ALLY KAMWE ALAMBA DILI LA UBALOZI KWA SIMBA AMPIGIA AHMED ALLY SIMU KUMTAMBIA "NIMFUNDISHE BIASHARA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 21 день тому +9

    Very smart guy, hongera sana Kamwe big up

  • @MakukaNyango
    @MakukaNyango 21 день тому +3

    Ally kamwe,,wew utabaki kuwa icon kwenye tasnia ya digital,kwa vijana wengi wa kitanzania,,nakukubali kaka piga kazi,

  • @andrewpembe8553
    @andrewpembe8553 21 день тому +2

    Ni kweli Hawa vijana wanaweza Uongozi,,ni matumaini yangu ,,Uongozi Wetu wa Nchi wanawaona,na kuwa Kuna wakati wanaweza kuonekana kupewa Uongozi Kwa Jamii,,wakianzia ngazi ya Wilaya .Aminaa

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 21 день тому +13

    Nyie endeleeni kumdharau huyu dogo. Kuna siku mtamkuta Ikulu.

  • @KhadijaOmary-ru1ub
    @KhadijaOmary-ru1ub 21 день тому +2

    Ongera sana kaka kukupenda ndo najuaga maana makasiliko sio vitu vyako❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 21 день тому +9

    Ahamedy na Ally kamwe kweli ni watani wa jadi ukiona jinsi wanavyotaniana mpaka inafurahisha sana😂😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 21 день тому +2

    Mie napenda tu wasemaji wetu wapo vizul sana alafu awana hata makasiriko alhamdullah m/mungu awaweke inshallah

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 21 день тому +4

    Napenda namna Ally na Ahmed wanavyotaniana kimichezo bila uadui. Utani wao hatuoni chembe chembe za ugomvi kati yao zaidi ya utani wa jadi wa kimichezo. Angekua manyara hapo shombo tu ndo zingemtoka.

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 21 день тому +6

    MUNGU ni mwema hongera Sana Ally kamwe kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @user-bu9wj5pi3t
    @user-bu9wj5pi3t 19 днів тому

    Very smart guy and creative....achaneni na malopolopo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 21 день тому +10

    Msimlinganishe huyu na comedian! Huyu yuko smart,clever,smart, creative, articulate and more likeable! Yakija mambo SERIOUS,HE IS UP THERE

    • @mwanza_university
      @mwanza_university 21 день тому +2

      unajielewa kweli wewe??ahmed ally yupo smart sana na anafanya kazi kubwa sana pale simba,usiongee sababu ya chuki tu,swala la yeye kuongea maneno ni katika kukuza brand simba saiv inafanya vbaya pamoja na kuwa smart ameamua pia asipoe ni strategies tu.ila haina maana hizo sifa hana

    • @ericdiseteh8111
      @ericdiseteh8111 21 день тому +1

      Maisha ni kuchagua unaweza kuwa na jmbo fulan ila ukalifanya kwa namna nyngn ili uwe na njia yko

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 21 день тому

      😂😂...eti kamwe yupo smart...usmart wa kutukana watu wazima...nawe ni ngedere kama yeye tu....

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 21 день тому

      Amemtukana nani si angefungiwa jamani au ​@@rockygappi1018

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 21 день тому +1

      @@rockygappi1018 unajua maana ya kutukana wewe KUma! Alishawahi kumtukana nani tangia aajiliwe Yanga mbwa wewe! Kucharurana simba na Yanga is normal! Nimeandika hapo juu kwanini yupo tofauti na Ahamed! Nambie by FACTS,Ahamed kuna kitu gani anamzidi Kamwe kenge wewe! Jibu hoja na FACTS

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 21 день тому +6

    Safi sana Ally kamwe

  • @user-ww2nu7vv2i
    @user-ww2nu7vv2i 21 день тому +1

    Umeongea kiutulivu sanaa hongeraa💛💚💛💚

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 21 день тому +1

    Hii ya Ally kamwe na Amed ...Nimependa Umoja wako.Mungu Awasimamie katika Umoja Wenu.

  • @esaworldveg1607
    @esaworldveg1607 21 день тому +4

    Inawauma eeee, habari ndio hiyooo watu na nyota zao.

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 20 днів тому

    Yaani nawapenda jamani mpaka mwisho ,hawa ndio watani haswa , tunatunishiana misuli tukiwa tunaenda uwanjani ,lakini tunaurafiki madhubuti na tunakula pamoja , Hongereni sana

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 21 день тому +2

    Uko vizuri ! Bwana mdogo.mie mnyama Nakuunga mkono😂😂

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 21 день тому +2

    Ally Kamwe mtulivu saana...

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 21 день тому +5

    Keep it up bro 💪

  • @IbrahimuSalum
    @IbrahimuSalum 20 днів тому

    Nawapenda xana ahmedy vs ally wanavyoixhi wanatufanya mashabiki tuwe wa1

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 21 день тому +2

    Safi Sana dogo

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 20 днів тому

    Nimejikuta nacheka tu ,kwa Ahmed Ally .

  • @barakamnungamo3213
    @barakamnungamo3213 21 день тому +2

    Kuna watu wengne wa nyuma mwiko ukiona comment zao unagundua hawana akili timamu kama alivyosema takadinj

  • @SumaMixy
    @SumaMixy 16 днів тому

    😂😂"sasa upo live kwahiyo behave " amejua anaweza leta utani wa ajabu

  • @ChristianMwakisambwe
    @ChristianMwakisambwe 18 днів тому

    wew akili hauna kwani msemaj yupi anesain madir mengi Kat ya kamwe na Ahmed Alli mpaka unasema usimlinganishe na comedian

  • @farajibuteta6258
    @farajibuteta6258 15 днів тому

    Hawa jamaa kuna kitu wanatengeneza cha maana sana na itawapa hela ni kama walipanga hii kitu

  • @bakarially253
    @bakarially253 21 день тому +1

    NeST Is only connection for government tender

  • @SaraMbuya-hr2nj
    @SaraMbuya-hr2nj 21 день тому

    Saf sana hakika mtafika mbaliiii❤❤❤🎉

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 21 день тому

    🎉🎉🎉🎉kila lakheri kamwe

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 21 день тому +1

    Ahmed ally leo amekua mpole balaaaaa 😂

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 21 день тому

    Hongela sana ❤❤

  • @ishaqally444
    @ishaqally444 21 день тому

    Smart guy🔥

  • @user-yf2ro1wb4y
    @user-yf2ro1wb4y 19 днів тому

    Kichwa sana Ally. Eng Hersi anaona mbali sana kuwa na jembe wewe

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 21 день тому

    Hongera san ila hapo ndo kampa mwenzake dili😅

  • @dullahchitemo2311
    @dullahchitemo2311 21 день тому

    HUYU GEN Z HATARI SANA KICHWA HASWA

  • @mathahosea6783
    @mathahosea6783 21 день тому

    Niwa pongeze wasemaji na watani wa jadi mko vizurii ..

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 21 день тому

    Ongera kaka

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 21 день тому

    Jaman Alliy anamiaka mingapi na kishaoa ?😎😎😎

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 21 день тому

    Huyu ali kamwe Ana roho nzuri sana

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 18 днів тому

    HUYU ANAFAA ATA KUWA MSEMAJ WA SERIKAL

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 21 день тому

    Ali Kamwe. Wewe ni mtu wa Maama sana

  • @ImaniYona-s9r
    @ImaniYona-s9r 21 день тому

    Hv huyu golikipa alitaka kumuuwa mzize auuuu😢😢😢😢😢😢

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 21 день тому +5

    SS yanga kama hamujui ni serikali mukitaka muondoe timu yenu kwenye ligi tubaki na wanaweza kwenda na Kasi yetu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 21 день тому

    NA NYIE WACHAMBUZI WAACHE HAO NI MARAFIKI NA PIA WANA UTANI SANA HAWA VJANA WANAPENDANA SANA. ACHENI KUWACHONGANISHA AHAMED ALLIY NA ALI KAMWE. WAACHE KM WALIVYO

  • @KonshazKonshaz
    @KonshazKonshaz 21 день тому +1

    Wakwanza apa

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 21 день тому +2

    Acha ujinga arafu usirudie kuongea Simba kinywani mwako

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 21 день тому +1

      Kolo chuki ya nini... yanga inaongoza kwa furaha

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 21 день тому

      Simba ni kitu gani cha maana hadi isitajwe

    • @levislwamba5695
      @levislwamba5695 21 день тому

      Wew ndo mjinga, simba anayetajwa hapo sio nyie makolo acha ushamba

    • @TabiaMwaisumo-ss7pz
      @TabiaMwaisumo-ss7pz 21 день тому

      Acha upumbavu na vitu vya msingi wewe😢nani anakitaka kiteam chenu cha hovyo kile

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 21 день тому

      😂😂😂kwanza nicheke safura za nini sasa

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 21 день тому

    wivu tu

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 21 день тому

    Pamoja

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 21 день тому

    Mwiguru

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 21 день тому

    Mm ndo mana ciipendi kw sababu moja kubwa ni yanga kuwa ccm mm ccm ciipendi ht kuiona

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 21 день тому

    Haaaaahaaaa ila ally kamwe daaah

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 21 день тому +3

    Hakuna ela apoo😢😢😢

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 21 день тому +1

      Baki hivyoooo HIVYO 😂😂! Huyu ni tofauti na comedian! Hata akiongeay,His representations,are articulate!

    • @taucdulle7460
      @taucdulle7460 21 день тому

      @@errydeo8865 sasa uyo comed ndo kamfunika balaaa….yan hana usaidizi ni yy lkn anawapeleka mbayaaaa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 21 день тому

    Kijana ana akili sana

  • @AyubuIssa-np3vc
    @AyubuIssa-np3vc 21 день тому +1

    Ccm na yanga nindugu ban 😂😂

    • @Yassin-z6o
      @Yassin-z6o 21 день тому +1

      Kwani simba haina undugu na ccm?? Kama vipi ipelekeni kenya ikashindane na Tusker fc

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 21 день тому

      Kwahiyo!? Serekali ni ya kina nani !?

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 21 день тому

    Tofauti ya huyu dogo na semaji la simba ni weledi na utulivu wa akili.

  • @user-ph4ch9qx5p
    @user-ph4ch9qx5p 21 день тому

    Mfundishe huyo dunduka pori

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 21 день тому

    Fake na really vitatengana tu

  • @hamisimbogo7191
    @hamisimbogo7191 21 день тому

    .