DARASA LA UFUGAJI BORA WA NGURUWE KIBIASHARA 2023 kutoka MWALAVILA FARM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @TheresiaLulenga
    @TheresiaLulenga 27 днів тому

    Hongere kwa kutoa elimu ya ufugaji Bora wa wanyama

  • @hildegald
    @hildegald 11 місяців тому

    Hongera. Najipanga aisee

  • @ElinuruMbise-w6s
    @ElinuruMbise-w6s 7 днів тому

    Hongera kwa elimu me nataka kujua namna ya kumlisha nguruwe na chakula gani kinamkuza haraka na anaweza kubeba mimba akiwa na umri gani?

  • @JacklineMakwaya
    @JacklineMakwaya 8 місяців тому

    Mpo dodoma seem gan

  • @edgarmwaibata4677
    @edgarmwaibata4677 Рік тому +3

    Hongereni sana Kwa elimu mnayo itoa malavila farm, nina maswali machache hapa 1. Hayo maranda ya mpunga yanabadilishwa Kwa muda gani na je hakuna hatari ya magonjwa hapo. 2. Hayo maji ambayo wanaingia kucheza humo haiwezi kuwa chanzo cha magonjwa kwan watayachafua kwa kinyesi mikojo na baadae watakunywa?

    • @himmwalavila6495
      @himmwalavila6495 11 місяців тому

      Hapana sio chanzo
      Huwez ruhusu yakae mpaka yawe hatar kuna mfumo wake wa kuflash

  • @VeronicaMtewa-jo9uv
    @VeronicaMtewa-jo9uv Рік тому

    Asante kwa SoMo naomba namba Yako

  • @ClaraUrio
    @ClaraUrio Місяць тому

    Kaka naomba namba Yako ya simu ili niweze kuuliza maswali napenda kujifunza zaidi

  • @tuntywilliam7039
    @tuntywilliam7039 Рік тому +1

    Namba ya simu

  • @ElithaMgandu-py1qt
    @ElithaMgandu-py1qt Рік тому +2

    Mnauzaje nahitaj kufuga

  • @tianarest
    @tianarest 9 місяців тому

    Tunahitaji vibwagala

  • @himmwalavila6495
    @himmwalavila6495 11 місяців тому

    Nipo dodoma

  • @mosessimchimba
    @mosessimchimba Рік тому +1

    Mi Moses simchimba nataka kujua Tib asilia ya nguruwe

  • @Peter-z1n
    @Peter-z1n 2 місяці тому

    Makinda yanauzwaje

  • @PriscarAllay-uo8cg
    @PriscarAllay-uo8cg 5 місяців тому

    naomba uendelee kutuma hz video

  • @DorothyMarcel-c3p
    @DorothyMarcel-c3p Рік тому +1

    𝑴𝒌𝒐 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎𝒖 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒂𝒑𝒂 𝑻𝒛

  • @KaijageEvodius
    @KaijageEvodius 4 місяці тому

    unakilisana

  • @AmanMgweno-s7u
    @AmanMgweno-s7u 2 місяці тому

    Wekeni namba za simu, ili tuwasiliane

  • @JacklineMakwaya
    @JacklineMakwaya 8 місяців тому

    Naitaj kujifunza mpo dodoma seem gani

  • @FidelisMalile
    @FidelisMalile 11 місяців тому

    Watoto wa nguruwe tunaweza kuwapata ?

  • @veronicamaboko
    @veronicamaboko 6 місяців тому

    mnapatikana wapi

  • @EdimundiMsafiry
    @EdimundiMsafiry 6 місяців тому

    Nipo njombe naweza kuwapataje na mpo Dodoma sehem gani

  • @JacklineMakwaya
    @JacklineMakwaya 8 місяців тому

    Naitaj kujifunza mpo dodoma seem gani 1:35

  • @ThomasMbulwa
    @ThomasMbulwa 3 місяці тому

    Mradi wenye faida ya haraka ni ufugaji wa nguruwe

  • @salomeotto5521
    @salomeotto5521 Рік тому +2

    Tunaomba namba bro ya whatsp ili kwa maelezo zaidi

  • @jovitusiinnocent7534
    @jovitusiinnocent7534 8 місяців тому

    Mkuu naomba no yako

  • @christophermwashiozya5178
    @christophermwashiozya5178 Рік тому +1

    Unapatikana wapi nahitaji mbegu ya piglet.

  • @JacklineMakwaya
    @JacklineMakwaya 8 місяців тому

    Naitaj kujifunza mpo dodoma seem gani