UST SHAFII AMJIBU MKRISTO ANAYEPOTOSHA MAANDIKO YA BIBILIA NA KUTAFSIRI VIBAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 Місяць тому +3

    Jazaka Allah kheir

  • @ndaimanday6985
    @ndaimanday6985 Місяць тому +2

    Nakupenda kwa ajili ya Allah Ustadh SHafii, Allah akupe mwsho mwema na sis sote

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Місяць тому +1

    Masha Allah Ustaz

  • @Muhindojamaldin-r1r
    @Muhindojamaldin-r1r Місяць тому

    Shukran kwa kazi ya sheikh hongera sana

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 Місяць тому +1

    mashallah sheikh Shafi kuwa mukristo nikufungwa nakiri 😮

  • @ShafiunaWaziri-vz7bi
    @ShafiunaWaziri-vz7bi Місяць тому

    Ostadhi wangu we mtaaram sana mana unaeleza vizury sana

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail Місяць тому +2

    Huyu ni mwalimu wa wale wote wasioelewa maandiko

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Місяць тому

    Ni kweli kabisa biblia iko wazi lakini wakristo mmh

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 Місяць тому

    Wakristo wakiambiwa ukweli hubaki kutukana matusi badala ya kujifunza. Shekh kafafanua vizuri.

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 Місяць тому

      mohammad ni mfano wa wale wanotakikana kufungwa jela na ufunguo kutupwa baharini kwa kumdhalilisha aisha akiwa na miaka sita tu

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

    WAGALATIA WANAPOTOSHWA MPAKA KWENYE SIASA NI FITNA JUU😢😢

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 Місяць тому

    Safi sana tena sana....

  • @zephaniafundikira
    @zephaniafundikira Місяць тому

    Injili Mathayo 2:6 ilikuwa inanukuu unabii uliotolewa na nabii Mika. Hebu tuone Nabii Mika alitabiri aliyeitoa mafunuo kwa mapana yake
    Mika 5:2,4
    Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
    [4]Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
    Ukiangalia hapa Yesu anatajwa kuwa atakuwa mkuu hata miisho ya Dunia. Maana yake ulimwenguni kote.
    Naimani hii imekaa vyema ndugu zangu, tuelewe ukweli wa maandiko Kama ulivyo
    Biblia tunayosoma ni hii inayoeleza kwa uwazi si nusu nusu kama zinavyonukuliwa hapo na mwalim shafii.
    Ukweli wa Biblia unaeleza kuwa Yesu alikja kwa ulimwengu wote, ikiwapo saudua, marekani, Tanzania nk. MUNGU atusaidie kuelewa maandiko rafiki.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +2

    Ikiwa Injili yetu imesitirika ni Kwa hao wanaopotea ambao mungu Wa Dunia hii amewapofusha akilizao ili isiwazukie Nuru ya Injili

    • @issaabdallah7660
      @issaabdallah7660 Місяць тому

      Injili ipi hiyo unayoongelea wew

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi Місяць тому

      Bibilia ujui kusoma ubishi2

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy Місяць тому

      Hii yenye versions mbalimbali? We unatumia King James' version au versio gani mwenzangu? 😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@abdallahdataguy Niulize maswali ya Qur'an unayoiamini Kisha ndiyo uniulize kuhusu bible 😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@ShafiunaWaziri-vz7bi 😂😂😂 Bible na Qur'an vyote nimevisoma na ninavyo! Uliza Swali kwenye vitabu hivyo linalokutatanisha ili nikufundishe😅

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki Місяць тому +1

    Yani ukwli shek shafii ata sijui wapi nduguzetu wakiristo hawaelewi mmi naona nivile2 wamezaliwa humo ila jaribuni kusoma musigande kimawazo pia muache chuki chukueni elimu iyo muifanyie kazi

    • @zephaniafundikira
      @zephaniafundikira Місяць тому

      Injili Mathayo 2:6 ilikuwa inanukuu unabii uliotolewa na nabii Mika. Hebu tuone Nabii Mika alitabiri aliyeitoa mafunuo kwa mapana yake
      Mika 5:2,4
      Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
      [4]Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
      Ukiangalia hapa Yesu anatajwa kuwa atakuwa mkuu hata miisho ya Dunia. Maana yake ulimwenguni kote.
      Naimani hii imekaa vyema ndugu zangu, tuelewe ukweli wa maandiko Kama ulivyo
      Biblia tunayosoma ni hii inayoeleza kwa uwazi si nusu nusu kama zinavyonukuliwa hapo na mwalim shafii.
      Ukweli wa Biblia unaeleza kuwa Yesu alikja kwa ulimwengu wote, ikiwapo saudua, marekani, Tanzania nk. MUNGU atusaidie kuelewa maandiko rafiki.

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 Місяць тому +2

    WAKIRISTO MNAKWAMA WAPI KUYAELEWA MAANDIKO?

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      Waislamu mnakwama wapi kusujudia JIWE JEUSI LILILOKO MAKKA?

    • @hamisishabani4072
      @hamisishabani4072 Місяць тому

      @@paulmushi2428 WAISLAM HATUSUJUDII JIWE JEUSI LILILOKO MAKA!! HILI NDIO TATIZO LENU KUBWA MLILONALO WAKIRISTO,!! NI NANI ALIYEWADANGANYA WAISLAMU WANASUJUDIA JIWE JEUSI HUKO MAKA?!! WAISLAMU SISI TUNAMSUJUDIA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA VYOTE!! ASIYE NA MSHIRIKA,HAFANANISHWI NA CHOCHOTE!! ATAKALO KUWA HULIAMBIA KUWA NA.LIKAWA!! HUYU SISI NDIO TUNAYEMSUJUDIA!! HATA KATIKA MRI KUMI ALIZOPEWA NABII MUSSA,IMEANDIKWA,MSUJUDIE MUNGU WAKO!! SISI WAISLAMU NDIO TUNAMSUJUDIA MUNGU.HATA YESU ALIKUWA ANASUJUDU.HATA MZEE WA UPAKO AMEUTHIBITISHIA ULIMWENGU,YESU HAJAWAHI KUINGIA KANISANI,HATA SIKU MOJA!!!! HAJAWAHI KUSALI KANISANI HATA SIKU MOJA!!! YESU,HII DINI INAYOITWA UKIRISTO WALA HAUJUI!! NA NDIO MAANA ALIWEKA WAZI KATIKA BIBILIA YESU ANASEMA MNANIABUDIA BUREE,MKIFUNDISHA MAFUNDISHO YA WANADAMU!! YESU ALIKUWA AKISALI KATIKA SINAGOGI!!!SIO KANISA!!!KIIBRANIA MSIKITI UNAITWA SINAGOGI!! KIARABU MASJID,KISWAIHI MSIKITI.KIINGEREZA MOSQUE!!! UKITAKA KUTHIBISHA SINAGOGI NI MSIKITI,FUNUA BIBILIA YAKO UKURASA WA MWISHO UANGALIE UFAFANUZI UTAONA WAPI YESU ALIKUWA AKISALI!! ALIKUWA AKISALI MSIKITINI!! NA WANAOSALI MSIKITINI NI WATU WA DINI GANI?NYINYI MNAOJIITA WAKIRISTO,UKIRISTO SIO DINI!!! KRISTO NI JINA LA.MTU!!! YESU,ANAITWA KRISTO KIYUNANI! KISWAHILI NI MPAKWA MAFUTA!!! KIARABU ANAITWA MASIHI!!! WENGINE WANAMUITA MESAYA!!! WAKIRISTO MNAKWAMA WAPI KUYAELEWA MAANDIKO?!!! KAMA MMEISHIWA HOJA,DAWA NI KUSILIMU TU,NA KUSILIMU NI BURE,TENA KWA HIYARI YAKO!! WALA SIO KWA KULAZIMISHWA.KWA HURUMA YA MUNGU AKATUWEKE PEPONI KWENYE MAISHA YA KUDUMU.JAHANAMU INATISHA!! HUMO NAKO NI KUTESEKA TU MAUMIVU YA KUDUMU PIA WALA HAKUNA KUFA!! KAMA.PEPONI NI MILELE TU RAHA ILIOJE!! CHAGUO NI LAKO UKWELI WAMETHIHIRI USTADHI SHAFII KAMALIZA KILA KITU!!

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 Місяць тому

      ​@@paulmushi2428
      Aya gani inasema waisalaam wanasujudia jiwe jeusi???

    • @zephaniafundikira
      @zephaniafundikira Місяць тому

      Injili Mathayo 2:6 ilikuwa inanukuu unabii uliotolewa na nabii Mika. Hebu tuone Nabii Mika alitabiri aliyeitoa mafunuo kwa mapana yake
      Mika 5:2,4
      Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
      [4]Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
      Ukiangalia hapa Yesu anatajwa kuwa atakuwa mkuu hata miisho ya Dunia. Maana yake ulimwenguni kote.
      Naimani hii imekaa vyema ndugu zangu, tuelewe ukweli wa maandiko Kama ulivyo
      Tunakwama hapa rafiki, kwa kuwa maandiko yakisomwa kwa uwazi yanatueleza ukweli Kama huu. Ukifuatilia, watu wengi wanasoma nusu nusu. Hapa inaonyesha kuwa Yesu alikuja kwa ulimwengu wote

  • @makusudibakari5297
    @makusudibakari5297 Місяць тому

    Jon ni mbumbumbu sana

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +1

    Maamuma Shafii, Unapiga porojo Bure!! Hao watu wa wa MATAIFA YOTE waliohubiriwa sawa na agizo la YESU Kwa wanafunzi wake katika MATHAYO 28: 18-20
    Inawakuta hapa UFUNUO 7: 4-......9 Baada ya hayo nikaona, na tazama sana ambao hapana mtu aeezae kuuhesabu watu wa Kila Taifa, na kabila na jamaa, na Lugha wamesimama mbele...... Hapo unawakuta Waisraeli na watu wa MATAIFA waliohubiriwa Injili!! Acha tafsiri za kiqureish

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi Місяць тому

      Ww islael Kuna mataifa soma ramani ktk bibili kwaiyo yesu alio taja taifa alikuwa anazungumzia mataifa ya islaeli sio Tanzania ye huku hakumuusu Israel Ina mataifa kumi nambili soma bibilia

    • @farajisaid7792
      @farajisaid7792 Місяць тому

      Mbona shafii kaeleza vizuri Mataifa Ni ujumla wa Makabila 12 ya wana wa Israeli Soma Mwanzo 35:9

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@ShafiunaWaziri-vz7biYaani Biblia na Qur'an vyote nimevisoma na ninavyo

    • @adinanihashim7
      @adinanihashim7 Місяць тому

      ​@@paulmushi2428tusomee wakrito wa kwanza 15 / 17 had 19

    • @ZubeirShomar
      @ZubeirShomar Місяць тому

      ​@@paulmushi2428 aya ipi umeisoma na umeielewa kaka ❤

  • @ShafiunaWaziri-vz7bi
    @ShafiunaWaziri-vz7bi Місяць тому

    Wakristo wanasoma bibilia gani au hawana maarifa ya kufikili

    • @zephaniafundikira
      @zephaniafundikira Місяць тому

      Injili Mathayo 2:6 ilikuwa inanukuu unabii uliotolewa na nabii Mika. Hebu tuone Nabii Mika alitabiri aliyeitoa mafunuo kwa mapana yake
      Mika 5:2,4
      Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
      [4]Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
      Ukiangalia hapa Yesu anatajwa kuwa atakuwa mkuu hata miisho ya Dunia. Maana yake ulimwenguni kote.
      Naimani hii imekaa vyema ndugu zangu, tuelewe ukweli wa maandiko Kama ulivyo
      Biblia tunayosoma ni hii inayoeleza kwa uwazi si nusu nusu kama zinavyonukuliwa hapo na mwalim shafii.
      Ukweli wa Biblia unaeleza kuwa Yesu alikja kwa ulimwengu wote, ikiwapo saudua, marekani, Tanzania nk. MUNGU atusaidie kuelewa maandiko rafiki.

    • @EliasKombi-d7e
      @EliasKombi-d7e 25 днів тому

      Biblia sio history ndg yng, ni mafunuo , torati na manabii imeifunua injili.,

  • @JohnReonald-up8zr
    @JohnReonald-up8zr Місяць тому

    Ww cc acha ushamba ww cc tunaojua nini maana ya imani ya kikirsto Mungu tumuobae hutenda kwa wakati,,,sio imani yenu inawaza ngono2 eti muowe wanawake kibao , mkifa tena mnaenda kufanya ngono na wanawake kibao peponi, ndo maana mlipo ambia yesu ni mwana wa mungu mkajua mungu alilala na maliam ,, kwa sababu nyinyi waislamu mnawaza ngono2

  • @Austinemarko
    @Austinemarko Місяць тому

    Wewe shafii umuongo alafu cha ajabu huna hata haya nakupa adiko mate 13:46..wewe nimpingaji tu yani kafiri kwelikweli#halnass.

    • @sizzle_tz
      @sizzle_tz Місяць тому

      Ko hujasikia hoja

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 Місяць тому

      Wenye akili wameelewa kama maandiko yote hayajakutosha unakuja na andiko moja lililojizonga ukaacha yaliyo wazi wewe mgonjwa

  • @makusudibakari5297
    @makusudibakari5297 Місяць тому

    Mushi ww mjinga ujuikitu

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 Місяць тому

    Shafii unajipigia tu 😂😂

    • @zephaniafundikira
      @zephaniafundikira Місяць тому

      Injili Mathayo 2:6 ilikuwa inanukuu unabii uliotolewa na nabii Mika. Hebu tuone Nabii Mika alitabiri aliyeitoa mafunuo kwa mapana yake
      Mika 5:2,4
      Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele.
      [4]Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia.
      Ukiangalia hapa Yesu anatajwa kuwa atakuwa mkuu hata miisho ya Dunia. Maana yake ulimwenguni kote.
      Naimani hii imekaa vyema ndugu zangu, tuelewe ukweli wa maandiko Kama ulivyo

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm Місяць тому +1

    HUYU NI MTUPU KABISA

    • @qurantajwid9749
      @qurantajwid9749 Місяць тому +1

      Dawa imekuingia shenzi😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@qurantajwid9749 Sasa matusi yanahusikaje ewe msujudia Jiwe jeusi?

    • @ScentsationalHeven
      @ScentsationalHeven Місяць тому

      Mtupu Ni Wewe usiye jitambua

    • @selemanpaul2710
      @selemanpaul2710 Місяць тому

      ​@@qurantajwid9749imemuingia kabisa...

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +1

    Maamuma Shafii Qur'an 4:79 imekushinda kuijibu itakuwa Biblia!! Usitake kutuletea tafsiri ngonjera porojo 😂😂😂😂 kweli wewe Maamuma

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ Місяць тому +4

      Tatizo ni mavi munayo lishwa kanisani ndio mana hamujielewi muna chapwa na hio hio bibilia yenu na hamuoni mulivyo changanyikiwa kwa kula mavi😂😂😂😂

    • @samxx411
      @samxx411 Місяць тому +1

      Ustadhi shafi hawezi kupoteza muda kujibizana na kizazi cha zinaa, yaani wazazi wazini kwanza ikisha wapate watoto ikisha ndio waowane.

    • @saidmasoud7627
      @saidmasoud7627 Місяць тому +1

      Ni haki yako kusema ivo maan ukwel unauma sisi tunajua ilo

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@samxx411 Google neno Al hajar Al aswad umuone mungu wako unayemsujudia Waarabu wanavyogombea kumgusa na kumbusu pia analindwa na kupakwa mafuta na walinzi wake akichafuka

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому +1

      ​@@سعدياقوت-ت2خ 😂😂😂 msaidie wewe Shafii kuijibu Qur'an 4: 79