PATANISHO : NILIMPA PUNISHMENT YA KUMFUNGA MIKONO JUU ALIKUWA ANAUZA VITU ZA NYUMBA
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho Z#gidinaghost
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
I agree with that dude, Radio Jambo should consider increasing the time, some of these callers have alot in their minds they want to unwind and the platform provided by Jambo is great but it is very short.
Respect to the mother removing the daughter from the abusive husband!!!
Gidi Guantanamo bay 😂😂😂 aki Gidi you are funny 😂😂😂
Imagine waaaah aki mm habana huyu mwanaume tawe😢😢😢
Hakuna bibi hapo, 2 weeks missing😅 hapo kuna mtu mwingine. Tafuta pesa bro😂
Yani nafungwa mikono kama nimelewa ama eeeeeh🏃🏃
Daaaah huyu jamaaa 😢 ana roho ya kigaidi
Hii ni kali sana
Zingine ni movie i swear
Hyu jamaa alikua na nia gani, 😂😂daah hyu anaeza kuua huyo bibi achunge pia
bibi alikuwa anahamisha vitu kuanza nyumba kwingine😂😂😂😂
Jamaa ana taka kumsulubu bibi 😂😂😂
Sasa vijiko unashikisha aje 😢uyu dem inaka n mwizi
Wawawawa
Balaa!
Huyo n mwizi ulifanya poa kumfunga 😹😹😹
😅😅😅😂😂😂😂😂😂anauza akipeleka kwa Waganga
😂😂😂😂😂😂
Hii patanisho ni Kenya kweli?
Balaa
Huyu jamaa alikua na machungu kweli 😊😁
Kenya siami 🤣🤣
Mimi Kaa Doreen siezi msamehe 🤣🤣..for a second I thought you are calling me🫣
Kwani ulifungwa pia🤣🤣🤣🤣
@@bonifacemutula5415 noooo,just that the girl is my namesake
😂😂😂
To me,,wote wako na makosa
Huyu mwanaune Ni mjinga Sana how wish ingekuwa yeye na angekufa😢
Kuna Watu na viatu.
Huyu jamaa ni Akala ya masaai.
Mke naye ni don't care.
Watu ufungwa mikono aje ?mimi nakosa na mimi ndio niko chonjo kuliko asikari wa kanjo tena mimi mkali kama Simba so hiyo time ya kufunga mikono huwezi pata
😂😂😂😂 kufunga mtu mkono 😂😂😂😂
Apolog must be written 😂😂😂😂
Ehehe eti ufunge mtu mikono jaman hta kama😳😳😳
gidi......ukuwe tu wakili....unajua ku deal na ngori
Hii ni ukatili wa hali ya juu
western lazima upeleke barua Gidi
Watu wa Western ambao hawataki kuandika barua wasiwe na hofu. Wakipigia Kang'ata wa Barua kura awe gavana wao hiyo shida kwisha.
Hii ni uchawi ya Webuye, Muhesh Martin Pepela aingilie kati, mzungu wa western
huu ni uchawi mdogo
😂😂
Kilikua na shida hapo, mke hawezi huza vitu kwa nyumba bure maybe hapakua na chakula ndo ikafanya hayo yote. Hata mm kuna siku nilibeba viatu za kazi niende niuze but nikakaa jini nikafikiria nikaajana nayo na hapo mtoi amelia njaa mpaka anefaint,hapo mtu ako na payslip nilichoka na nikaondoka kwa amani
Woiye 😢
Very true unless the woman has mental illness
Sasa mtu kama mimi nifungwe mikono aje Sasa
Radio ya waluya
Labda mmume alikuwa hanunui chakula kwa nyumba ndio dorini alikuwa anauza vitu kwa nyumba
😅😅😅
Huyo bibi alikua gaidi ukiona bibi akiuza vitu kwa nyumba huyo ni more than a witch though na yeye kujana alienda too much haikua tufike hapo bro wewe ulienda too much nah
Hawa wanaume ni wale wanauwanga wezi Kwa barabara
Eeeh bibi ako na makosa but hapo pa kumfunga alikosea
Hio ni unyama, he need to be in jail
The wife should be Jailed for theft
ndio jamaa alifanya vibya lkni uzuri aljzlu
Huyo Ni mtoto wa wenyewe jamani kama angekuwa Mimi mamangu angekukuta na panga cheza wewe na vile Aliona siku ndefu kunitoa tumboni
Kwani unatetea wezi
scripted