SHUKRANI SANA MAALIMU LAKINI NINA SWALI JINA LANGU NAITWA JUMA KWAKISWAHILI LAKINI KWAKIARABU UKIANDIKA JUMAA HERUFI YA MWISHO NI لجمعة_HIYO HERUFI YA MWISHO NI HHE AMA TE NAOMBENI MSAADA ISHA ALLAH MUNGU AWABARIKI SANA WOOOTE WAISLAMU NA WASIOKUWA WAISLAMU MUNGU AWALETE KWENYE DINI YA YA HAKI
Assalam aleykum warahmatulah wabarakatuh.ni kweli sheikh quran ni dawa kwa kila Lila kitu ,alhamdulilag tumhukuru mwenyeizi mungu (swt) ame tupenda umati muhammad (saw)
Assalam alaikum alafu sheh mimi sijatambuwa iyi laa taakhudhuhu sinatun walaa naum sijajuwa imekuja aje sijafaham juu jina langu liko na herufi nne lakin sioni gisi ya kuvifanya sheh
asante sana sheikh Yusuph na pole kwa muda uliotumia kutuletea siri hii nzito Jazakallah khair ... nina shida na ww Ostadh namba zangu ni hizi +968 79444609 Whatsapp
Asalaam alykum Sheikh, hesabu zimenikoroga! Herufi kumi ulizozitaja ukichanganya nambari zake yaja 173 kwako 191? Mfano wa jina Yusuf hesabu yaja 87 kwako 90? Vipi? Yani Yusuf ni herufi nne tu: ya - 28; waw - 27; sin - 12; faun - 20; sasa 28+27+12+20= 87! Vipi 90?
Assalam Alaikum WW. Ndugu, tafadhali fateni darsa la Sheikh kwa makini, ni rahisi kum'elewa, sababu yeye hawezi kujibu kila m'tu binafsi, itakugharama sana, kama vile yeye Sheikh alivyo nena mwenyewe. Kama jina lako ZUWENA HEMEDY , basi ZUWENA ni Z , na Wau, na Nun. Z ina hesabu gani ? Waw ina hesabu gani ? Nun ina hesabu gani ? Jumuisha hizo hisabu zote, utapata hesabu za ZUWENA . Hisabu yenye utapata, hiyo ni ujumla wa hesabu za ZUWENA. Kisha fanya taratibu hiyo hiyo kunako jina la HEMEDY, H ina hisabu ngapi ? Mim ina hisabu ngapi ? Dal ina hisabu ngapi ? Jumla ya hizo hisabu zote za HEMEDY na ZUWENA ni ngapi ? Fanya hisabu we mwenyewe kwa utaratibu, kisha rudi-emo somo la Sheikh kwa makini na taratibu, In shaa Allah utafafanukiwa vizuri.
MashaAllah
Jazzakallahulkheir.Hatuna cha kukulipa Allah ndio atakayekulipa hapa duniani na kesho Akhera.
Allah akupe jannah firdaus
Ma sha Allah Allah akujalie maisha marefu ameen
Asalaam alaykum waramatullah wabarakaatuh jazaka Allah khaira mashallah
Jazakallahu kheir shekh hak leo nimekuelewa vzur na pia uwa maneno yako nayachukua kama mawaidha
Masahaa allah, Allah akulipe kila la kher Amiin ya rabby
Skh yussuf nakuombea wewe na timu yako ALLAH awape kheri nyingi duniani na akhera
Maashaallah ❤
Assalam ghaleykum me sijaelewa kwenye hesabu na herufi me jina Lang Amina
Ameen Ya Allah
Masha ALLAH Mungu Kila la khery na baraka sheikh
Muhammad S.A.W
Jazakalakheir...Mwenyezi Mungu akupe umri
Mashaallaah mungu awazidishie kheri nyingi na baraka muzidishe kutuFundisha amiina amiina
Jazaaka llahu khaira. Sheikh yusuf
Mashà'Allah sheikh.
ManshaAllah sheikh Allah atakulipa
Allah akufanyie wepec kt Jambo zito
Cheikh nivigumu hatujyuwi kiswahiri vizuri
Maashallah Allqh akuzidishie inshaallah
Baarakallah fiikum
Amen
Ma Shaa Allah Allah akuzidishe katika marifa na akujalie mwisho mwema
Asalaam Aleikum mzima SHEKHE Mimi Nina mitihani mizito hata cjui nifanyeje
Allah awafanyie wepesi
Asante sana Sheikh wetu mpendwa
Shukran sheikh ila mimi ni rahma sijaona ree hapa jee nafanyaje
Wasiaqursiyyu. Humo ndio ilimo ree ya jina lako
Mashallah
Mashallah barrakallah 💞
MashaAllah ila haijaisha
Asalam alaikum warabmatullah wabafakatuh naomba Nampa yako
Waaaleykum saaalam warahmatullah wabarakatuh masha allah
سبوح قدوس رب الملايكة و الروح kulingana na jina lako لا تاخذه سنة ولا النوم kulingana na jila lako
Mashaallah
SHUKRANI SANA MAALIMU
LAKINI NINA SWALI JINA LANGU NAITWA JUMA KWAKISWAHILI LAKINI KWAKIARABU UKIANDIKA JUMAA HERUFI YA MWISHO NI لجمعة_HIYO HERUFI YA MWISHO NI HHE AMA TE
NAOMBENI MSAADA ISHA ALLAH MUNGU AWABARIKI SANA WOOOTE WAISLAMU NA WASIOKUWA WAISLAMU MUNGU AWALETE KWENYE DINI YA YA HAKI
ni hee
Assalam aleykum warahmatulah wabarakatuh.ni kweli sheikh quran ni dawa kwa kila Lila kitu ,alhamdulilag tumhukuru mwenyeizi mungu (swt) ame tupenda umati muhammad (saw)
Allahuma Amiina
Basi sheh mimi naomba namba ili nipitiye in box
Maashaallah maashaallah
Allah akutengenezee dunia yako na na ahera akupe ujira mkubwa..sheikh naoma hatua kwa hatua hapo kwa namber na yachanganya kidogo
Assalam alaikum alafu sheh mimi sijatambuwa iyi laa taakhudhuhu sinatun walaa naum sijajuwa imekuja aje sijafaham juu jina langu liko na herufi nne lakin sioni gisi ya kuvifanya sheh
Masha Allah
Mimi kuna langu haji mbona sikupata jawabu yake naomba msaada wako sheikh
Asalam alaykum wrahatullah wabarakatuh
shekh swadakta
Shukran
asante sana sheikh Yusuph na pole kwa muda uliotumia kutuletea siri hii nzito Jazakallah khair ... nina shida na ww Ostadh namba zangu ni hizi +968 79444609 Whatsapp
Mashallahu
Tabarakallahu
سبوح قدوس رب الملايكة و الروح kulingana na jina lako
Asalaam alykum Sheikh, hesabu zimenikoroga! Herufi kumi ulizozitaja ukichanganya nambari zake yaja 173 kwako 191? Mfano wa jina Yusuf hesabu yaja 87 kwako 90? Vipi? Yani Yusuf ni herufi nne tu: ya - 28; waw - 27; sin - 12; faun - 20; sasa 28+27+12+20= 87! Vipi 90?
Shekhe naomba no yk tafadhali
+ 255712316222
Plz use English or Kiswahili
Asc sheikh jina yngu iko letter ngapi
nahitaji msaada maana mwanzo tumeenda vizur ila huku mwisho nimevurugikiwa
Pia mimi kwa hesabu
Shekhe mim knacho nitata nisha ni namba za majina mana naona umetaja baadhi ya herufi kama dal cjajua kua iko namba ngapi
Assalamu alykum warahmatullahi wabarakatuh. Sheikh jina langu naitwa Dogo. Nimeangalia ghain au g hakuna. Hesabu yangu sijui itakuwaje shekh. Nisaidie nipate hiyo ghain( g)
Tumia غ
Jaman na r tutumie ipi
Sheikh punguza maelezo maelezo yawe mafupi watu watakuelewa samahani kama nimekukwaza
Mi ndo nashindwaga hapo
Shelk wetu usiwasikilize hao wanaosema maneno niman&-Fu
Mfano mie jina langu zuwena kwahiyo nisome kwa idadi ipi
Assalam Alaikum WW.
Ndugu, tafadhali fateni darsa la Sheikh kwa makini, ni rahisi kum'elewa, sababu yeye hawezi kujibu kila m'tu binafsi, itakugharama sana, kama vile yeye Sheikh alivyo nena mwenyewe. Kama jina lako ZUWENA HEMEDY , basi ZUWENA ni Z , na Wau, na Nun.
Z ina hesabu gani ?
Waw ina hesabu gani ?
Nun ina hesabu gani ?
Jumuisha hizo hisabu zote, utapata hesabu za ZUWENA .
Hisabu yenye utapata, hiyo ni ujumla wa hesabu za ZUWENA. Kisha fanya taratibu hiyo hiyo kunako jina la HEMEDY, H ina hisabu ngapi ?
Mim ina hisabu ngapi ?
Dal ina hisabu ngapi ?
Jumla ya hizo hisabu zote za HEMEDY na ZUWENA ni ngapi ?
Fanya hisabu we mwenyewe kwa utaratibu, kisha rudi-emo somo la Sheikh kwa makini na taratibu, In shaa Allah utafafanukiwa vizuri.
Mungo huyu sufi
Hata kuandika hujui
She mi napiga sikupat naitaji nifanyiwe kazi nalipa
piga namba hii 0712316222
Sisi tundapenda tunasikiliza kwamakin
Hizi hisabu haziendani kabisa!
Tusaidie hayo majina 17 tuyajue ya ayatul lkurusiyu
Majina ameyataja vizuri sana.
Soma ayat alkursy الله لا إله إلا هو الحي القيوم لا تأخذه سنة ولا نوم له ما في السموات ولا في الأرض mpaka mwisho