MAKABILA NA ASILI ZAO SHEIKH BAKATHIR.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 6

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 7 днів тому

    Watu zanziba muee munatebea hapo kati tunatoko vijiji😂buke liku la tz liko wapi? Mushaba kwli mwaza arusha mbukoba iringa tambora hii ninusu yamiji 2 nimeitaja kuhusu wi silamu tanganyek inawesila wenge muna tena hata znz hamtupati pia ubaguzi uliwai kuona znz ana ulizwa kitabulisha huku tanganyek mjigawewe wew ndo meto kabisa wallah kasume kwaza ndo uje ugobane na wetaganyk

  • @111dudi
    @111dudi 12 днів тому +1

    Ibn Battuta (born February 24, 1304, Tangier, Morocco-died 1368/69 or 1377, Morocco) .vipi afike Znz 1890?

    • @dawudmussa4474
      @dawudmussa4474 12 днів тому

      Atakuwa amekosea mwaka kutamka ibn batuta kaja pwani ya Africa mashariki 1331

    • @111dudi
      @111dudi 12 днів тому

      @dawudmussa4474 nimesikia huyu shekhe akisema mwaka huu kwenye clip ingine

    • @ashahassan2120
      @ashahassan2120 12 днів тому

      Yani wewe mtumzima unaulizamaswali yauchonganisha wew hamaswali yakitoto😊

    • @111dudi
      @111dudi 11 днів тому

      @ashahassan2120 kasome kwanza.