MIAKA 28 BILA KUMUONA MAMA YAKE MPAKA KWENYE LEO TENA | WADOGO ZAKE | KUTOKA BUKOBA MPAKA MOSHI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 91

  • @tanzaniatourismboard8395
    @tanzaniatourismboard8395 2 роки тому +2

    Ahsante Mwenyezi MUNGU.
    Damu Nzito.
    Pongezi na Shukurani za Dhati Kwenu Team Leo Tena - Kipekee Boss Joe!

  • @joycenjoki6409
    @joycenjoki6409 2 роки тому +1

    This is God's doing. Baba Mungu pokea sifa na utukufu kwa kuwawezesha. 🙏

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 роки тому +5

    Kazi poa endleeni ivyoivyo Mungu atazidi kuwabariki cio nyngne umbea mtupu kila kipindi

  • @zukrahamady7466
    @zukrahamady7466 2 роки тому +1

    Nzur San

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 роки тому +1

    Duu hili ni shule nzuri sana

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 роки тому +1

    Huyo baba ake ni mjinga anamuiba mtoto anafaa kufunguliwa kesi ya utovu wa nidhamu katka haki za kinamama wazazi

  • @amneshi
    @amneshi 2 роки тому +9

    Mimi na mama yangu tumefatilia kipindi Hadi mwisho. So emotional 😭 😍

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Mziki. Mpo juuu kuliko saut ya muhusika, hik kipind kinaunganisha watu waliopotezana mashallah
    Kaz iendelee

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 2 роки тому +1

    Toweni music hatusikii

  • @vero57
    @vero57 2 роки тому +2

    Hii safi sana, sio munationyesha, wakina baby nai, na mama wa 49 na 21,

  • @maggiesteer6655
    @maggiesteer6655 2 роки тому

    Kwanza niwapongeze sana kwa.kipindi hiki. Mmegusa jamii kwa namna ya faraja ya ajabu sana. Mungu azidi kuwatunza . Daaah inauma sana kupotezana na mwanao. Yaani nawapongeza sana. Bora sasa, bora na huyu baba ni mtanzania mtoto kakulia Tanzania. Kuna mmoja alipelekwa Malawi miaka mingi sana hajarudi/kurudishwa mpaka leo.

  • @maromedia6272
    @maromedia6272 2 роки тому

    Jamani hata mm mamtafuta Mdogo Wang alipotea na Mama yangu

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 2 роки тому +7

    Asante sana kipindi cha leo tena kwa kudumisha hichi kipindi cha kuwakutanisha wazazi na watoto wao mbarikiwe sana jamani wazazi tuwe na huruma tuache kuwatenga watoto na mzazi mmoja wapo hata km mahusiano yamekwisha basi watoto wawe na haki ya kuwaona wazazi wote kwa pande zote mbili inauma sana jamani mtoto anachukuliwa na miaka mi 4 mzazi anakuja kumuona akiwa na miaka 33

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 роки тому +11

    Msiwe mnaweka miziki kwenye vitu muhimu kama hivi jamani

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 2 роки тому

      Ni kweli kabisa ili tusikie vizuri.

    • @abelharry_tz
      @abelharry_tz 2 роки тому

      Background song huwa ni muhimu Kwa ajili ya kupunguza Kama sio kuondoa kabisa. Sauti na kelele zisizotakiwa kusikika Kwa msikilizaji.

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 2 роки тому +9

    jamani leo nimelia mwenzenu, inatia uchungu

  • @samwellupimo1125
    @samwellupimo1125 2 роки тому +1

    Mkiwa mnaweka video punguzeni sauti kwa background pumbafu mnaondia radha ya video zenyu.....

  • @فاطمةجوهر-ر8ش
    @فاطمةجوهر-ر8ش 2 роки тому +1

    Nawachukia kina mama wakutelekeza watoto unalia nn angekufa ungemuona nn

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 2 роки тому +2

    Nimelia kwa uchungu sana, kwanza tumetoka eneo moja , wilaya ya hai,

  • @jenifersawe2513
    @jenifersawe2513 2 роки тому

    Mungu wa mbinguni awabariki sana

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 роки тому

    Mama Bonifasi Daressellam sio.mbali HAPPY vp ulimuacha boniface jaamani MUHAYA haachi mtoto wake nyyma miaka minne alikuwa ni mdogo sana pole mama Bonifasi yani tangu mwaka 1989 mmmmmm pole mama bonifasi

  • @salimudhahabu303
    @salimudhahabu303 2 роки тому +7

    mashallah!! it's too emotional
    mm mwenyewe nimetoa machozi mengi Sana najua maumivu na Kua Mbali na mama/mtoto

  • @souksoukeventsandmarketing653
    @souksoukeventsandmarketing653 2 роки тому +4

    Next mtuletee wa baba waliopoteza watoto

  • @lailawaso2421
    @lailawaso2421 2 роки тому

    Nakijua hicho kijiji cha Mudio,,,,pole mama

  • @shamsaismaily3476
    @shamsaismaily3476 2 роки тому +4

    😭😭😭😭namimi iposiku nitampata mwanangu ...nimelia sana leo wanawake tunabeba maumivu makubwa😥😥😥😥

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      Da pole sana Aunt Mungu akufanyie wepes umeshawahi kwenda apo Leo Tena?

    • @husnamtitiko9312
      @husnamtitiko9312 2 роки тому

      Inshallah Aunt na pole sana usikate tamaa💔😢

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 2 роки тому

      Pole sna wallah Iko siku mumy

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 роки тому

      Shamsa Ismaily @ pole wa jina langu niambie mtoto wako yupo wapi na wewe upo wapi tusaidiane in sha allah mtakutana amin

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому +3

    Mashaallah kwel milima haikutan ila binadam hukutana

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому

    Mbona huyo mwijaku Ana kiherehere sana

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 роки тому

    Masha Allah Mwijaku nimcheshi kwawa geni😍

  • @kelvintembo734
    @kelvintembo734 2 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭 wanafanana

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 роки тому +1

    Furaha kweli kweli, hakuna kama mama.

  • @maikonuronu5882
    @maikonuronu5882 2 роки тому +1

    Daaaah inauma jmn najikut nalia

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 роки тому

    Mnapenda miziki Sana hadi inakera

  • @lilianmartin5075
    @lilianmartin5075 2 роки тому +3

    Nimelia aiseee

  • @nyotastar102nyota2
    @nyotastar102nyota2 2 роки тому

    Jaman naomba na mm

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому

    Leo tena mmejua kunikatia kitunguu machon 😭😭😭Jana nilikosa kwa ajili ya mb Leo nimeweka ili nijifunze vitu 😭😭

  • @stelladomani4429
    @stelladomani4429 2 роки тому +4

    Yaani muwe mnawapa muda jamani walie watosheke inauma inauma.

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 роки тому

    Kweli nimekia sna nimeona kama ni mimi
    Pole ndugu yangu
    Kweli mungu ni mungu kawakutanisha mama na mwana hongereni wahusika

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 роки тому

    Mashaa Allah Allah awahifadhi

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 2 роки тому +4

    Kweli nyie wavivu wakutembea sisi wenzenu tunaoishimbali tumezoea safarindefu.tunatoka Uku tunakoishi mpakakufika Africa tunamaliza sikumbili kwenye ndege.

  • @ramadhanmohamedi9793
    @ramadhanmohamedi9793 2 роки тому

    Gea hata mimi machozi yananitoka mwenyezi mungu awazidishie na awape afya muunganishe wengine

  • @maryamhilal9820
    @maryamhilal9820 2 роки тому

    Mimi pia nimelia jmn😭

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 роки тому

    mnafanya kazi nzuri

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 роки тому

    Mungu nimwema

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +3

    Samahani mtangazaji 1989mpaka 2022 ni miaka 32kwa Sasa

  • @redtatoo4209
    @redtatoo4209 2 роки тому

    😭😭subhanallaah

  • @kilungumsabaha3891
    @kilungumsabaha3891 2 роки тому

    😭😭😭🙌🙌

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому

    Sauti hakuna jamani aongeze sauti

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 роки тому

    Jamani 😭😭

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому

    Hakuna km mama ...mama ndio kila kitu asiemtambua hana utu

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 2 роки тому

    Chozi limenitoka

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 роки тому +2

    Mbona saut hamna jmn gea wasisitizen wawe wanatoa saut

  • @jumadea6899
    @jumadea6899 2 роки тому

    Aisee

  • @zuuqueenhilson3135
    @zuuqueenhilson3135 2 роки тому

    Daaaaah mungu mkubwa

  • @zamzamhassan8643
    @zamzamhassan8643 2 роки тому

    Jamani nimejikuta nalia

  • @rehemaramadhan5043
    @rehemaramadhan5043 2 роки тому

    Jaman na mm nimelia

  • @adventinaabalugila5816
    @adventinaabalugila5816 2 роки тому

    Mungu mkubwa kwakwel.

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 2 роки тому +1

    Hiki kipindi nimekipenda kwakweri

  • @mamalandynangy52
    @mamalandynangy52 2 роки тому

    Dah machozi yamenitoka

  • @asmerameer7033
    @asmerameer7033 2 роки тому +1

    Wanafanana sana

  • @saadasuleiman1427
    @saadasuleiman1427 2 роки тому

    Inalizaa

  • @lailawaso2421
    @lailawaso2421 2 роки тому

    Wahaya hawajahi kutupa damu popote

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 роки тому +1

    Murndelezo tunaomba

  • @naomiraphael4830
    @naomiraphael4830 2 роки тому

    Du inatoa machozi

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 роки тому

    Geah muziki mkubwa

  • @ndagaracriford8976
    @ndagaracriford8976 2 роки тому +1

    Kumbe dahuu ni kabaya hvyo

  • @berthasulle2936
    @berthasulle2936 2 роки тому

    Ll me e