SEMAJI AUNGURUMA LIVE WASAFI KUHUSU USAJILI/ JOSHUA MUTALE ATAJWA/ KUIFUATA BRAVOS TAREHE TISA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 15 годин тому +4

    Huyu Jamaa anajua sana kuongea ukilinganisha na yule mwenzake

  • @OshtakiLikangaga
    @OshtakiLikangaga 13 годин тому +1

    Wapunguze na Baki pass, bravo kwao ni wakali sana.

  • @HussenMzibe
    @HussenMzibe 13 годин тому +3

    Mungu ibariki simba yetu

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 11 годин тому +2

    Simba nguvu moja

  • @DullahMsafi
    @DullahMsafi 16 годин тому +4

    Simba nguvu moja...mungu ni mwema

  • @msabilamhozya
    @msabilamhozya 11 годин тому +1

    Chama la.nguvu kabisa

  • @mwitajohn4882
    @mwitajohn4882 9 годин тому +1

    Mtale anahitaji maombi tu jamani

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 6 годин тому +1

    Kushinda kwa Bravo, Simba beki yake ipunguze makosa sana maana straiker ya Bravo nyumbani ni hatari mno.

  • @innoinnovative7730
    @innoinnovative7730 14 годин тому +3

    Al hilal vs YANGA 2-0
    Mc algers vs alhilal alihilal alipata usind kwa mc algers

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 23 години тому +3

    MABEKI WA SIMBA MUWE MAKINI KULINDA LANGO LENU.

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 20 годин тому +4

    Ni waambie Simba wenzangu ili kushinda na kuingia robo fainali tujipange kushinda mechi ya Bravos

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 15 годин тому +1

      Hilo lipo wazi kabisa rafiki. Baada ya Constantine kuifunga Bravos, mambo yamekuwa magumu

  • @SYLIVERIOKILIMILA
    @SYLIVERIOKILIMILA 15 годин тому +2

    No waarabu tuna wachapa kwa mkapa

  • @mustafakimalio9129
    @mustafakimalio9129 11 годин тому +1

    Cs Constantine alishiinda nae

  • @JestonMwaisaka-t3m
    @JestonMwaisaka-t3m 10 годин тому +1

    Mtale bado anaifaa simba swala ni muda tu!!!!!

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 15 годин тому +4

    Al Hilal naye si alipata ushindi Ugenini dhidi ya Yanga?

    • @emanuellameck-nj8nv
      @emanuellameck-nj8nv 2 години тому

      Hao wako club bingwa Ahmed anaongelea shirikisho

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 Годину тому

      @emanuellameck-nj8nv nimesikia km amesema kwenye Mashindano ya CAF kumbe ni CAF CC