Mungu walinde wanakwaya wote kanisa takatifu katoriki duniani kwa.kuwapa guvu na.roho mtakatifu awaongoze imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina
Mali yako utayacha kweli hayo yote ni ya dunian Mungu tujaali mwisho mwema tupe Rehema yako Mungu maana tunaendeshwa na kutafuta pesa Mali fahari za dunia hii tunasaha kwamba tunapita Mungu wangu tuongoze maana tuna tumia nguvu nyingi muda mwingi kuandaa maisha mafupi ya hapa duniani tunasahau kujiandaa kwaajali ya misha ya kesho ambayo niya milele Mungu tunaomba Rehema yako😢
Mungu wangu unilinde dunia hii nchi zote vita sio vita tu ya silaha za.mambomu na bunduki bari ata uzurumati mali za watu watoto walio acha wazazi wao wakiwa wadogo wapate haki yao wanao teseka katika vita hinzi wamama na watoto wazee wangojwa wasio ona wamama wajawazito vijana wasio na makosa vinasababishwa na watu wachache wenye tamaa za madaraka ata kwenye family 👪 zetu kuna vita mungu upokee maombi haya ndugu zetu ujumbe huu hii kwaya amina
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Reminds me of my late hubby the choir sang it repeatedly 😭😭😭😭 whenever I listen to it somehow I shed a tear. I thank God it's now my favorite song I've learnt a lot through it and I'm a better person now
Mungu wangu unilinde watu wako asa nchi zinazo pingana vita apa duniani anajari zinazotokea popote duniani kote amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Hii wimbo inanikubusha babangu vile alikua anaiba naskia nikama akona wao mpaka naskia kulia dad continue resting in peace tumetamani sauti yako kika asubui ukiimba (baba yetu uliye mbinguni)
Nyimbo safi na ujumbe wa kutosha pia tuwasamee wanao tukosea kila siku ili tukawe na makao mema kwetu mbinguni....Pia Mungu azidi kuwapumnzisha ndugu zetu wote walio pumnzika kwa amani yake🙏❤🌹
Inanikumbusha sku ya mama yangu kuaga dunia nikiskia hii nyinbo namkumbuka mama yangu Edith Senti mwanga wa umuangazie na laha ya milele umupe EBWANA apumnzike milele
Mungu walinde wanakwaya wote kanisa takatifu katoriki duniani kwa.kuwapa guvu na.roho mtakatifu awaongoze imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina
I just get emotional when I resting that song.i remember mymum rest in peace mum
Aminaa sanaa
🙏🙏
Mm inanifundisha kutenda mema hapa duniani.
Amina
Mimi sio wa catholic church lakini hii wimbo naipenda xaana....is so painful 😣😣 mungu atulinde...wachawi..wanganga..washindwe Kwa jina la yesu kristo
Amina
Amen 🙏
ambao wanakanya pole pole kwa kumtafuta Mungu like nikuon 2024
Amen
This song reminds me everything is vanity. Let us invest in the Lord who is eternal
Wimbo mtaamu Sana mwalimu naomba kupata miziki wake nitashurusana
This song humbles all humans..be good to all and live a life that only pleases your creator.
Amen
Amen,it surely humbles everyone
Mali yako utayacha kweli hayo yote ni ya dunian Mungu tujaali mwisho mwema tupe Rehema yako Mungu maana tunaendeshwa na kutafuta pesa Mali fahari za dunia hii tunasaha kwamba tunapita Mungu wangu tuongoze maana tuna tumia nguvu nyingi muda mwingi kuandaa maisha mafupi ya hapa duniani tunasahau kujiandaa kwaajali ya misha ya kesho ambayo niya milele Mungu tunaomba Rehema yako😢
Whenever i hear this song i remember my late father and my late brother may their souls rest in peace.
when i also listen to this song its remains me about my late mother rip mom
God be with you my dear friend always🙏❤
When I hear this remind me my late mum and my late sister......bt also I learnt to be humble
Mungu wangu unilinde dunia hii nchi zote vita sio vita tu ya silaha za.mambomu na bunduki bari ata uzurumati mali za watu watoto walio acha wazazi wao wakiwa wadogo wapate haki yao wanao teseka katika vita hinzi wamama na watoto wazee wangojwa wasio ona wamama wajawazito vijana wasio na makosa vinasababishwa na watu wachache wenye tamaa za madaraka ata kwenye family 👪 zetu kuna vita mungu upokee maombi haya ndugu zetu ujumbe huu hii kwaya amina
Wimbo huu ni mzuri kbs,ujumbe unageuza kutoka mabaya Kwa meema
Inanikumbusha siku tulimuaga baba yangu .. mahali ulipo baba uendelee kupumzika Kwa amani😭😭😭😭😭😭
Pole sana mwah may his soul and of my dad too rest in peace 🥲🥲🙏🙏🥲🥲🥲
Pole sana
Pole sana
Pole sana Mungu azidi kukutia nguvu.
@@johnmunyithya5290uuÿyÿuyuyyuyu6uy6y
Kwani nifaraja moja yakusali ata kama umechoka lakini unapota faraja ya nyimbo kanisa takatifu katoriki duniani umesali kwa imani kuamini amina
Amina sana mtumishi
Inanikumbusha mbali mjomba angu mungu wape wepesi wa dhambi zao maan mbele yao nyum yetu
Mmetutoa kimasomaso wenu ha babati manyara❤
Sisi niwapitaje Ee yesu mwema tunaomba huruma yako daimaa😥😭😭🙏🙏🙏
❤❤as the so goes ...Dunia hii si Yenu..kanyaga pole pole ndugu yangu..makao ni Uko binguni...I love the song
keep it Good work ujumbe wakweli wimbo mtamu sanaa❤❤
Tukae kwa yesu milele, Amina
Cette chanson me rappelle le jour où j'avais perdu mes deux parents dont mon père et ma mère,que leurs âmes reposent en train.
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Nyimbo nzuri sana mke wapo watu wanaowanyasha wenzao uraisi wa milele yao ni hapa duniani
Inanikumbushambali Sana siku niliyokuwa msibani kwa bibiyangu mungu amlaze mabalipema peponi
😭😭😭It reminds me my brother who perished in an accident 😥just 5yrs yaani life is meaningless 💔
What a humbling song🙏🙏am a Proud Catholic 🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
It's a very nice and humbling song,I keep on listening to it each and every night when about to sleep. Kudos to the cjoir members
I like the song
Very nice
Mungu awapeni nguvu muendelee kumwimbia Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Reminds me of my late hubby the choir sang it repeatedly 😭😭😭😭 whenever I listen to it somehow I shed a tear. I thank God it's now my favorite song I've learnt a lot through it and I'm a better person now
It is a good song am listening now, may God adds them more
Kanyaga polepole ndugu yangu sisi ni wapitaji makao yetu huko mbinguni nimeiangalia 2024 ina sms nzuri sana
Very encouraging music from the Catholic choir
Mungu wangu unilinde watu wako asa nchi zinazo pingana vita apa duniani anajari zinazotokea popote duniani kote amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Akika tukanyage polpole jaman duniya hi sio yetu makao yetu ni mbinguni ee mungu wangu nakushukulu kwa punzi ❤❤❤
Hii wimbo inanikubusha babangu vile alikua anaiba naskia nikama akona wao mpaka naskia kulia dad continue resting in peace tumetamani sauti yako kika asubui ukiimba (baba yetu uliye mbinguni)
Nyimbo safi na ujumbe wa kutosha pia tuwasamee wanao tukosea kila siku ili tukawe na makao mema kwetu mbinguni....Pia Mungu azidi kuwapumnzisha ndugu zetu wote walio pumnzika kwa amani yake🙏❤🌹
Inanikumbusha sku ya mama yangu kuaga dunia nikiskia hii nyinbo namkumbuka mama yangu Edith Senti mwanga wa umuangazie na laha ya milele umupe EBWANA apumnzike milele
pole bro
Pole dear
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Tick tock brought me here.....a nice song good msg
I thought it's a new song ! Good message God's pple..more blessings ...Catholic songs be always on it
Amen 🙏🙏, this world is not our home nice message to all christian believers from this song, Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏
I like the song because it makes many people to humble themselves and reminds us we are heading somewhere
kwa kweli tunahitaji nidhamu kubwa na dunia hii ,tukanyage polepole, cyo kwa vishindo.
Afadhali kunyenyekea hii dunia si yetu. I feel bad nikiona vile watu hujiona
A very powerful message that humbles me and reminds me to do God's will
The song is so nyce, Keep preaching the gospel guyz.
From Tanzania ...am listening the song and love it
Great message and great song our home is in heaven ;
Wooooow 🎉🎉 this is the best song that i have heard today 😊😊
It melts the heart,,,so amazing song,,,hii dunia siyo yetu
Kanyaga pole pole dua so yetu, ikiwa na maana tuish kwa kumpendeza MUNGU duniani tu, wapitaji tu. 🙏🙏
Ngoma imekaa vizuri, big up!
I love this song endeshataratibu pole pole
I love it
Amen good message to our fellow catholic 😊
My brothers continue rip, sisi wote ni wapitaji😭😭😭😭
❤❤❤ je suis en RDC mais j'aime beaucoup les chansons en swahili ça me vraiment bien
The bad side of it after this 8 yrs ago the good singers I see here only few of them are existing.....life is too short...🙏🙏🙏
2024 like tujuwanne ❤
Sure tuwapitaji,,😢
Tread slowly, a very beautiful song that blesses and has a very good message.❤
Nice song teach us that the world is not our home
Nani anakanyaga na mimi February 2025?
May the soul 😢😢😢 of JPM rest in peace 😢😢😢😢 kweli dunia si yetu
Rest in peace my dad whenever I hear of the song I remember your sacrifice to make me whom I am today
This song encourages me to humble myself all through
Great inspiration, yote yatapita tumtumanie mungu.
Ongera kubwa ju ya wimbo huu,n'a tunaomba nota ta wimbo huu
Kwny ii mwimbo ilikuwa inajua coming years kutakuwa kubaya like today wewwh
Nakubuka babu alikufa mungu akuwe mahali pazuri Rip babu 😭😭😭
Very true, God created us in his own image and likeness.Tuwaheshimu na kuwapenda wote pasi kujali utajiri au umasikini.
Yani wimbo huu unanitumaga niwaze mbali sana unanifariji na kujua duniani c petu
Wimbo mzuri sana hongereni sana kwa ujumbe mzuri
old is gold nimebalikiwa hakika
Wonderful song with a alot of teachings.
Pumzika kwa amani mdogo angu George kilanga maganya
May God bless you abundantly for your great song
Nice song may God continue to blessed all ❤❤
Vous avez raison mes frères et sœurs, félicitations pour cette belle chanson
I luv this song.God bless the composer and the entire choir as it has very strong message.Davy kbu
So adorable i love it
Nipenda sana huu
Humility and love for others is key. We own nothing and cannot afford to be proud
waooh amazzing song, it is very humbling
A great song keep on spreading the gospel. I need skiza code
This song touches my heart I feel Pain so sad for losing my grandfather countinue resting in peace
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏🙏🙏 amazing choir 🔥🔥🔥
Ndaa nyimbo zur kweli tunapita tu 😂😂😂😂
one of the best songs i have ever come across. i have been looking for the CDs
ulipata?
, if no, connect with at Nairobi i can bring it for u.
Msg tamu sana
David Njeru,,,nitafutie please,am in Westland
Dunia ni mapito.Very Inspiring
These song reminds me of my Father who left us it is true we don't belong to these world
Here because I saw the song on Tom Daktari's content on tiktok❤❤
Wimbo Mzuri Sana jamani hongereni sana
It reminds me of my late dad ,,,,,rest in peace dad
Very nice song!!👌👌👌❤❤👏👏
Ohh wat a beautiful song...maneno ya kujenga kweli
Kanyaga polepole
It reminds me of my grandma i lost two months ago
It reminds me my late father and mother may there souls rest in peace
After kuiona tiktok here I'm wana tiktok piga like tukisonga
Mr.mkazi
I also saw it in tiktok
Me too
Mr. Mkazi comedian wangu anaupenda sana huu wimbo kwa video clips zake
Yaani na mwenzake mboneke😂😂
Endelea kupumnzika kwa amani baba angu mzazi mimi kijana wako nazidi kukuombea🙏
It reminds me about my dad who passed away continue resting in peace dad
2025 mungu ni mwema 😇🙏azid kutubariki sote
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Huuu wimbo unanibarikiii sanaanaa
Nice song keep on going watu wa mungu
Kanyanga pole pole ndugu yangu.dunia si yetu
Sure nobody is permanent we need to seek the face of the Lord