ASKOFU GWAJIMA BUNGENI TENA LEO "NCHI HII LAZIMA IWE NA MAONO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @denyu9975
    @denyu9975 3 роки тому +2

    Mhesimiwa Gwajima natamani sana ipo sku tuonane na mm kijana wako tuna mengi kujifunza kwako ndugu yetu ipo sku Mungu akinikutaniasha na ww japo niko mbali sana nitajitahidi unamelekezo mazuri sana mungu akupambanie sana

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 3 роки тому +3

    Really facts.

  • @emanuelmasali6333
    @emanuelmasali6333 3 роки тому +2

    You are guru

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 роки тому +3

    excellent 👏👏

  • @heavenlymusicproduction4360
    @heavenlymusicproduction4360 3 роки тому +6

    Duuuu huyu jamaaa ana akili sana

  • @mkomitv8712
    @mkomitv8712 3 роки тому +3

    Mtumishi wa mungu anaependa sias

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 3 роки тому +3

    Kweli kabisa gwajima

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 3 роки тому +4

    Huyu bwana huwa namkubali sana ngwajima ww nikichwa sana

  • @oscarmandari6149
    @oscarmandari6149 2 роки тому

    Amosi nataka nikuambie hivi hisia zako usizipeleke kwa Mungu kwa taarifa yako Mungu Yehova hayuko hivyo km unavyohisia,Mungu Yehova sio wa hisia la bda unaemweka kwny hisia mungu wako wa dunia hii na Yesu akipanga mwanadamu hata ufanyeje alilolipanga lazima litimie hata kwa mtumish wa Mungu Daniel Mungu alipompangia kuwa waziri walitokea vizabizabina kama wewe na ajenda za uongo kwa mfalme Nebkadneza lakin mipango yao Mungu akaipiga mweleka,kwa taalifa yako ww huna tofaut na mbwa anayebwekea treni unafikiri treni itakuelewa ?we endelea kubweka uone itakavyokuzoa!!!!

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 роки тому +2

    Tatizo Baba
    Njaa.... Kila anaingia anakwapua chake mapema....

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 роки тому +3

    Hauwezi kueleweka kwan ilo bunge lilisha inamishwaa umekwenda kuwaamsha....

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 роки тому +2

    Baba baba baba wa Taifaaaaaa

  • @wasajo
    @wasajo 3 роки тому +4

    💯💯💯💯

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 3 роки тому

    Gwajima ni mtu kweli kweli

  • @jamesyohana1516
    @jamesyohana1516 3 роки тому +1

    Wengi Kama Hawa wakiwemo tz na Africa tutaendelea

  • @josephmoses.989
    @josephmoses.989 3 роки тому +2

    Kama kuipata moja iliwezekana kuipata mia inawezekana pia tatzo ni kuja kupata kiongozi asiyetoka kwnye kund la wanasiasa ndio hilo litawezekana.

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 2 роки тому

    🥰🥰🤙

  • @romanstephen4101
    @romanstephen4101 3 роки тому

    Lulu ya taifa

  • @eliudicharles7282
    @eliudicharles7282 3 роки тому

    Mabadiliko ya katiba

  • @omarrashid1249
    @omarrashid1249 3 роки тому

    ndii mana inatakiwa katiba mpya moi

  • @abbyjustine7906
    @abbyjustine7906 3 роки тому

    Huu ndouchangiaji hakika,inatakiwa kuwa na Taifa lenye maono so kiongoz anabadili badili mambo ni upumbavu

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 3 роки тому

    Huyu mama alidondoka toka ata kabla ya 40 Za Magufuli

  • @gmaemba22
    @gmaemba22 3 роки тому

    Hivi Hawa watu wanao weka dole la chini Wana akili kweli? Sijui tunakwama wapi

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 роки тому

    huyu nae apewe kitabu cha maendeleo ya muda mrefu kinachotekeleza bajeti na irani ya chama chao sio kutupigia kelele na anavyo jitambulishaga Mara yeye Rashid , Mungu wangu ananiambia anautaka Urais miaka ijayo huyu hatoridhika kuishia hapo , anautaka Urais na atachukua form sasa anajipalilia aonekane wa maana

    • @neemagondwe926
      @neemagondwe926 3 роки тому

      Shida iko wapi akiwa rais kwan wanao chukua form za urais si binadamu kama yy...au wanautofaut tubadiliken kidg jamani....kazi iendelee

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 3 роки тому

      Kwan kuna shida gani yeye kuwa rais?

    • @paschalekagito3507
      @paschalekagito3507 3 роки тому

      Kwan kuna tatiz gan kama atavuta fomu.we matako Nini ...

    • @nuruontv6541
      @nuruontv6541 3 роки тому +1

      Raymond.Mbona Mawazo yako finyu.

    • @mathiasmsese6128
      @mathiasmsese6128 3 роки тому

      huyo Mungu wako feki. ana husuda ana roho mbaya obvious anafanana na yule audanganyae ulimwengu. sasa hapo amekosea nini??