NJIA 4 ZA KUKABILI HALI YA WASIWASI-ANXIETY - DANIEL RUHURO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @beathakilunguu7652
    @beathakilunguu7652 2 місяці тому +4

    Wote mliokuwa na khofu na wasiwasi mwenyez mungu awape shufaa mpone inshaalh kwa jina la mwenyez mungu

  • @HusnaKijazi
    @HusnaKijazi 2 місяці тому +1

    Dr tangu niliumwa sanaa nimejawa hofu zamani nilikonda sanaaaa hata usingizi nikawa sina ila sasa naanza kuogopa hofu usiku nikilalala je nn nifanye

  • @HusnaKijazi
    @HusnaKijazi 2 місяці тому +1

    Pole halima mm pia ni mgonjwa mpka naogopa

  • @DeboraSamhenda
    @DeboraSamhenda 7 місяців тому +2

    Huu mwaka wa Tano nimekonda sana Naomba msaada

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 роки тому +1

    Asante Sana kiukweli uwa tunaishi bila moangilio na atuwezi kusema ukweli

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  2 роки тому +1

      Kadri tunavyojifunza tutakuwa bora zaidi

  • @HappyElias-js8mx
    @HappyElias-js8mx Рік тому

    Mimi docta nasumbuliwa sana toka nilipoumwa sana

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  Рік тому

      Pole, na zingatia ushauri

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 10 місяців тому

      Dada hata mm ndo napitia hii hali nambie umeweza kuepikana nao

  • @samiahmsuya3605
    @samiahmsuya3605 7 місяців тому +1

    Dokta nahitaji msaada wako wasi wasi unanitesa jaman

  • @samiahmsuya3605
    @samiahmsuya3605 7 місяців тому

    Msaada tafadhal hofu na wasi wasi na vile navoogopa ndvo kifua kinazid kubana

  • @mwanakhamismasoud375
    @mwanakhamismasoud375 5 місяців тому

    Dr.please help me nipo kwenye matibabu ila bado nateseka japo sio kama awali hofu na wasiwasi imenitawala muda wote naogopa kufa 😢

    • @shazilali945
      @shazilali945 5 місяців тому +1

      Mtegemee sana Mwenyezimungu hakika yeye akisema kua lina kua jitahid kufanya ibada mfano swali kwa wakati pamoja na adhkar na kutuo swadaka kwa namna ya uwezo wako
      Lkn kumbuka kitu kimoja kuumwa ķwako kwa mda mrefu hhaimanishi ndo utakufa kuna watu wanakufa na hawajaumwa hata cku moja chakuzingatia mtegemee sana mwenyezimungu

    • @mwanakhamismasoud375
      @mwanakhamismasoud375 5 місяців тому

      @@shazilali945 mungu namtegemea ila bado naumwa nahitajika matibabu nipo na doze ya miaka miwili ila mpaka sasa sipati afueni nateseka huu ugonjwa sio wa kusimulia huwezi nielewa kama hujawahi pitia

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  5 місяців тому

      Usiogope kwa maana mimi ni pamoja nawe,usifadhaike kwa maana Mini ni Mungu wako,nitakutia nguvu naam nitakusaidia.Isaya 41:10-13

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  5 місяців тому

      Hongera sana kwa kumtia Moyo Mwanahamis.Naamini atapona

    • @mwanakhamismasoud375
      @mwanakhamismasoud375 5 місяців тому

      @@danielruhuro dr nitaponaje sasa bado nateseka 😭

  • @DeboraSamhenda
    @DeboraSamhenda 7 місяців тому

    Dr naomba msaada me huu mwaka wa Tano tangu nimeanza kuwa na hofu me masaa 24 ninanawa mtu akinisalimia nikirudisha chenji Kweny gari lazima ninawe hata kalamu yangu nikiwa darasani sihitaji mtu aiguse ni wasiwasi MDA wote

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  5 місяців тому

      Hofu haijawahi kushinda. Ili ushinde jambo lolote usirihusu hofu ikutawale

  • @halimaabdallah8775
    @halimaabdallah8775 10 місяців тому +1

    Kiukweli napata wasiwasi mpaka siwez kwenda popote nateseka mno mnooo😭😭😭😭😭

  • @halimaabdallah8775
    @halimaabdallah8775 9 місяців тому +2

    Doctor no yako tunaipataje

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 9 місяців тому

      Nn

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 9 місяців тому

      @@haythamabdallah158 kwani wewe huna Instagram mbona nikikutumia sms unitajie jina Instagram hunijibu na nime kutumia jina ninalo tumia Mimi huja nifollow afu humu mbona Kuna sms hazionekan najiuliza maswal kwann

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 9 місяців тому

      ​@@haythamabdallah158ingia wasafi masham Shamu yaleo

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 9 місяців тому

      Hy

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 9 місяців тому

      @@haythamabdallah158 angalia kwenye comment zangu hapo nimekutumia namba Kwa maneno kama unaweza chukuwa ukifunguwa TU hii post unakutana nayo hiyo msg

  • @nacksuma2263
    @nacksuma2263 Рік тому

    Mimi nnawasiwasi hadiusiku silali na sababu nimefiwa na mama ndio kitu chanitesa

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  Рік тому

      Pole sana kwa kumpoteza mama...zingatia nilichozungumza katika video hiyo na endelea kufuatilia video zingine ili kukuimarisha zaidi

    • @JoyceHaule-v7t
      @JoyceHaule-v7t Рік тому

      Pole sana hiyo hali naijua utakaa sawa

  • @Haulat-yc9gz
    @Haulat-yc9gz Рік тому

    Mimi mtoto alikufa tumboni nikapewa dawa nikajifungua ila siku ya2 tu nikaanza siwezi kulala siwezi kula naogopa sana zaidi usiku naogopa nitakufa kaburini itakuwaje na mawazo hayatoki hata dakika nimepungua kwa hayo uliosema ila bado na sasa nimiezi 6 tena nifanyeje

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  Рік тому

      Pole kwa kumpoteza mtoto....Jaribu kufuata niliyoshauri na ujipe subira naamini hiyo hali haitadumu...Iongoze akili yako kukubali ukweli kwamba mtoto hayupo tena na Iongoze kuishi kwa uhalisia wa sasa.

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 10 місяців тому

      Mimi Nina miezi 9 Sasa napitia hali kama yako

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 9 місяців тому

      Nmm miez tsa

    • @JasminJafar-sd4wk
      @JasminJafar-sd4wk 4 місяці тому +2

      mm nawazag kufa bas inaniletea wasiwas naumwa mpka moy unaenda mbio sana na nimekonda ghafula

    • @MamisaHamisi
      @MamisaHamisi 3 місяці тому

      Wewe kama Mimi ​@@JasminJafar-sd4wk

  • @halimaabdallah8775
    @halimaabdallah8775 9 місяців тому

    Kumbe ukituma namba haiwezi kuonekana sasa natuma kwa maneno sifuli sita mbili tisa saba nane saba siti sita mbili 😂

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 роки тому

    No yako nitaipataje

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  2 роки тому

      Karibu tuendelee kujifunza,utaipata

  • @halimaabdallah8775
    @halimaabdallah8775 10 місяців тому +3

    Toka nime jifunguwa nimiez 9 sasa nilipata mshituko nateseka wasiwasi masaa yote. Yani nateseka mno doctor nimepitia mengi nimeumwa mawazo nimengi plesha inapanda kwa wasiwasi naogopa tena ikipanda ndonaogopa kabisaa kuna kipindi nilijipa imani nikasema ok hata kama nitakuwa na plesha dawa zipo nitatumia nikawa sawa wasiwasi ukaondoka nikawa tuu naumwa kidogo nikajikubali wasiwasi ukapotea kuna siku moja mamaangu mdogo alipigiwa cm kuwa jilan yake kafa kwa plesha basii ikawa siku 3 mfululizo analalamika nikajikuta naanza kupata hofu basi wasiwasi ukalud malakumi yake silali sili nimekonda naogopa hata kwenda balabalan naogopa kwenda hospital kupima naogopa mpk kile kipimo plesha itapanda naogopa hata kusimama kiukwel nateseka nishasali sala zote nimekuwa kama nimechanganyikiwa wasiwasi mbaya jaman uwii naona nitakufa nimuache mwanangu mungu nisaidie mm

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  9 місяців тому

      Pole sana,Ishinde HOFU yako kwa kuzingatia yale niliyoeleza katika video ama pata msaada kwa mtaalam wa tiba ya akili aliye karibu yako....Endelea kufuatilia video zingine

    • @halimaabdallah8775
      @halimaabdallah8775 9 місяців тому +1

      Labda nipate msaada nahisi ninatatizo la akili sio bule doctor nateseka nikiskiliza hofu unaondoka nakaa nafanya mambo yangu gafla inanijia fikra ya wasiwasi Yani nikiuiumbuka doctor unakuja naweza kaaa Nina fulaha zangu najiona nimepona ila inaweza tokea hata siku 3 ikanijia hali ya hofu naitowa haitoki mpaka inikoseshe Raha ndo inatoka nateseka mno Kuna muda hofu ikija natamani hata niende mbali nateseka hofu inanitesa naumwa wasiwasi naogopa Kila kitu mimi

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 9 місяців тому

      Nmm ndohvhv

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 9 місяців тому

      Naomb nmbyk

    • @haythamabdallah158
      @haythamabdallah158 9 місяців тому

      Btmi

  • @halimaabdallah8775
    @halimaabdallah8775 9 місяців тому

    JAMANI NAPUMZIKA SIKU 2 WASIWASI UNALUD NOFANYE NINI MIMI NAOMBENI MSAADA WENZANGU KAMA MMEFANIKIWA PLEASE MNIOMBER KWAMUNGU PIA NINAMTOTO MDOGO NAKAA SIKU 2 WASIWASI UNALUD SINA AMAN DAH NIMEKUWA MGONJWA 😭😭😭😭😭😭

    • @danielruhuro
      @danielruhuro  5 місяців тому

      Pole sana, Wasiwasi ni sehemu ya maisha ya kila binadamu lakini usiruhusu ikatawale maisha yako!

    • @JenipherMbaga
      @JenipherMbaga 3 місяці тому

      Ntumie namb yko

    • @MamisaHamisi
      @MamisaHamisi 3 місяці тому

      ​@@JenipherMbagana Mimi nateseka sana

    • @ZakhiaJuma-r3v
      @ZakhiaJuma-r3v 2 місяці тому

      Jamani hadi mm nasumbuliwa sana mpk kazi zangu nashindwa kufanya mpo nikiwa najaribu kupika nachanganya mafaili Yani mfano nataka kukata kitunguu najuta nashika kingine mpo nahic kuchanganyikiwa mliofanikiwa jaman nisaidie nifanyej muda wote na wasi wasi wa kufa tu na nashindwa hata kuipotezea Hy hali

    • @salahsalahallympika679
      @salahsalahallympika679 2 місяці тому

      Yani ata mim inanisumbua sana hofu na wasiwasi na kuogopa kufa sijui nifanyaje iishe