MIRAJI AVIMBISHWA KICHWA NA PASI YA CHEMALONE|MECHI YA KAMA TUNAENDA KWENYE SIMBA DAYTU|POINT 3 BORA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 97

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 16 днів тому +10

    Best football analysis Miraj and chagamba,. Congratulations SIMBA, 3 important away points in North Africa, wow! What an achievement, Andriy Shevchenko Ballon d'or winner 2004 playing for AC MILAN.

  • @idrisatembo4799
    @idrisatembo4799 16 днів тому +8

    Wa kwanza leo nipeni like zangu

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 16 днів тому

    Mwanangu Miraji Unajua sana mpira, Haupagawi na matokeo Unaangalia mpira kiufundi na unaongea FACT nyingi za kiufundi.. BIG UP MIRAJI 🎉🎉🎉🎉❤🌹🌷🌷👍🙌

  • @rehemambwanji3883
    @rehemambwanji3883 16 днів тому +1

    Hongera sana simba

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 16 днів тому +7

    M napenda miraji anavokupiga mabega chagamba

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 16 днів тому +2

    Me jana nimefurahi sana

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 16 днів тому

    Nkubali miraji and chagamba

  • @MagrathMgwesa
    @MagrathMgwesa 16 днів тому

    Chagamba miraji uchambuzi bora sana.

  • @falajijuma-f2m
    @falajijuma-f2m 16 днів тому

    Miraji naomba naba ay mzz saidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 16 днів тому

    Amina yarabilaalamin

  • @mwindadkheir7852
    @mwindadkheir7852 11 днів тому

    Kaka Miraji nakufuatilia sana kwenye hii mambo ila fabrice Ngoma pass zake mara nyingi hana uhakika na anakopeleka mpira wake. Binafsi nashanga mwaalimu hapendi kumuanzisha Debora wakati ana nishati ya kutosha

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 15 днів тому

    Sawa finest family 😂😊

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 16 днів тому

    🦁🏆💪💪💪💪💪🙏🙏

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 16 днів тому +1

    Mechi ngumu Sana Sisi na bravo tunaitaiji kupambana Sana kufa kupona

    • @Mumlion2624
      @Mumlion2624 16 днів тому

      Kweli tupambane tupate sare au ushindi itakua nzur kwetu

  • @AbdulkarimAlly-f4n
    @AbdulkarimAlly-f4n 16 днів тому

    Aisee ngoma anaubonda sana

  • @allymnyenye8109
    @allymnyenye8109 16 днів тому +1

    Ila jaman huu uchambuzi Chagamba na Miraji hua chagamba anafurahisha yaan ana vile vimaswali vya kumtia uwehu Miraj ... 😂😂😂 Ila miraj Ana kitu cha tatu wakati akitizama mpira coz wote tunatizama ila yeye anatizma kielimu ya juu mnoo na huyo ndo mchambuzi Bora !!! Nataman kuona Tuzo kwa hawa wachambuzi wenye uelewa mkubwa ...

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 16 днів тому

    Kwanza nianze na Mungu kutupa uzima cha pili ndugu zangu chagamba&maramoja pamoja sana

  • @StarBoyEmpire
    @StarBoyEmpire 16 днів тому

    Mzee said ni mnafiki sana alisema simba haiwez kushinda ugenini 😅

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 16 днів тому

    Miraji Jana nilikuona kweny TV uko uwanjan unashuhudia 🏀

  • @thinotigern2091
    @thinotigern2091 15 днів тому +1

    MIRAJI anamtaja kibisawala huyu mchezaji niyuli au mimi namjuwa kwajina gani, naomba mnifahamishe ninani huyu

  • @AlphaAlpha-k6d
    @AlphaAlpha-k6d 16 днів тому +1

    Mi wa pili

  • @Nicky_ali_371
    @Nicky_ali_371 15 днів тому

    Mawanng chagamba hilo bega hua unalichoma sindano ya ganzi nn maan miraji hajawai kuliacha salama 😂😅😅

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 15 днів тому

    jean Charles ahoua apew maua yk

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 16 днів тому

    Mzee said mbna atumuoni

  • @dumabagame3901
    @dumabagame3901 16 днів тому

    Mzee Said katukanwa sana na Gb 64 so kasusa

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 15 днів тому

    ikwilili hapa milaji chagamba

  • @rashiedmasoud1324
    @rashiedmasoud1324 16 днів тому

    Nani aliefikiria kwamba Debora Fernandez ataanzia benchi na simba itafanya vizuri annyooshe mkono juu!!

  • @kombadenis2906
    @kombadenis2906 16 днів тому

    Sheva mwenyewe

  • @fadhilimasud-mb9nk
    @fadhilimasud-mb9nk 16 днів тому

    Sana kakaka

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 15 днів тому

    Miraji kwa nn huachi hiyo tabia ya kuwapiga makofi waandishi wakikuhoji, awe mwanaume au mwanamke lazima utie makofi kwny mabega yake

  • @ignatiuskaishe34
    @ignatiuskaishe34 16 днів тому

    Mwambie Miraji hizo jumanne aziongee kwa Simba sio Yanga, tunza risiti

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 16 днів тому

    Kumbuka Jana hapakuwa na mashabiki ndo maana Che Malone hakufanya mizaha yake

  • @luckiestmeckson2222
    @luckiestmeckson2222 16 днів тому

    Bro unakwama wapi mbona mzeee Said umemsusa sikuhizi tuletee mzeee side

  • @SechumaSempoy
    @SechumaSempoy 16 днів тому

    Timu.inajitafuta ikijipata.yangahawaingizi timu

  • @sophiaruvuza7819
    @sophiaruvuza7819 16 днів тому

    Mzee saidi Yuko wapi chagamba unatukosea mno

  • @jmoojamal950
    @jmoojamal950 16 днів тому +1

    Mzee saidi tuhojie

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 16 днів тому

      Mzee said anauguliwa na babake mzazi. Namba ilitolewa achangiwe

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 16 днів тому

    Wakati miraji deli anasema anabet kubet siwez kuamin kama hatobetia pesa huyu kila siku anachungulia hela ngap zinaingia

  • @isaacbywell7081
    @isaacbywell7081 16 днів тому +1

    Hivi Chagamba Hua hupati maumivi ukiwa na Miraji anavyokupiga hilo bega maana jamaa anapiga kweli kweli

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 16 днів тому

      😂😂😂hasikiagi chochote kwasababu ya vaibu analopewa na mwamba

  • @KilapayaIbuni
    @KilapayaIbuni 16 днів тому +1

    Makundi yote ni magumu!

  • @kerourealy2566
    @kerourealy2566 16 днів тому

    Mzee said yuko wap

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 16 днів тому +1

    GOLI MOJA LA SIMBA.THAMANI YAKE KUBWA KULIKO GOLI 10 ZA YANGA

  • @HusnaNyakundi
    @HusnaNyakundi 16 днів тому

    Unamuumiza mwenzako kumpiga bega daah uwez ongea bila kupiga mzeee

  • @MarianoMantula
    @MarianoMantula 16 днів тому

    changamba matangazo mengi xn

  • @AminaIssa-c5l
    @AminaIssa-c5l 16 днів тому +1

    Chagamba wadau wko unatuwangusha Kwa mzee said vp

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 16 днів тому

    nilikuwa nawasubiri vibaya mnoo wataalamu 😂😂😂

  • @JacksonMwenda-x8m
    @JacksonMwenda-x8m 16 днів тому

    Chagamba mi nashauli; mnavyo ongelea tukio husika kuwe na marudio ya tukio husika kama ni goli au pasi basi ziwekeni mkiendelea kuongea

  • @knovael-h9d
    @knovael-h9d 16 днів тому +1

    Mzee said yuko wp

  • @GodfreyMoshi-w3i
    @GodfreyMoshi-w3i 16 днів тому

    Kwani hayo makofi huwa hayaumi?

  • @LobongaSaidi-d6l
    @LobongaSaidi-d6l 16 днів тому +1

    Mbona atumuoni ?

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 16 днів тому

    MUNGU NI MWEMA, TUSUBIRI

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 16 днів тому

    Miraji michango anataka akabetie dah ikiwa michango anapewa miraji lazma anafaidika miraji bora chagamba anaaonekana anaimani dah mm sijatoa ingekuwa moja kwa moja hela inaenda kwa mzee said ningetuma elf 50000 ila siwez tuma pesa ikaingia kwa miraji sio lengo😊

    • @IbraMwakipesile
      @IbraMwakipesile 16 днів тому

      Haya sio maneno mazuri kabisa rekebisha kaulii

  • @MrishoSimba
    @MrishoSimba 16 днів тому

    Sasa Unashauri...Unashangaa... au Una Dhihaki?
    Kwanza Unauliza Huo Mchango Unetoa?

  • @SechumaSempoy
    @SechumaSempoy 16 днів тому

    Chagamba.inabidi.umezepanado.siokwakipigohicho.chamabega

  • @ahmedburhan5104
    @ahmedburhan5104 16 днів тому +8

    USHAUR. WANGU MZEE SAID ANAUGUZA BABA YAKE. ILA NASHANGAA KWANN MICHANGO TUNAMPA MIRAJI KWA SIMU YAKE WAKAT MZEE SAID ANASIMU YA MKONON? HAMUON HAMPO SAWA HAPO? TUACHE USWAH

    • @hamadisalehe4566
      @hamadisalehe4566 16 днів тому +10

      Aliyetupa taarifa ya mzee said nani? Siyo kila kitu cha kucomment watu wana matatizo sasa usiongeze tatizo hawa wamejitolea kusaidia ndio maana wametushilikisha familia

    • @ahmedburhan5104
      @ahmedburhan5104 16 днів тому +2

      @hamadisalehe4566 kwan wewe unakasirika kwa lipi au mzee side sis ni mara yakwanza kumpa kitu?
      Kwan lazima apewe miraji km mzee said angekuwa hana acount yeyote hapo sawa. Lkn anayo. Mbn chagamba hajasema tumpe?

    • @bonithaburchard8564
      @bonithaburchard8564 16 днів тому

      Ninavyoona mm ukiweza mtumie Mzee saidi moja kwa moja na wale watakaoona inafaa zitumwe kwa miraji hili ziwasilishwe kwa pamoja pia wafanye hivyo​@@ahmedburhan5104

    • @AgnessMalile
      @AgnessMalile 16 днів тому +5

      Huyu ni kiongozi katka kijiwe Chao ndio maana kwenye michango yote huwa anachangisha kwa jjna lake

    • @ahmedburhan5104
      @ahmedburhan5104 16 днів тому +1

      @AgnessMalile swal lng mzee said hana acount au ile ambayo tumtumiaga chochote imekufa? Nakwann unang'ang'ania hili shida ipo wap? Hata mm mzee said ni mzee wangu pia

  • @Tee-King
    @Tee-King 16 днів тому +1

    Ateba ile sio kamaanisha 😂😂😂 ile bahat mbaya alitaka apige kanzu ndio bahat mbaya ikadondika pale.

    • @ShaabanJuma-s3z
      @ShaabanJuma-s3z 16 днів тому +1

      Ile alikuwa haipati tena ateba ilikuwa kubwa sana

    • @fatumasophu5855
      @fatumasophu5855 16 днів тому +1

      Kikubwa inahesabika ni assist kutoka kwa ateba uwe bahti mbaya au makusudi haituhusu congratulation to Leonel mbida atebaaaa

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 16 днів тому +2

      Kabisa ilikuwa ni apige kanzu mtu daah mastrikers simba bado hatuna

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 16 днів тому +1

      Kwakuwa alikuwa anacheza na wenzake ,hatua ya kwanza ilikuwa ni kuutoa mpira kwa adui mengine yaendelee

  • @abdalahhassan5759
    @abdalahhassan5759 16 днів тому

    Bado sikukubal we unauyanga yanga we ni bendera milaji

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 16 днів тому

      Miraji sio yanga nakupinga kabisa 100%

  • @AbdulkarimAlly-f4n
    @AbdulkarimAlly-f4n 16 днів тому +2

    Aisee ngoma anaubonda sana

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 16 днів тому

    Alhmdhulillah

  • @AlphaAlpha-k6d
    @AlphaAlpha-k6d 16 днів тому +2

    Mi wa pili