GWAJIMA ATAKA MAMLAKA YA RAIS YAFUNGWE KISHERIA | KUNA SIKU TUTAANGUKIA PUA
Вставка
- Опубліковано 18 чер 2024
- Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameshauri mamlaka ya kisiasa ya Rais yafungwe ili Rais yeyote atakayekuwa madarakani asitoke nje ya mipango iliyowekwa na nchi ili kuepusha hali ya kila Rais kuwa na vipaumbele vyake.
Askofu Gwajima amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Serikali na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2024/25 ambapo amesisitiza kwamba nchi isipofanya hivyo "kuna siku itaangukia pua."
Aidha, amesisitiza umuhimu wa mipango ya wizara na taasisi mojamoja pamoja na ilani za vyama za uchaguzi kuakisi malengo yaliyomo kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa muda mrefu.
Umeongea pointi Moja nzuri sana kaka Gwajima
Raisihatakiwi aanzishe mpango wenye interest za kwake, raisi anapaswa kusimamia mpango wa Serikali na taifa Kwa ujumla.
Huyu jamaa anasema kila siku hili swala, lakini CCM vipofu na viziwi wapigania tumbo tu.
Mungu ajalie uwe sehemu ya waamuzi wa hatima ya Taifa letu siku moja
😅😅😅😅ndoto hizo
Very soon ,,
Huyu muhun kafich tu makucha
Hongera sana Pastor Gwajima na Mungu akubariki kwa maono mazuri
Hongera sana Askofu, una mawazo yenye maono.
Wazo nzuri....ni kama ulaya na marekani tuwe mipango endelevu na kuwekea Sheria Kila raise ajaye apite humo
One of Big brain men in the Parliament,,,but some never seen b4
Ahsante Sana KAKA Gwajima.
Gwajima wasio kuelewa leo very soon watakuelewa ,,coz you're the Next
Heshima ni very Big 🧠 Brain
Hii hoja nilikua naisubiri siku nyingi mno.Kila Rais anayeingia anaanza upya utadhani uhuru tumepata jana
Anaongea sijui mara ya nne hii
Naunga mkono 🤝 kama taifa atuna maono tunaongozwa na Maono ya Rais anaekua madarakani👏👏
✊️✊️✊️ umezungumz kitu kizur sana
Safi Sana gwajima
Safi sana mkuu ❤
I support you my brother !
Our passed experience is clear study case. The presidency can even put aside the constitution of our nation in order to push his agenda unchecked. It has happened before our eyes (while the governing authority is protected by the same same constitution)Taarifa ya waziri is out of point, wakati Prof. anaongelea ushirikishwaji kutoka chini hadi kwa waziri wa mipango, wewe unaongelea ushirikishwaji wa mamlaka za kisekta(wizara) zinazowakilisha maeneo yote muhimu ya maisha ya watanzania kama maji,chakula, afya, mahusiano na mataifa mengine n.k.
Nenda direct Tu kwenye katiba mpya Acha kumumunya maneno
great thinker...
Aaah tokeni hapa gwajima asinge liongelea mngesema mbaka mkumbushwe...
Maoni mazuri sana Gwajima ila muarobaini wa haya yoooote KATIBA mpya ili kupunguza majukumu kwa Raisi Chama pinzani wamekuja na hoja za majimbo na kumpunguzia uzito wa madaraka bila Katiba mpya sawa sawa na kelele za vuvuzela za uwanjani
Good idea
Very good I askofu
Good kabisa
Excellent
Tangu ajiunge n siasa nilimpoteza kabisa yaan😢
Katiba mpya
Saw kbs
Askofu tunakuhitaji sana na tunakuombea MUNGU akusimamishe zaidi katika eneo hili. Na sisi tunakuja huko sio muda mrefu
Tanzania umebarikiwa
Good idea God bless you all
Hii ni sahihi kabisa yaani hatuna dira kabisa
I call him master mind, na nchi za ulaya, marekani na kadharika ziko ivyo na mipango yao ya muda mrefu
Brilliant - absolutely 👍
Hayo majizi yanayowaza matumbo yao yanamuona kama anapiga kelele tu,gwagima hapo hakuna mtu anaeifikiria tanzania ya miaka hamsini au hata miaka ishirini bali yanafikiria familia zao tu
Wasukuma wanajua sana
Yani hawa ndo maboya vibaya SIO wote lkn
wachache sana watakao elewa lakini kuna kitu juu ya haya maneno
Vizuri sena waelimishe neno scope huenda shule zilipita kushoto japo ni educated at extra
Safi saaaaaaaaana
gwajima Yuko vizuri
Ndio maana tunaitaka katiba mpya
Point Gwajima
Nchi Kama bendera Kila mtu na mipango yake miaka 10 akimaliza imeisha
Saf xan
Apo wapigaji hawawez kukuelewa ata kiduchu
Fundi sana
Sasa si ndio katiba
Amen amen
❤
Mwigulu mungu akulinde maana watanzania hawakukubali Mzee
Tena hatumpendiiii kabisaaaaaaa 😂😂😂😂🛜
umeongea poit kwer kaka kwamba kila rais anatakiw kuingia madalakani kutekeleza
Smartest
Sasa Gwajima ndugu yangu hiyo si ndiyo katiba mpya? Acheni unafiki wenu! Wenzenu kila siku wanaongelea hayo hayo yawekwe kwenye katiba mpya mpo kimya tu. Kama kweli mpo ok tamkeni moja kwa moja mnataka katiba mpya
Haya mambo yalisemwa zamani sana tangu enzi za jakaya, na magufuli. CCM ndiyo hawataki. Simamieni Hilo Kwa nguvu zote. Haiwezekani kila awamu tunaanza upya
Huyu Jamaa ni very talented
Chukua fom mzee.
Amna kitu hapo msaniii 2
Hiki kichwa kweli kweli, hakijawahi kuacha kutoa mchango tofauti na huo. Ni mawazo ya akili kubwa Sana, endelea kusema gwajima IPO siku yatatekelezwa na ni vision kubwa kwa Tanzania ijayo.
Hayo maono umeyapigia debe mda mlefu. Ila wamezima macho na mashikio hawakuelewi Gwajima. Maonao kama hayo ndio yanaitawala China na mataifa makubwa kama US. Ila sisi Africa tunangojea kupangiwa cha kufanya na Wamagharibi ni Aibu kubwa kwetu.
Na hayo mamlaka amepewa na katiba
Inaanziaje chini wakati wananchi hawajui chochota. Kama inaanzia chini lazima ibebe vision ya hao wa chini. Vision tumazoziona hazina muunganiko ma wTu wachini. Hiyo ndo shida. Ni vitu rahisi tu ila nyie viongozi mna mambo yenu ambayo hatuwaelewi.
Mna maono gani wabunge wengi ni wezi lazima kizazi kijacho kije na maono mazur sio maono yenu ya sasahv ya vipofu
SASA WIZARA XOT HIXO ZA NINI?. MIAKA HAMSINI MINGI SANAA BWANA.
Inatakiwa kila muhimili wa serikali uwe na mamlaka na nguvu yake kama bunge,Jeshi na mahakama,pia raisi akimaliza muda wake achunguzwe ili nchi iwe na mwenendo mzuri kama vile marekani,China, na urusi
Huyu mzee baba namuona kama zaidi ya RAIS kwa michango yake.
Kipindi cha magu aliufyata😂
Tupa jiwe gizani 😅
Hakuna msukuma mshamba,wote ni perfect brain
Kabisa, Wasukuma wangepewa waongoze tu maana wanajielewa
@@paulmathias810 Magufuli,Makonda,Msukuma, Gwajima wote wasukuma alafu nchi inawaelewa sana pima upepo uone
Ivi gwajima ira nahic mda uja fika ira naamini wewe ni rahic ajae mimi kama kijana mtanzania natamani uongoze taifa hili
Mawanzo mazuri lakini ulitakikana uyatoe vipindi ambacho bwana somba somba alipo kua anajenga Chatto kwa a lot of money for nothing .
Kwan chato si Tanzania ata akiijenga watakao fanikiwa n watanzania ko sioni ubaya wa ilo na kukumbuka nyumban n muhmu sana ndugu zile barak zitakutunz milele upte amani na furaha
Najivunia kuwa na mbunge wangu kama huyu
Kabisa
GWAJIMA KATI YA BUNGE KISUKUMA WEWE UNAAKILI SANAA HAUYUMBU WEWE KWELI NI MZALENDO WA KWELI SIYO NDUMI LAKUWILI HATA WAKATI MAGUFULI ULIONGEA UKWELI HATA WAKAT LIGANGA NA MCHUCHUMA ASANTE SANA
Ameongea Jambo kubwa
Wewe tunakudai chuo cha uvuvi na boti kawe ...Pia safari ya kujifunza ya vijana Birmingham vipi ..Chasimba bado mafuriko tatizo na barabara hazipitiki ..
Hayo maono unayojimwambafai yalete huku jimboni sasa ''!!! au tukutane kwa wajumbe
Yeye sio chanzo mwamuzi mkuu
Kuna idara inayotekeleza kile unacho mdai Gwajima..
Kama hawezi kupewa sapoti
Afanyeje .. au unadhani kuondoa mafuriko ni kusema tu , Kuna fumula
Kuna wabunge wapo huko ndani kwaajili kuomba taarifa 😮😮
Gwajima anakurupuka tu kwan c vyote hvyo vimeshajumuishwa kwenye mpango na lazima washirikishwe kutoka chini mpaka wizaran
Umemuelewa point yake lakini au umecomment TU?
Gwajima ni kichwa cha familia ilo jambo ni jepesi kwa wanaojua namanisha nini na taifa letu MUNGU ameinua watu kama awa ili kutuvusha kutoka kwenye vifungo vya umasikini
Mipango gani hiyo ya miaka 50?