DAAH HASSAN MWAKINYO AMJIBU TWAHA KIDUKU "NYIE BADO SANA HAMNIWEZI " AMTAJA MFAUME MFAUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @edyedy3391
    @edyedy3391 Рік тому +2

    Safi sana bro tuko pamoja nawe M/Mungu akulinde

  • @selekijazi4310
    @selekijazi4310 Рік тому +2

    Safi sana mwamba unacho unacho sema ndio uhalisia na huo ndio msingi wa mtuu anae jiamini ndugu yetu champezzz hakuna bondia hapa nchini wa kufanana na wewe Kama Kuna mtuu anabisha ayakanyage Tanga tunalinga sana na wewe mungu akujalie achana na huyo mapafu ya panzi ni mwimba taarabu

  • @IddyMangwela
    @IddyMangwela Рік тому +2

    W bondia mzuri tatizo una maneno ya kike sana, wanaume hatupo hvyo

    • @jamalisebarua9594
      @jamalisebarua9594 Рік тому +1

      Maneno yakike nikama yapi ndugu tuwambie

    • @thadeusmahendeka4466
      @thadeusmahendeka4466 Рік тому

      Unamfahamu Mohammed Ali? Unafahamu kwamba alikua anaongea maneno ya shombo enzi za ujana wake wa ngumi? E
      ifike pahala sasa muelewe hizi ni ngumi na ngumi kuwa na maneno ya shombo ni sahihi kabisa.

  • @KhalifaMbeteni
    @KhalifaMbeteni 6 місяців тому

    Wewe ndio Tanzania one

  • @nuhumabenanuhu2989
    @nuhumabenanuhu2989 Рік тому +1

    Sawa sawa kaka nakubali

  • @ramadhanirashidi4175
    @ramadhanirashidi4175 Рік тому +2

    Nakubali unajiamini sana na huna hofu na mtu

  • @BON357
    @BON357 Рік тому +1

    Mbona uyu mwakinyo uweleki

  • @BON357
    @BON357 Рік тому +2

    Msambaa akipata

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 13 днів тому

    VIAZI😂😂😂😂😂😂😂 YAAN VIAZIIIIIII😂😂😂

  • @FrankTadei-dm5he
    @FrankTadei-dm5he Рік тому +1

    Ww mwakinyo sisi atutajie ujekupigwa useme viatu vinanibana mshamba tu

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 9 місяців тому

    Waziri wa michezo ajae ni mwakinyo sa mwingine umemuona wapi ???

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 Рік тому +1

    Huna jipya vigelegele vingi tuu wewe kitumbuwa tuu zarau nyingi

  • @reginaldstephen7712
    @reginaldstephen7712 Рік тому +1

    Sasa ww mwakinyo unasema umesimama wakati umekaa.simama sasa

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 Рік тому +1

    Ulingoni unajitahid tatizo lako maneno mengi kama mtoto wa kike ulipigwa na kaonekana umepata jina baada ya kupewa mabondia ndizi mbona hutaki pambano,huna mafanikio zaidi ya kuwa muuza mgahawa

    • @jumahatibu9240
      @jumahatibu9240 Рік тому

      We unafanya kaz gan

    • @emmanuelnkwabi8610
      @emmanuelnkwabi8610 Рік тому

      @@jumahatibu9240 kama yako

    • @thadeusmahendeka4466
      @thadeusmahendeka4466 Рік тому

      Unamfahamu Muhammad Ali? Unafahamu kwamba alikua anaongea maneno ya shombo enzi za ujana wake wa ngumi?
      Ifike pahala sasa muelewe hizi ni ngumi na ngumi kuwa na maneno ya shombo ni sahihi kabisa.

    • @HashimSaidi-qd5dl
      @HashimSaidi-qd5dl Рік тому

      😂 kwani kakataa kupigana baasi! Si kawaambia waende Jiym watamkuta tena waende na waandishi wa habari

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 Рік тому

      Ndicho alichopewa naa mungu na anashukuruu mungu kamvisha.....sasaa wewe duuhhh..mwakinnyo pigaa kazi

  • @NgwaliMzee
    @NgwaliMzee Рік тому +1

    W usitukan watu

  • @ramadhanirashidi4175
    @ramadhanirashidi4175 Рік тому +1

    Hahahaha mapafu ya panya nani ana mjua

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 Рік тому +1

    Hom boy

  • @BON357
    @BON357 Рік тому +1

    Anazalau uyo msambaa

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +1

    Mvaa vikuku wewe tarabu nyingi vitendo ziro fala wewe