TUHUMA za POLISI KUMUUA MBEBA MKAA - KAMANDA AELEZA -"WALITUMIA MAPANGA POLISI WAKAFYATUA RISASI"..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • TUHUMA za POLISI KUMUUA MBEBA MKAA - KAMANDA AELEZA -"WALITUMIA MAPANGA POLISI WAKAFYATUA RISASI"...
    KUFUATIA tukio la mbeba mkaa kutumia pikipiki maarufu kama busta Frank Kessi (33) kudaiwa kufariki dunia kwa kupigwa risasi wameiomba serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuangalia namna ya kushirikiana kwani biashara hiyo inawasaidia katika kuendesha maisha yao na familia zao.
    Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wafanyabiashara hao Ramadhan Msemakweli alisema kuwa mwenzao aliuwawa wakati wa purukushani ilipotokea kati ya askari wa maliasili na wao.
    Aidha Salum Bai mwenyekiti wa Kitongoji cha Kwala anaeleza Kuwa saa sita au saba usiku alisikia milio ya risasi ambapo alfajiri alisikia gari la wagonjwa akasikia taarifa kuwa kulikuwa na operesheni kukamata mabusta na kumlazima kufika Eneo la Tukio.
    Kwa upande wake Akithibitisha kutokea tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani SACP Pius Lutumo alisema kuwa mtu mmoja Frank Kessi (33) alifariki dunia huku askari polisi Koplo Ramadhan (37) mwenye namba G 7247 alijeruhiwa Katika Tukio hilo.
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 52

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 6 місяців тому +3

    Yote hayo ni nchi yenye usimamizi mbaya
    Ajira hakuna lakini hata ukiuza mkaa aitunze familia yake pia anakamatwa! Wao wanaishi kimilionea mungu yupo

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 6 місяців тому

    Askali nyamapoli mmezidi kuua watu hovyo ambao sio hata majangili namkiua hamkosagi visingizio Damu za watu wanyonge wanaojitahutia maisha zinawalilia mbele za mwenyezi Mungu Gadhabu ya Mungu atawa

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 6 місяців тому +1

    Kwanini mmemuua mnadhani wote tutaajiliwa hakuna anaeijua kesho huenda mbeba mkaa ndo aka kaa na familia yako akakutunzia watoto utakao waacha😢😢😢😢😢

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 6 місяців тому +1

    kama taifa tunatumia vyombo vya moto kwenye wakazi wapole wa pwan ambao kiasili ni watu wapole wakarimu je ingekuwa mikoa mingine je ingekuaje nimesikitishwa sana

  • @johnmanase9878
    @johnmanase9878 6 місяців тому +1

    jamani muwage mkikutana na hizi balaa muwe mnarecord la sivyo hawa polisi wanateteana sanaa wakisema tu mlitumia mapanga na nyie hamna kithibitisho ndio imeisha hiyo na mtu kashapoteza maisha hapo 😢😢😢😢

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 місяців тому +1

    Police ni waongo sana wepesi wamubambikiza mtu kesi. Wallah police moto wenu kwa Mungu unawangoja

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 6 місяців тому

      Allah awa laani hao police waliofanya hivoo

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 6 місяців тому

    Wananchi wanauawa na polisi, ambao ndo walitakiwa kuwalinda. Hii ni mbaya sana.

  • @YugoAlly
    @YugoAlly 5 місяців тому

    Mungu atawahukumu

  • @HamisiHemedi-u8k
    @HamisiHemedi-u8k 6 місяців тому

    Umbwa kabisaa unaua mutu kisa makaa nawakati waliochoma Miti niwengine umesababisha kuwe na mayatima bila sababu na mjane au wajane wakati kuna wengine wanauza Madawa ya kulevya nanimarafiki zenu mungu awalaani

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 6 місяців тому +1

    Ila Askari wanaua watu lugha ya uuaji Mungu atawahukumu

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 6 місяців тому +1

    Wakishauwa raia wanatoa sababu walishambuliwa maneno yao kila siku ni hayo hayo

  • @FredMendradi
    @FredMendradi 6 місяців тому

    Hawa jamaa wa mkaa wanasafirisha mikaa Kwa njia ya hatar sana barabaran usiku wawe wanaweka hata viakisi mwanga mungu ampumzishe Kwa amani

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 6 місяців тому

    poleni sana ndugu watanzania wenzangu wavuja jasho

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 6 місяців тому

    Wakati mwengine kifo ni matokeo ya ubishi.ubishi unaweza kuleta kifo

  • @georgenyoni7215
    @georgenyoni7215 6 місяців тому

    Askali mungu anawaona babazenu askali wange uwawa mungejiskiege

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 6 місяців тому

    Ifike mahali Tuongozwe na JESHI WANASIASA WAME FELI

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 місяців тому

    Kama vipi silaha ziuzwe madeka ya vifaa vya ujenzi na bei iwe chini ili tuheshimiane .

  • @johnchrisbrown-b5g
    @johnchrisbrown-b5g 6 місяців тому

    It is beyond the law ,let be keen in human Life!

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 6 місяців тому

    Sheria gan inayo sema huko kwamba ukikutwa umebeba mkaa unapigwa Lisas nakufa sema.hapa Tanzania uonez ndo umezid Sana watu washajisahau kabisa Yan Kama hii Dunia niyakwao kumbe wote tunapita tuu

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 6 місяців тому

    serikali ya ccm oyeeeee tutanyooka tu na bado watu wanakula kuku na mrija wanalala sehemu zenye IC tu

  • @misomisomisoji7722
    @misomisomisoji7722 6 місяців тому

    Hili jeshi la wanyamapoli ni lakihuni sikuzote linatumia nguvu, alitumii akili.

  • @adinanimohamed895
    @adinanimohamed895 6 місяців тому

    Nyie police muogopeni mungu yapo niyupi alie pigwa mapanga kati ya hao police mama samia hi nchi inakwenda bayaya usipo angalia

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 6 місяців тому +1

    Hivi ushawahi kuona polisi kafanya tukio akakamatwa

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 6 місяців тому

      Wana lindana hawa ila mwenyezimungu yupo ata wakomeshaa hawa nguruwe wotee

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 6 місяців тому

    Sasa unaiomba serikiali ambayo ndio hiyohiyo inayokuuwenu mbona mnakufa kwa kukosa maarifa kama biashara ni halal kwanini mkubali kuuwawa kisenge afu eti mnamuita mama samia awasaidie nini jiongezeni nyie nyumbu

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 6 місяців тому

    Rushwa ndio chanzo cha hayo yote ndio maana nyerere alichukia sana rushwa.

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 6 місяців тому

    Alafu mnasema eti tanzania wananchi wote wana furaha kuliko nchi yeyote ile duniani? Kwa hali hii ya kuua watu!?

  • @yasinkihupi9583
    @yasinkihupi9583 6 місяців тому +1

    mimi binafsi maelezo ya askari hayaniingii akilini, hiyo ni dhulma ya wazi na kuhalalisha mauwaji waliyoyafanya. hemu tujiulize hao wabeba mikaa wapo na bodaboda wamebeba magunia ya mkaa makubwa yale kiasi bodaboda ikianguka hawezi inua peke yake mpaka asaidiwe na watu wasiopungua watatu. swali polisi amesema walipowasimamisha wabeba mikaa walikaidi kusimama na hapo wabeba mikaa wakaanza kuwashambulia polisi na mapanga, je wabeba mikaa walisimama saangapi na wapo mwendo na hayo magunia mpaka waanze kuwashambulia polisi? na hilo eneo kabla hujafika kwala kuna geti la maliasili swali kama waliruhusiwa kupita geti la maliasiri na kukaguliwa vibali vyote pamoja na ushuru why wakimbizwe na polisi kama majambazi? jibu utalipata kwamba hao polisi wanamtindo wakuomba rushwa na wabeba mkaa walikuwa wanaona hakuna umuhimu wakusimama kwakuwa walishakaguliwa geti la maliasili. hao polisi wawajibishwe lasivyo mtakuja kusababisha vita hao polisi wasijewakawaletea shida na matatizo familia zako kwa kuendekeza mambo ya anasa na uonevu. kwani kuhongwa lazima ikiwa mtu ana vibali vyote?

    • @gauchogaucho7583
      @gauchogaucho7583 6 місяців тому

      Uyoo askari maelezooo yakee ni ya ovyoo n yeyee ni askari wa OVYOOO KABISA

  • @user-sb4qc3ho6r
    @user-sb4qc3ho6r 6 місяців тому

    Tuonyesheni uyo askali Alie katwa panga

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 6 місяців тому

    Ccm oyeee

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 6 місяців тому

    Jamaniiii mmmmm

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 6 місяців тому

    tatizo ni migambo iliyopandishwa kwa askari mali asili ambao wanatumia nguvu kubwa kwenye matumizi ya akili ndogo

  • @aby21111
    @aby21111 6 місяців тому

    When patience doesn't pay, government doesn't care,people will turn into rebels.

  • @YugoAlly
    @YugoAlly 5 місяців тому

    Kwani nyie hamtumii mkaa nanyi mtakufa vibaya

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 6 місяців тому

    Mimi japo syo askali lakin nnavyo juwa kuwa mtu ukiwa askali.mtu akataka kufanya Fujo ya ualifu wako lazima upige hata mguun ili kumtuliza na syo kuuwa na Sheria gan inayo sema kwamba ukikutana namtu amebeba mkaa umuwe .sema hapa Tanzania uonez ndo umezid Sana.yan watu weng wameshajisahau sana Kama hii Dunia niyakwao kumbe wote tunapita tuu

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 6 місяців тому

    Wanauwa raia halafu wanatengeneza Sababu eti alikua anajibu shambulizi upuuzi ambao haungii akili ni na yeye anyongwe kama alivyouwa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 місяців тому

    Nitaona watanzania ni wapumbavu kama wakimchagua Samia 2025

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 місяців тому

    Mtuonyeshe huyo police aliyekatwa mapanga

  • @saidmakarani1208
    @saidmakarani1208 6 місяців тому

    kilasiku police tanzania wana uwa watanzania upumbavu sana jeshe la police tanzania 🙄🙄

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 місяців тому

    Hii nchi haina hata Rais ni rais jina tu huyo zuzu yuko busy na vitu vingine vya ajabu mama wa mipasho

  • @gauchogaucho7583
    @gauchogaucho7583 6 місяців тому

    Polisi sasa hvii ndioo wamekuwaa waujii sijuw kw nn kila sikuu waoo makamanda wanakuw wakiwatetea bila y aibuu kwenye MEDIAA RAIS AMELALA TUU

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 6 місяців тому

    Ccm hiyooio uwiiiii

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 6 місяців тому

    Hvi unachukua hatua yakumuua mtafutaji mdogo wa aina hii hakuna maamuz mengine

    • @rynerlinuma8484
      @rynerlinuma8484 6 місяців тому

      Na wapo wanaofanya biashara kubwa za magendo na Haramu still hawarushiwi hata jiwe.

  • @ELIYACHIZA-cv7rm
    @ELIYACHIZA-cv7rm 6 місяців тому

    Mka unathamani kuliko mtu

  • @Ambwene
    @Ambwene 6 місяців тому

    Tanzania askari wa sasa asilimia kubwa ni wapumbavu na wajinga saana wamejaa na uonevu wa kijinga Ila na nyie mukiwakamata hao askari waueni mbwa hao 😢😢😢😢

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx 6 місяців тому

    Nchi haina rais