Forget what the man did or didn't do for you ....enda ukitaka, but beba watoto please you will regret later in life.......how can you sleep without knowing how your kids are?.......you will need them one day believe you me and it will be too late to bond with them. By the way am speaking as a single mother who fought in court for my two children custody when I was 24yrs. I won because of their young ages.....( because even the law supports very young children should remain with the mother).I have never regretted the decision of keeping them. Am a proud grandmother now and still single. With God nothing is impossible.
carol Mungu akuongoze ni ukweli ndoa ikikataa imekataa pole sana kuwa Huna uwezo wa kusaidiya watoto,maneno mabaya kwa ndoa siyo mazuli ujenga chuki kwenye familia na hilo ndo result yake
mimi nilikuwa naenda vibaruwa za kulimia watu ndo watoi wakule, nichimba mitaro barabarani na nilikuwa na mwanaume kwa hao. yeye alikuwa afanya boda ya piko bt kila akitoka mornin akirudi jioni hana hata 10bob, nikijaribu kumuuliza hata sabuni anasema hana. nilizidi kuvumilia ju nilipenda niwe kwa doa ju niliku wa niko na watoi. bt sikuhizi mvumilivu hula maumivu nilivumilia hadi nikachoka, umalaya alikuwa wa kwanza kulala inje akirudi ukiuliza ananichapa. watoto wangu hata nikitoroka ka nimepigwa naenda nao kwetu nakaa huko akinifwata narudi tena na sikuwahi toka inje ya ndoa kwa ajili ya shida nilikiwa nawahurumia watoi na pia mwenyezi mungu alinihurumia maisha yote nilikaa kwa hii ndoa ju huyo mwanaume angeniletea ugonjwa bt sikukosa kumuomba mwenyezi mungu. sasa sahizi bado analewa ameowa wanawake wakienda hajawahi pata mwanamke wakumvumilia hadi xasa. wamama jameni ukiwa kwa ndoa angalia watoi sio kitu kingine hata akikufukuza toka na watoto usiwaavhe
Huyu Samwel it seems ni mtu mgumu sana hata kama anasema warudiane na huyu mwana dada and anaweza kumwambia sikupi yata ndururu, it's difficult kama akiacha job aende home kuka na watoto wakitegemea huyu jamaa, its better afanye job na akumbuke watoto wake.I think ni life difficult na kutomwamini imefanya huyu dada achukue huo musimamo.
mimi ni mama yako mama yako ako nyumbani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hki hizi doa mushkra kidhil 😅😅😅😅😅Gidi ushawai ona panya ikicheka 😂😂😂😂😂😂😂hio nikali kweri leo ilikua tenganisho
Ghaaaiiii huyu msichana Hana roho ya huruma Aki Mimi siwezi kuacha mtoto wangu Heri nifee nao liwe liwalo,I can say shame on you Caro mtoto Ni wa mama not baba then bado Ni wadogo Sana nimefeel Aki
Betty Philip Aki nehurumia watoto swrthrt hata Hana aibu ansema first born ako 5 mwingine 4 then amewaacha really?then akipatana mwanaume mwingine atamwambia Hana mtoto😑Caro ile my utakuchoma utashangaa
Caro tafuta pesa Dr acha hio ng'ombe ikae Apo Wangu niliacha wakiwa n 4 na 3 nanikabeba mtoi wa 6month so alioa tena mmi bado Niko tena xana niko Dubai akona watto wake my friend mwanaume akikudharau uwezi fnya kitu
nakwambia wanaume waluhyia ni noma, im aluhyia nikaokewa kwa mluhyia mwezangu bt 20yrs kwa ndoa niliona cha moto. wivu ya kwaza matusi , wengi wao hawaheshimu kwenye umetoka bt caro watoto usiwaingize kwa mammbo zako na mume wako, chukuwa watoi kaa nao ju hao watoto wakikuwa wakubwa watakuja kukataa cku moja. mimi nilikuwa napigwa akija kama amelewa nala inje bt sikuwa naacha watoto afadhali nilale kwa mtaro bt watoi wangu siezi wacha. afadhali mwanaume anivunje mguu au mkono bt watoi simuachii wallahi, so caro chukuwa watoto pliz.. mimi nilitoka kwa huyo mume baada ya kuvumilia 20yrs nikamnyan'anya watoi niko saudi naosha choo za waarabu nawasomesha mmoja amemaliza 4m four, wawili wako 4m 1, wamwisho yuko std 2 na mimi ndio mama tena baba ju mda wote tulitengana hajawahi badilika so nashukuru mwenyezi mungi kwa yote. caro chukuwa watoi pliz. team hammam mpoo!
Team kujiamini, nilifikiria I'm the only one God bless us all single mamas, wangu inshallah next year atakuwa candidate 8, mwingine class 5,mwingine 3 .hao ndio faraja yangu soon going to see them for a vacation this month
comments nazo!!🤓🤓🤓😛!! Anyway, Carol welcom to single life maisha bila stress wewe sasa umeshaa kuwa tajiri juu 4now hauna wa kukupimia mahewa ishi unavyo taka enjoy your self as u want but my dear , hapo mahali pa watoto ebu jifikirie vizuri hapo hauja toa uamuzi sahihi endea watoto wako bwana after nine months alafu uwaache wateseke baaane!!acha mchezo bwana waingo
@alifungulia kuku akaaja wakkula nyanya😂😂😂😂😂😂😂😂😂@sina hata sumuni mahitaji ni mob yawa pesa ya wanaume , madam fanya kaxi sipite si ndwele😂😂😂😂😂......mpe tme atastyle up.
Waah mbaraka mbaraka haina halaka na yaliyo ndwele sipite...Unga ya mixico bado kufika Ukambani ....Carol cum down mlee wakid bana....Pesa n kama ukimwi na kila mtu hana
Hata nililala chini ya lorry cwachi watoto wangu kwa mwanaume,, niliona utamu wa kuwacha watoto vidonda mwili mzima kukonda nayo,, watoto ni wa mama c baba
Lavine Atieno My brothers wife alienda na watoi bt tulishangaa mameke msichana akitupigia twende tuchukue watoto cz wanateseka.My friend tulipata watoi na vidonda kwa kichwa.Tulienda na watoi na to date wako sawa na tukiwauliza kama wanaeza enda kusalimia mama yao wamekataa.
Hehehe mimi watoto wangu wadogo n form 1 na clas 7 mwanaume amegwamilia nashinda tu niki call watoto wangu, ndo itakua 5yrs n 4yrs hehehe hapo nkufa mimi
Clever woman.any woman who leaves with children is a fool.coz mwanamke ndo huumia kwanza mwanamme hatakushughulikia na watoto, plus hautaona mume wa kukuoa.all single women who go with children are fools in reality.thats why hampati mabwana. Mwachie watoto wake.watoto ni wa baba.kabisa haukuja na watoto.ukienda nao hautapata mume wa kukuoa.its his responsibility
i wish huyo bwana hangemtafutia kazi yani unapata job unaquit marriage na pia watoto ....sam pple ........wanashagaza haram kids .....mamayao hawajali.....((sad))
patanisho inaeza kukufanya uzeeke bila kujijua uko single ukiwa unangoja a fallen angle uoe n haitatokea huyo si mwanamke wa kuweka kwa nyumba samwel pole myb ulikosea ubavu wako
This guy should be man enough... Accept situation,Move one. Take care of your kids. Block that woman and shift to another town. God will help you. Wangu aliniachia twins wakiwa 1 yr old,right now wako form 1.Some women are completely complicated.
Tafadhali patanisho kuwa mkiangalia mawasiliano ya watoto ambao wanateseka. Has nothing to do with the broken relationsip issue at hand. Fuatilieni. God will bless you.
Forget what the man did or didn't do for you ....enda ukitaka, but beba watoto please you will regret later in life.......how can you sleep without knowing how your kids are?.......you will need them one day believe you me and it will be too late to bond with them. By the way am speaking as a single mother who fought in court for my two children custody when I was 24yrs. I won because of their young ages.....( because even the law supports very young children should remain with the mother).I have never regretted the decision of keeping them. Am a proud grandmother now and still single. With God nothing is impossible.
hahaha am stuck hapo kwa mshahara...Patanisho Noma sanaa
carol Mungu akuongoze ni ukweli ndoa ikikataa imekataa pole sana kuwa Huna uwezo wa kusaidiya watoto,maneno mabaya kwa ndoa siyo mazuli ujenga chuki kwenye familia na hilo ndo result yake
Wanawake wengine wako na roho ngumu siwezi wacha watoto wangu.
mimi nilikuwa naenda vibaruwa za kulimia watu ndo watoi wakule, nichimba mitaro barabarani na nilikuwa na mwanaume kwa hao. yeye alikuwa afanya boda ya piko bt kila akitoka mornin akirudi jioni hana hata 10bob, nikijaribu kumuuliza hata sabuni anasema hana. nilizidi kuvumilia ju nilipenda niwe kwa doa ju niliku wa niko na watoi. bt sikuhizi mvumilivu hula maumivu nilivumilia hadi nikachoka, umalaya alikuwa wa kwanza kulala inje akirudi ukiuliza ananichapa. watoto wangu hata nikitoroka ka nimepigwa naenda nao kwetu nakaa huko akinifwata narudi tena na sikuwahi toka inje ya ndoa kwa ajili ya shida nilikiwa nawahurumia watoi na pia mwenyezi mungu alinihurumia maisha yote nilikaa kwa hii ndoa ju huyo mwanaume angeniletea ugonjwa bt sikukosa kumuomba mwenyezi mungu. sasa sahizi bado analewa ameowa wanawake wakienda hajawahi pata mwanamke wakumvumilia hadi xasa. wamama jameni ukiwa kwa ndoa angalia watoi sio kitu kingine hata akikufukuza toka na watoto usiwaavhe
😂😂😂 mum....mamako yuko nyumbani ...woiyee Caroline chukua watoto wako kuliko kuuacha wakiteseka .
Huyu Samwel it seems ni mtu mgumu sana hata kama anasema warudiane na huyu mwana dada and anaweza kumwambia sikupi yata ndururu, it's difficult kama akiacha job aende home kuka na watoto wakitegemea huyu jamaa, its better afanye job na akumbuke watoto wake.I think ni life difficult na kutomwamini imefanya huyu dada achukue huo musimamo.
mimi ni mama yako mama yako ako nyumbani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hki hizi doa mushkra kidhil 😅😅😅😅😅Gidi ushawai ona panya ikicheka 😂😂😂😂😂😂😂hio nikali kweri leo ilikua tenganisho
Huyu msichana mzae wa watu anafanyia kazi anaona atanyemelea Shenzi Wewe msichana watoto ni wa mama
Ghaaaiiii huyu msichana Hana roho ya huruma Aki Mimi siwezi kuacha mtoto wangu Heri nifee nao liwe liwalo,I can say shame on you Caro mtoto Ni wa mama not baba then bado Ni wadogo Sana nimefeel Aki
noreen itenyo omukhasi uyu ne liura.watoto muhimu
Betty Philip Aki nehurumia watoto swrthrt hata Hana aibu ansema first born ako 5 mwingine 4 then amewaacha really?then akipatana mwanaume mwingine atamwambia Hana mtoto😑Caro ile my utakuchoma utashangaa
Betty Philip ukweli Ni ling'ang'ule
Huyu mama ni mwendawazim
noreen itenyo mwanamke hajali watoto mmmmh
I just like how Gidi gives men time to explain themselves but cuts women short.
Aki sisi ma husstle huwa tunakosana kiufala 😂😂😂ati kuku ilikula nyanya akampiga mbaya Sana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
alizoea kula skuma now amebadilisha diet..sasa watoto wataumia...this woman is a joke
Mnatesa watoto sana,huyu dem ako sponsor.
ghai Mimi ni mamako seriously😂😂😂😂
Jesus christ!!!!....🙆🙆🙆...my kids no way...i'll walk with them werever i go....this lady has no mercy..may God open her heart.
Waaa Mm siezi acha mtoto wangu aki this woman ako na roho chafu aki
Caro tafuta pesa Dr acha hio ng'ombe ikae Apo Wangu niliacha wakiwa n 4 na 3 nanikabeba mtoi wa 6month so alioa tena mmi bado Niko tena xana niko Dubai akona watto wake my friend mwanaume akikudharau uwezi fnya kitu
Caro una roho kama Jiwe watoto wako kweli.
The poor children.
Mothers please don’t leave your children. No matter what. Beba watoto wako! NEVER LEAVE THEM!!!!!
nakwambia wanaume waluhyia ni noma, im aluhyia nikaokewa kwa mluhyia mwezangu bt 20yrs kwa ndoa niliona cha moto. wivu ya kwaza matusi , wengi wao hawaheshimu kwenye umetoka bt caro watoto usiwaingize kwa mammbo zako na mume wako, chukuwa watoi kaa nao ju hao watoto wakikuwa wakubwa watakuja kukataa cku moja. mimi nilikuwa napigwa akija kama amelewa nala inje bt sikuwa naacha watoto afadhali nilale kwa mtaro bt watoi wangu siezi wacha. afadhali mwanaume anivunje mguu au mkono bt watoi simuachii wallahi, so caro chukuwa watoto pliz.. mimi nilitoka kwa huyo mume baada ya kuvumilia 20yrs nikamnyan'anya watoi niko saudi naosha choo za waarabu nawasomesha mmoja amemaliza 4m four, wawili wako 4m 1, wamwisho yuko std 2 na mimi ndio mama tena baba ju mda wote tulitengana hajawahi badilika so nashukuru mwenyezi mungi kwa yote. caro chukuwa watoi pliz. team hammam mpoo!
Team kujiamini, nilifikiria I'm the only one God bless us all single mamas, wangu inshallah next year atakuwa candidate 8, mwingine class 5,mwingine 3 .hao ndio faraja yangu soon going to see them for a vacation this month
Tupo mam
Huyo wa std 2 I'm sure si wa bwanako
gitii Roho yangu bdo iko kado na mpango ya kado sawaaaa
😂😂😂😂 eeeh unaita nani? mum waaah
yalio dwele sipite😂😂😂😂
membuchenge
Lo!huyu mwanadada nomah joh,,,,ati wanadada alikuanga nao?pesa ni maua Dada uchanua asubihi n.a. unyauka jioni....jifikirie dear sis urudi kwa mume wako. ..hayo n maoni yangu
Hahahaaa ety mama ni mamako.plz chukua wstoto caro plz
comments nazo!!🤓🤓🤓😛!! Anyway, Carol welcom to single life maisha bila stress wewe sasa umeshaa kuwa tajiri juu 4now hauna wa kukupimia mahewa ishi unavyo taka enjoy your self as u want but my dear , hapo mahali pa watoto ebu jifikirie vizuri hapo hauja toa uamuzi sahihi endea watoto wako bwana after nine months alafu uwaache wateseke baaane!!acha mchezo bwana waingo
Classic Cell but take ua kids with u
wewe Ghost..pesa nikama ukimwi kila mtu ananga 😂😂😂😂
Wah Carol endea watoi plz
watoto woiyee watateseka
evaeve mayamei haki
Hahahahaha..eti tenganisho....niokotwe karura
Huyu mwanamke bure kabisa .wengi tumeteswa na waume but tunahama na watoto . siezi achia mwanaume watoto wangu wateswe na mama kambo.
Wah
Wanawake waluhya, aaiiiyi???
Carolina please rudi utuze watohi wako aki
Woii
Nursery na bebi class..unaacha nyuma hata km umekosewa...watoto wangu nafa naoooo shenzi type lady! Ety mamako yuko nyumbani😂😂😂😂😂😂😂
woooi innocent kids r suffering without u carol rudia watoi ...hakama hutaki bwana mind ur kids
Caro hata hao wengine ungepelekea ur mam baba hawezi Leo surely
@alifungulia kuku akaaja wakkula nyanya😂😂😂😂😂😂😂😂😂@sina hata sumuni mahitaji ni mob yawa pesa ya wanaume , madam fanya kaxi sipite si ndwele😂😂😂😂😂......mpe tme atastyle up.
Waah mbaraka mbaraka haina halaka na yaliyo ndwele sipite...Unga ya mixico bado kufika Ukambani ....Carol cum down mlee wakid bana....Pesa n kama ukimwi na kila mtu hana
Ednah Kerubo waaa hio msemo mnona thumb. pesa n kaa nini reality
Ednah Kerubo hahahahaha noma saaana hiii eti unga ijafika ukambani
wavinya ndeti#yalio ndwele sipite
ANNE NGUGI hahahaaa
Justus Mutemi that is how its.Sasa Carol yuamtoroka bwanaake as if hakuna Unga ya Mexico.Utamtoroka mbwa upatane na simba mbeleni.
Hata nililala chini ya lorry cwachi watoto wangu kwa mwanaume,, niliona utamu wa kuwacha watoto vidonda mwili mzima kukonda nayo,, watoto ni wa mama c baba
Lavine Atieno My brothers wife alienda na watoi bt tulishangaa mameke msichana akitupigia twende tuchukue watoto cz wanateseka.My friend tulipata watoi na vidonda kwa kichwa.Tulienda na watoi na to date wako sawa na tukiwauliza kama wanaeza enda kusalimia mama yao wamekataa.
Wanaume waluhya ptooooh ukiwa na dow kiac wanataka uwalishe naww mwanamke unezaje acha watoi wako na kuwakana surely
😂😂😂Mama yako yuko nyumban mm c Mama yako
Hehehe mimi watoto wangu wadogo n form 1 na clas 7 mwanaume amegwamilia nashinda tu niki call watoto wangu, ndo itakua 5yrs n 4yrs hehehe hapo nkufa mimi
Vioja mahakamani hehehe watoi wangu siwezi achia mundurume najua kutafuta
Mwanamke mjinga ata hana huruma n watoto aii!mimi bwana alininyang'anya watoto nikaenda kuiba kama ametoka raha ya mtoi ni mama sio baba
Clever woman.any woman who leaves with children is a fool.coz mwanamke ndo huumia kwanza mwanamme hatakushughulikia na watoto, plus hautaona mume wa kukuoa.all single women who go with children are fools in reality.thats why hampati mabwana. Mwachie watoto wake.watoto ni wa baba.kabisa haukuja na watoto.ukienda nao hautapata mume wa kukuoa.its his responsibility
aki caro pls hurumia watoi
saudiiii ndanii......
ndani kabixa
Caroline Wangui....kwani ni ww???
Livingstone Gichuru ni mm
Caroline Wangui aki umecha watoi...very sad..
Caroline Wangui Ndani kabisaaaaaa
Caro hupendi watoi maa though si lazima urudi kwako,,
Aggy Cherry haki huyu den ni mjinga
Ghost cheka after show wasione ka unawacheka hakuna marriage straight
akuoe,umzalie,alafu mfanye kazi mjenge nyumba kwao?huyu mwanaume mngumu kweli kweli.
Wewe
leo ni tenganisho...😂😂😂😂😂
Wawawawa kucheka nayo nafurahia sana
i wish huyo bwana hangemtafutia kazi yani unapata job unaquit marriage na pia watoto ....sam pple ........wanashagaza haram kids .....mamayao hawajali.....((sad))
uchungu wa mwana aujuae ni mama,kwa ivo mambo ya kusema hukuja na watoto alafu eti watoto si wako ni wake huo ni upungufu wa akili
aki dunia yawa😅😅😅😅
hehe umeshawai ona panya ikicheka wewe😂😂😂
Wanawake kama hautaki kuwa mama jameni msizae, huyu ni shetani.
pole bro MUNGU Asaidie watoto
Aki watoto hawakukutumia barua uwazae huruma Dada hauna , plz.
Caro kumbuka watoto wako wacha kusema niwa mwanaume
Mule anacheka kama mbeya fulani hivi.
Hana sumuni....
Siku moja mume alinikosea nikajifanya nimeacha mtoto wuuwii huo usiku sikulala by 5am nilikuwa kwa huyo mume
patanisho inaeza kukufanya uzeeke bila kujijua uko single ukiwa unangoja a fallen angle uoe n haitatokea
huyo si mwanamke wa kuweka kwa nyumba samwel pole myb ulikosea ubavu wako
Ghai fafa sema kupata salary ya kwanza mpaka unaamua kuacha watoto woyiiii God forbid.......
Kelvin Brontoh huyo..mama ako na .uchungu kwa roho mzee mkono ngamu wacha atafute..zake hatupeberezi wanaume..yet
hahahahahaha sawa mapenz na pesa ni kitu gan poa
huyu mama ni mjinga Sana
Huyu jama hajui kubembeleza mke ati rudi nyumbani iyo sio kubembelezana then mamake pia Alisha sema watoto wapelekwe nyumbani wakae na nynya yao
huyo dem ni dontcare
Hapo noma
ahahaha dunia iko na mambo
hata nikiacha mume wangu watoto siezi wacha OOH MY GOD
aki ww ni mama
huyo caro...Moore fire
This guy should be man enough...
Accept situation,Move one.
Take care of your kids.
Block that woman and shift to another town.
God will help you.
Wangu aliniachia twins wakiwa 1 yr old,right now wako form 1.Some women are completely complicated.
we mwanamke hufai kabisaa,uliona uchungu kweli?au uliokota?
Tafadhali patanisho kuwa mkiangalia mawasiliano ya watoto ambao wanateseka. Has nothing to do with the broken relationsip issue at hand. Fuatilieni. God will bless you.
😂😂😂😂 cheka 2 kama panya
Susan Wairimu kweli anacheka kama panya
ule mama ni mbaya
Caro una huruma na watoi utakula juta but it will b too late, u still hv tm.
Hahahaha hello mum waaaaa niokotwe imo Gidi aenda kucheka kwa kona Hahahaha Ghost
hata huyu mume hayuko serious,na hakai serious na maisha hata kulingana vile anaongea
Regardless of these allegations ile makosa mwadada alifanya ni kuwatoroka watoi wake.
Jamaa ni mbaya sana, kaa Peke yako lady. bwana yako hayuko serious na ndoa.
ndoa ndoana jameni
caro ni the same na mnyama how come unasahao na watoi wenye umeza
caro sio mama anaceka ukubavu
Kwa kuacha watoto sikuungi mkono
Hawa watoto uliokota chini ama ulinunua?..saitani weusi wewe... how can you leave your kids...
carol I doubt alikuwa anatombwa 😂😂😂😂😆😂😆😂😂😆😂😆😆😂😙😗😙🤗
Amepata mtu mwingine anamtomba vizuri😀😀
caro wacha mchezo na Watoi
mke mzuri ndo umpige sipendi mwanamume wakupiga mm
bibi ni wa kugongwa kama gari sio kumpiga kugonga@salama kadzo
Salama Kadzo uhiko
watu machakos nilokoteni Dubai. gidi hii nitenganisho wala patanisho.
kwani mimi mamako mama yako siyuko nyumbani
Caroo mabambo mbaya backwards never
stupid woman....wanawake hupigania watoto wao wewe uko hapo unakataa shame on u
Harriet Kemunto mwambie asikie hana akili hata kidogo eti anawacha watoto
Happy times atoe wapi akili....yeye haoni mateso alikuwa anapitia labda watoi wanaezapitia....ati anaambiwa watoto hawana viatu...hata wafike 6 nitakula umaskini nawao....kwani huyo mzee ndo aliwabeba miezi tisa nugu ya mwanamke
Harriet huyo nikama alichizika bt not all women can do that stupidity
Anahitaji kaslap na kucheka Kama panya
Hata kama sina mtoi wangu siwezi acha
na huko tunaeza pata job ya mens.
Tenganisho
Pesa kidogo unaanza kunakana watoto🤣🤣
kumamayo alimtusi
Mary Kalei Hahahaha
Pit Pit walai
Caro chukua watoi lea Peke yako Wachana Na huyo mume nkt Sina hata sumuni
how can someone abandon her children from her own womb? i feel for the kids. ghai!!! watoto wangu? Caro you are not serious. You will regret