GnG:PT:S09:E013:Patanisho: Mume awachwa kwa mataa asiamini mkewe aweza muacha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 224

  • @wambuiwamwangi4128
    @wambuiwamwangi4128 5 років тому +29

    Woi women are going thru alot..God i can only thank u for a peaceful marriage..18yrs ...asante mungu i wont ever take it for granted

    • @unagertrude9411
      @unagertrude9411 5 років тому +1

      Amen....may I tap into your blessings...

    • @wambuiwamwangi4128
      @wambuiwamwangi4128 5 років тому +2

      @@unagertrude9411 guess am just lucky ..am 41 married for 18yrs..God has been ebenezer..
      Blessings to u too

  • @ochiengatienolilian8921
    @ochiengatienolilian8921 5 років тому +31

    I like mama Gloria, she's such a strong woman, kaa ngumu mamaa a, hii tuktuk inabeba kila abiria Wachana nayo 🤣🤣🤣

  • @bettyohawa5930
    @bettyohawa5930 5 років тому +7

    Mama Gloria go on with life wachana na Hugo mwanaume mwenye tamaa

  • @godsproperty2956
    @godsproperty2956 5 років тому +23

    Na c uchague kwa hiyo list uweke kwa nyumba? You don't know the value of the gold you have till when you lose it...mama Gloria jipange wachana na hii mbulukenge

  • @tabbywambs3205
    @tabbywambs3205 5 років тому +8

    Mi acha tucheke na ghost🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 років тому +9

    Huyu ni mume WA mtu Ama huyu ni community husband, Hana haya 🐶🦍🐺, when woman loves u may think she is a fool, but when she decides to leave not even the devil can stop her!

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 років тому +10

    Gidi hao wanaume wapole waogope ni silent killers

  • @fiddiggokirimi9630
    @fiddiggokirimi9630 5 років тому +2

    Jipe shughuli na uoe ujeuri wako na hao mipango. Simama wima mama gloria.God will give you strength to move on.

  • @annymoraa5413
    @annymoraa5413 5 років тому +46

    Ndoa kwangu ni ndoto nani mwingine kama mimi

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 5 років тому +1

      Nko ndaaaaaaani hii ujinga siezani nayo

    • @Jmwamuchemi
      @Jmwamuchemi 5 років тому

      Riche Llenos 😂😂😂😂😂

    • @loisegitau4897
      @loisegitau4897 5 років тому +6

      Hope usitafute bwana za wenyewe please. Kaa hivyo single bila Jamaa

    • @Jmwamuchemi
      @Jmwamuchemi 5 років тому +2

      Loise Gitau 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 That got me dead

    • @roselineawinja6604
      @roselineawinja6604 5 років тому +4

      @@loisegitau4897 my dear kukaa single haimanishi mabwana za wenyewe,kwani hakuna wanaume single????

  • @bettysadia322
    @bettysadia322 5 років тому +23

    When a woman is fed up there’s nothing you can do about it

  • @fancymercy814
    @fancymercy814 5 років тому +6

    When a woman loves.......she loves 4 really,and when she hates.......!4get 😲 😲.

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 років тому +3

    Waaaah ukiachwa achika ,ukihanya kumbali kuachwa,better kuosha hamam forever

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 5 років тому +3

    A woman has one weakness..akipenda amependa..na akiamua kukuacha kwishaaa.
    Tafuta hao Rozy mama gloria asha mov on..jacket itavaliwa bila nguo....😂😂😂😂

  • @pstleilaciku7171
    @pstleilaciku7171 5 років тому +5

    Hii video ya leo iko sawa, mume improve 👏👏

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 років тому +3

    😂😂😂😂😂😂jacket bila nguo waaaa hizi zimekua ndoano walaih

  • @kancelarmnyolow6766
    @kancelarmnyolow6766 5 років тому +2

    #GHOST hicho kicheko chako kitafanya tuwachwe sana
    Punguza big bro 😆😆😆😆😆

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому +5

    Hello team kujiamini nawaona tuu sana.nm Nimejikuta number 5 hapa hapa

  • @sheilahbarongo3653
    @sheilahbarongo3653 5 років тому +2

    Kubali umeachwa ndugu yangu🤣😂🤣😂🤣kwani nani alisema ety mke kaxi yake n kukaa home na kulima ,, this guys seems to be polite but hatari na hiyo list yote waah.....pongexi sana mama move on with your lyf

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому +7

    Yani Huyu mwaname ako na long team of sweet name's l like this story of girlfriend on one man..Aki Kula ujinga wako na more sweet girlfriends of yourself. Ukamake your wife goma Kula ujauri wako😅😁😃😀😅😅

    • @lilliannelima7009
      @lilliannelima7009 5 років тому

      Usha fika

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 років тому

      @@lilliannelima7009 😅😅😂😁😀😂kama kawahida kusikiza vile watu wataka kutulia n.a. bibi mmoja

    • @Simbighilia
      @Simbighilia 5 років тому +1

      Hawa watu wapole ni waziri sana hawaeleweki.garamia uanyaji wako.

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 років тому

      @@Simbighilia Tena sana my dear

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 років тому

      @@lilliannelima7009 kabisa niko hapa

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 років тому +2

    alikuwa aki shook si ungesema ulikuwa na mpango wa kando😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jackiendambuki4788
    @jackiendambuki4788 5 років тому +1

    Aky kichapo sababu ya mpango wa kando hapana alafu hawa madem wote waaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @essynyakundi4471
    @essynyakundi4471 5 років тому +3

    Ghost.kuacha kila kitu imaanishi utarudi kwa iyo ndoa.Mimi niliacha mpaka underware 2yrs now down the line nasiwezi rudi kwa hiyo ndoa,wololo.

  • @atuyade1
    @atuyade1 5 років тому +4

    Umewachwa ndugu, hii tabia ya wanaume kupiga wakina dada wachana nayo.

  • @mariahtibbs8136
    @mariahtibbs8136 4 роки тому +3

    Radio jambo shouldn’t tolerate abusive marriege abusive relationships ,and since they are here to help helpless man or woman ...they should get free counseling and free court for child support so they can help more.......many men are walking free out there making babies and forgetting their children or women out there making babies and leave them with their fathers at young age....we shouldn’t laugh at people’s misfortune 🥺🥺 my thoughts

  • @shiru449
    @shiru449 4 роки тому

    Ebu ongea😁😁🤣🤣. Si huyu mwanaume ni mzituuu!

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 5 років тому +7

    Boniface uko 32yrs na wewe uko na mipango ya kando. Mpenda vyote hukosa vyote.😂. Na bibi huwa hachapwi please.

    • @everlynmanigamaniga818
      @everlynmanigamaniga818 5 років тому

      Jamani unashangaa ati 32yrs anamipango. Ikiwa Wa 50yrs to 70yrs bado wanachepuka atakua Boniface 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na alikua nawengu duuuh

    • @loisegitau4897
      @loisegitau4897 5 років тому

      @@everlynmanigamaniga818 Afadhali wa 50 na 7yrs coz wamemaliza kuzaa na wako na pesa na Mali. Huyu ana Nini wa 32 na ndio anaanza maisha Jameni.

    • @everlynmanigamaniga818
      @everlynmanigamaniga818 5 років тому

      @@loisegitau4897 kweli aki atauma ujeuri afu mama Gloria ako na hasira 😂😂😂😂

  • @najma3268
    @najma3268 5 років тому +1

    Wakenye mnakipindi kizur sana , ananivunja mbavu huyo anaecheka watu wanahasira washatendwa vya kutosha 😂

  • @eunnyq3126
    @eunnyq3126 5 років тому +4

    Najivunia kuwa Single hawa wanaume ni wasumbufu sana

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 років тому +2

    Bon unaweza make grup ya family 😂😂😂😂😂😂 ww kweli ndiye mwanaume waaaaaaa

    • @morinemcute6875
      @morinemcute6875 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uchelewi

  • @beatricekarisa7145
    @beatricekarisa7145 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Giddy rudia hii patanisho,haki umenimaliza leo😂😂😂😂😂👊

  • @jackiendambuki4788
    @jackiendambuki4788 5 років тому +1

    Aty mpango wa kando 😂😂😂😂😂😂wololo 😂😂😂😂😂😂😂noma Sana.

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 3 роки тому +1

    Mtu anakusumbua ati juu uko kwake sasa unapompatia nafasi anashindwa kuitumia na vinyangarige wake. Huyu mzae ashindwe kabisa na alegee akwende akikauga fyuuuuuu

  • @bwanamoemmah6836
    @bwanamoemmah6836 4 роки тому

    Ghost Aki unaeza cheka mtuu Sanaa ,, but with this man he's afool and a luhya too l hate tourchers and mistreatment of what woman pass through kindly l feel for her coz was ones avictim

  • @terrymduda6650
    @terrymduda6650 5 років тому

    Achukue mmoja kati ya hao...mama Gloriah nenda zako hii ni sumu

  • @samsokes4085
    @samsokes4085 5 років тому +5

    Hehehe, Nomaree , hao ni wengi for a married man

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 роки тому

    Mimi siwezi kaa na mwanaume town Mimi Niko mashambani hehehe never

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому +2

    Namna hiyo mwanamke Ni kujiamini dada

  • @nancykasuti9930
    @nancykasuti9930 4 роки тому

    Fuliza 😂😂😂🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅👌👌👌👌👌👌

  • @annkitiria943
    @annkitiria943 5 років тому +2

    Hehehe eti mndito aki nmecheka

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 років тому +2

    jinga ni wewe Boniface unaezaje chapa mke wako mbele ya kubuff ingine nkt huyu ata anafaa kugongwa

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 років тому +2

    Ukiona mwanaume ameweka bibi ocha jua ana mwengine upende usipende 🤔

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 5 років тому

    Waha mwanamuke akitosheka once never come back

  • @nurumwangaza8581
    @nurumwangaza8581 5 років тому +1

    Miriam,rozy,phozy wah hao wote,wanaume akili zao ziliishia tu kwa...........

  • @annaj7157
    @annaj7157 5 років тому +2

    😒😒😒sio poa kupiga bibi juu yamwingine nivibaya sana

  • @ronahemmajay1807
    @ronahemmajay1807 5 років тому

    Ghost ameshindwa kushikilia kicheko😂😂😂

  • @winiewinnie2770
    @winiewinnie2770 5 років тому +2

    Ghost yawah hiyo kicheko surely ni kipawa yawah

  • @roselineawinja6604
    @roselineawinja6604 5 років тому +1

    Mama Gloria chapa kazi ulee mtoto, achana na hio kitu haina akili

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 5 років тому

    Mwanaume akishaachwa ndo anajifanya humble utadhani hajui kitu alifanya!

  • @periswarish7022
    @periswarish7022 5 років тому +3

    Hii maneno sipedi unipelekea ushago na wwe ukaea nai hinyo siii ndoa nikujifanya una mkea

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 років тому +4

    Hii tambia ya kuacha mabb ushagoo wanaume waache

    • @maurinekhasila3326
      @maurinekhasila3326 5 років тому +1

      Niko hapa wataacha ujinga wanaume..Ni mm Sweet mum wake Hahaha

    • @agneswanjihia1383
      @agneswanjihia1383 5 років тому

      @@maurinekhasila3326 nakwambia

    • @maurinekhasila3326
      @maurinekhasila3326 5 років тому +1

      @@agneswanjihia1383 wanaume kama uyu ndio anaweza leta ugonjuwa kwa famiya

    • @agneswanjihia1383
      @agneswanjihia1383 5 років тому

      @@maurinekhasila3326 imagine mm nilisema wacha nioshe hamam

    • @carosmwongela2823
      @carosmwongela2823 5 років тому +1

      @@agneswanjihia1383 tujitengemee my dear

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 роки тому

    Huyu mwanaume ni mbaya sana

  • @aminanzavi4267
    @aminanzavi4267 5 років тому +3

    Ma Bibi ni kama time ya mpira, chukua hao uoe wacha kusumbua sumbua

  • @catemumbi9088
    @catemumbi9088 5 років тому +2

    Hee wacha nikae single 🤣😂😂staki stress

    • @loisegitau4897
      @loisegitau4897 5 років тому +1

      Hope Huna Jamaa wa wenyewe sponsor? Usiharibu boma ya watu please. Be single kabisa bila Jamaa.

    • @mochogebernard5712
      @mochogebernard5712 5 років тому +1

      Mumbi, ukae single n 2ko hapa....aki,,

    • @catemumbi9088
      @catemumbi9088 5 років тому

      Loise Gitau kwani lazima ue na mwanaume

    • @catemumbi9088
      @catemumbi9088 5 років тому

      mochoge bernard 😂😂😂single and happy silazima mwanaume ama mwanamke

    • @mochogebernard5712
      @mochogebernard5712 5 років тому +1

      @@catemumbi9088 cateM,,,, yawa, in case then, Niko..

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому +2

    Gidi ulisema kazi hii nikuvumilia tuu please Rudu kukall tusikie vile kutaenda kama wife atakubali kurudi kwa bwanake.HahahAha Gidi kumbe ulikuwa ushaona Mbele Mbele wife asha move on

    • @agneswanjihia1383
      @agneswanjihia1383 5 років тому +1

      Huyu mzee nimhanyi sana,wacha a move on aki

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 років тому +1

      @@agneswanjihia1383 Hapo ndio atajua kutulia na bibi Mmoja ni usafi

    • @sweetmumwake9729
      @sweetmumwake9729 5 років тому +1

      @@agneswanjihia1383wacha atembeze kiatu Mbele mbele

    • @agneswanjihia1383
      @agneswanjihia1383 5 років тому

      @@sweetmumwake9729 sure dear

    • @agneswanjihia1383
      @agneswanjihia1383 5 років тому

      @@sweetmumwake9729 😂😂😂diyo anjuwe nwanamke moja ni muhimu

  • @beatricekarisa7145
    @beatricekarisa7145 5 років тому

    "Ati patanisho"😂😂😂😂

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 5 років тому

    wacha2 nisaidie gost kucheka 😀😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nikweli gidi watu wapole ni moto wakuotea mbali .

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 5 років тому +1

    Eliza, rozy, fossy and Miriam na bado unanitafuta kwa patanisho hee!!.. Idiot man tembeza makende mbelembele ala!!!!... Shenzi!!!!

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Gidi sitaki kucheka

  • @nancynjogu4
    @nancynjogu4 5 років тому

    Bonny ukiachwa achika,,, heee siuko na ma gal friend wengi,,, nikiwa wife siwezi rudi, afathali nioshe hamaam kwa mwarambu,,, juu sitaki streess za wanaume,,, pili, usichape wife ju ya mwanamke mwingine,, waaa mshikila🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 років тому

    Haiya 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🖐🖐acha ni baki single hio life ya kuchanywa kama githeri na waru carrots cabbage apana Dadaa tembeza kiatu hapo hakuna ndoa muachie hio list alfu huyu mwaume ako na wivu juu bibi ameacha mtoto na wife ako job Nairobi mmmmmh 👀👀👀👀

  • @divinahombati9193
    @divinahombati9193 5 років тому

    Ndoa ni mchuzi hehehehe nani anipatanishe nami niongee kwa radio

  • @mercykinuthia5695
    @mercykinuthia5695 5 років тому

    Hataree most men don't know the gold they have and it's value until it's lost or gone that's they realize it was pressious

  • @alinebenja3925
    @alinebenja3925 5 років тому

    Mtu akae pekee yake kuoa ni ya nn na bado unatangatanga....mama gloria maisha lazma itaendelea wachia kina elizah uyo jamaa

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 років тому

    Kwani ni mzuri aje ako na group ya slayqeen

  • @makavelianism
    @makavelianism 4 роки тому

    Ghost hizi story humbamba sana , hicho kicheko.

  • @aishasalem2568
    @aishasalem2568 4 роки тому

    Yes hivyohivyo ukizingua utakula jeur yako

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 5 років тому +3

    Wakwanza leo

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 років тому +1

    my friend, try find another lady

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 роки тому

    achana nayeye, atakutafuta wakati ameshindwa

  • @hawababy4777
    @hawababy4777 5 років тому

    Hii story tamu san hahhhhhhhh

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 років тому

    Hiyo mlolongo yotee yawa michepuko Boniface kula kiburi chako

  • @ertheradhiambo6101
    @ertheradhiambo6101 5 років тому +1

    Huyu ashaachwa a move on namaisha yake

  • @kareembashir4064
    @kareembashir4064 5 років тому +2

    Waluhya manenos

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 років тому +1

    Hata mimi nliacha kilaki2 cna time ya kubeba vitu eshiiiii

  • @sawa8171
    @sawa8171 5 років тому +1

    Hatari😢

  • @nytor507
    @nytor507 5 років тому +1

    Ma🐈 ghaiii

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 5 років тому

    Wacha ni watch Ng'ang'a nitarudi kumalisia

  • @ديبديب-د6ف
    @ديبديب-د6ف 4 роки тому

    Ukitaka bibi mwenye mnafanana tabia owa dada yako

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому

    Maskini huyu msichana jamani wanaume ongerenisana

  • @andrewmbuvi5804
    @andrewmbuvi5804 4 роки тому

    hehe lipa fuliza 15:36

  • @Jmwamuchemi
    @Jmwamuchemi 5 років тому

    Wah!

  • @raylynewakimangoes4185
    @raylynewakimangoes4185 5 років тому +1

    Mulai🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rodgersbaraza446
    @rodgersbaraza446 5 років тому

    Ukiwachwa kubali kuwachika pia ambulance huwa unalima ikiendanga jipe shughuli jamaa

  • @stellahstellah5201
    @stellahstellah5201 5 років тому +1

    Mama gloria kanyaga mbele mbele huyo sio bwana#community husband

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 роки тому

    sauti mbovu yenye kibureee

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 5 років тому +1

    Kwani Boniface ni tuk tuk??

  • @dorrymutheu6717
    @dorrymutheu6717 5 років тому

    Ujipange mwanaume umeshaachwa

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 5 років тому

    Jipe shuguli kaka

  • @King-Jack-ryan
    @King-Jack-ryan 5 років тому

    Haki mwanaume wakukupiga hiyo sio poa

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 роки тому

    This is too much Malaya ya high class

  • @janetsaidi8272
    @janetsaidi8272 5 років тому

    ndoa ndoano

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 5 років тому +3

    Ghost na kicheko itabidi nieke ringtone

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 років тому

    Hawa wanaume na mipango za kandoo ooooffffuuuuu simuishi basi na hizo mipango kuliko kuoa juu hamtosheke na wife

  • @khadijaodumo415
    @khadijaodumo415 5 років тому +3

    Gidi am inlove with ur lips

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 років тому +1

    Ukiachwa wachika

  • @harrietgombe6088
    @harrietgombe6088 4 роки тому

    Huyu ni sambuli ya mongoose

  • @anthonybaliat8004
    @anthonybaliat8004 5 років тому

    Please do yourself a favour and pull that jimmygaitt plug off

  • @winnieodhiambo3511
    @winnieodhiambo3511 5 років тому

    Tabia ya abandu...kuoa kupeleka nyumbani anabaki Nai kazi nikutuma salamu kwa radio na MWK.buuuuuuuuuuuuuure..... flat.

  • @ديبديب-د6ف
    @ديبديب-د6ف 4 роки тому

    Ukiachwa achika

  • @mercykagure4548
    @mercykagure4548 5 років тому

    bure kabisaa