Shindano ya vidonge yakulamba 😂😂😂😂😂😂😂ila joti ww noma xna mm im from kenya nawapenda nyote kwa ajili ya mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu awape maisha marefu na mwisho mwema kwa kila ataesoma hii cometi
Afrika ndio sehem pekee ambayo muda mwingi sindano sinachomwa kwenye makalio , wanao jielewa huwa wanapitisha vidude kama vya drip na dawa inaingizwa huko na sio kwenye makalio
Leo Birthday yangu na namkubali Joti sana. Kama unamkubali Joti na unanitakia heri njema ya kuzaliwa nipe tano 👊🏿👊🏿
🎉🎉🎉
Happy birthday 🎉
Happy birthday 😂
Happy birthday 🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Ambao tume umizwa na kuporomoka kwa ghorofa k/koo ila tume kimbilia kwa jot kupoza maumivu naomba tujuane tafadhal 🙏😥😥 😂😂😂😂
Sasa emoji za kucheka za nini na wewe ka tahira
@nilla1657 jot kanichekesha
wooow wooow
collabo nzur san hii...kila mmoja kawasilish vyema, ssant team joti k sku ya leo👏👏💐💐
sas we nyama huna sindano utapiga wap😂😂😂
Hehehe
Shindano ya vidonge yakulamba 😂😂😂😂😂😂😂ila joti ww noma xna mm im from kenya nawapenda nyote kwa ajili ya mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu awape maisha marefu na mwisho mwema kwa kila ataesoma hii cometi
Why shindano khaa n sindano bhn
Huyo ni Andunje bw.na mama yake safi sana❤❤🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂anakulaga michezo
Nanga fala kweli et we nyama huna sindano itachoma mfupa😂😂😂
Nishai.......mjuaji na masifa
Andunje.....mtundu
Kiboga.....mkorofi😂😂
hzo ndo 3 versions of Joti😂
Umesahau moja kiboga
@dianamvuzwa-eh9ov nmetaja yote
@@dianamvuzwa-eh9ovhuon vizuri
Kuna BABU
Mutombangile
Daaaah watu mko chap like na mm hapa 😂
Dume zima linaomba like😂😂😂😂
Nimekubali sana hii kali the best of Joti
Dr Nanga anamdhalilisha mgonjwa kwamba "Sasa huna nyama sindano"tutachoma kwenye mfupa"😂😂😂😂 Leina muite Doris mje mumchambe
Eti aende mlogazila ndio specho kwa nyama
Anaitwa Nishai mitwango mikazoo mishono kitombangile 😂😂😂😂
Uncle Mussa umezingua 😅
Ety amenichoma wallah
Me nampenda joti akiigiza kama kiboga anachangamka😂😂😂😂😂❤
Hiii kali sanaa Umeua sana Brooo😂😂😂😂😂😂
Watu wanapenda like kuliko kitu chochote 😅😅
Ni watoto
Nafas ya doctor imemfaa sana mzee Wa Mmmmh mmmh 😂😂
Nakubali sana kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉🎉
Andunje anamiaka 10😂😂😂😂
😂😂😂😂 uncle Musa kanifurahisha
Leo ni wa kumi na Tano kukomenti kwa andinje gonga like hapa
Halafu dume zimaaa linaomba like 😂😂😂
@AminiMsellem-gk3yy ulitaka akuombe matako
😂😂Hii nomaaa 😂😂
Umetisha mwamba,safi kabisa
Na Mimi mje mnichome sindano muache kupendelea 😂❤
MY COMEDIAN APA TZ VERY TALENTED AND CREATIVITY
Amenichoma wallahi amenichomaaaa😅😅😅😅😅
Mgonjwa 😂😂😂😂
Anduje bhana ❤❤
Perfomance ya leo iko juu sana...
Nyieeee andunjeeee😅😅😅😅😅😅😅😅😅 nyoko sana wewe❤❤❤❤❤😅😅😅
Nanga Mshenzi sana eti sindano na Nyama
Nimefurah kumuon Uncle Mussa bado Kevoo Joker...😂😂😂
Anduunje is the best character
Ila bhn joti anajua sanaaaa
Nanga😂😂😂
Na we nyama huna😂😂😂
Nishai Leo umeweza kali sana😂😂😂😂
Best comedian.ila sindano
Hila uyu jamaaa wa mmmmmmmm 😅😅anafuraisha sana 😂😂😂🎉
Jay km jay na mwanae nanga miyeyusho hao
sindano ya vidonge au ya kuramba au ya kupaka😂😅
Mtoto anakula michezo😂😂😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza jamniiii😂😂😂
Humu siezipata mume jamani😢😢😢...
Niko Arusha tupendane tu kama tunavompenda joti
Niko hapa 🤲
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂@@JacobJonnh
unatumia jina gani insta au nicheki dm
Niko hapa banda mbili njoo🎉
Wa kwanz leoo😂😂😂
From Kenya 🇰🇪 . Watching at 6 am 😂
Nikiwa hapo Tamisemi 🤣🤣 nakua kama nanga
Jioni nanga wakubuluze😅
Afrika ndio sehem pekee ambayo muda mwingi sindano sinachomwa kwenye makalio , wanao jielewa huwa wanapitisha vidude kama vya drip na dawa inaingizwa huko na sio kwenye makalio
Kweli
Sio kila dawa unaweza kutumia drip, kuna dawa ni sindano ya makalio tu.
Ila andunje hapna kwakweli 😅 Et aaaaah Aiyaaaaaaaaaaah😂😂😂
Zanzibae leo tumewahi😂😂😂 naitaji like kwa kweli😂
Tulia weyee 😅
wanao mkubalii joti like hapaa❤
Amenichoma Wallahy, Amenichomaa 🤣🤣🤣🤣🤣 BladiFvcken 🤣🤣
Kazi Nzur Mr Joti
Wanaume watatu mnashindwaje nguvu na mtoto😂😂😂
😂😂😂😂😂 anakulaga michezo
Amenichoma wallah 😂😂😂😂😂
Utadungwa ya ng'ombe we mtundu Anduje.
😂😂😂😂😂😂 amenichoma walah😂😂
Mimi wa55
Ila Nanga#mbaaaaaaf kabisa!!!! Dem aongeze nyama daaaadeki
Wa 7 kutokea Bungoma 🇰🇪🙏
Unakula misheveve😅
Maisha haya et limtu lipo bize linaomba like😂
Sijaelewa hii content leo😂😂😂
Next episode anduje atakua amefariki na maleria😂😂
Watoto wa hivi ni changamoto sana aisee 😂
Andunje ana miaka kumi kabisa.😂😂😂 Libaba lizima😂😂😂
😂😂😂😂Jamaniii ila ANDUNJE JAMANIII 😂😂😂 UNAJUA ATA MIMI PIA SINDANO SIPENDAGI😂😂😂😂
Dah! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mecheka kifala
😂😂😂😂dr shavu halina kazi😂😂😂😂
Mbavu zangu wee mungu wangu
Michezo yenyewe ndy hiyo 😂😂😂
amenichoma wallaji hahahahaha
number 10 today.... team fisi tukainjoi week end hii
Gonga likeeeeeeee
We so mwanaume like za nini😂😂😂😂
😂😂😂😂napendga huyu kaka akisema mmmmmmmmh anaitwa nan kwan mana nampenda na siwez kuishi bila yeye
Wakusmarta.
Sindano ya kulambaaa😂😂😂😂
MR.BEAN WA TANZANIA😂😂😂
Mama mtoto wote wehu😂
😅😅😅😅😅😅Twajibu
Jott hivi utakuwa lini et😂😂😂😂
Ila Nanga, ety unatakiwa uchome sindano ila hauna nyama 🤣🤣🤣
mm nimeview in 29 second jmn. mekuwa kwqnza nmevunja rekod hapa you tube 😂😂😂😂
Unakura nn nakura michere😂😂😂😂😂
😂😂😂 Ana miaka 10 dah
Anakula michezo sindano nikasheshe andunje
Sindano kwenye mfupa nanga mpuuzi
😂😂😂😂😂 totooo andunjeeee
Sogea uwone
Eti anakula michezo 😂😂😂
Noma sanaaa😂
Joti hahaha😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉
Anko Mussa in the house 😀
Wa kwanza leo
Eti mmmmmhhhhh😂😂😂😂
Kwani huwaga mnapeleka wap izo like jmn
Nimekuwa wa 45👊
Sindano ya kupaka au ya Kulamba😅
🤣🤣🤣 ni shida
Sindano kwa mgonjwa, kwa mganga ...
Jotu una lahanaa xo bure aseeh😂😂😂
Nimecheka kwa sauti😂😂😂Andunje wewe
Anko mussa ndani ya mjengo
Nanga mshenzi tu😂