Rose Muhando - Bado (Official Music Video) SMS SKIZA 76310049 TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Je,wewe unataka kuona nini ndio mjue yametimia yale ambayo yaliyo andikwa kwenye maandiko matakatifu kuwa Mungu ndie anaesema.Kwa sababu maarifa ya wenye akili yamefika mwisho pamoja na hekima za wanadamu zimefika mwisho kama ni mapito bado msishangawe maana baragumu la kwanza limekwisha kupiga kanisa lijipange.
    #RoseMuhando#Video#Bado

КОМЕНТАРІ • 2 тис.

  • @lizsharon2287
    @lizsharon2287 3 роки тому +39

    Tunao mkubali rose Bado ni malikia wa nyimbo za ijili leteni like zake tukisonga #bado 🇹🇿🇰🇪😍😍😍

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 3 роки тому +445

    Like za waliomwombea mama rose muhando akiwa Hali ngumu, tumwonyeshe pendo 🇰🇪🇰🇪

  • @williamnjeru0295
    @williamnjeru0295 3 роки тому +21

    Wangapi wanasema we Rose ameleta kile tumekuwa tulimiss✋🇰🇪🇰🇪

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 роки тому +156

    Now trending at no. 24 in Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Wapi likes za support ya Wakenya Kwa Mum Rose Muhando

  • @jeandamournizeyimana673
    @jeandamournizeyimana673 3 роки тому +65

    Wanaomtambua Rosa kama msanii Shupavu wako wapi, Jamani?

    • @sharonmwikya2947
      @sharonmwikya2947 3 роки тому

      Mimi ni mmoja wao

    • @estherlemei964
      @estherlemei964 2 роки тому

      Ndio dada bwana awanyamazishe mungu akupganie napenda huduma yako

    • @estherlemei964
      @estherlemei964 2 роки тому

      Rehema napenda huduma yako mungu asikuache

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +663

    Kenyans in the house let's show some love kwa dada etu Rose muhando.
    👇👇

    • @joswairis
      @joswairis 3 роки тому +3

      Well done mom ...in Kenya..

    • @botchebilet
      @botchebilet 3 роки тому +3

      Love you so much Rose

    • @wanjoki1
      @wanjoki1 3 роки тому +2

      A true legend

    • @nancykidula7495
      @nancykidula7495 3 роки тому +1

      We love her

    • @susans.s4609
      @susans.s4609 3 роки тому +1

      I love her, her music always makes sense, I mean it has message always

  • @ganzamuyonga5369
    @ganzamuyonga5369 3 роки тому +9

    Hakika wewe ni malikia wa NYIMBO za injili na Sasa limedhihilika hilo,,maisha yako ni shuhuda kwa wengi.

  • @rrrzhall4660
    @rrrzhall4660 3 роки тому +8

    Nimetoka Mmarekani....wimbo ni nzuri!

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 3 роки тому +12

    Watanzania na wakenya na waganda na watu waburundi dondosha like kama una mkubali rosemuhando 🔥🔥

  • @FennyKerubo
    @FennyKerubo 3 роки тому +109

    Safi sana mama

    • @AdonisSifa
      @AdonisSifa 3 роки тому +2

      nagokire gokorora igaa ❤️❤️❤️

    • @peterochieng1565
      @peterochieng1565 3 роки тому +1

      Tuwasuburi collabo nyingine

    • @sarahchebet1667
      @sarahchebet1667 3 роки тому +1

      The song is really Biblical... The signs are here .

    • @richardjumaofficial
      @richardjumaofficial 3 роки тому +1

      God bless you for doing a good job with mama too

    • @penyapopote490
      @penyapopote490 3 роки тому +1

      Fenny your songs are breaking my marriage because i spend whole day listening to them. Even when am in garden i listen, doing my business am listening. I can't stop it. I feel am already in heaven.

  • @AK-rd5zr
    @AK-rd5zr 3 роки тому +11

    Mziki wa injili bila Rose Muhando ilikuwa ni shida Sana. Nyimbo zake zinatupeleka karibu na Mungu. Endelea kutonyoosha mama.

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +31

    🇰🇪Tunasema Rose ni Mteule wa Mungu,nyimbo zake niza kinabii,hallelujah!! Mwenye sikio na asikie☝️☝️#TRM💪💪🥰

  • @ambakisyejeremia4204
    @ambakisyejeremia4204 3 роки тому +14

    From Zambia naomba like watumishi

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +8

    Aki wekeni likes kwa uyu Rose Malkia mwenye bidii nyingi kwa kazi ya Mungu,apa Kenya tunasema Rose ni Queen of the Gospel💪☝️#TRM💃💃

  • @dominickvitus4665
    @dominickvitus4665 3 роки тому +4

    Rose Rose Rose , ''Maarifa ya wenye akili yameshindwa kabisa''

  • @bdvick5455
    @bdvick5455 2 роки тому +2

    Mama wewe ni muinjilist akika🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Na neno iko akika ndani yako
    MAMAN Mungu awe nawe, eeeee eeeeee iyi wimbo ni matata tuuuuu... Eeeee BADO😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬Mwenye masikio, mwenye ekima atambuwe, ili na aendelee kuji weka tayari

  • @rajabmugo3882
    @rajabmugo3882 3 роки тому +62

    Yaani hapa nabarikiwa tuu, kama na wewe unabarikiwa pita na like tukiendelea kushare,

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 роки тому +80

    Wengi walimdhulumu kwa kumnena na kumfanya vibaya, lakini Mungu wa huruma amemkumbuka. Sasa in wakati wake kutangaza matendo makuu ya Mungu

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +5

    Kipenzi chetu Rose Muhando mbingu sizidi kunena mema juu yako☝️#TRM

  • @chrisembarambamba2015
    @chrisembarambamba2015 3 роки тому +584

    Embarambamba msanii from Kenya people love nowadays

  • @helenasufii1152
    @helenasufii1152 3 роки тому +9

    💃Watu wajipangee.
    Mikono juu 😂 yesu ni bwana.
    Nipewe likes #Trm

  • @margaretwenani3797
    @margaretwenani3797 3 роки тому +4

    Kazi nzuri mama , much love

  • @patrickbyizigiro6572
    @patrickbyizigiro6572 3 роки тому +3

    Barikiwa mama muhando ! from kenya

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 3 роки тому +272

    All the best mum. 👍happy for you always

  • @Victoria_maingi
    @Victoria_maingi 3 роки тому +173

    Can we just appreciate how cute mama rose lookes 😁😁😁😁😍😍😍😍😍

    • @kinyanjuicarlos8899
      @kinyanjuicarlos8899 3 роки тому +4

      The glory of the Lord has really transformed Rose considering what she went through...

    • @Victoria_maingi
      @Victoria_maingi 3 роки тому +4

      @@kinyanjuicarlos8899 i can imagine. May she continue flourishing

    • @nehemiamagaho9124
      @nehemiamagaho9124 3 роки тому +2

      Ubalikiwe sana mama 🌹

    • @susans.s4609
      @susans.s4609 3 роки тому +2

      Sure, I don't know what was happening to her, who was behind her suffering?

    • @susans.s4609
      @susans.s4609 3 роки тому +1

      @@nehemiamagaho9124 *ubarikiwe*

  • @bahaticongobahatimasauti6834
    @bahaticongobahatimasauti6834 2 роки тому +2

    Mimi ni mukeya napenda gospel sana sana kamawewe🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪munguakubariki

  • @anicethdaniel5477
    @anicethdaniel5477 3 роки тому +4

    Tanzania 🇹🇿 tukutane hapa kwa like na Rose wetu

  • @basilsiali
    @basilsiali 3 роки тому +9

    Souti na combo cha Mungu duniani BARIKIWA SANA

  • @jograce1534
    @jograce1534 3 роки тому +31

    Wakenya ndani ya nyumba ....waiting eargely can't wait #trm hoyeeee

  • @banguha
    @banguha Рік тому +2

    Mm had nasisimka nikiangalia nyimbo zako hasa sauti yako mama Mungu anazid kukutumia

  • @peninnahwanza6304
    @peninnahwanza6304 3 роки тому +3

    Mama wa Mataifa Rose muhando tunakupenda sana kwa kutupea injili njema ya Yesu Kristo..barikiwa sana na Mungu Aminaaa

  • @jumaephraim5949
    @jumaephraim5949 3 роки тому +8

    Wow enyewe hii dance ni maarafu....gonga likes if we agreeee😘😘😘😘

  • @Nyimbozamani
    @Nyimbozamani 3 роки тому +4

    Malkia wa nyimbo za Injili
    watching from Washington DC Marekani

    • @JohnJuma
      @JohnJuma 3 роки тому

      Aliyekuwa mfalme wenu alichanganyikiwa ukweli. Alichizika haswa....trump. He was fulfilling the scriptures of end times lol

  • @mosesbeatrice9239
    @mosesbeatrice9239 3 роки тому +1

    Mchungaji wangu jamaniii baba angu MTEMBWE lala salama baba daima tutakukumbuka Dada rose Mungu akubariki kwa kutoa nyimbo na mchungaji

  • @anthonyke254
    @anthonyke254 2 роки тому +9

    My best gospel musician ever.... Mda nilikuwa Sunday school nilikuwa gospel dancer kila nyimbo ya rose muhando ikitoka hio siku training inaanza ikuwe weekdays ama weekend coz we used to go gospel training on weekends sa ikitoka mziki yake tunatoka shule 5pm training inaanza hadi saa moja na nusu.... It was amazing and terrible so ngoma yeyote ya rose muhando ikitoka mpya natrain kwa nyumba tu coz your songs inspires me more not only kudance bt pia message yake wah!!! 🔥🔥🔥

    • @veronicahmumbua2653
      @veronicahmumbua2653 Рік тому

      Walahi hata sisi na group fulani hapo I've always admired to meet her in person aki

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 3 роки тому +32

    Nangoja sana huu wimbo Rose we love u sister 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦

  • @fromgrasstogracekate1404
    @fromgrasstogracekate1404 3 роки тому +35

    The love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 waiting

  • @jacksonenock5231
    @jacksonenock5231 3 роки тому +2

    Rose Muhando hakika hii ni injili tosha hongera kwa ujumbe mzuri

  • @omunesammy6666
    @omunesammy6666 2 роки тому +2

    Nimeshukuru sana Rossy Mungu kweli amekutendea ,nilikwaz nikiomba nikiona watuwanasema mambo mengi sana kukuhushu,maswaliyangu ilikwani umeokowa ulimwengu kwa injili,haingekwa rahizi,nanikajiamini ni majaribu unajaribiwa Asante kwamungu🙏

  • @fidohfidoh9074
    @fidohfidoh9074 3 роки тому +10

    Eeeeh Mungu huko wapi😭😭 mapito ni mengi sanaa ,Sana Sana kwetu sisi Yatima pamoja na wajane ewe Bwana Tutazame

  • @dennismbaka3662
    @dennismbaka3662 3 роки тому +7

    Likes mingi za Hawa vijana jinsi ambavyo wanakata kiuno, kongoreni Sana, mchezeeni Mungu angali uchana wenu.
    Na Sasa likes zingine ni za Mama yetu Rose, Sasa me rudi Kwa kishindo na BADO at azidi kumwimbia Mungu Kwa sauti yake nzuri... Show some love for her 👇👇👇

  • @eliyakeppa5221
    @eliyakeppa5221 Рік тому +2

    Ni mwimbaji anayefanya kazi zake bila kukurupuka hakika, am so blessed with Mom ROSE MHANDO

  • @zakayondale6147
    @zakayondale6147 3 роки тому +3

    Hongela rozi nimefulai kukusikia bado upo kwenye viwango maana nilikua sielewi kwa niliokua nasikia mtandaon

  • @likstlokst4724
    @likstlokst4724 3 роки тому +7

    Tuko hapa mama tunasubiri kwa hamu sana MUNGU achile kibali hiyo nyimbo ifikishe milioni na siku 3 in jesus name

  • @michaelsaylormagazine
    @michaelsaylormagazine 3 роки тому +7

    Rose Muhando nimekusikiza tangu utoto and u still hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aggiechange6410
    @aggiechange6410 3 роки тому +2

    Kipawa chako ni cha kikweli. May God bless you Dada Rose.

  • @florahmwamghunda4402
    @florahmwamghunda4402 Рік тому +2

    Napenda songs za Muhando ,anaimba maandiko (bibilia).

  • @adventuregigs197
    @adventuregigs197 3 роки тому +40

    The legend 🙌 we now claim rose is ours as 🇰🇪 community 🙌

  • @cbkbrownkenya
    @cbkbrownkenya 3 роки тому +22

    Uuuuuuui wow 🔥 another hit,our queen of gospel in East Africa ,nipewa likes za trm drive Nairobi Kenya

  • @mbgoalcgl686
    @mbgoalcgl686 3 роки тому +19

    For those who are listening to this in 2050 this was Rose MUHANDO

  • @davidkanumba7104
    @davidkanumba7104 3 роки тому +1

    Shukulani kwa muimbaji wetu mngu azidi kukuongeza mguvu
    🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦

  • @burnsleypascal8712
    @burnsleypascal8712 3 роки тому +28

    Is not just a song, hii ni kutabiri,wenye masikio wamesikia..Tumrudie mungu

  • @dolphinekemmy6128
    @dolphinekemmy6128 3 роки тому +3

    Woow so amazing ,, kweli imebaki dunia watu tujipange maana ni nyakati za mwisho.Amen barikiwa Mama

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 роки тому +1

    Nywele zimemea tena in Jesus Name 🙏🏿 shetan atakutesa kwa mda amini hilo in Jesus Name

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 2 роки тому +1

    Rose Muhando,Malikia tunakutambua sababu tupooo!☝️#TRM💪💪

  • @viviankisoi3381
    @viviankisoi3381 3 роки тому +3

    Repeat mode hapa ofisini🙌

  • @divinahmusa6710
    @divinahmusa6710 2 роки тому +3

    Nice song keep it up ma

  • @min.tindasjoshua7684
    @min.tindasjoshua7684 3 роки тому +1

    Your glory Mum is renewed day by day......... paragumu ya kwanza imelia kanisa tujipangee

  • @lovelysalash6261
    @lovelysalash6261 3 роки тому +1

    Enyewe Bado ata Mimi najua bado.mungu tusaidie🙏

  • @catherinemutio4195
    @catherinemutio4195 3 роки тому +5

    Sio rahisi Mimi kutoa comment but honestly I love your songs mum .. you're courageous ...you're overcomer...a conqueror .. My request to you ni pray for my mum who is sick

  • @dancanmonari9842
    @dancanmonari9842 3 роки тому +5

    Wewe unataka kuona nini jameni?? Nauliza tena unataka kuona nini🤔🤔🤔🤔🤔

  • @TsammyBreezy_Beats
    @TsammyBreezy_Beats 3 роки тому +2

    Hii ni sawa sana Mama..natamani kufanya kazi na wewe siku moja

  • @cathelinemaurid898
    @cathelinemaurid898 3 роки тому +2

    Rozi acha tu yani nyimbo zako yani huwa zinanigusa moyo wangu sana

  • @mosesblessing614
    @mosesblessing614 3 роки тому +101

    You can't kill this kind of ministry, this is from God 😘😘😘😘Mama keep it burning

  • @peterjawela.4010
    @peterjawela.4010 3 роки тому +5

    Watanzania tumeanza kudungwa chanjo leo ili tuweze kununua na kuuza kimataifa,Sasa mmataka kuona nn ndo mjue yametimiaa?Hakika wimbo huu ni sahihi kwa nyakati sahihi Hongera sana Mama la Mama R.Muhando👏👏

  • @dvd1978
    @dvd1978 Рік тому

    Rose huimba nyimbo zingine, nahurumia kizazi changu Kwa Mungu.
    Nalilia watoto wangu na mke wangu...
    Give my family strength

  • @carolinechepchumba6088
    @carolinechepchumba6088 2 роки тому +1

    True rose this is end days, wameambiwa but hawajasikia sauti ya mungu mungu naye amechukua nafasi ya kuwaadibu

  • @bonfacerubia7633
    @bonfacerubia7633 Рік тому +9

    The one and only gospel musician of our time!God bless and protect Rose mhando!

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 3 роки тому +5

    Maarifa ya wenye akili yamefika kikomo... Unataka kuona nini ndivo ujue mungu anasema
    ... Bado.. hallelujah...

  • @tumainimsuya_3301
    @tumainimsuya_3301 3 роки тому +2

    Mnataka kuona nini ndipo mjue mungu anase nasema bado. Barikiwa sana mama mungu akupe maisha marefu tuweze kubarikiwa kupitia uimbaji wako🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @erickstiven645
    @erickstiven645 3 роки тому +1

    Yes! Huyu ndiye Rose mhando nimjuaye mimi, yule wa Kenya ni ndugu yake tu

  • @davidmutua4998
    @davidmutua4998 3 роки тому +4

    Congratulations ❤️

  • @annitamutheu9886
    @annitamutheu9886 2 роки тому +3

    Hakika mungu pekee ndiye bwana

  • @AlkadoMirambo
    @AlkadoMirambo 3 роки тому +1

    Mwimbaji toka MWANZA Binafsi acha nikubarki tu Rose Muhando kazi yako NI nzuri mno

  • @jacobanania2741
    @jacobanania2741 3 роки тому +1

    Hapana dada kwa kuimba hakuna wa kukufikia mungu anakutumia kwa Viwango vikubwa

  • @trophinidamac
    @trophinidamac 3 роки тому +5

    Mbona coment zawakenya zime kuwanying kuliko tz

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +5

    Rose muhando the Strong Machine of God!uuuuuuuiiiiiiii#TRM🙌🙌🙌🙌🙌

  • @chrispinbyamungukaharwa8469
    @chrispinbyamungukaharwa8469 2 роки тому +1

    Wewe mama mama ❤ yaani toka niko mutoto mudogo nakupenda mupaka sasa Mungu akulinde mama

  • @sheilahadego1195
    @sheilahadego1195 Рік тому +2

    Katika wingi wa hasira Yesu tunaomba rehema na msamaha wa dhambi,😭😭😭

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +5

    Hakili za wenye hakili zimefika kikomo,Bado,Bado ni ishara tu, Hallelujah🙌🙌☝️#TRM

  • @richie_maundu
    @richie_maundu 3 роки тому +10

    I pray God, Rose aendelee na hiki kipawa ady azeeke, nakupenda Mama wetu Rose Muhando🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @roselyneachieng7638
    @roselyneachieng7638 3 роки тому +1

    Heko Rose Asante Mungu kwa kumurejesha na uchupavu🇸🇩🇸🇸

  • @abdusheriffsheriff8557
    @abdusheriffsheriff8557 2 роки тому +1

    Wanadamu Mnataka kuona nini ya mwisho ndio Mukumbali kua duia iko mwesho??🙏🙏📖📖 Tuamchiye Mungu kazi kazi yakee

  • @kazungurazaro2479
    @kazungurazaro2479 3 роки тому +16

    Kenya and Tanzania upendo kwa dada yetu Mungu atukuzwe dunia yote Miller Miller

    • @faithkatheke2467
      @faithkatheke2467 2 роки тому

      Rose💕💕💕💕💕💕nmebarikiwa sana na io song mungu pamoja nawe

  • @marykmusiq8442
    @marykmusiq8442 3 роки тому +6

    🔥🔥🔥👌Wana TRM pigeni like tukisonga kwa Hawa madancer plz

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 3 роки тому +2

    Nani basi asimame mbele za Mungu aseme alete hoja nyingine ashindane na Mungu tuone

  • @glorymkufyaubarikiwe2409
    @glorymkufyaubarikiwe2409 3 роки тому +2

    Huyu ndo rosee wangu jaman Am happy 4 u!!

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 2 роки тому +3

    TRM tunainua mikono yetu juu!uuuuuiiiiiii!YESU ni Bwana !Hallelujah! #TRM upendo kwa Simba wa kikeeeee!strong machine of GOD!💪💪💪💪😘😘😘

  • @matthewmsukwa5605
    @matthewmsukwa5605 3 роки тому +8

    Mama yangu. Umerudi ❤️❤️

  • @juniormgema2524
    @juniormgema2524 3 роки тому +1

    Jaman mkuje rose katoa kitu kipyaaaaaa ubarikiwe dada💪💪💪💪

  • @karemerajeandedieu3108
    @karemerajeandedieu3108 3 роки тому +1

    Rose nakuombea uwendeleye kujazwa na roho wamungu umebalikiwa Sana. Tens nakubenda mama

  • @maureennthenya191
    @maureennthenya191 3 роки тому +8

    Nyimbo tamu kwa kweli🙏❤️much love mama from kenya

  • @SMKOLLECTIONZ
    @SMKOLLECTIONZ 3 роки тому +158

    I just love the fact that Rose can sing for more than 5 mins in a song without losing content or making someone to want to click out of the video. You are just a blessing to many souls mama.

  • @annastaciakingooofficial1249
    @annastaciakingooofficial1249 3 роки тому +1

    Live long mum. Everytime nikiskia sauti yako.nahisi kama niko mbinguni tayari

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 2 роки тому +1

    Hivi tunataka kuona nini ndipo tujue Mungu anasema. Kama ni mapigo bado tujiweke tayari baragumu ya kwanza imepigwa. Nice song. Reminding us in what time we are.

  • @wetunduced3347
    @wetunduced3347 3 роки тому +41

    Like a Phoenix, Rose rose from the ashes ..... she keeps on rocking the gospel industry and now she has done it again....hongera sana.

    • @faysherilgacheri9891
      @faysherilgacheri9891 2 роки тому +1

      Annointed from heaven ,may you live longer mama the only woman who has not contaminated gospel song ,nakupenda rose always pray for you to be more and more blessed 😍😍😍😘😘

    • @juliajules6246
      @juliajules6246 Рік тому

      @@faysherilgacheri9891 wee wake up from ur slumber she is not the only one there are many remnants who do not bow to baal(1Kings 19:18). otherwise what would be the point of Christ's death if she be the only one?

  • @bahatibahaty6549
    @bahatibahaty6549 3 роки тому +79

    This is one thing you can know about every battle in your life; it won't last forever. This is what you can know about every BLESSING in your life; it won't last forever. So, if you're in a blessing right now, enjoy it, because there will be another battle right now , endure it, because there will be another blessing.

  • @selinanguku
    @selinanguku Рік тому +1

    Nafuraia.naamani.kusikiliza.nyimbo.za.rose.mhando👍🙏❤️

  • @abrahammchomvu7140
    @abrahammchomvu7140 3 роки тому +1

    Upo vzur dada etu nashukuru mungu umerud kweny gosp cze daaah nikisikia nyimbo zao nataman kuokoka

  • @rennathacharles5585
    @rennathacharles5585 3 роки тому +3

    I love u sana rose, natamani ata siku moja nikutane na wew. Hakika umenilea vizuri saaaana kiimani,
    Mungu skubariki saana.