DR. Barikiwa Sana. Naomba nieleweshwe, ziko aina ngapi za fiwi (kwasha). Kwetu ninakotoka, kwasha za kwetu ni mbegu nyeupe. Tena Kama ukivyosema, hazina thamani Wala hatuzipagi kipaumbele kabisa. Sana ili zilike kwa urahisi huwa tunazichanganya na mahindi ili kupikia makande. Hazinaga ladha nzuri. Je ndiyo hizo?
Mimi nipo dodoma uyu mama nafuatialiaga video zake sana nawezaje kuunganiswa naye jamani? anisaidie au naomba nipatiwe namba yake nitafurahi sana tafadhali kama inawezekana naomba namba yake. Nitashukuru sana

Nashukuru
Nimependa
Unatengenezaje maziwa ya fiwi nitengeneze
DR. Barikiwa Sana. Naomba nieleweshwe, ziko aina ngapi za fiwi (kwasha). Kwetu ninakotoka, kwasha za kwetu ni mbegu nyeupe. Tena Kama ukivyosema, hazina thamani Wala hatuzipagi kipaumbele kabisa. Sana ili zilike kwa urahisi huwa tunazichanganya na mahindi ili kupikia makande. Hazinaga ladha nzuri. Je ndiyo hizo?
Uko vizuri Doc
Naomba namba doctor
Nitaipataje hii mbegu ya fiwi
Elimu nzur,"kwa kiswahili fathaa vinaitwaje?
Namba za wtsp
Unayaloweka Kisha unasanga baada kumenya taste yake na mtindi inatengenezwaje baada ya process hizo
He ukiamua kupika fiwi hupati.virutubisho
Huku manyara simanjiro tunaita ngwara na soko lao kubwa liko nje lchi ya kenya
Good
Dr unachemsha kwanza ? Au unaloweka Kwa muda gani kwenye maji alafu unatoa maganda? Namaanisha unachemsha fiwi?
Mimi nipo dodoma uyu mama nafuatialiaga video zake sana nawezaje kuunganiswa naye jamani? anisaidie au naomba nipatiwe namba yake nitafurahi sana tafadhali kama inawezekana naomba namba yake. Nitashukuru sana
Hayo maharagwe ya Fiwi amewezaje kuya brend hata yakawa kimiminika.
Ina maana n malaini in nature
Unga uliotumika Ni upi
Naomba no yako mama