USWEGE MURDERER - STORY STORY TU NA HARMONIZE (S01EP11)
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2024
- STORY STORY TU is the Hottest Musical Comedy show done by The Lord King of Musical Comedy, USWEGE MURDERER.
UNAPENDA KAZI ZANGU?
(Support, M-pesa +255762688431)
Kutazama STORY STORY zote Bonyeza hapa; • STORY STORY TU SEASON 01
Follow Me on
Instagram; www.instagram.c...
Twitter; Usw...
#Uswegemurderer #Harmonize #Kondeboy #VunjaMbavu #MusicalComedy #KalizaUswege
Aweeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Noma sana kaka
😂🤣🤣🤣😂😂😂
Ujue #uswege unavtuko asee
Hapa mwisho mwsho kwa ryvanny hapa😂😂😂😂😂🙅♀️
Kwer saport tutakupa kwer tunakupenda sana mashabiki zako
Hii umetisha Yani unavyoongea na unajibiwa Kama kweli kuliko zote
Uzuli wa nyumba choo🤣🤣🤣
😁😁😁😁 show kar kwamba katoto kasweet
sema unaadmka sanah
like kwa murderer twende pamoja
Na iyo miwani vp,hhhh jioni nitairudisha like kwa Uswege
Umetisha sana, Yaani Ukweli mtupu na Sio Utani tena.. 👏👏👏
Seriously ⭐
We jamaa ni mkali kinyama
Love from Kenya 🇰🇪 😍 ❤
Apo saw nilikuwa nasubili kwa ham sana upige stoli na harmonize hatimae imefika bro
Bwwaanna bwwaannaaa!!!!
Aiseee we ni nomaaa
Sitory story Leo nimefulah Kam unamkubal halimonaiz piga like
Kuna jumamosi moja ulidojii uswegeee... Nilimisii sanaa hii show💥
Tisha sana bro
Daah mwambaaa unatishaa asee
Thanks my brother for your work
Leo imekuwa kali zaidi🔥🔥🔥🔥
Dah natamanig isiishe
Love u konde boy 💕💕💕💕🙌
Kekolo ulekanunu hahahaaa kinyaki kidg coz wanifanya niwe mwenye frahaa mda wote kaka uswege
Aaah we bro ni fundi wa izi mambozi tz yooote 👍
Kaka umetusubirisha Sana plz maintain cosistance bas tunakua tunakumis... U always 💥💥💥 pull up bro...
Hi
@@salafinatanzani2813Hi
My friend u kilin it
Uswege we ni nomaaa👌👌. Big up kaka
We jmaaa noma snaaaaa
Broo broo u kill it❤️❤️🙌🙌
Hivi hao wasanii wakiona mbn watafurah xanaaa
Hahahaaaa mzeee baba kataka zoooote nlizoangalia hiiiii ndo mwishooo mzeee
Story story inazidi kuwa 🔥🔥🔥 Tuko pamoja Sana mkuu Uswege
anajisha sana very smart
Mkn my bro
Haujawahi kosea bro salute kwako
Imekaa poa xan big up
Nice show harmonize yupo good sana
Jioni ndailudixha 😂
Uswege you kill the swagger, respect to you jamaa unanifurahisha hatar ...🤦
Konde boy ni Moto wao
Respect broo nakukubali
moto bruhh💫💫
Baba me ckupingag love love brother
😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 qali thanaa
haha big up sana murder
Umetisha bro
Hiyo speed ya miwani sasa Mtag#Jeshi aione hii
Uko vizuri Sana
Mtu mbaad. 🙌
Uko vizur kaka
We hataree sana
Uzuri wa nyumba choo waliosikia wapite kwa like hapa🤣🤣
nimecheka alivoingiza eti #HAINISTUI 😂😂 3:53
😂😂😂balaa nanusu
😜😜😜😜😜😜😜 Kwamba ulishazoea kumegewa 😭😭😭😭😭😭😭
first comment nipeni like zake mr murder
hahahaha
😂😂😂😂et uzuli wa nyumba chooo😂😂😂😂
Asee kaliiii xanaaaa Ni motoooo!!!
Mzaz n mzaz jaman
Ivi Hali kasutu ulikanunua Bei gani nikutafte rangi nyingne
Nimeipenda Sana hio miwani
Ukwel mtupu 💞💞💞
Bro imetosha bigup sa bro
𝐔𝐣𝐚𝐰𝐚𝐢 𝐤𝐮𝐤𝐨𝐬𝐞𝐚🙌🙌🤣🤣
One love bro😎😎
Hahaha gwana gwana Namba four kuwatch nipe like zako apo
Kaka unachelewaaa sanaaaa
Anachelewa wp ww
No 1 show
We kaka mung anakuona🤪🤪🤪🤪
Nakukubali sana 🇹🇿
Mbona umechelewa sana
Ahaha nimecheka kupigwa kiatu
🤣🤣🤣Ila uswege bhana unatuvunja mnavu
We n 🔥jombii
Ana haso kumpeleka mwenzake jela 😂😂
Big up my broo
WCB for life
2naitaji story story na diamond platinumz na oka Martin
Top #1❤️😄
Kazi safi💪
Appreciate broo Uswege
Fanya mpaka za kenya bro haha #onelove
Uyo ndo konde boy
tuliomiss hii shoo twende sawa kwa like😁😁
Wasanii kwa kupangaa
Hiki kweli kipaji😂😂😂😂😂
Sawa sawa iko poa
😂😂😂 bro akileta hyo miwani endelea nae story story haijaisha bado 😄
Wa kwanza leo pindi la taifa kwenye ubora wake..
Pindi la taifa 📌
Ntakupa sport
Noma na nusu hyoo
Hahahahaaaaaaa 😁😁😁😁😂😂😂😂
kaka yetu umenichekesha
Tunasubir ya mond
Uswege unajua mzee safiiii appreciate
In love with this ❤️
Unajua kk😂
unatucheleweshea story story uswege.
Duuh Uswege anavijua
Wow 🤣🤣
Mazima sanaaa
Nice work√√√