SINGELI IMESHINDIKANA MBAGALA, BAROBARO AFANYA BALAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • SINGELI IMESHINDIKANA MBAGALA, BAROBARO AFANYA BALAA
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 32

  • @ernestladislaus552
    @ernestladislaus552 Рік тому +12

    Oya huyu jamaa anaimba live tukumbuke, hio pumzi sio mchezo na anakimbizana na beat za singeli.Salute kwake

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +5

    Kweli mungu akiamua kukutoa na kukuweka sehem anaweza,jamaa alikuwa msajili lain za simu mtaani,aisee na jukwaa analiwezea

  • @majiyaduwa857
    @majiyaduwa857 Рік тому +2

    Huju fundi baro baro 🔥🔥🔥🔥

  • @ramyramso
    @ramyramso Рік тому +1

    Uzuri wa singeli mzuka mwingi hata kama hujui kucheza yan ni 🔥 mziki wa kitaa kibongo bongo wenzetu lazima waweke macho chini hii ndo tz

  • @ChrisMwambeje
    @ChrisMwambeje Рік тому +1

    Heshima yako👏👏👏👏

  • @USWAZITVONLINE
    @USWAZITVONLINE Рік тому +4

    Kinachonifurahisha wasanii wa singeli wanajua kuwaimbisha mashabiki zao sana

  • @ramadhanimtulya1962
    @ramadhanimtulya1962 Рік тому +1

    Mbagala wanapenda singeli kuliko mziki wowote inavyoonekana

  • @louloubika8603
    @louloubika8603 Рік тому +2

    Awesome ❤❤❤❤

  • @KibuaKibua-sv1mq
    @KibuaKibua-sv1mq Рік тому

    Baro ndo mwanamjzik wasingeri namba1 kwAkulitawala jukwaa

  • @samuelchiumia9054
    @samuelchiumia9054 Рік тому +1

    Salute to Barobaro

  • @onesmoyusuph347
    @onesmoyusuph347 Рік тому +2

    Singeli kimataifa zaidi

  • @DJPETER2361
    @DJPETER2361 Рік тому +2

    uyu jamaa ni 💥💥💥💥💥💥

  • @mcpwanako9091
    @mcpwanako9091 Рік тому +1

    Uyu jini🙌🙌

  • @mcpwanako9091
    @mcpwanako9091 Рік тому +2

    🔥🔥🔥

  • @hamisibaharia-bl9og
    @hamisibaharia-bl9og Рік тому

    mwamba

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 Рік тому +1

    Mziki wa africa

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +1

    Hayo ndiyo mambo wabongo wanayoyajuaaaaa

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 Рік тому

    Hawa si ndo mchana wanatimuliwa na wagambo halafu usiku wote huu yanaenda kujazana kama mambw,,,au bac

    • @rashidikanyama2357
      @rashidikanyama2357 Рік тому +1

      Acha zarau maneno gani hayo

    • @zuenahamoud1532
      @zuenahamoud1532 Рік тому +1

      Mbwaaa wewe naukoo wako

    • @modycadabra8721
      @modycadabra8721 Рік тому

      We chiz nn nan mbwa mbwa ww na mama yako

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 Рік тому

      @@rashidikanyama2357 zaidi ya 95% waliojazana hapo ni machinga ambao hufanya shughuli zao maeneo hayo,,,Leo siku ya 4 wanatimuliwa na migambo kwamba hakuna kupanga biashara,,,Sasa badala ya kukaa kuchekecha akili namna ya familia na wazazi wanaowategemea wapate kula,yenyewe yamejazana hapo.

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 Рік тому +2

      ​@@jamesmzaki6041 Kila kitu kina wakati wake kuna wakati wakulia na wakati wakucheka.
      Sasa wasifurahi hata kidogo?