Mgaagaa na Upwa: Mfugaji, Wanyama Walemavu
Вставка
- Опубліковано 19 гру 2024
- Licha ya kwamba wanyama wa kufugwa huthaminiwa sana na wafugaji lakini wana chanagamoto hasa pale mnyama anapozaliwa na maumbile ya ajabu, au akiwa kilema,huku wengi wakiwatelekeza.kinyume cha hilo ni mpango wa mzee Boniface Ndura kutoka Kitale,ambaye huwanunua mifugo waliolemaa na kuwafuga.kwa sasa ana zaidi ya wanyama hamsini walio na maumbile ya ajabu na kuwa kivutio cha wengi kutoka maeneo mbalimbali.mwanahabari wetu Job Mwaura anatusimulia pandashuka anazozipitia kazini katika makala mapya ya mgaagaa na upwa, yatayayokuwa yanakujia kila siku ya jumanne yakiangzia pandashuka wanazopitia wengi katika utafutaji wa riziki.
May GOD bless the work of his hands. he is one in a billion of mankind.
This mzee is so unique , God bless you baba
God bless you for your kind heart.
So pure so natural am in love Jah bless u Mzee.
The satisfaction and joy that he gets is unlike anyotheri can relate God Almighty will reward you abundantly
Both here and the hereafter
May Allah reward you mzee
He deserves a Nobel prize.....
May God bless you! Makes me wanna cry
MAY ALLAH BLESS YOU FOR THIS JOB.
Amin
I have been to this place,its great and touching,a wonderful wonder
Hi bro can you kindly give us the exact location please we need to visit there as a church
Mungu akusaidie vile umesaidia wanyama walimavu
mungu akubariki sana
10 yrs later still watching this
My Primary school Director (ALLSAINTS ACADEMY) from Kitale.... NDURA PARK....
I once visited this place ..its very nice to be😘😘
ya mungu ni mengi ya kuku ni mayai
Barikiwa sana
Wow awesome...
Johnny kishanto
good bless you sana!
2022 July watching still
God bless you
GOD BLESS.
God bless you!!!
MMH ILIKE IT VERY MUCH
So many kenyans homeless. Ndura should be more philanthropic than conservative he has big farm that can feed many children homes
I have one like this, kindly connect me Bonface, am based in Eldoret
Baba hongera
Not about business but goes beyond humanity
Mungu akubariki sana! Lakini wote tuingie kwenye internet na tuandike ( play video hii sio picha ya Yesu , hii sio picha ya Maria )
Where is the farm located
Subhannallah
Nampa ongera bb etu kwa kuwalea wanyama uo
appreciates
haya n maajabu
maajabu haya biashara iendelee
Mambo Grace
Kondoo inaitwa fisi.... wooishe
Mama Fey Kuna watu pia huitwa hivyo....
omukama Na akubeleee
Hae
Uko wapi
🤔🤔
Huo ni mwito! Sio kila mja awezae unayoyafanya.
Rozi muhando
where is this place I need to go there,plz give me information
did you go?
dennis rukwaro Kitale on your to kepenguria!
they call it "Kwa ndura"
Kitale nature conservancy kitale
Ako tiyare kuinunua
Kama mwanadamu utenda mwanadamu mwenzake itakwa mnyama.
saitoti sapiyo hjjkjjhyhhbnnnnhcjyppigoohhpokkkklkoi
ceme
Nina wasiwasi Sana na huyu jamaa
wakikuyu Na biashara waachie😂😂😂😂😂😂😂😂
Lisu
Lisu
Kipenzi changu
huyo mfugaji ana IQ ya juu
du
pokot cultre
3
This place is a zoo, started as a zoo (business) not saving handicapped and animals with malformations
Boik
God bless you
God bless you