanampenda simba wanampenda ni Mmoja 2 naikitokea tunzo ya mchambuzi tanzania ni Mmoja2 mwaduke bas

  • @Bilifilmz
    @Bilifilmz День тому

    Mjuwe tu huyo hajasajiliwa kwa ajili crown media na vipindi vyenu vya mchongo.
    Ata Ahoua mlibeza sana sasa mmeanza kukimbilia kwenye numbers zinambeba,
    Kibu mlimsema sana mkasema mpira numbers.
    Mpanzu muacheni special kwa ajili ya simba tu sio media zenu za mchongo

  • @mbogedevis1518
    @mbogedevis1518 День тому

    Nadhani wachambuzi ifike hatua muende memkwa maana nashindwa huwa mnao enda na kitu gani Kwa wachezaji wacheze vizuri wasifunge mnasema mchango mdogo, afunge hachezi vizuri mnaongea 🤔

  • @KassimMgaya
    @KassimMgaya 20 годин тому

    Jemedali aongelei mtu yeye anaongelea mpila

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra День тому

    Kuhusu takwimu, wataalamu wanasema, statistics is like a bikini, what they reveal is suggestive but what they conceal is vital.

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 День тому

    SHIDA YA WACHAMBUZI WETU SIJUI AKILI ZENU HUWA ZINAFANYA KAZI GANI YA KUFIKIRIA NJE YA BOX....
    KWANI ELIE MPANZU ALIKUJA SIMBA SC KAMA NANI.. NA NI NINI MAJUKUMU YAKE !? IKIWA KOCHA ANAMUAMINI.. NA ANAJUA NINI ANAFANYA NYIE WASAKA TONGE NI KINA NANI ?
    ACHENI KUJIDHARAULISHA KWENYE MAPINDI YENU YA REDIO...

  • @Philosophy219
    @Philosophy219 День тому

    Hakuna wachambuzi hapa?

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu День тому

    Mnamuandama Ahua kwani anacho kifanya hamkioni kwani Chama alikua anakaba 😂wachambuzi hovyo kabisa

    • @GloryMapunda
      @GloryMapunda День тому

      Kwanza uyo chauma kafanya nini alipo kwenda

    • @hamzaibrahimu
      @hamzaibrahimu День тому

      @GloryMapunda si ndio hapo siku hizi kila mtu mchambuzi hovyo kabisa mpira hawajui wanaropoka tu

  • @appetizertz3106
    @appetizertz3106 День тому

    Shida ya waandishi wengi wa habari na wachambuzi bongo ni form four felia

  • @ShedrackAndrea-x1k
    @ShedrackAndrea-x1k День тому

    Mpanzu ni balaa tuache utani

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 День тому

    Wabongo bhana mtu ndio kwanza ameanza ulitaka afanye muujiza ambao hata mama ako mzazi awezi fanya stupid

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 День тому

    Upuuzi mtupu hamna wachambuzi hapa

  • @AbtwalibuChepa
    @AbtwalibuChepa День тому +1

    mnajarobu kuwatoa watu mchezoni iyo tunaijua iyo wafanya biashara

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 День тому +3

    Huyo HAWA ni mbovu siku yake mtanishukuru

    • @mozahsalum8882
      @mozahsalum8882 День тому

      Tupe fact why mbovu?

    • @HamicKauno255
      @HamicKauno255 День тому

      @mozahsalum8882 Hana work rate kubwa uwanjan halaf mzito anaonekana kwenye mipira ya kutenga tu ni mchezaji wa kawaida sana

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 День тому

      ​@@HamicKauno255😂😂
      Wewe Hamida hapo simba hakuna Hawa wala Asha

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 День тому

      Hawa ndo nani

    • @ChalomeJunior
      @ChalomeJunior 23 години тому

      Hamida? 😂😂😂😂😂😂😂