KABWE| SIMBA WAMEAMUA YANGA WATAPIGWA NYINGI HAIJAWAI TOKEA WACHEZAJI HATARI ZAIDI NI HAWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @BarakaIsasi-vn5my
    @BarakaIsasi-vn5my 2 місяці тому +3

    Uko vzur bro😊

  • @NikolasPius-fk9fn
    @NikolasPius-fk9fn 2 місяці тому

    Kaka wewe nimtangazaji mzuli sana kazi njema

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому +3

    Ni wachambuzi wachache wanaoipa nafasi simba lakini Mnyama atawanyoosha wote hao inshaalah

  • @SakinaHassan-xc2in
    @SakinaHassan-xc2in 2 місяці тому

    Na nakuomba Allah aliyetuumba SISI akawazalilishe yanga kesho ili mjue kuwa siku zote mtegemeeni mungu sio kama tajiri peke yake ndio anaweza kuishi vizuri huenda masikini akaishi maisha mazuri kuliko tajiri Hilo hamlijui sasa mm namuonba Allah kwenye usiku huu kesho Simba akawe mshindi ili siku nyingine mjifunze msiangalie kitu Kwa macho tu muachieni Mungu ndiye ana uamuzi wa mechi hizo

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 2 місяці тому

    Nikwambie kitu kimoja kaka,kweli hao nyuma mwikomnawapakulia minyama lakin ujue kuwa simba kasajili wachezaji wanaojua mpira na wako speed mda wote sio wanajitafuta ni wachezaji ambao wanajua mpira kwahyo usikalilishwe sana kesho utakoga matusi.sasa nakuhakikishia kesho simba anashinda kwa asilimia mia moja

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 2 місяці тому

    Kwakweli wamekazania tu Simba na yanga hawa waandishi wanachangia kudhoofisha team ndogo

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 2 місяці тому

    Natamani ku foward masaa ya ende chap kufikia tarh,8 ili kerere izi ziishe make i'm disarpoitend kishenz

  • @SalmaChamy-tg4bo
    @SalmaChamy-tg4bo 2 місяці тому

    Endeleeni kuwa chawa hivyo hivyo lakini tunatoa angalizo tu.
    Msimchukulie simba poa.
    Maana hamumpi nafasi ila atawanyamazisha wachambuzi wengi inshalla

    • @abdisalim7900
      @abdisalim7900 2 місяці тому

      Simba ni Simba tu hata akiwa ameloa hawezi kuwa paka.Tusubiri dk 90

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 2 місяці тому

    Kwani wachezaji wa Simba ndiyo wanaanza kuingia uwanjani kesho?