VURUGU Zaibuka MBAGALA Wabeba MKAA na MALIASILI WADAI KUONEWA, AFISA MISITU Afunguka...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 204

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 2 роки тому +10

    Now days unyanyasaji unazidi nchi inakuwa ya watu wachache. Nyie askri mtakufa mdomo wazi Kwa uonevu wenu watu wananungunika miyooni mwao

    • @umojawawatanzania3813
      @umojawawatanzania3813 2 роки тому +1

      MWONEE MTZ HURUMA SI KWA HAYA, MHURUMIE KWA KUWA NA MAZOEA YA KUWEKA AKILI KANDO WAKATI WA UCHAGUZI NA KUIKUMBUKA AKILI ZAO WAKATI WA WANAPOMINYWA.

  • @yuvenaliramadhani6993
    @yuvenaliramadhani6993 2 роки тому +12

    Kama kweli viongozi wa inchi hii wanauchungu na vijana simpunguze bei ya gesi kwa nini bei ya gesi iko juu hivyo.!?

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 2 роки тому +7

    Vijana mukipewa uongozi kidogo tuu mnajisahau kuwa mumesomeshwa na pesa ya kuuza gongo na bangi na wazazi wenu... Nyambaff

    • @zuberiadamu3684
      @zuberiadamu3684 2 роки тому

      Anajisahau VP wakati anatimiza majukum yke

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 2 роки тому

      @@zuberiadamu3684 Majukumu gani Ndg yangu yasiyokukumbusha ulikotoka...

    • @zuberiadamu3684
      @zuberiadamu3684 2 роки тому

      @@amanafi1288 aina maana Kama umesomeshwa kwa bangi ndo uhalalishe bangi, upo kwaajili ya kutetea haki na nakupinga batili, kwahyo jukumu lako nikubadilisha mtazamo wa watu waamini kwenye kile kilicho kua sahihi na si vinginevyo

  • @josephmsabila2592
    @josephmsabila2592 2 роки тому +1

    Duuuu htr Sana rip Dk magufuli

  • @abdallahmakame791
    @abdallahmakame791 2 роки тому +5

    Yani wananchi wazurimiwa sana naombeni watu wausika wawasikilize wananchi yeye hatari kwa watu wasio na nguvu awa viongonzi wengine wanatumiya nguvu tu

  • @peterdioniz3067
    @peterdioniz3067 2 роки тому

    Daa inauma sana kijana anajituma apate riziki lakini anapokonywa tonge lake tutafika kweli tutakukumbuka sana makofuli mtetezi wa wanyonge machinga shida kilakitu shida

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 роки тому +5

    Dah! Naililia nchi yangu Tanzania, kwanini haya yanatokea!!?😪😭.

    • @sadikidaudi1223
      @sadikidaudi1223 2 роки тому

      walikumbuka kunyanyasa watu saahizi ndio wanakata kiu yao

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 Рік тому

    Yani kama hawajazaliwa na binaadamu 😭😭😭 mungu ni mwema Kila kitu kinamwisho wake

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому

    Dawa ngewatwanga hao mbwaaa koko mpakaa wanye mavii kwanzaaa akili ziwakae sawaa....Tamaa zao mbayaaa zitawaua vifo vibaya sanaa

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 2 роки тому +6

    Enzi za Magufuli ziko wapiii hakuna migomo hakuna maandamano

  • @saidimussa8200
    @saidimussa8200 2 роки тому +1

    Mama anakula urojo ana ata habari yaani bibi anatia njaa watu kila anacho ambiwa yeye anatia saini viatu vya magufuri uwezi kuvaa kwa nini ulivichukua

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 Рік тому +1

    Yani kiloba cha kilo 25 unalipa elfu 6 yeye atauzaje huo ni wizi mkubwa hivi viongozi tuliowachagua mnatusaidia nn kwa manyanyaso haya

  • @iddyngaiwa
    @iddyngaiwa 2 роки тому +4

    Duuuh hii ndio Tanzania ya mama kwani mama haoni kama sisi watu wachini tunaonewa sana

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 2 роки тому +5

    Kazi Iendelee..!!

  • @umojawawatanzania3813
    @umojawawatanzania3813 2 роки тому +3

    WATAPUNGUZA 2024, SASA HIVI VUMILIENI TU.

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 2 роки тому +2

    Samia rais naiman umeanza kuona wananchi wamechoka Tena wamechoka una chafuka wewe kisa watendaji wako hao angalia nchi inafika wapi jaman police acheni

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +4

    Magufuli aliwambia, mtamkumbuka tena sana.🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️

    • @stellamasanika8799
      @stellamasanika8799 2 роки тому

      Tena Dana😭😭😭😭

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 2 роки тому

      Wamjini wa na njaaa ndio maana

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 2 роки тому

      Inamaana wilaya nzima ya mkuranga munawafanya hawajui kzi ,kutoka mkuranga mpaka mbagara

    • @hatibuyusufu4668
      @hatibuyusufu4668 2 роки тому +1

      Wewe ujui kitu nchi ni dhulma hawa watu wamkaa wanaonewa tuka enzi Mkapa , Kikwete,na Magu pia au umesahau watu wa samaki walivyo kua wakichomewa moto nyavu zao,au umesahau Wazili Mpina alivyo kwenda na rula Bungeni kupima samaki ,ACHA upofu wewe hii CCM ni shida

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +3

    Hangaya yupo busy na ngozi nyeupe pamoja na matajiri😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @nicholausmasese6337
    @nicholausmasese6337 2 роки тому

    BIG UP TFS SOKO LA MKAA MOJA WENGINE WANALIPIA WENGINE HAWALIPII CHOCHOTE ONDOENI WOTE WANAOVUNJA SHERIA ILI WANAOFUATA TARATIBU WANUFAIKE MSILALE WANAOPIGA MWIGI BILA VIELELEZO TUNAWASHANGAA TU HAWAJIELEWI HADI WAWAPIGIE SALUTI

  • @ibrahissa7758
    @ibrahissa7758 2 роки тому +7

    R.i.p magu

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Рік тому

      Magu ndio muasisi wa huu ukatili akiwa waziri wa maliasili , au ni magu yupi?

  • @oscarcharles9269
    @oscarcharles9269 2 роки тому

    Mheshimiwa rais mama Samia chunguza suala hili,Kuna rushwa inayotambaa hapo Askari maliasili wamekua wakiwanyànyasa sana raia na kupokonya haki zao licha ya kua na vibali halali. Na hili lipo takriban nchi nzima huu ni uozo usiufumbie macho kwa hakika utatenda jambo mama

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 2 роки тому

    Duh hii naipenda sana tuna onewa sana tatizo kila mwenye mamlaka amekua mkamataji sasa hii inchi ina enda kubaya

  • @mosesmuhanuz1072
    @mosesmuhanuz1072 2 роки тому +1

    Acha kuonea vijana maisha sio rahisi

  • @suberasubera641
    @suberasubera641 2 роки тому

    wananchi oyeeee wanaenda kupikia majumbani kwao tu aowezi makawezi wengine

  • @colinmhema530
    @colinmhema530 2 роки тому

    Kwann kila mtu Kwenye serikal hii anakuwa mnyanga'nyi hawa walishataka kuwaibia mkaa watu hapo

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 2 роки тому +1

    Hivi ni Watz wangapi wenye uwezo wa kutumia umeme au gesi!?
    Dar hapo wangapi wanatumia majiko ya umeme au gesi!? Hao hao wanaokamata, usishangae nyumbani kwao wenyew wanatumia mkaa!!!

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 Рік тому

    Dahh serekali ya ajabu hii wakirnda kuiba mna wapig risasi wakijiajiri mnawakata

  • @bakarimnjumba7805
    @bakarimnjumba7805 2 роки тому +2

    Magu wananchi umewaachia maswali magum ambayo majibu yake ayaonekan pumzika kwaamani jesh

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 2 роки тому

    Duuh kiroba cha kilo 25 cha mkaa ushuru wa serekali ni Tsh6,000 jamani mbona unyonyaji mbubwa sana hivi

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 2 роки тому

    Sasa utakuta wanaenda kuuza wao huko Ofisini kwao siwangekuwa wanautupa

  • @denyu9975
    @denyu9975 2 роки тому +1

    Saiv vijana kazi mnayoo

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 роки тому +1

    Enzi za JPM huo uwakala wa misitu ungeutema tena fasta. Nyie hata mimi mlinisumbua sana. Tz bila JPM Itakuwa chungu zaidi ya klolokwine🧐🧐🧐🧐🧐😏

    • @zuberiadamu3684
      @zuberiadamu3684 2 роки тому

      Mbona hakuutema na alisifia kazi yao ya ujusanyaji pesaa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 роки тому +1

    Nadhani mmemuelewa huyu mtunza misitu, watanzania tunapenda sana mtelemko, alafu mnamlaumu tu serikali

    • @saadkobelsk9446
      @saadkobelsk9446 2 роки тому

      Hawa ndio wale wale ofisi ile ile dhuruma 2

    • @ibrahimkassim2856
      @ibrahimkassim2856 2 роки тому

      @Sefu Makanyila Kwahiyo na majambazi pia waachiwe kwa kigezo ndio maisha yao!

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 роки тому

    Tanzania ukijiajiri mtihani usipojiajiri mtihani

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 2 роки тому +7

    Natamani hata kulia kweli nachukia sana hivi vitendo. Sheria zipo ila watu wanataka sifa

  • @monytweve5859
    @monytweve5859 2 роки тому +1

    Poleni ,nikukumbuka yote hayo wakati ukifika

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 Рік тому

    Acheni wizi nyinyi ushuru uko juu Mara mbili ya manunuzi nyinyi ndio mnasababisha vijana wawe wezi juzi kibaha mmepiga m beba mkaa risasi mkamuua kisa buku tatu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 роки тому

    Jamn mbona wizi huuu?

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 роки тому +1

    Sasa hapo jamani mtu ana jitafutia akanunue unga nanyi mwachukuw leo tumeshinda na njaa siyo vizur mama samia tuonee huruma

  • @reilamussa1658
    @reilamussa1658 Рік тому

    mpaka nimetoa machoz awa askal sio wazur kabisa mi kwa maneno t yawatu walikuja kunisachi ndan walibeba kilakitu ndan yan nawachukia bhas t

  • @hebronmwambola1525
    @hebronmwambola1525 Рік тому

    Mkaa huu unakusanywa wapi?
    Serikali iangalie swala hili nguvu inayotumika barabarani ingetumika porini unakochomwa mkaa misitu ingepona
    Wasafirishaji sio wachomaji

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 2 роки тому

    Huo mkaa mpaka unafika mjini hapa waumeshatimiza mashrt yote ya ubebaji unaukamataje sokoni huo mkaa

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 2 роки тому

    Kiroba kimoja Cha kilo25 ni 6500 ushuru utakuja kuuza me mkaa huo huku..n bado ununuzi hapo ni shida kwa kweli

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Рік тому

    Roho mbaya na hiyo kodi nin kubwa kama mnataka kuzuia misitu bora muwe wazi si kuweka kiasi kikubwa hivyo

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 2 роки тому +3

    Kwa haraka haraka unadhani huo mkaa wanapeleka wapi? Mimi nadhani wanaenda kugawana tu,

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому +1

    Xx mtu katoka mkamba huko mkuranga,kavuka mageti njiani na kalipia vibali mkaa unafika mjini mnachukua kirahisi,tutamkumbuka Sana magufuli aisee

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 роки тому +1

    Sawa vijana nimewapenda tumeludi nyumaaaaaaaaaaaaa

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 2 роки тому +3

    Amani ya Tanzania wallahi inalindwa na raia wenyewe, sababu kwa wingi wa raia dhidi ya hao mgambo sipati picha wangeamua kukomaa nao na kuanzisha fujo

  • @saadkobelski8705
    @saadkobelski8705 Рік тому

    Ndio maana wakistaafu wanaishia kupararaizi mbwa hawa

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 2 роки тому +1

    Vijana Hawana KAZI

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 роки тому

    Yaaani nyie mnadhambi kwelii kipolo. Hichoo ndio.alipie 6000 nayeye atauzajee

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 Рік тому

    Kwa askari wa maliasili awana bunduki msiende kimya kimya mbagara waelewa ni wachache

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 2 роки тому +4

    Sasa chomboo knausikaa vp??walipshweee on the spot au chukuen mzgoo lakn c chomboo maaana chomboo siyoo sehem ya hifadh

    • @issaidrisamusa8437
      @issaidrisamusa8437 2 роки тому

      Hizi ni Sheria za TFS zilipitishwa na Bunge tukufu , watumishi wanatekeleza Kwa mujibu ya wizara ya maliasili ,, Sheria inasema chombo kilichotumika kilipishwe faini

    • @nicholausmasese6337
      @nicholausmasese6337 2 роки тому

      CHOMBO NI KIELELEZO MUHIMU MAHAKAMANI KINACHOONYESHA BILA SHAKA KUWA MTUHUMIWA ALITENDA KOSA KWA KUTUMIA NYENZO HIYO NA BILA IDHINI HALALI TOKA SERIKALINI

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 роки тому

    Swali lina kuijia ww wa misitu unapoibeba mikaa unaipeleka wapi je unacha paka akalipie au ndio umeisha itaifisha na kuiba na kuuza kinyume cha sheria au wauza na kuingiza pesa serikalini kihalali na pikipiki kuibebe inahusu nini na makaa

  • @allymoe7689
    @allymoe7689 Рік тому

    Mali asili wanatakiwa kukaa porini sasa hawa wamjini inakuaje wakati mjini hakuna misitu

  • @colestmakoloo1500
    @colestmakoloo1500 2 роки тому

    Jpm mungu akulaze pema peponi

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 роки тому

    mnawasumbua bure hakuna palipo na tanuru la mkaa isijulikane mnawapotezea nguvu zao bure

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 роки тому +1

    Kaz yenyewe ya mkaa ni noma😭😭😭😭

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 роки тому +3

    Hao wa mjini ni maofisa wa dikitali ndo maana

  • @OmanOman-ty6ef
    @OmanOman-ty6ef 2 роки тому +1

    Hii hali sio sahihi kuwapora mikaa yaoo kama kuna kosa mfahamishe au fain alipe hawa jamaa dhuruma sanaa

  • @neemasifuni209
    @neemasifuni209 2 роки тому

    Tunakoelekea sijui tumuombe Mungu kwakeli

  • @saidikapungu8059
    @saidikapungu8059 2 роки тому +3

    Hichi ngumu sanaaaa daaa

  • @suberasubera641
    @suberasubera641 2 роки тому

    Weziiiii ao weziiii tu

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 2 роки тому

    Madawa hamkamati mikaa inaathiri nini angalia vijana wanaaribika kwa madawa

  • @thefactbook...1607
    @thefactbook...1607 2 роки тому +1

    Tutaelewana tu.!!!dah hii Tanzania yetu mpya sina maneno mengi mm.

  • @colinmhema530
    @colinmhema530 2 роки тому

    Tushaambiwa ufauru wa au viwango vya elimu za askari

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 2 роки тому +1

    Sasa mnapeleka wapi huo mkaa Kama faini wapigwe Mambo yaendelee

  • @adrushassan6348
    @adrushassan6348 2 роки тому +1

    Hawa askari wanakosea kama ikiwa hao wajasiriamali wana vibali , labda wangetoa madai ya kuwa namna ya uwasilishaji wa hiyo mizigo ndio jambo la hatari kwa namna nilivyoona mm jinsi inavyobebeshwa kwa hivyo vyombo vyao maana ni hatari kwa usalama barabarani

  • @huseinally791
    @huseinally791 Рік тому

    Siku ya kiyama kila aliemdhulumu mwenzake atamlipa tuwe na subra

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 роки тому

    Duh huu uonevu Sasa, unampa leseni ya biashara hiyo hiyo, hlf Tena unanyang'anya. Basi msitoe leseni

  • @frashconnect.1
    @frashconnect.1 2 роки тому

    Week ya Hudma kwa wateja hii, Wanashindwa kutoa elimu ,wanatumia nguvu. Sijapenda

  • @saadkobelsk9446
    @saadkobelsk9446 2 роки тому +1

    Kiuwalisia hapa kuna shida sio bure nimeshangaa kiroba cha kilo 25 wanalipa elf 62250 mmmh kuna dalili za uonevu mkubwa

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 роки тому +2

    Sasa huo mkaa ukishachuliwa unapelekwa wapi,kama mtu hana kibari kamata,kama anacho kwanini mnachukua mkaa wake kamata aliempa kibari

  • @henryyuda2989
    @henryyuda2989 2 роки тому

    mhifadhi misiti anafanya nin mjini mjin kuna misitu kwel?

  • @cottamanywele9279
    @cottamanywele9279 2 роки тому

    Mmmmmh! Ni hatar sana sasa hii zurma itaisha lini?

  • @mohamedisaidi-6305
    @mohamedisaidi-6305 Рік тому

    Duh uchafu mtupu watu wa seli wote mtakufaaa

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 2 роки тому

    Yn Nyie nitatizo Lushwa tupu

  • @williumchacha6465
    @williumchacha6465 2 роки тому

    Wanapeleka wapi mkaa hao Mali ya sili 🤣🤣🤣🤣

  • @leobalige7069
    @leobalige7069 2 роки тому

    Tanzania kuna sheria mbaya sana hasa zamisitu.

  • @godfreysamson3069
    @godfreysamson3069 2 роки тому +1

    Dah tatzo elimu watanzania atutakag kabisa kusoma unabisha vtyu usivyovijuwaaa baadae utaskia matahira serikali unatumia nguvu Apo munagoma munashawishi viruguu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 роки тому

    Sasa wanawanyanyanya wanapeleka wapi mkaaa huo?

  • @abermstafa2873
    @abermstafa2873 2 роки тому

    Mkiwaondoa hawa, nawamachinga mnatengeneza nn

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 роки тому

    Si myaoige mawe hayo majambazi ya huyu Bibi?

  • @cathibetmakweta9159
    @cathibetmakweta9159 2 роки тому

    Duuuh

  • @mohammadnasir8946
    @mohammadnasir8946 2 роки тому

    Kwanza punguzeni guess nchiyeet. Imezid jaman duuhh

  • @husseinkusupa7831
    @husseinkusupa7831 2 роки тому

    jamn kiloba cha kiloro 25 ushulu 6250 Duh

  • @abelisimoni1748
    @abelisimoni1748 2 роки тому +1

    Uonevu kinyama

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 2 роки тому

    Nchi hii imejawa dhurma ivi serikali gani ambayo haina huruma na wananchi ivi hawa jamaa wanavyopata taabu na mirumbesa kutoka bupu uko adi porini adi uku alafu kiulais unampokonya kanakwamba sio mtanzania

  • @chilundumusikumwao3499
    @chilundumusikumwao3499 2 роки тому

    Tanzania Tanzania Tanzania yangu bado nakupenda
    Nchi inakua jangwa kwakua misitu inafyekwa kwa kasi pasipo kuwa na upandaji miti unaoendana na kasi ya ukataji hili halikubaliki naomba tfs muongeze nguvu ya kuwapiga na kukabiliana nao mpka misitu yetu ipone vivaaaa TFS

    • @saadkobelsk9446
      @saadkobelsk9446 2 роки тому

      Usiongopee umma hakuna hata poli 1 la hifadhi uingie ukate Mkaa unakula shaba mikaa yote inatoka kwenye mashamba ya watu wanaposafisha shamba miti wanachoma Mkaa usiongopee umma tumefanya tafiti k

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 Рік тому

    Mama Yuko wap haoni haya

  • @bayernsulesh568
    @bayernsulesh568 Рік тому

    Vijana wanahangaika kupata cha halal mnawatilia ugumu..lakini hao hao wakiwa majambazi vibaka panya road pia mtawafunga..ndo mana mashoga wengii na malaya wengi kwasab mtu hana kazi ataoa viipi? Serikali haya mambo ya uzuizi mpunguzee nchi yetu lakini tunajuta kuwepo Tanzania Khaaa...!!!

  • @twahambonde4095
    @twahambonde4095 2 роки тому +2

    Watanzania kinachotuponza ni ukarimu watu tu...

  • @robertbernardo4422
    @robertbernardo4422 2 роки тому +1

    woga tu hpo kuna vurugu gn? watu kelele na wanacheka tu sioni sura kama za guinea doumbuya.

  • @temakazimoto2606
    @temakazimoto2606 2 роки тому +1

    Tunasublia Sasa waziri wa mali ya sili anasema kwa hili kawa sabbu watendaji wa chini mnajisahau mpka mkumshwe

  • @salumahmeid9709
    @salumahmeid9709 2 роки тому

    Mnafanya ugumu wa maisha kwa mtumiaji sio kwa hao watu kwakweli hamna akili.

  • @graceyohana1733
    @graceyohana1733 2 роки тому

    Siwapendi hawa raia Kama nn, wamemlemaza kaka yangu kisaikolojia, tangu 2010 hadi leo hajakaa sawa, yaan hua jikiwaona najaa na hasira sijui jitapona lini

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 роки тому +1

    HIVI KWELI WAZIRI WA MALIASILI HAKUMSIKILA KISHIMBA BUNGENI?? SAMIA TUPISHE PLZZZZZZZZZ,NA LIMAMA LIMETULIA TU

  • @shabanimzalla7108
    @shabanimzalla7108 Рік тому

    Na hawa Askari wanavaa mikofia ya kuficha sula,wanania gani?

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 роки тому

    Yapigeni mawe Tu mbn mko wengi

  • @eliasbcluganga6353
    @eliasbcluganga6353 2 роки тому +1

    Kwa nn gari litumike la kiraia na si la serikali, unyonge huu utaisha lini.