MAPYA! CHIEF GODLOVE AANIKA KUHUSU BODABODA - ''ALIPEWA MTOTO NDANI - HAKUPEWA MTAANI''...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 290

  • @naomilumolwa7864
    @naomilumolwa7864 3 дні тому +3

    Pole sana dd, Mungu akupe uvumilivu ktk hilo. Pia Mungu akujalie upate mtt mwingine.

  • @denisngotezu
    @denisngotezu 3 дні тому +44

    Inalipasa Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kuhusu hili kwani anayejifanya anauchungu na mtoto mahusiano yake na Mama wa mtoto hayajawekwa wazi, huenda ikawa kuna namna ndani yake, why Chief Godlove ajitwike kutetea 😢😢😢

    • @Abbasbaro
      @Abbasbaro 3 дні тому +2

      Ndio yeye

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g 3 дні тому +5

      Kwani wewe ni mtoto ukiambiwa ni baba mlezi ujaelewa vipi angalia ukaribu wa mtoto ina mana uyu chief na jojo ni wapenzi wa mda mrefu na ndio akawa baba mlezi mzazi ina mana alitia mimba akaepa uyu chief akashika usukani ndio akawa na uchungu ata vd nyingi tu yuko karibu nae hapa ni uyu boda ambae ni familia ya joho sio boda tu ni kazi boda ili ni mtu wa karibu sasa hili aidha awe amefanya dill na uyo mwengine wala ilikuaje mana uyu mwengine alijuaje mama ametoka kama sio boda

    • @DevidMwaisumo-z5l
      @DevidMwaisumo-z5l 3 дні тому +1

      Chief godlove ni msamaliya mwema ko tatizo la mama mwenye mtoto hawezi ko chief kajitwika mzigo ili mama mzazi asiwe na pressure

    • @Jacklinejohn7
      @Jacklinejohn7 3 дні тому +1

      Mh mambo nimeng mda mcha he kuna namna hapa

    • @Nengwa-r6p
      @Nengwa-r6p 3 дні тому +1

      we kausha tu mbio za sakafuni hzo

  • @marryngaiza2061
    @marryngaiza2061 3 дні тому +3

    Nawapa pole nyingi sana, matukio kama hayo ni mengi siku hizi Mungu ndiye anayejua.
    Mama wa mtt pole sana utapata mtt mwingine Mungu ndiye muweza wa yote.

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq 3 дні тому +4

    Poleni sana chiff na Jojo mungu awatie nguvu

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 2 дні тому

      Mungu yupo kuwatia nguvu wanaomwamini kama humtaki mungu anaachana nawe wala hiyo nguvu hakutii

  • @SuzanMairy
    @SuzanMairy 16 годин тому

    Chief yuko pafect sana😢😢😢nimempenda bureeee

  • @DayanaSuphian
    @DayanaSuphian 2 дні тому +4

    Chief godlove una busara sana unaheshimu mamlaka maana huwezi kuongelea kitu ambacho kipo kwenye uchunguzi

  • @JaneMakemo
    @JaneMakemo 3 дні тому +11

    Hawa wanajuwana na huyo jojo wake mtarajie jojo kupata utaji wakwanza dunia nzima uenda jojo alijuwa kwamba kitatokea lakini kwaupendo aliokuwa na kwa .wanae ilibidi aondoke aache wafanye akiwa hayupo asimwone akiuwawa

    • @AhadiGhumbo
      @AhadiGhumbo 2 дні тому

      Sahii hivo ndo me njuavo ila uyo anamkimkingia ko ifua ili asije akalopoka uyo mwanamke nidhaifu

  • @Abuumundhir27
    @Abuumundhir27 2 дні тому +1

    Chief upo straight upo sawa sawa

    • @KingIsaya-u3m
      @KingIsaya-u3m 2 дні тому

      Hawo wte wanajua kilicho fanyika na kwa nn huyo mwanaume aseme atafanya Jambo mpk dunia ijue wanajua hao wameua wenyewe

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 2 дні тому +1

    Polen familia mungu awatie nguvu

  • @libeberu
    @libeberu 3 дні тому +5

    Wandishi wa Habari wa TZ bana, yaaani maswali muhimu hayaulizwi,baba mlezi how. Hana Baba?

    • @Phillip-mktz
      @Phillip-mktz 23 години тому

      Waandishi wa habari wako sawa tu! Maana wao hufuata tukio kwa maana chief amekuwa alimfanya mtoto katibu Kam wa kwake

  • @MokozMokoz
    @MokozMokoz 3 дні тому +2

    Hao ndo ma single mother angekuwa mwanangu,uyo mama ndo kauwa anajua alichokifanya na hao wenzie. Inshort mtuhumiwa 1 ni mama wa mtoto alafu ye atataja wenzie vizuri uyo utasema tu wakishindwa mtuletee lugalo Lisa tu angewaambia ukweli

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 дні тому +8

    MTOTO ANA BABA WA 4 ,WADADA ACHENI UMALAYA BASI

    • @MariamMustafa-b8i
      @MariamMustafa-b8i 2 дні тому

      😂😂

    • @uncutit1995
      @uncutit1995 2 дні тому

      It takes two to tangle if you think the mother is prostitute then same goes to the father. Don't be a judge in this case

    • @schniderlivin
      @schniderlivin День тому

      Sio kweli bana...wanne 🤌😂😂

    • @MohammedyKhadija
      @MohammedyKhadija 21 годину тому

      Hahahah jaman

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7ii День тому

    Ila Chief Wewe unaongea sana umeulizwa swali moja unajibu na unaongea sana.....halafu unapewa pole na msiba unasema asante kwa msiba

  • @GraceHyera-pb4lk
    @GraceHyera-pb4lk 2 дні тому

    Jamani poleni sana mungu awatie nguvu

  • @AllyKija
    @AllyKija 3 дні тому +8

    Hapo hakuna chakupepesa macho ni uzembe kbs ulifanyika hata km angekuwa anaenda wapi mtt. Asinge muacha angeongozanane Nini kilimfanya amuache hapo ni uzembe full stop

    • @beesmarttv3792
      @beesmarttv3792 2 дні тому +1

      Labda alienda kugongwa😊

    • @sifaortence
      @sifaortence 2 дні тому

      Usiukumu usije ukaukumiwa...Labda aliumwa akawai hospitalini you never know...Hawezi kwenda na mtoto hospitalini

    • @babyakasha4002
      @babyakasha4002 День тому

      ​@@sifaortencemtoto anaweza kwenda naye hospitalini kwani kuna shida gani ishu ni kwamba maza alitoka mtoko wa Xmas usiku na jamaa ake inamaana hawezi kutembea na mtoto maeneo hayo ya starehe akiwa na mtoto tena usiku wakarudi alfajir😢

    • @augustinomabuga3030
      @augustinomabuga3030 День тому

      sas hata kama ni uzembe kwa nin wamuue???????? ingekuwa kapata ajari hapo sawa sas hio ni mauaji sidhan kama ni uzembe huenda ni mpango ulisukwa

  • @triceyanga
    @triceyanga 2 дні тому +3

    eti umemuhoji mbele ya kaburi mwanae dah vitu vingine bhana

    • @Fettyfrans
      @Fettyfrans День тому

      😂😂😂😂jmn ww ndo umeludua

  • @ethanevans2971
    @ethanevans2971 3 дні тому +2

    Asante kwa msiba?

  • @SarahBitwale-pv8ep
    @SarahBitwale-pv8ep 2 дні тому +2

    Kila mtu ataongea anachofikuria lkn ukweli wanaujua wao!

  • @MAGRETHSANDO
    @MAGRETHSANDO 3 дні тому +5

    Mwanamme alietoka nae huo usku mboni hatumuoni mtandaoni akihojiwaa?nawasiwasi na huyo bwana alietoka nae usiku huo isije akawa alipanga dili na huyo boda ili atoke nae huyo Dada huo usiku ili nyuma ya paziaa wamwachie mtoto boda ili iwe rahisi kumtoa kafara ..huyo bwana alietoka nae huo usku...achunguzwe huyo

    • @praisesteven7774
      @praisesteven7774 3 дні тому

      watuhumiwaaa 2 mmoja uyo mwanaume alotokaaa nae na uyo inaesemekanaaa boda ndio watuhumiwaaaa hao

  • @Abratofficial254
    @Abratofficial254 2 дні тому

    Pole sana chief godlove

  • @RachelPaul-n1s
    @RachelPaul-n1s 3 дні тому +1

    😭😭😭😭😭 mengine ya kumuachia mwenyeji mungu nikikumbuka ukatili niliokuwa nafanyiwa na kaka angu kuliozaliwa tumbo moja ila baba tofaut naumia sana

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 3 дні тому

      Pole sana my Dear.

    • @alexpius3827
      @alexpius3827 3 дні тому

      Duh!! Aiysee haya maisha bhana, Mungu pekee ndo anaejua waja wake. Pole sana ipo siku atakupigia magoti kwa aibu kubwa

    • @RachelPaul-n1s
      @RachelPaul-n1s 2 дні тому

      @@yukundapeter8200 😭😭😭 mungu ndio anajua alikuwa ananifanyia kitendo cha kinyama sana

    • @RachelPaul-n1s
      @RachelPaul-n1s 2 дні тому

      @@yukundapeter8200 asante

    • @ReaganHaule-c8e
      @ReaganHaule-c8e День тому

      Mtaje alafu tuachie sisi walimwengu tukamuhudumie maana akuna mahakama ya walimwengu 😊

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 День тому

    Wanawake wa kiafrica tulieni acheni tamaa za ngono...leo huyu kesho yule

  • @freakboy1804
    @freakboy1804 2 дні тому +2

    Huyo mama hawezi kuonyesha upumbavu alofanya kwa vyovyote atajitahidi kujitqkasa ila upumbavu aliozoea mama ndio uliosababisha kifo cha mtoto

    • @ismailsputta4420
      @ismailsputta4420 День тому

      Kabisa Yani Mimi ndie ningekuwa hakimu aisee Jojo ni jera hata miaka kumi maana ni uzembe wakisenge

  • @JaziraMussa-nx9fp
    @JaziraMussa-nx9fp День тому

    Poleni sana

  • @UNIONGOSPELMUSICBAND-e7b
    @UNIONGOSPELMUSICBAND-e7b 3 дні тому +7

    Mtoto kazikwa mapema na majibu ya hospital ayajatoka kivipi na police awajatowa taharifa lakini mtoto kazikwa,
    why?

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g 3 дні тому +2

      Ingekua polisi awakutoa ruhusa kwani angezikwa acheni yenu uyu chief anauchungu kama mzazi amekua karibu na mtoto hapa boda ni familia na alitenda au akutenda yeye ila je mwenye kutenda slijuaje mama ametoka kaacha mtoto

    • @kb_musictz
      @kb_musictz 3 дні тому

      Sasa mambo ya police muwaulize police mambo ya cheef aulizwe cheef unahoji kwanini amezikwa wakati jeshi la police halijatoa taarifa amezikwa kwa ruhsa ya nanii kama so police

    • @UNIONGOSPELMUSICBAND-e7b
      @UNIONGOSPELMUSICBAND-e7b 3 дні тому

      @kb_musictz 🤣🤣🤣🤣

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 2 дні тому

      Wakishachukua vipimo tu mnaruhusiwa mkazike hata huku chalinze kuna mtoto ameuliwa mwezi wa 10 polisi waliruhusu azikwe huku wao wanaendelea na uchunguz wao

    • @UNIONGOSPELMUSICBAND-e7b
      @UNIONGOSPELMUSICBAND-e7b 2 дні тому

      @Asha-s9u8p mmmh

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 3 дні тому +2

    Poleni saassna,😭😭😭

  • @BahembeFashion
    @BahembeFashion 3 дні тому +3

    Kwanini mtoto mmemzika haraka?

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 3 дні тому +6

    jamani msibishe kunawanaume wanapendaga wanawake waliozaa japo watoto sio damu zao mfano hai ni mimi yani wanangangania usifkiri utani kwahiyo mwanaume akikuacha usiogope wapo vijana wanapenda sana wanawake wenyewatoto nawanatunza vibaya mno,Hivyo msimshangae cheef

    • @freakboy1804
      @freakboy1804 День тому

      @@paulabelleghe451 wanaume hatuchukii wanawke wenye watoto, ila wanawake wenye watoto asilimia kubwa hawachelewi kuanzisha mahusiano upya na walio zaa nao, mm nitamchukua mwanamke mwenye mtoto endapotu aliezaa nae amefariki dunia

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 День тому

      Wee😢​@@freakboy1804

  • @MohamedFundikila
    @MohamedFundikila 2 дні тому +2

    Najua mama wa mtoto unauchungu sana ila unasiri kubwa moyoni mwako katika hili maana hichi ni kisasi kuna jambo lipo hapo ila pole sana

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 День тому

    Hapo kuna uongo na dhulma lakini mungu anakijua chanzo cha kifo cha mtoto

  • @CatherineBenard-l3f
    @CatherineBenard-l3f 2 дні тому +2

    Mungu akutie nguvuu mtoto wangu Jojo chifu mungu atakuongeze maisha marefu manka itumbi hapa

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 2 дні тому +1

    Nahis huo wivu wa mapenz huyo boda ukute alikua na mahusiano nae akawa anaona wivu ukiwa kalibu na huyo dada

  • @MwanaashaAlmas
    @MwanaashaAlmas 3 дні тому +13

    Jamani inasikitisha,hivi mtoto alichunguzwa hospital isije wakawa wamemtendea jambo baya kumziba mdomo ndo wakafanya walichofanya😢

  • @RebecaMackenzi
    @RebecaMackenzi 3 дні тому +13

    Eti amemuhoji mama mbele ya kaburi la mwanae!!! Huyo mama naye huo ujasiri wa kwenda na wewe mkahojiane kautoa wapi? Na rasta zake ndefu kama hakuna kilichotokea?!!! Mimi ninavyojua kwa wakati huu alipaswa awe ndani anamuombolezea mwanae huku akiwa na wanawake wenzie. Hebu tupishe kijana unachefua mioyo ya walioumia kweli!!!!!!!!!

    • @babrahisdory8128
      @babrahisdory8128 3 дні тому +1

      we nae kwani amefiwa na mume hadi akae ndani? Yani mnabweka kama hamjawai kuona misiba mingine huwa inaisha baada ya mazishi na kutoa tanga, akikaa ndani mtoto atafufuka eti?

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 3 дні тому +1

      Kama ni mkiristo tunaedanga kuzika unakaa ndani kufanyanje unaacha kueda kuzika 😢😢😢

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 2 дні тому

      ​@@babrahisdory8128ukisha anua tanga unasubiri tu arobaini sasa ukae ndan kufanya nini lazima maisha mengine yaendelee

    • @RebecaMackenzi
      @RebecaMackenzi 2 дні тому +3

      @@babrahisdory8128 wewe ndo unayebweka, huyo mtoto alishazikwa wanaenda kuhojiana kwenye makaburi kwamba ilikuwaje? Una ubinadamu kweli wewe? Hebu acheni ushabiki wa kishamba. Sisi ni watanzania, mama hajafumua hata rasta zimemfika mgongoni halafu unaleta ushabiki uchwara hapa?🚮🚮🚮🚮

    • @RebecaMackenzi
      @RebecaMackenzi 2 дні тому +1

      @@HappynessJose huyo mtoto aliuliwa tar 25 akazikwa 26, hapo wameenda siku nyingine kabisa baada ya mtoto kuzika, mimi ni MKRISTO ninachojua huwa tunakaa ndani wiki moja ndo tunaenda kanisani kumshukuru Mungu, acheni kushabikia yasiyofaa kushabikiwa kwenye jamii🚮🚮🚮🚮

  • @petrolconrad4250
    @petrolconrad4250 3 дні тому +2

    Hapo hamna ishu tayari kesi iko mahakamani hakuna tena mambo ya taarifa kutoka ktk jeshi la polisi. Tusubiri tu maamuzi ya mahakama. Maana watuhumiwa ni watu 2...mmoja ni huyo anatajwa boda na mwngne ni mfanyakazi ktk airport ya dom ambaye tumeambiwa km ni bondia

  • @RamadhanMwinyimku-dw4od
    @RamadhanMwinyimku-dw4od 2 дні тому +1

    Huyu jamaa nilikua simuamini kwa maelezo yake yupo vizuri hana shida kuna kipindi wema unakuponza

  • @EmanuelLekowe
    @EmanuelLekowe 3 дні тому +4

    Hata mm najiuliza yupo mbele sana hana aibu

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 3 дні тому +2

      ni mpenzi wa huyo mama mtoto jamani ni baba wa kambo

    • @MgeniRamadhani
      @MgeniRamadhani 3 дні тому +3

      Angekaa kimya pia watu tungesema

  • @NancyKarash-j2k
    @NancyKarash-j2k 2 дні тому +3

    Mwanaume wenye ameuwa uyo mutoto asikuje kuzaaaaa mtoto kijana

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w 2 дні тому +2

    Watu punguzen midomo. Asilimia 80 ya watanzania tumekulia mtaani yani uswailini. Mzazi anabiashala zake awez kwenda na mtoto kweny biashala. Inabidi amuache kwa jilani. Kwahyo tatzo jamaa nikumiliki bodaboda tu ndio mana anasemwa

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy 3 дні тому +1

    Mtangazaji unasound kama Gadna G habbash

  • @danielpeter8085
    @danielpeter8085 3 дні тому +1

    Shida ya Watanzania tunaamini mambo ya upande mwingine..Apa kuna uzembe kwa mwanamke yaaani mama wa mtoto(marehem)

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 дні тому +7

    Mimi nahisi mmoja wapo Kati ya Hao watuhumiwa ni baba mtoto

    • @christinamwangoc4779
      @christinamwangoc4779 3 дні тому

      Yes nafikir Kuna jambo hapo, ngoja tuwasikilize

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 3 дні тому

      Kabisaaaaaa hata me nahisi hivo maana huyu jojo dada wa kazi naimani anae bado wadada wa saloon why boda huyo kaka mwingine ni nani

  • @CharlesMakwaya
    @CharlesMakwaya 19 годин тому

    kwanza poleni sana na huu msiba ila uyo mtoto si anababa yake mbona hahojiwi baba yake na mtoto jaman

  • @RamaUrembo
    @RamaUrembo 3 дні тому

    😂😂😂😂😂😂😂 wadau wa sikuizi ni shida sana tuwe na ofu ya mungu

  • @RamaUrembo
    @RamaUrembo 3 дні тому

    Wadada wa sikuizi nishida tuwe na ofu ya mungu

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 3 дні тому +1

    Huyu naye anajiweka mbele bila pointi. Anyamaze tu

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 3 дні тому +6

    Jamani kwani Graysoni Hana Baba .mzazi mpaka .Baba mlezi awe mbele mbele mmmmmh .hiiii habari ni nzito

    • @nadiahussein-mn2fb
      @nadiahussein-mn2fb 3 дні тому +2

      kwani.kuna shida gani baba mlezi kumfatilia mtoto wa mpz wake jaman

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 3 дні тому +1

      Baba mlezi ana pesa, kila kitu anaweza na nchi yetu ni pesa haki itapatika tu kwa huyu.

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 дні тому

      @@nadiahussein-mn2fb sasa mama alikuwa na wapenzi wangapi?!

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 2 дні тому

      ​@@nadiahussein-mn2fbyaani watu wengine kama watoto kama baba alikataa ujauzito wao wakamtafutie wapi, eleweni maana ya baba mlezi

  • @ShabiruYahaya-m9s
    @ShabiruYahaya-m9s День тому

    Mwamba unazingua unatakiwa kulala polc nakuamkia pols ...eti unawachia pls kivip

  • @makende82
    @makende82 3 дні тому +5

    jojo danga

  • @josee8224
    @josee8224 День тому

    hili swala lina vinasaba vya mapenzi, Mtoto ni mhanga tuu. ukweli utajulikana na jamii itapigwa na butwaa.

  • @AhadiGhumbo
    @AhadiGhumbo 2 дні тому +1

    Mm kama ningepewa mamlaka kiselikali ,ningeamulu ukamatwe ww godlov na uyo mwanamke nakuwatesa sana mpka mmngesema kweli katk ili ,sio kusikiliza polojo zako ww nyau.

  • @mariamshibanda3358
    @mariamshibanda3358 3 дні тому

    Pole zake mama wa mtoto

  • @NsajigwaAmbakisye
    @NsajigwaAmbakisye 3 дні тому +1

    Baba waleziii Wapo wangapiiii

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 3 дні тому +2

    Asante kwa msiba ina mana gani

  • @PaulinaNyanzalashija
    @PaulinaNyanzalashija 3 дні тому +2

    Poleni sana chief na ndugu yangu zaituni(Jojo biashara) mungu awape subila jeshi la polisi litafanya kazi yake vyema.buriani

  • @NgoshaZedonn
    @NgoshaZedonn День тому

    Chief godlove bado hajasema hilo Jicho la Tatu tunataka kulijua zaidi huyo mtoto wamemtoa kafara haiwezekan chief awe kama ndo baba wa mtt na tunataka baba wa mtoto tumjue na amelipokeaje hilo maana huyu chief anabwabwaja tu hamna anachokiongea hapo.Jeshi la polisi fanye haki jamii ijue nn kilichopo nyuma ya pazia maana hatuelewiiii!!!

  • @sakinamremi
    @sakinamremi 3 дні тому

    Hivi huyu nae star 😢

  • @DoiNdaki
    @DoiNdaki 3 дні тому +2

    Huyo mtoto baba yake yuko wapi?

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 дні тому +2

    Huyu jamaa vipi ni kiki au anahusika? Mbona anakimbelembele sana kuliko hata ndugu?

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 3 дні тому

    Polenta sana familiar nzima

  • @RukiaMziwanda
    @RukiaMziwanda День тому

    Kwann unaongea sanaa wakati mambo yapo kwenye uchunguzi why???

  • @annanzera
    @annanzera 2 дні тому

    Ni majibu yako hivi mithali 1 sura 2 waefeso5. Ukipenda njia chafu. Za shetani familia lazima ipate laana zako usiku mkesha Na hawala unamsahau Mungu Na mtoto wako mama JoJo ACHA umalaya. Nenda Kwa yesu Ndiko jibu sahibi uzuri huo Mungu Amekujalia olewa ACHA usela Na umachinga. Umetuaibisha Sana Wanawake huyo Ni mtoto wetu tumepata uchungu. Sana baba Wa mtoto Ni nani

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    Sawa mwandishi ni kweli lazima tuwe na wasiwasi tukiona kwamba mama hana akili kumwachia mtoto bila ndugu yako

  • @DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
    @DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv 3 дні тому

    Mimi niguependa não waokumiwe 2 basi yani Sabu kuacha ivi ivi waowachi watanja sana

  • @Kokafamil
    @Kokafamil 3 дні тому +4

    Walisema unacho kipenda zaidi shetani ndio ana kitaka 😂

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 3 дні тому +1

    Huyo mtoto kazaliwa bila baba?

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 3 дні тому +1

    Yaani jamaa anaongea utafikiri anaongelea harusi, jeshi la polisi lingelimbana chief godlove, na huyo mke wake

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 дні тому +1

    Huyu nae achunguzwe mbona anahaha sana??? Dam ya mtu haipotei

  • @NoahMwakyoma
    @NoahMwakyoma 2 дні тому

    Ww Chifu ndio umehukumu vibaya

  • @ismailsputta4420
    @ismailsputta4420 День тому

    Akili Hana huyo muongeaji na huyo demu wake anatetea usenge tuu alioufanya demu wake hivi mama mwenye uchungu unaweza kumkabidhi mtoto wako usiku kwa watu wengine ili wewe ukatombwe!??? Huo si usenge tuu!???

  • @OmaryShop-f6w
    @OmaryShop-f6w 2 дні тому

    Hamna huruma nyinyi. Hatamzungumze nn ameshakufa harudiuyo

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai 3 дні тому +1

    Uchunguzi umeshafanyika na umekamilika ndo maana wahusika wameenda mahakamani

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 дні тому

    Jamani jamani jamani mungu atakuumbua atakuumbua wewe uliehusika maana mungu hadhihakiwi utaaibika mchana kweupeeee

  • @Chocococoliam
    @Chocococoliam 2 дні тому +1

    Huyu nae kiherehere mbona baba wa mtoto haongei chochote yeye kiherehere tu

    • @AhadiGhumbo
      @AhadiGhumbo 2 дні тому

      Uyo kausika nandomana analopoka kumgadi uyo dada

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 3 дні тому +13

    Tujaribu kujiepusha na hyu jamaa inawezekan huyu ndo shetni au fremason anaeonekan yatatokea mengi hii ndo mwanzo mpk itajulikn pesa anapat wapi au achapwe atasema ukweli😅😅

    • @shaabanramadhan6770
      @shaabanramadhan6770 День тому

      Wewe pia ukiwa tajiri jamii itakudis hivyo hivyo skuhiz ukiwa tajiri watu watakuogopa maan watu hawaamini kwenye kufanikiwa ukiwa kijana hili nitatizo tumeliweka kwenye mind set zetu

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 3 дні тому +2

    Baba mzazi wa marehemu Greyson ni nani ?

  • @NgoshaZedonn
    @NgoshaZedonn День тому

    Kila nikisikia huyu jamaa anaongea kwenye hili swala la mtoto xmwelew kabisa ila kwenye jicho la tatu kujiunga huwa anaeleweka vzr anavyoongea na watu ila kwa hili swala bado hajasemaaa😅😅 kamateni huyu chief na mama wa marehm

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 3 дні тому

    Anasema asante kwa msiba?

  • @ProsperMgai
    @ProsperMgai 3 дні тому

    Wee ahaa 😭😭😭

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli День тому

    Maskini pole mtt anauma

  • @JohnKiboko
    @JohnKiboko 3 дні тому +1

    Mbona Kawaida kwenda siku ya Pili na kunyunyiza maji Ss watu wa baraa

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 2 дні тому

      🎉🎉 tena asubuhi lazima ndugu muende

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 День тому

    Kwa Nini police wajue zaidi yako ww unato jicho la tatu 3 yasikilizeni atakayo kija nayo dudu baya

  • @justinebalaguyu7769
    @justinebalaguyu7769 2 дні тому

    Ila bhana daa huyu dada polisi wasimuache kabisaa kuna kitu anajua. Siyo kwamba polisi tunawafundisha kazi hapana.
    Pia kuhojiana makaburini kuna saidia nini daaaa jamani.

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 3 дні тому +2

    Unakimbilia kuhoji wakati nawewe unaweza takiwa kuhojiwa

  • @oman8573
    @oman8573 2 дні тому

    Kwan baba mzazi yuko wapi

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 2 дні тому

    Weee .Mama mtoto anamakosa..vipi kwa kipindi kama hiki ambacho kuna matukio mabaya kuhusu watoto....kwa kweli mama mtoto ni mkosaji...Aliachaje mtoto na mtu na kwenda kwenye starehe???.

  • @YusufuBalebesefe
    @YusufuBalebesefe 2 дні тому

    Asate,kaka,chief,allha,nawaze,wakupe,huwezoyakupikavitha

  • @jasminbeno6203
    @jasminbeno6203 3 дні тому +2

    Chiff nimwanaume bora sn Mungu ambariki

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 3 дні тому +4

    Unaweza kuta hao sio wahusika na wahusika walijua wakifanya hilo tukio watakaodondoshewa msala ni hao.. Mungu asimamie

  • @JacklinyChacha
    @JacklinyChacha 3 дні тому +1

    Kaka tutolee manemo ambayo siyo ya kweli sisi tunahitaji mama anzungumuze

    • @kb_musictz
      @kb_musictz 3 дні тому

      Basi mtafuten huyoo mama azungumze yy amezungumza kwa sababu kaulizwa nawewe mfate mama kazungumze nayee

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 2 дні тому

    Mbon analiongelea sana

  • @thetas08
    @thetas08 2 дні тому

    Ukiiwa na akili timamu kutokana na hichi kifo cha mtoto asie na hatiya yyte utagundua kuna kitu kilichoendelea kwenye hiki kifo period kuna plan zilizoendelea kwenye hilo group lote

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 3 дні тому

    ssa mpnz wa mama mtto kosa lake mtto kuuliwaaa kwake au ??

  • @maxmia100
    @maxmia100 3 дні тому +3

    Sasa unampaje mtoto boda au hata sio boda usiku wewe unaenda kula bata ? Huyo mama hana akili dunia imebadilika hutakiwi kumuamini mtu Dunia imeharibika

    • @Haarun-h4q
      @Haarun-h4q 3 дні тому +1

      @ maxmia100...hujui Kiswahili? Hapo hakuna boda! Mtoto amepewa mtu wa kifamilia anayetumia piki piki kwa huduma za familia.Mtoto hakusafirishwa usiku na piki piki.Usidandie kwa jazba.

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 3 дні тому +2

      ​@@Haarun-h4qbora nimeelewa maan nilikua nikijiuliza kuhus huyu boda kumbe ni wa familia

    • @kb_musictz
      @kb_musictz 3 дні тому

      Shida so bodaboda ww hujawahi kumona baba anamuua mwanae tusikurupuke kuko menent bila kufanya Tasmin ata ndogo yawewe katk familia yako

    • @OmaryMohamed-x1r
      @OmaryMohamed-x1r 3 дні тому

      Acha kushusha lawama na kutoa watu akili bila kujuwa sababu. Jitathimini

  • @RajabuSaidi-b2k
    @RajabuSaidi-b2k 3 дні тому +1

    MIlichokitaka kimetimia ongezeni utajiri

  • @SwaumuJuma-mq2yr
    @SwaumuJuma-mq2yr 2 дні тому

    Kumbe uyo godlove kabla ya tukio alikua dar, na uyo jojo tunaambiwa usiku kabla ya tukio alitoka na mpenzi wake kwenda kula rahazao kwaiyo kumbe alikua ni mwaume mwengine sio godlove aliye toka nae? Wakati uouo uyo godlove anasema yeye alikua ni babamlezi wa mtoto, apo mi nnamashaka jmn mwenzenu maana kulacho kinguoni mwako

    • @zahraswalehe1853
      @zahraswalehe1853 День тому

      Kingine ni alikuwa dar alishindwa vipi kuja kushiriki mazishi dodoma na alikuwa anampenda mtoto huyo

  • @shabanhunt5355
    @shabanhunt5355 2 дні тому

    Baba mzazi yupo wapi!?

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 2 дні тому

    HAKUNA LOLOTE KWA UYO ANAE JIITA CHIFU

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 3 дні тому +1

    Kuna yule mtoto meingine naye aLifariki ghafla kwa kujigonga kichwa kwenye bembea,alikua ana fanana na mtoto huyu , naye alikua close to huyu Godlove ,,inakuje huyu jamaA watoto wanakufa ghafla?

    • @theresaelizabethelijah117
      @theresaelizabethelijah117 2 дні тому

      Huyu Chief Godlove ni mchawi amerithi mizimu ya kutoa kafara njoo UA-cam channel yangu utaelewa vizuri

  • @RukiaMziwanda
    @RukiaMziwanda День тому

    Huyu mwanaume haumii kuona mwanamke alale nje ???