Yaani ndugu yangu katika mpira familia moja ya Simba, hata wewe umeona kama nilivyoona mimi, barua asingekuwa mchoyo kuna magoli kama 2 au 3 alikuwa anayatengeneza. Ila anataka eti afunge mwenywe, alinikera kiukweli kwa uchoyo wake. Kocha inabidi amshauri kabisa.
Wewe unaesema mpira mbovu,kumbuka hao ni Binadamu,hawatumii mashine,wametoka Kwenye michezo migumu mfululizo,hivyo wamechoka,hata hivyo wametupa matokeo ,tunamshukuru Mungu.
Tunashukur Mungu 🙏
Alhamdulillah
😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wamejitahidi sana❤ asante Mungu
Wambie semaji la CAF ubaya ubwela Simba nguvu Moja
Ubaya ubwela 🔥🔥✌️
Semaji wa dodoma umekimbilia wapi, machinjio imehama imesogea itigi? Mdomo huo🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪 semaji wa dodoma unaijua Simbaaaaaa? Ubaya ubwela, Simba nguvu moja 💪💪💪💪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Semaji letu mungu amlindee sanaa raha tupuu
Tunamshukuru sama mumgu.hongera kwa wachezaji wetu..
Msemaji na manjonjo kibaaao, unasikiliza mahojiano na vionjo vya burudani vingi mnooo😂❤
Ila semaji bwana eti mbwa anfurahia ushindi😂😂😂😂
Huuu mwaka ni mwaka wa ubaya ubwelaaaa 😂😂😂😂😂 🦁🦁🦁🦁 Simba hiyooo hatariii❤❤❤❤❤
Wachezaji wamepambana juzi wametika zanzibar hawakupumzika wamekwenda dodoma,lawama zingine hazifai,tuwasapoti wachezaji wetu ili watupe furaha uwanjani
Wasiojua soka ndio kawaida yao kukosoa kila kitu,hawana jema kwao.
Asante Mungu tumeshinda
Nakuaminia sana semaji letu, ukombioni kupokea zawadi yako, unaongea kiuhalisia si kwakubahatisha hunaga mbambamba, ubaya ubwela ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Semaji la Taifa ❤
Dah!! Nmecheka sanaaa simba 🔥🔥
Kweli msemaji,❤❤❤❤🎉🎉🌹🌹👆👆
😅 ila makolo mnateseka kupgwa 1. Tobo kamala mliweka spika je sku mkitoka sale s mtaenda caf kuweka furaha
Alhamdulillah Simba nguvu moja
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ipo siku kweli utachua tuzo mechi simba nguvu moja
Safii
🔥🔥🔥🔥🔥
Chasambi,chasambi,chasambi.apewe nafasi ya kucheza.dogo anajuwa sana
sasa hujui kuwa wachezaji wapo 30 hivyo hawawezi wote nilazima wacheze 11 na akiba 5 Hadi 8.
Semaji hujawatendea haki mashabiki wa Simba hapo Dodoma kwa kuihemisha match ya leo wamejitokeza kwa wingi.Tafadhali wape maua yao
Simbaaaaaa ❤
Jaman chasambi.mnamuweka bechi sanaa
@@YusufKifunga Sielewi chasambi amemkosea nini kocha,Jana balua amecheza mpira mbovu sana uchoyo unamsumbua
Asante refa 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅team yenu bado ni mbovu
had mmbwa shabik wa simba cyo powa
SEMAJI LA CAF TUNAKUPENDA SANA. WACHEZAJI WAMEJITAHIDI SANA KWANZA WAMEFULULIZA SANA MCHEZO. BALUA AACHE UCHOYO
Yaani ndugu yangu katika mpira familia moja ya Simba, hata wewe umeona kama nilivyoona mimi, barua asingekuwa mchoyo kuna magoli kama 2 au 3 alikuwa anayatengeneza. Ila anataka eti afunge mwenywe, alinikera kiukweli kwa uchoyo wake. Kocha inabidi amshauri kabisa.
Simba nguvu moja
Anakujaaa na maiki ya ambayo ni battery low😅😅😅huyoo wa taa katumwaa na utopolo 😂
Afu hatujapumzika an
Hakika
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
na bado watasema
Bado huna team ya ushindani dogo mbereko za refa tu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Asante refaaaaaaaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅refaaaaaa
We s unayo umefka wapi😂
Semajii
Nikalale sasa nimemuona msemaji😂😂
Ni kama wameanza kutukamia hiv tuwe makini wasije wakatufanyia kama general Moses! We have to be careful 🙂
Duh, semaji hiloo😅😅 comedy kama zote😂😂
Tembelea angaza tv
Huyu jamaaa anajua
Wanayanga jiandaeni tutajua kati ya maji na mafuta kipi kitajitenga
Simba atushikiki tunamfunga yoyote
Mpaka msaada wa marefa
Chasambi na Karabaka wako wapi????
Ubaya ubwelaaaa
Topolooooo 🐸 mechi ya kufosi wamefodi kimoja ndiiii 😂😂 mdomo komooooo
Maana yaubaya ubwela tunashinda kivyovyote hata kwamkono kama tambwe😅😅😅
Simba Leo mpira m mbovu sana
Bro angalia timu imecheza mechi ngumu ndani ya muda mfupi so tuwapongeze wachezaji
😮
Huku ni kukosa akili mpira ni akili mpira mpinzani anaecheza rafu sana na refa hajali unatakiwa ucheze kwa akili
Kacheze wewe kaka
Katafute wako mzuri ucheze na ndugu zko
Kaka waige kutoka kwako
𝐔𝐛𝐚𝐲𝐚 𝐮𝐛𝐰𝐞𝐥𝐚
Nguvu moja ubaya ubwela umemkuta dodoma
Chasambiiiiii tunamtak
Nilalee 😂
Vyura fc kazi wanayo mwaka huu 🐸🐸🐸
Ubaya ubwera
Mbwa wanafurai hahahaha
Huna baya ubaya ubwela
Comedy km zote
Chasambi mtamuua kipaji chake nyinyi watu
Ni injury
kwani Kuna timu wachezaji wote 30 wanaingia kuchezea au hua kocha anaangalia mechi Fulani acheze yupi?
Hawawezi kucheza wote
Atacheza ucwaze
Kabisaa
Huyu ni mchekeshaji Kama kingwendu tu
Tuzo za mchongo
Vyura fc kazi wanayo mwaka huu 🐸🐸🐸