PART53:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 241

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +21

    Askari wengi wataingia motoni wasipotubu yaani wakivaa hayo manguo yao wanajiona kama dunia wameiumba wao kaz kutesa wenzao

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 роки тому +3

    Hongera kwakukataa kuliwa kiboga,pole kwayoteee zabron

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 роки тому +2

    Nimependa hapo chief wetu anavyoimba naona huko alivyoimba mpaka raha, Mr Fact naye anavyochekelea Ila Pole sana Zabron kwa uliopitia.

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому +17

    Huyo mdogo wako nahisi hela waligawana na mzee wko dah! Mm sipati picture mbele hebu nitege sikio kwanza haiwezekan unaenda mbele na kurudi nyuma kila wakati so sad 😢

    • @rahemahassan3015
      @rahemahassan3015 3 роки тому +1

      Yan mitihan kwakwel ndugu anapanda kisha anashuka jamn

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому +3

      Mii roho imeniuma sana 😢

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      @@bintimrope 😢😢😢

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +3

      Yaan wacha tu anapanda mpaka 95%anashuka pap 0%

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 3 роки тому +2

      Baba yake atakuwa mchawi km Bibi yake ndiyo aliyem msababisha mitihani yote hii Chifu Zabron

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 3 роки тому +2

    Manyapara hakika ni watu wa-bad sana. Yaani walitaka kukutatua marinda? Pole sana bro Zabron

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +8

    Subuhannallah Astaghafirullah Allah anilinde mm na kizazi changu huko gerezani

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому

    Dunia uliisoma ukaijua. So kilichosalia nikuukabidhi moyo wako NA maisha yako kwa mungu alie Hai. Umejua Hakuna cha bure katika Dunia hii. Mungu a nasema niabuduni mimi. Ni kweli muabudu mungu atakupa maisha.,kula afya ,NA atakuondolea magonjwa. Zabron mujue mungu zaidi naye hatakuacha wala kukupungukia.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +1

    Zabron pole sana kweli huyo hakuwa baba yako maana hakuwa na uchungu kabisa na wewe. Duuh maisha kuna watu wamepitia maisha.

  • @frankyfranky7639
    @frankyfranky7639 3 роки тому +1

    Zabroni mchungaji, kweli Dunia mapita. Hiyo inaitwa ku-survive. Pole kwa majanga

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 3 роки тому +2

    Pole mzee baba ila unapenda watoto wavuzi khaa

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 роки тому +2

    Hahaha shem umekua mchungaji ee duuh kweli zabron umepitia mazito sana pole kaka

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 3 роки тому +1

    Wau

  • @didasrichard3068
    @didasrichard3068 3 роки тому +2

    Dope

  • @jumachipangula7602
    @jumachipangula7602 3 роки тому +1

    Yap twende kazi number one

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +7

    Pole kwa yote bro 😢😢😢😢😢💕💕🇪🇭🇪🇭

  • @joycejoseph8863
    @joycejoseph8863 3 роки тому +5

    Pamoja sana#🇰🇪

  • @victoriamwalonde8626
    @victoriamwalonde8626 3 роки тому

    Inasikitisha sana,bora ungefumania uondoke ujifanye mjinga yaishe.Pole sana

  • @joycekelvin5434
    @joycekelvin5434 3 роки тому +7

    Leo bora nimekuw kwey99 Duh!nakuwa na sm mkononi muda wote

  • @mariamkuziwa656
    @mariamkuziwa656 3 роки тому +1

    😀😀😀hizi sabuni mbon sielewi Kwann gelezan wanazipenda sana zabron tuelekeze vizur bn😀😀😀

  • @thequeenawifeofking8518
    @thequeenawifeofking8518 3 роки тому +2

    Yaani dunia hii kuna watu wanapitia magum sana hy jamaa kapitia magum sana hadi huruma 😭😭😭

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 3 роки тому

    Kwa waliosoma NSS TUNDURU ,kuna wanafunz walikuwa na hiz tabia ,ukija form one Ukiwa na vitu wanakupokea ,then ukiishiwa wanataka wakunanii ,,,pole sana zablon ,,,
    Shule za bweni nazo zina hizo changamoto ,

  • @richbanksmshigati3327
    @richbanksmshigati3327 Рік тому

    Noma sana

  • @salmajumanne8914
    @salmajumanne8914 3 роки тому +3

    Pole sana stori inasikitisha sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @simionizabloni7928
    @simionizabloni7928 3 роки тому +2

    Ngoja nitege sikioo🙊🙊

  • @halimaaa3860
    @halimaaa3860 3 роки тому

    Dah

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 роки тому +1

    Hio ndio disadvantage ya kukaribishwa nyumba za wanawake coz ujui ninani kaijenga nafikiri ulijifunza funzo nzuri hapo. Hasara juu ya hasara lakini pole.

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 3 роки тому +1

    Zabron umenichekesha sana, eti uwe mke wao

  • @ibraah7679
    @ibraah7679 3 роки тому +2

    Eheee no1

  • @suleimanmustapha101
    @suleimanmustapha101 3 роки тому +1

    Bint Mahariq hadith inaendelea njoo ❤️❤️❤️❤️❤️!

  • @helloshow1467
    @helloshow1467 3 роки тому +1

    Wa Kwanza wow

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +2

    Hatimaye Zabron awa mchungaji 😆😆😆🙉🙉🙉 Mzee wa watoto wazuri.

  • @acruxe5810
    @acruxe5810 3 роки тому +2

    Dah 💔

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому +2

    Xx Mr Zablon . Wewe ulikuwa huna misukule lkn mzimu ulikuwa nao wa chief Gikalo vipi sehemu ijayo ilikuaje ? Part 54

  • @user-cr9mf7dg4k
    @user-cr9mf7dg4k 3 роки тому +1

    Ndio maisha pole sana kwa yote uliopitia

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 3 роки тому +3

    Yan broo uliyoyapitia ningekua ni mm ningekua nishaua baba, dogo na yule baba wa machimboni wote

    • @johnmkude9911
      @johnmkude9911 3 роки тому +1

      Acha tuh sisi wengine uvumilivu hatuna asee.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    😢😢😢😢😢😢sijawai sikia eti hurusiwi kuvaa boxer kwann jamani hili nalo geni 😢😢😢😢😢😢😢 sasa kama hujui kuimba unakula buti😢

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +1

    Dav mbona umechekaa sana Zabron anapoimba. Hadi na mm mama yako nimecheka sana.

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 3 роки тому +2

    Ehhhh nimeiwsaii aseeee😁😁😁😁

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Mata nakuona uncheck mzee babaz akisema wembe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wembe zina kazi yake😂😂😂😂😂

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 роки тому +3

    Kha jamani watu mtazani mpo na Davistar maana ikiingia tu mshaingia mmenishinda tabia

  • @seeboman3106
    @seeboman3106 3 роки тому +3

    Hahahahah gerezani kumbe kuna mambo

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 3 роки тому +1

    Following ma fans wa Dav na Zab ❤️

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +3

    Alhamdulillah wa kwanza 💃❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 роки тому +1

    🇰🇪🎤🎤🎤

  • @hellencerson5476
    @hellencerson5476 3 роки тому +5

    Sasa, mulikuwa uchi ama? Siunajua kama hujava suruali shinda.

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 роки тому +1

    Mmmhhhh mmenishinda tabia aseee

  • @swaifasaid1742
    @swaifasaid1742 3 роки тому +2

    mmh hatulali

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 роки тому +2

    Kaka jamani unamapito jamani pore sana kaka 😭🙏😘

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 роки тому +6

    Duuh we zabron umepitia magumu san

    • @zainabboss5619
      @zainabboss5619 2 роки тому

      Mimi nataka kujuwa huko gaboshi ulitokatokaje mpka ukafika duniani

  • @mcheshcomedy5809
    @mcheshcomedy5809 3 роки тому +1

    28:20 hhh kumbe at gerezani kuna mitaa?? 😛🤣🤣🙄 et Uswahilini!!!!!🤣🤣🤣😛

  • @mildredmukoshi6381
    @mildredmukoshi6381 3 роки тому +1

    Hahahaaa....😳 tena kuimba, waaa. Haki kweli dunia....

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 роки тому +1

    😭😭😭😭 jamani pore sana kaka

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому +1

    Davistar sell ni sehemu ambayo kunaekwa watuhumiwa ambayo hawaja fungwa . Yategemea ....maybe huja pelekwa mahakani bado upo police 🚨 ama auwe umesomea mashtaka lkn huja kubali mashtaka . Sasa ukipelekwa jela utaekwa rumande lkn hautakuwa mfungwa . Sasa yategemea . Sasa huyuu Mr Zablon alikuwa ashakuwa mfungwa so hakuekwa sell

  • @alvinboss4749
    @alvinboss4749 3 роки тому +1

    Pamoja

  • @obedmwakipesile3048
    @obedmwakipesile3048 3 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂kwenye wimbo hapo

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 3 роки тому +1

    Et na wanawake ivo ivo

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 роки тому

    Pole sana zabron

  • @gladysngami9685
    @gladysngami9685 3 роки тому

    Jameni mbona maishab yako Zabron ya mitihani mitupu ,namshukuru mungu sijapitia ata kidogo maisha yangu ni mserereko tu

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 роки тому +2

    🤓🤓

  • @satinotino481
    @satinotino481 3 роки тому

    DAVISTAR NAONA NAWE UMEPENDA IYO NYIMBO 😄🤣😂😆😄

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 роки тому

    Jamaa anapenda ukuu eti " Mi mtu mkubwa bwana"

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Magerezaa bn tabu mwajisaidia ndani yani Mungu walinde wafungwa wote

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 роки тому

    Pole ndo tatizo la kuamini wanawake .wengine sio wa kweli..pia inawezekana na baba ako mchawi nae anahusika na matatizo yako..maana Kama kivuli kimeshatolewa mbona bado unaandamwa na matatizo Kama vile bado huna kivuli?pole sana

  • @patrickmwaki6042
    @patrickmwaki6042 3 роки тому +1

    Skochi na boksa za wafungwa zipo toka kuingia 2000

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому

    Acha kuwa karibu na hyo baba atakumaliza kuwa makini, Mimi nilivyogundua baba yangu wa kambo ananiangalia kwa jicho ambalo siyo Sawa, niliacha kwenda kumusalimia mama, hadi mama anifuate yy kunisalimia.

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 3 роки тому +2

    Haaaaa Haaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 wa kwanza

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +1

    Magereza ya Tanzania ni Jehanamu aisee! Duuuu.

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      Tz Kenya pia hali moja hakuna magerezaa mazuri chini yajua

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 3 роки тому +2

    Mwemwelee Jitu kubwa Jitu hatari 😂😂😂

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 3 роки тому

    Kazi Inaendelea njoon Jaman

  • @zuriethbashir438
    @zuriethbashir438 3 роки тому

    Noma

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 роки тому +2

    Mwemele anataka 0713.

  • @adbulmama5065
    @adbulmama5065 3 роки тому +1

    Na apakweri umepatikana duu!uwe mpenzi wawo?

  • @dhulhijjabilali143
    @dhulhijjabilali143 3 роки тому

    Kumbe jamaa ni YanGa😅😅😅😅😅

  • @shailahmwende5199
    @shailahmwende5199 3 роки тому +1

    Zabron simu, huwe ukieka silent kabla ya kipindi,

  • @asiaidd8996
    @asiaidd8996 3 роки тому

    Nawapenda ctory yenu tam

  • @popoali6641
    @popoali6641 3 роки тому

    Zablon ana mitihani mingi mungu amsaidie

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 роки тому +1

    Hapa ni one way twende next..........

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому

    Barikiwa sana

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 роки тому

    Bwana misosi sahani ya wembe na ya wafungea🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 3 роки тому +1

    30 sio mbaya link zenu

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 роки тому +5

    Yaan Zabron hachoshi jamani.....mweee

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 3 роки тому +2

    Tupe mistari wa nyimbo Zablon 😆😆😆😆😆

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 3 роки тому

    Hii dunia mzito sana yan aya huu mda tupo uhuru tushukuru Mungu..kuna watu wanateseka jamani 😥😥😥😥😥😥

  • @jameselkana7586
    @jameselkana7586 3 роки тому +2

    zabroni fundi aise jamaaa anamisukosuko sana no 1 leo pi

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 роки тому +1

    Asili ya jini.....🤔

  • @herenagetema3920
    @herenagetema3920 3 роки тому

    Wakushee davstar.

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 роки тому

    Amkeni jmn polen na kazi

  • @annkim2690
    @annkim2690 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣ulikataa kuolewa

  • @aminahassanali1190
    @aminahassanali1190 3 роки тому

    Pole saan zabroon daaaah😭😭😭

  • @sarahmwangamila4441
    @sarahmwangamila4441 3 роки тому

    Hatari

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 роки тому +1

    34

  • @omarymalenge4856
    @omarymalenge4856 3 роки тому +1

    jela ukiwa mroho mroho unaolewa live😁

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому +1

    Kkkkkkkkk !!!!! Saa nyingine kumbe tuna jipata tunachekaa

  • @cosmaslagat5023
    @cosmaslagat5023 3 роки тому +1

    Huyo jamaa atie simu vibration

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому

    Pili somoe Aisha Amina Ayima Ayush sapna Malima Fm morn blessed Nura Shem lngu Eric mimi suleiman Nguwalo Hamis Fatma na wengineoooooo njooon mambo tayariii💃💃💕💕💕🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Asante kindugu changu. Ndiyo nimefika. Asante😍😍😍😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 Nmefurai kukuona chidada changu ❤❤❤❤❤

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@ayshamahariq6665 asante kipenzi changu

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 karbu chidada changu ❤❤

    • @nguwalofakhr5965
      @nguwalofakhr5965 3 роки тому

      Kipenziii 😍

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 роки тому +5

    Sijachelewa Sana like zenu

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 3 роки тому

    Nipoo ndani ndani kabisa

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 3 роки тому

    Davista zaburon hakuwa na Rafiki mwenye anaweza mtoa jira ama auze simu,

  • @masanjamasanja3021
    @masanjamasanja3021 3 роки тому

    Hii stori inahuzunisha Sana kweli Dunia ina mambo

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 3 роки тому

    Leo nimewai kidogo