Mama kama mama 🎉🎉🎉🎉 twakupenda sana na mh makonda wawooo Yan tungeoata nasisi kama makonda tungepata laha jaman mh raisi. Ungepata majembe kama makonda aisee mama ungefika mbali sana
Umenena vyema,mimi naongezea nchi nzima wapate matibabu kwa njia hii muda wote. Hii wiki ya matibabu bure ya Makonda ikiisha na pengine mtu hajapona,twende wapi😂
Unachokifanya makonda ni kizuri lakn jarbu kutembelea maeneo yenye chagamoto na si kuazisha mikutano mikubwa namna hiyo unatumia gharama kubwa sana kuazisha mikutano yako hiyo kuandaa na kuhitimisha mikutano mikubwa namna hiyo
This man is a true definition of a leader.nashindwa hata niongee nini ila hongera sana.
Congratulations 👏👏👏👏 your generation will be blessed
Mtaji wa kwanza wa Mwananchi ni Afya njm.
Asante sana Makonda kwa maono hayo.God bless you .🎉🎉❤
Big up commander Makonda kazi nzuri
Mheshimiwa Paul Makonda hongera sana
Talented guy,❤ Makonda for life
Makonda wewe nimtumishi msikivu mungu akulinde zaidi utafika mbali mno tunakuombea 30 inakuhusu.
Makonda mungu aendelee kukulida
Mama kama mama 🎉🎉🎉🎉 twakupenda sana na mh makonda wawooo Yan tungeoata nasisi kama makonda tungepata laha jaman mh raisi. Ungepata majembe kama makonda aisee mama ungefika mbali sana
Hongera Mh Makonda
Angalau ukija UA-cam kuona mkoa wa Arusha unafarijika, Arusha kwa kipindi hiki imekua kama nchi inayojitegemea
Duh!!! Ila siasa,tumheshimu Mungu tu
Wananchi wapate Bima ya afya KWA wote❤❤
Arusha wanafaidi
Afya ni mali owe siku zote❤❤
Asant babaa
Wagonjwa jaman SI mtapata laha sana
Hatali huyo makonda chapa kz
Yani hujamaa sinalakusema viongozi wote wangekuwa kama makonda watanzani tungekuwa naraha sana
Tatizo hivi vitu kama vinawezekana inatakiwa viwe kisheria maana makonda akitoka basi anayekuja anaanza mambo yake na mazuri yanapotea
Umenena vyema,mimi naongezea nchi nzima wapate matibabu kwa njia hii muda wote.
Hii wiki ya matibabu bure ya Makonda ikiisha na pengine mtu hajapona,twende wapi😂
@@mataypanga5262 pia wabunge ndiyo wanatakiwa wajifunze namna kujenga hoja!
❤❤❤
Safiiiiiii
KAKA MAKONDA CHAPA KAZI
Umeshindikana makonda tunabaki kukushangaa 1:31
RAIS AJAYE WA TANZANIA PAUL MAKONDA
Yuko xawa makonda
Unachokifanya makonda ni kizuri lakn jarbu kutembelea maeneo yenye chagamoto na si kuazisha mikutano mikubwa namna hiyo unatumia gharama kubwa sana kuazisha mikutano yako hiyo kuandaa na kuhitimisha mikutano mikubwa namna hiyo
Umeshindikana makonda tunabaki kukushangaa
Nchi yote wangechagua chadema maendeleo yatakuwa makubwa sana.
Kwa mchakato huu Lema ni jembe
Chap kz
Siasa mchezo mchfu
Wameenda Wasso Loliondo kuchochea lakini naona wamefeli piga kazi dogo
Harmonize alisema Rais DKt. Samia ni mtu na Nusu.
Tunaendelea kuthibitisha.
Makonda sijaellewa ubongo wako ukoje Kama sii uchawa herkopiter ya nini DAWA ZIPO
Lengo hujaskia kama anaonekana mgonjwa anataka kupelekwa KCMC apelekwe hapo hapo au muhimbili anapelekwa shida yako wewe nn ?
@@AllyMaya-yj3xdKaka watu wengine wanakuja na hila zao binafsi sio kufatilia habar
Mhhh
Mungu akutunze makonda
Mheshimiwa Makonda njoo na Mkoa wa Mara uone uozo. Maji shida , michango ya Sekondari pesa hazionekani.
Umeshindikana makonda tunabaki kukushangaa
Umeshindikana makonda tunabaki kukushangaa