JITIBU MARADHI YA WASI-WASI KWA NJIA HII BY Sheikh Yusufu Diwani (Alghazaliy)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @MudiMkomwa
    @MudiMkomwa 19 днів тому +1

    Mbon mkunazi ujaweka

  • @Salhanafoo
    @Salhanafoo 5 днів тому

    Hiii hali ni nzto sana lkn hatuna jinsi isipokuwa kuomba dua kwa allah nakutafuta tiba ktk njia za kisheria

  • @Zulkamhaji
    @Zulkamhaji 6 місяців тому +1

    Mtihani Allah sw atufanyie wepesi apo kwenye wasiwasi wadini apo ndio mtihan Allah sw awalaani masheitwan waovu kama hao

  • @hawaathumani6663
    @hawaathumani6663 9 місяців тому +3

    Dalili zote ninzo nahic mpk kuchangamyikiwa mapigo ya moyo yanaenda mbio hii hali ikinikuta naona nakufa sasaiv nikienda hosp ninachoambiwa anajua mungu😢

    • @AbdallaAthaman
      @AbdallaAthaman 8 місяців тому

      unaambiwa nini hosipitali

    • @hajiramrisho5003
      @hajiramrisho5003 8 місяців тому +1

      Hawa naomba nitafte plz

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 7 місяців тому +1

      Mimi naumwa wasiwasi jmn naumwa mm

    • @hajiramrisho5003
      @hajiramrisho5003 7 місяців тому

      @@halimaabdallah8775 nitafte mpendwa tuelekezane Bi-idhinLLAH

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 7 місяців тому +1

      @@haythamabdallah158 Mimi naskia wasiwasi adi plesha inapanda Nina wakati mgumu Yani naleo nimetoka hospital naogopa mpaka hospital dah nime pima vipimo vyote ni mapigo yamoyo yanazid aisee basi nitafute jamani

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 Рік тому +1

    Sheikh mimi sababu nyigii ulo yataja niko nazo sina raha moyo wangu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому

      Tupo sote nikiskia mtu anaumwa na mm naumwa tna nitaangalia Google hpo wahka mtupu nikisema lailaha ila anta subhannaka innikuntum minadhwalimin inapungua

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 7 місяців тому

      Jaman namm nateseka nawasiwasi nahisi nakufa mimi

  • @mwanaishanassor377
    @mwanaishanassor377 2 роки тому

    Jazakallah kheyr

  • @FatumaJeuri
    @FatumaJeuri 5 місяців тому

    Yananisumbua sana mawazo ya wasisi

  • @juliusaloyce5526
    @juliusaloyce5526 Рік тому

    Nikweli shekhe Mimi nashida nasumbuliwa sana na maradhi hayo

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 роки тому +1

    Masha Allah Sheikh

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س Рік тому +1

    Dalili zote ulizozitaja ninazo subhana Allah isipokua moja tu

  • @ashurazaidu5265
    @ashurazaidu5265 3 роки тому +1

    In shaa Allah kheri

  • @اللهأكبر-ذ7ث3س
    @اللهأكبر-ذ7ث3س Рік тому +1

    AssalamuAlaikum warahmatullahi wabarakatu Mimi nimeanza kumjua sheikh yussuf diwani nikiwa primary alivyokua akifanya darsa zake za tiba chuchu FM kipindi hicho nilikua mtoto viredio vya betri ilikua Ni elfu tatu za Tanzania Basi nilikua naficha kiredio changu usiku mama asinione napunguza sauti naanza kumsikiliza tiba zake, tiba zake ziliku nzuri me nilikua naandika kwenye kibuku changu 😂😂😂😂 ila saivi nimeshakua mtu mzima

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 3 роки тому +2

    جزاك الله خيرا

  • @husnaali6496
    @husnaali6496 18 днів тому

    Dah yote nnayo hayo

  • @husseinramadhani7277
    @husseinramadhani7277 3 роки тому +1

    Asalam alaikum sheikh nauliza zaatari na hardali zinapatikana wapi ao kwa kingereza zinaitwa ajee

  • @haythamabdallah158
    @haythamabdallah158 6 місяців тому

    Ukiwa na wasiwasi unaweza kubeba mimba??

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 3 роки тому

    Mashaallah

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Рік тому +1

    Shehe Yan kama mm nateseka Sana

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 7 місяців тому

      Umefanikiwa mm jaman nateseka moyo unaenda mbio Kila wakat

  • @halimaabdallah8775
    @halimaabdallah8775 7 місяців тому +3

    Nateseka na maradh ya wasiwasi naumwa nina miez 10 sasa moyo hauna aman naumwa nipo kitandani siwez hata kusimama duwa zenu jaman

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 7 місяців тому +1

      Mm pia wasiwasi Moy waend mbio

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 7 місяців тому

      Mwanang miez nan

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 7 місяців тому +1

      @@haythamabdallah158 nime kutumia namba nitafute nimekutumia namba Kwa maneno hunitafut Sasa nakuandikia sifuli sita ishlini na tisa saba nane saba sita sita mbili nitafute tupate msaada

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 7 місяців тому

      @@halimaabdallah8775 tear

    • @Zulkamhaji
      @Zulkamhaji 6 місяців тому

      Inshallah❤ Allah atakuponya

  • @MehmetMtonga-b5i
    @MehmetMtonga-b5i Рік тому

    Unaongea kuruwani tunashindwa kuku sikiliza