BUNGENI WAMCHOKOZA GWAJIMA - AUWASHA MOTO - AWAJIA JUU MAWAZIRI - AANZA na SEKTA ya NISHATI - MAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  28 днів тому +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 28 днів тому +4

    MH Gwajima , mara zote unatoa maelezo fasaha bungeni, gunakujivunia Sana. Asante Sana 😊😊

  • @MasihiKalokora
    @MasihiKalokora 27 днів тому +2

    Kichwa cha Tanzania

  • @brunomeela1436
    @brunomeela1436 28 днів тому +3

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu that is what I believe.

  • @FirstyNicky
    @FirstyNicky 27 днів тому +4

    Uko vzur snaa MBUNGE, wwe ni zaidi ya MBUNGE.

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 27 днів тому +3

    Yaan mbunge unaeleza kwa kina hao unaowafikishia ujumbe wangekuwa wanatekeleza tz ingekuwa imara kwa kuwa tuna vyanzo vingi sana tz maashallah , mfano omani wanaangalia maendeleo kuliko siasa na Hawana chochote zaidi ya mafuta ila tz siasa mbele kuliko maendeleo

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 27 днів тому +4

    Hiv uwazir wanapeana kindugu au maana vichwa kama hivi unaviachaje bench

  • @Werema3760
    @Werema3760 28 днів тому +3

    ■Wanakuelewa humo lakini? Daa! Mapenzi yako Mungu yatimizwe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏

  • @RobertShelo
    @RobertShelo 28 днів тому +5

    Hivi vichwa mpaka angekuwepo magufuli tunge paform vizur lakin asaiv basi tu

  • @charleshamza3755
    @charleshamza3755 25 днів тому

    Safi sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 28 днів тому +3

    Tunachokiona ni.kurekodi mawazo yako mh Gwajima ili kizazi kijacho like kitumie mawazo yako lkn kwa Sasa hatutaki mawazo Kama yako kwa Sababu zetu

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 27 днів тому +1

    Gwajima anakili sn kuliko maelezo

  • @nicolauslema88
    @nicolauslema88 27 днів тому +1

    Tumemiss Magu.

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 28 днів тому +4

    akiliyako nikubwa sana barikiwa

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 28 днів тому +1

    Askofu gwajima huko nyuma nilikuwa sikuelewi kabisa ila sasa hivi katika wabunge wa CCM wewe ni kichwa hongera sana mimi nakuunga mkono

  • @kisimbaeconomyzone7813
    @kisimbaeconomyzone7813 27 днів тому +1

    Hivi askofu hawezi kuwa raisi ?

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 28 днів тому +2

    HIII NI AKILI KUBWA ILA KWA BARAZA KAMA HILI NA WABUNGE HAWAAA

  • @severinantunuligwa4598
    @severinantunuligwa4598 28 днів тому +2

    Kichwa hicho kinatema madini

  • @AnthonyMsigwa
    @AnthonyMsigwa 21 день тому

    Mzeee unajua 2025 ulaisi gombea

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 27 днів тому

    Mbonaa atusikii. Tari tari tarii au ndo ma ccm 😂😂😂😂😂

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 27 днів тому

    Tatizo la ili bunge kazi nikuongea tuu kuongea tu vitendo ziro yani hii nchi ni ina mazuzu mengi sanaa asaasa viongozi awa

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy 28 днів тому

    Hata kwetu kijichi maji ni SHIDA

  • @alikoboniphace6732
    @alikoboniphace6732 27 днів тому

    Nafikiri wewe ni wewe pekee unaepiga vita kuwa na maono ya muda mrefu na sijui kwanini hakuungi mkono

  • @davidsemvua5336
    @davidsemvua5336 28 днів тому +3

    Ww ni tapeli muogo mkubwa uliahidi utawanunulia wana kawe boat za uvuvi utawapeleka japan ziko wp

    • @omarymbaraj8072
      @omarymbaraj8072 28 днів тому

      Kaanza Zamani sana toka kufufua watu

    • @makoyemazuri2988
      @makoyemazuri2988 28 днів тому

      Ulizani akuambie vp ili umpede

    • @amraniissa530
      @amraniissa530 28 днів тому +3

      Unapo changia chochote siku nyingine ondoa chuki kwanza utakuja kuwa mtu mzuri

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 27 днів тому +1

      Hapo unafiki wake nn? Kwan alikuambia tarehe ya kununua hizo boat na ?

  • @RobertShelo
    @RobertShelo 28 днів тому +2

    Hivi vichwa mpaka angekuwepo magufuli tunge paform vizur lakin asaiv basi