MFAUME AMJIBU MWAKINYO KIUME SANA/ MWAMBIENI AACHE TAARABU NAMTAMANI HATA KESHO/MANARA KAMALIZA KAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лип 2023
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 207

  • @user-xe1yx7ik2m
    @user-xe1yx7ik2m Рік тому +9

    Namuheshimu sana mfaume ila pale kwa Mwakinyo asijichanganye atapigwa kama ngoma yule mdigo usoni bisho ila sio poa.😂😂😂😂

  • @saidimkome3818
    @saidimkome3818 Рік тому +8

    Mwakinyo anamdomo kweli sema mfaume uwezi kucheza na mwakinyo

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +2

    Mfaume ni bondia mwenye maadili sana na mstarabu sana ndio mana ana pendwa sana na rika zote

  • @paulngash683
    @paulngash683 11 місяців тому

    Mimi ni sabiki ya mfaume mfaume ,nikiwa Kenya na ata saii Niko Qatar, king wameze ndawa ata kama ni Kali make sure 💪

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +2

    Leo mzee umejimimina kinoma
    Mzee duh hatari mzee
    Hassan umepoteza heshima yako
    Kinomaaa ulivyo poteza na withimisi

  • @adambakule7066
    @adambakule7066 Рік тому +2

    Wewe achana na mwakinyo atakuuwa una maneno mengi ila umeshuka sana kiwango

  • @GivenTobago
    @GivenTobago Рік тому +1

    mangumi ya mwakinyo ni ya kizamani hajui boxing ni choko tu mfaume bingwa

  • @CharlesNdege-om5oe
    @CharlesNdege-om5oe Рік тому +1

    Mwambie huyooo, mvaa vikuku🤣🤣🤣

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Рік тому +1

    Mfaume wew na haji ni mashoga Tena mnaliwa mikundu Tena mnataka kiki kupitia mwakinyo uyo shoga haji alimchokoza mwakinyo akirudishiwa anatafuta huruma haji anataka huruma kwaio wew mfaume ni msenge tu mnataka kiki kupitia mwakinyo kwenda wasenge tu

  • @BINRESAMUSTAFA-qd8ex
    @BINRESAMUSTAFA-qd8ex Рік тому +1

    Goooooood mfaume mpakazie fala mvaaa vikuku wa tanga nguruwe yule Maneno mengi hana jipya mbwa tu

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 Рік тому +2

    Acha tantalala ww humuwez Mwakinyo

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 Рік тому +2

    Wewe umuwezi yule mwamba cheza uko mabibo yule ni mwamba na ana njaa

  • @geofreymwamakula7178
    @geofreymwamakula7178 7 місяців тому

    Mfaume anajua sana kuongea kwenye interview...yaan anaongea boxing asilia ya uswahilini hadi raha kumsikiliza...kuhusu kupigana sijui mwenyewe...

  • @malikbhia1147
    @malikbhia1147 Рік тому +1

    Umeongeza shabiki mwingine hapa 💪🥊🥊🥊

  • @mudybeka6698
    @mudybeka6698 Рік тому +2

    Mwikinyo anawaita watu gym ili baadae aseme kafanyiwa fujo mazoezin.....mfame,kiduku,kidunda,Ibrahim nawengine mnao jielewa nawapa respect inanizam ya boxing ...achaneni nimtu asiekua na nidham

  • @AhmedAli-ur3uc
    @AhmedAli-ur3uc Рік тому

    Mfaumeeee badooo saana ilaaa mwakinyoooo humuweziii sio level zako kabisaaaaaa ww tengeneza profile ndipo upigane na mwakinyooooo yambavuuuu

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 Рік тому +2

    Nakubali mwamba

  • @user-gj2lu1mh2f
    @user-gj2lu1mh2f Рік тому +1

    Nakukubali mfaume kauli mzur

  • @HamiduMohamedi
    @HamiduMohamedi Рік тому +1

    We humuwezi mwakinyo usijiteteee mzee mapambano yako unabebwa tu

  • @nassorrashidynassorrashidy7272

    Awezi acheze na watoto wenzake

  • @edgarnestory8466
    @edgarnestory8466 Рік тому +2

    Hajui ngumi shoga moja la mabibo😂😂

  • @salimmtanga8230
    @salimmtanga8230 Рік тому

    Kibongo 2 mwakinyo hawamwez weng wao maneno acheni maneno mletewe mabondia

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 Рік тому +2

    Apo kweli mwakinyo mwakinyo anataka sifa nakujionesha lkn kisawa ilekweli ngumi nizakuotea

  • @franciskobelo
    @franciskobelo Рік тому +1

    Mwamba huyo nakukubali sana umenyooka sana%

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 Рік тому +1

    Mfaume mininaamini mwakinyo anaweza kukupiga kamangoma

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Рік тому

    Champez one time hassan mwakinyo hyu ndo kiboko yenu for evrthng kipesa hammuwezi kingumi hammuwez

  • @user-nn5ut6uc1l
    @user-nn5ut6uc1l Рік тому +1

    Wewe acha uongo humuwezi mwakinyo

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Рік тому +2

    Kujaza nini pigana nae anakupiga na anakufira pia

  • @sixytntongambele3038
    @sixytntongambele3038 Рік тому +1

    Bwana wee ngumi unaweza na mwakinyo anaongea ndio na ukweli nikwamba huwezi kupigana nae utaleta sababu za uzito nje hamwend mnataman kuharibu karia za walio jitafuta awali uwezo wako tunauon we pigan na wale madogo wa jeshin na akina classic kinyo atakuuwa brother tunawapenda lkn jitaften tuuh

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 Рік тому +1

    Nyota 5 yule w huna ana nyota moja w mchumba to kwake

  • @MichaelMagawa-xn2ht
    @MichaelMagawa-xn2ht Рік тому +3

    MM NAKWAMBIA NENDA

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 Рік тому +3

    Mwakinyo mwamba sana

  • @GodfreyMyombe-jc3ry
    @GodfreyMyombe-jc3ry Рік тому

    Ulaya haipo hiyo mnatukanana tu jmn TANZANIA

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 Рік тому +1

    Mabondia wa bongo wivu mwingi sana

  • @omarycheyo5534
    @omarycheyo5534 Рік тому +2

    Kama mchezo wa ngumi unauweza yeye amesema round sh.laki 5 si uwende

    • @mohamediabdalah7650
      @mohamediabdalah7650 Рік тому

      Anasema kajopanga nawenzake nayeye achukuwe wenzake waende anachelewatu anaonekana muoga

  • @salehattas5166
    @salehattas5166 Рік тому +1

    Hawamuwezi kinyo

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 Рік тому +3

    Sasa nenda basi masaki c ni apo tu kwann umvamie kwenye kupima

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 Рік тому

      Mpuuzi wewe kesi ya manara na mwakinyo wewe unawashwa nini? Umefika wapi kwen gumi Duniani hujulikani unajta mapafu yambwa bc wewe Niharamu kabissa😂😂😂

  • @chrissimbeye208
    @chrissimbeye208 Рік тому

    Mfaume bado watoto kwa mwakinyo atakuua mwakinyo

  • @mduduonline8116
    @mduduonline8116 Рік тому

    Bondia anavaa kikuku

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 Рік тому +1

    Msema kweli mapafu ya mbwa salunti sana nakonzi boksa havai kikukuu 😅😅

  • @SheitumuDokodoko
    @SheitumuDokodoko Рік тому

    Mfaume Mimi mshabiki wako achana na kujibishana na huyu mwehu asiyejijua huyo.

  • @SelemanMiyonga-oe4ck
    @SelemanMiyonga-oe4ck Рік тому +1

    Kweli tupo wengi mashabiki wko mfaume

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 Рік тому

    Mapafu ya mbwaaaaa🔥🔥🔥🔥💪💪💪👊👊

  • @SaeedMughayyar-jv8et
    @SaeedMughayyar-jv8et Рік тому

    Mabondia wa tz wanamtaka mwakinyo ili wamfanye ngazi ya kufika juu na kutambukika zaid. Minyaneni wenyew bhana wacheni upuuzi😂😂

  • @jeffyasin2977
    @jeffyasin2977 Рік тому

    Namuonaga hapa mabibo makaburini na coacher wake

  • @darriders5130
    @darriders5130 Рік тому +1

    Usijaribu kaka kucheza na mdigo yule, ATAKUKANDA MBAYA

    • @abdulnasuma9729
      @abdulnasuma9729 Рік тому

      Achaneni na mvaa vikuku .. hana ata rafiki kwaiyo mambondia wote wabaya? Kwake ....

  • @SuleimanOmar-uc8hd
    @SuleimanOmar-uc8hd Рік тому +1

    Jaman masaki siyo mbalii

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Рік тому

    Mfaume unajua kuongea sannah

  • @deogratius1272
    @deogratius1272 Рік тому

    Mdogo wangu kabisa kitaa Ila anachoongea ni understand huwezi kuwazalilisha wanaume wenzako mwakinyo amekosea Sana halafu mwenzie mfaume Hadi mpira alikuwa yupo vizuri Sana namba tisa sodo siyo powah mdogo wangu atafika mbali coz nidhamu anayo Mabibo stand up.

  • @karimwaziri2370
    @karimwaziri2370 Рік тому

    Wewe humuwezi mwakinywa unapigwa kama umesimama,mwezio akikuzidi kubali ujifunze mwakinywa yukombali tofauti nawengi bongo.unaongeaongea unabebwabebwa tu.hawezi kupigana na bondia kama wew yule kaza nawew ufike hatuanzuri acha ujinga badirika

  • @EmanuelisamweliMndolwa-bu4tj
    @EmanuelisamweliMndolwa-bu4tj Рік тому +4

    Ashaogopa hio ni ofa imetoka nenda mfaume ukapasuke

    • @joetheone3354
      @joetheone3354 Рік тому

      Ngumi zinachezwa Ulingoni hizo sparing ndiyo upuuzi gan sijawahi sikia bondia anakimbia ulingo anataka gym😂😂mwambieni Mwakinyo Ulingo upo wanaume waoneshane siyo taarabu

    • @sopetermassawe5703
      @sopetermassawe5703 Рік тому

      Mfaume huna lolote ww ni bondia wa kawaida saana saaana achan namwakinyo

  • @tegebdimarco3432
    @tegebdimarco3432 Рік тому

    Nenda babu acha maneno kenge wew 😂😂😂😂

  • @husseinkakanga2699
    @husseinkakanga2699 Рік тому

    Mmh!! Uende basi jamani mbona maneno mengi

  • @DgGggh-cp1vp
    @DgGggh-cp1vp Рік тому +1

    We mvaa vikuku Acha Kelele😆😆😆

  • @eddymwaifunga8361
    @eddymwaifunga8361 Рік тому

    P1 champion mfaume mfaume

  • @SalimChambo-mm7qr
    @SalimChambo-mm7qr Рік тому

    Mbona nyie kila siku mnapambana kumuongelea mwakinyo

  • @albertmullah2377
    @albertmullah2377 Рік тому +1

    Mwakinyo anajijua yeye ni brand kubwa ndo mana hawa jamaa wanajigonga.. aende masaki 😂

  • @MuuminSuleiman-cr5pr
    @MuuminSuleiman-cr5pr Рік тому +1

    Lakin huyu mapafu ya mende si aliitwa na mifupa ya sokwe gym mbona hukuenda !???? Huyo mfaume mende kweli

  • @stevenkimaro65
    @stevenkimaro65 Рік тому

    Mfaume champion

  • @abdimakame7929
    @abdimakame7929 Рік тому +1

    Mfaume Mfaume wewe ni choko tu.

  • @user-yt6un3xh6x
    @user-yt6un3xh6x Рік тому

    Wa lahi wewe mfaume usisubutu kwenda masaki angalia maisha yako ukienda masaki umeyakanyaga umuwezi mdigo hasan mjui alivyo atakuuwa shoolizako

  • @PillyHassani-pb6ny
    @PillyHassani-pb6ny Рік тому

    Mwakinyo mnamchokoza wenyewe

  • @user-rr8vw1xz5w
    @user-rr8vw1xz5w Рік тому +1

    Mwambie aende masaki jamaa yupo

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Рік тому +2

    Ajipendekeze mmoja wenu aende tuje kusikia kafa huko.😂😂😂 Mwakinyo yuko mbali sana acheni ujinga

  • @bdmbega1423
    @bdmbega1423 Рік тому +2

    Mfate ameshawaita acha kelele.

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 Рік тому

    Wewe humuezi mwakinyo mdomo tu unao na wivu unakusumbua Yule mkubwa kakuzdi kama unaweza omba pambano nae akupige Hilo bichwa

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 Рік тому

    kiukwel mwakinyo amejitolea thaman ktk bondia wenzie Tanzania

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Рік тому +1

    Mfaume kwamba anataka pambano na Mwakinyo?

  • @law93king
    @law93king Рік тому +1

    mapafu ya mbwaaa🙌

  • @hassanimbwana3758
    @hassanimbwana3758 Рік тому +1

    kwani masaki mbali mfaume

  • @user-sp2fm4qd2h
    @user-sp2fm4qd2h Рік тому +1

    inawezekana wakacheza ?....au ni uzito tofauti?

  • @MohamedKimbwembwe
    @MohamedKimbwembwe Рік тому +2

    Inaonyesha mwakinyo ni Bora zaidi maana woote Wana mtaka awape Kiki awajulikani mpaka wamtaje yy

  • @adinanimohamed895
    @adinanimohamed895 Рік тому

    Wewe humuwezi mwakinyo fala ww

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Рік тому

    Huna lolote mbwa wew kaliwe tu unatafuta bwana wew mbwa hujulikani huna lolote mm sio shabiki wa shoga wew mwakinyo baba lao humuezi mwakinyo

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 Рік тому

    Mwakinyo anataka sparing na sio maneno kwa mitandao,si alisema yeye atalipa bondia yoyote atakaejitokeza,sasa mbona mapafu ya tausi unaendelea kelele??nenda gym na ueke sparing tu

  • @mohamedchenge9440
    @mohamedchenge9440 Рік тому

    Punguza maneno Ninjaaawewe ni inge moja la boxer ...nenda uka prove basi kashatoa nafasi mbona mnakua kma mnaogopaaaa?????

  • @AwadhiHemedi-vl5ri
    @AwadhiHemedi-vl5ri Рік тому +1

    yaniwewe mfaume unalopoka lopokatu hataaaibu huna unabebwa tunaona mwakinyo anapigana kwaaakili nanangumi nzito sokama wewe nenda ukapigane napendonjau mfaume ndolevo zako mfaume kwanza unaletewa mabondia wazee unabebwa sana

  • @titosammbembat2313
    @titosammbembat2313 Рік тому +1

    Mwakinyo takataka

  • @KawezaSeleman-zs6ng
    @KawezaSeleman-zs6ng Рік тому +3

    Mwakinyo muoga Sana hivi pambano na wenzio wanacheza muda wowote wewe hutaki unataka sparing yanini

    • @edwardmaguluko6541
      @edwardmaguluko6541 Рік тому +1

      Hao ambao sio waoga Mwakinyo kawaita waende wakacheze round 10 huyo MFAUME tunaangalia mapambano yake hana kitu Twaha kiduku hana kitu

    • @SingoMedia
      @SingoMedia Рік тому

      @@edwardmaguluko6541 vipi kuhusu Kidunda?

    • @fj8317
      @fj8317 Рік тому +1

      @@SingoMedia wewe naye fatilia ngumi kidunda uzito tofauti

  • @azeezmawled5830
    @azeezmawled5830 Рік тому

    Nenda ukajifunze kule alipowaita

  • @amrimadunda7821
    @amrimadunda7821 Рік тому +2

    Nenda Kaka ukapasuke Unaongea Sana siundee

  • @yusuphmatepu2574
    @yusuphmatepu2574 Рік тому

    Muongo bana maneno mengi

  • @GodfreyMyombe-jc3ry
    @GodfreyMyombe-jc3ry Рік тому

    Uwa sikuelewi

  • @samsonnyihita3985
    @samsonnyihita3985 Рік тому

    Acha hizo kaka mqakinyo mwamba humuwezi alipofikia na wewe vitu 2 tofauti acha hizo

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 Рік тому

    Changishaneni muweke hyo pesa apande. Ww hupigan ngumii wapiga ngumi wapo wawil tu Tz

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 Рік тому +2

    Mfaume bondia wa kawaida sana asijifananishe na mwakinyo kama ni waganga ndo wanampa kiburi awe nao makini dawa huwa zinazidiana ogopa mwakinyo hataree

  • @simonitolya8029
    @simonitolya8029 Рік тому

    Mchane bishooo huyo

  • @SaeedMughayyar-jv8et
    @SaeedMughayyar-jv8et Рік тому

    Mabondia wa bongo mnatakiwa mumuheshimu sana hassan mwakinyo. Katangaza tanzania na kaupatia jina mchezo wangumi tanzania kujulikana duniani huko, mbwa nyie 😂😂😂

  • @user-bj3ep5kc1u
    @user-bj3ep5kc1u Рік тому

    Wewe,mwehu,mwakinyo,mnamchokoza wenyewe,yule,ni,staa,mfuate,akupasue,kuku,ww

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw Рік тому

    huna uwezo wa mwakinyo

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 Рік тому

    Nimegundua mabondia hamna umoja wa kusapotiana .eti unachezea simu ili tu usiangalie...rudini pamoja

  • @SilvesterRaphael-xb6it
    @SilvesterRaphael-xb6it Рік тому

    Huwezi pigana na mwakinyo wew dogo acha zarau za kisenge

  • @odjeey5074
    @odjeey5074 Рік тому

    Mfaume mulize Hassan anamjua Joshua clottey

  • @MichaelMagawa-xn2ht
    @MichaelMagawa-xn2ht Рік тому +1

    NENDA MFAUME UKAONE

  • @stivepeter8054
    @stivepeter8054 Рік тому

    Sijajua kwa nini ila huyu mwamba huwa simuelewi kabisaa

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 Рік тому +1

    Unaogopa auna lolote pesa kaweka

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z Рік тому

    Mabondia wa kibongo saivi wamekua kama wainba taarab

  • @user-nn5ut6uc1l
    @user-nn5ut6uc1l Рік тому +1

    Nenda ukafe Kaka Yule atakuuwa namjua sawa

    • @DUL69
      @DUL69 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣

  • @officialnyikarappa6160
    @officialnyikarappa6160 Рік тому +1

    Acha uwongo wewe umekaa uwoga tu

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Рік тому

    Aisee nyie.
    Mwakinyo anawapiga mpaka kwa maneno.
    Mpeni mauwa yake Mwakinyo next level.
    Hajawakataa ila itapobidi fikieni levo zake.
    Ila yote kwa yote kama aitoshi yupo masaki na kawakaribisha kwa sababu kimtazamo inaonekana hamuwezi mfikia kule.
    Na kuhusu mashabiki mwakinyo ana wengi sana.
    Ukitaka kuhakiki fuatilia kometi