Jamaa Akwama, Mwengine Atiliwa 'Chele'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2013
  • Katika visa na mikasa miwili tofauti, hapa Nairobi katika eneo la Trans Armi, mtaa wa Embakasi, jamaa mmoja aliyejifanya bingwa wa kutaka kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja, bila kujua kwamba ndege hao hawakuwa njiwa ila kunguru waliotaka kumuibia....na kama utashangaa ya musa hujayasikia ya fir-auni yaliyokea katika mtaa maarufu wa Kondele mjini Kisumu, ambapo bwana mmoja aliyekuwa akilima kwenye shamba la mwenyewe, akitarajia kuvuna asipopanda, alishtuka kuhisi jembe lake limekwama penye tope asipostahili kuliingiza....msikilize patrick injendi na maelezo hayo.

КОМЕНТАРІ • 96