Pole kwa familia na ndugu wa waliopoteza maisha, mwenyezi Mungu awaponye wanaopatiwa matibabu hospitali na nashukuru Mungu kwa kuwanusuru waliotoka salama
Mmmmh Tanzania nchi yangu 💔💔yalemaonesho ya kila mwaka huwa ya kazi ngni yaan watu tangia Jana mpka Leo mmeshindwa kutoa vifusi vilivyopo juu ili kufikia chini kwa haraka 😢😢😢yaan nchi ni ya matajiri tu ila maskinii na walipa kodi ndio wanaoumia
Poleni sana mliopata ajali hii mbaya mungu awatie nguvu walio tangulia mbele za haki Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga was milele uwaangazie wapumzike Kwa amani Amina
Poleni sana wana wa kariakoo,,kwa style hii kujazana hapo kupiga picha na vitambi kwanini msitoe vifusi mkono kwa mkono mkianzia juu,,aibu kwa kweli hapo mtakuja kuomba waokoaji kutika Palestine
Askari wote hao huwaoni? Au umelala unatombwa! Wakati sisi wenzako tumelala tunaomba MUNGU muumba awape pumzi njema wenzetu watoke salama,,Unaleta siasa kwene maafa
@@AllySalum-j9y unakua haujui Watu walipo kaka ukitumia kijiko utabomoa haujui nani kitamdondokea Nini Ndoo maana wakaingiza oxygen chini ili Watu waendelee kupumua ili taratibu za kuwatoa ziendelee ila ukitumia kijiko utaua watu
Mbona upande wa pili mnatuchanganya asante mungu yesu ni binadamu kama wew isipo kuw yeye ni nabii sisi waislam husikii asante muhammad na ukisem yesu ukaacha kumshukuru mungu ni zambi hata yesu bila munngu hawez kujiokowa
Ajabu sana. Mtu anatakiwa kujitafakari na kujiuliza kama nyumbani kwake ana fire extinguisher, maboya, kamba, no kwa ajili ya KUSUBIRI MAJANGA na akaacha kununua chakula na kupeleka watoto shule. Nchi ni kama nyumbani kwako. Kuna vipaumbele pia. Wasingekuja pia wangesemwq
Mungu awalinde watoke salama Insh Allah🙏
Serikali yetu mnafanya KAZI nzuri sana Mungu awabariki
Ipi??na watu wanaowadharau kila cku ndio wameokoa maisha ya watu hpo
Wacha ujinga. Ni wajibu wao kusaidia.
Asante YESU MUNGU ni mwema na awalinde mliopona
Wacha hizo wewe yesu hawezi kua Mungu usikufuru
Mungu mwema, wote waliobaki watatoka haraka na salama insha allah
Hao wenye migwanda watoke hapo wamejazana tuu kila mmoja wao angekuwa na vifaa basi wangeshaokoa wengi
Mwenyezi Mungu awanusulu wahanga wa hajali waweze kutoka salaam
Pole kwa familia za wote walipoteza maisha
Saw mkuu chalamila
Allahu Akbaru Allah awahafu lnshaAllah
Asanteni viongozi kwa kutoa uwepo wenu na juhudi kubwa kuhakikisha watu wanaokolewa..vipngozi wetu tunathamini
Pole kwa familia na ndugu wa waliopoteza maisha, mwenyezi Mungu awaponye wanaopatiwa matibabu hospitali na nashukuru Mungu kwa kuwanusuru waliotoka salama
Mungu awabariki jmn viongoz
Mungu awatangulie watoke salama jaman 😭😭
Mmmmh Tanzania nchi yangu 💔💔yalemaonesho ya kila mwaka huwa ya kazi ngni yaan watu tangia Jana mpka Leo mmeshindwa kutoa vifusi vilivyopo juu ili kufikia chini kwa haraka 😢😢😢yaan nchi ni ya matajiri tu ila maskinii na walipa kodi ndio wanaoumia
Poleni sana mliopata ajali hii mbaya mungu awatie nguvu walio tangulia mbele za haki Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga was milele uwaangazie wapumzike Kwa amani Amina
Poleni sana
Mungu u pamoja nanyi
Mpeleni Sana ndugu ZETU mungu hawape subra Na mtihani huu tupo pamoja kwa mahombi Na mungu hawape afya njema wagonjwa wote
Poleni sana wana wa kariakoo,,kwa style hii kujazana hapo kupiga picha na vitambi kwanini msitoe vifusi mkono kwa mkono mkianzia juu,,aibu kwa kweli hapo mtakuja kuomba waokoaji kutika Palestine
Tunaomba Duwaasan maana hata waokoaji lazima wachue tahadhar maana jengo liko vibaya sana mungu azidi kumilinda Amin
Mungu n mwema walai pia tunashukuru kwa uokoaji wenu kunusur watu waliokuwq chin😢😢😢😢😢😢😢
Mungu awasimamie woote waliofukiwawaweze kutoka salaam.
Mungu ni muweza wa yote
Inauma waokoeni jamini 😢😢 Allah awape pumzi mpaka watakapo pata msaada inshallah
Muandishi kichaa ww siku 2 hizo zimefika mara hii wakati masaa 48 bado hayajafika
Yamekaa kaa tu hapo yanaacha kwenda kuchakarika huko
Mungu awasimamie watoke salama wote😢
chalamila Fanya ukaguzi wa majengo zote kariakoo kwani yanatia shaka sana
Chalamila kama individual au unazungumizia taasisi?
Vyombo vya habari wanafiki
Iyo sim ya kila baada ya dakika 5 ni propaganda ongea ukweli
Yule ddaa alie kua anatoa tamko la mwisho wa korongwe jamani vp katoka?
Jmn chadema walitangaza maandamano mji mzima ulijaa askari kila kona sasa askari wako wapi jmn?? Mmmh inafikilisha kweli kweli 😭😭😭😭😭😭😭
Askari wote hao huwaoni? Au umelala unatombwa! Wakati sisi wenzako tumelala tunaomba MUNGU muumba awape pumzi njema wenzetu watoke salama,,Unaleta siasa kwene maafa
Unawaza siasa tu jinga sana kwan hata wakijaa askar patakuwa na faida gan hicho kikosi maalmu cha uokoaji
Jifikilie GAZA wanamaisha gani, km jengo moja limetesa ivi, dah
Wameyataka
Polen
Serekali Haina mipango miji mizuri ,hasa hapa DSM
Jmn mm naomba kujua wameishapatikana wote au bd?😢 Maana dah moyo unaniuma kama nini 😢
Wenginee bado wapooo chini ndugu
@mwanaidimussa naomba mungu tuu watoke wote wakiwa salama
Shidaaaa yaaa tanzaniaaa viifaaa vauwookovuuu akunaaaa apoooo inatakiwaaa kijikooo ataaa viiii 3 ndaniiii yaaaa Dk 40 jamboo rishaishaaaa
Hapo utaua Watu hapo sio kijiko ila inatakiwa utaratibu mzuri wa kuokoa Watu
Haswaaaaa wakienda vibaya watawaua waliopo chini .... inatakiwa kutumia akili sanaaaaa@@barakamachard1944
Hicho kijiko unachosema kitafany kaz hakion chin hakitoweza kuon kam hapo kun mtu au hakun mtu je wakiua😢hakun kazi rahis has kweny janga kam hili
@mimahsavage-ju2xj unapunguzaaaa vituuu juuuu kwanzaaa iriiii uzitooo upunguee
@@AllySalum-j9y unakua haujui Watu walipo kaka ukitumia kijiko utabomoa haujui nani kitamdondokea Nini
Ndoo maana wakaingiza oxygen chini ili Watu waendelee kupumua ili taratibu za kuwatoa ziendelee ila ukitumia kijiko utaua watu
AISE POLEN XNA.
Mbona upande wa pili mnatuchanganya asante mungu yesu ni binadamu kama wew isipo kuw yeye ni nabii sisi waislam husikii asante muhammad na ukisem yesu ukaacha kumshukuru mungu ni zambi hata yesu bila munngu hawez kujiokowa
Muhammad ana baba na mama kwa kuwa ni binaadam, niambie baba mzazi wa Yesu. YESU NI MUNGU
@@easternyerembe7271pole
@@easternyerembe7271 Mungu mwenye mama na aliyenyonya 😂 acha masihara na Mungu
Acha kumshukuru mfu, huo ni ushirikina. Muhammad ni mfu, ni bora umshukuru Yesu aliye hai.
@@salhawaziri1668 niambie baba yake kwanza
Wanaosema vifaa hamna,naomha kufahamu VIFAA GANI VINA HITAJIKA KWA AJILI YA UOKOAJI HAPO,MAANA hapo hauwezi bomoa maana unaweza sababisha maafa zaidi
Ajabu sana. Mtu anatakiwa kujitafakari na kujiuliza kama nyumbani kwake ana fire extinguisher, maboya, kamba, no kwa ajili ya KUSUBIRI MAJANGA na akaacha kununua chakula na kupeleka watoto shule. Nchi ni kama nyumbani kwako. Kuna vipaumbele pia. Wasingekuja pia wangesemwq
Viongozi wengiiiii badala y vifaaaa vingiiiii kutoa hudum kw wakat 😢
Kuwa toa basement inatakiwa akili sio nguvu@ sisi tuendelee kuomba Mungu ukutukiendelea kuomba huruma ya Mungu juu ya ndugu zetu.
Wameshaweka oxygen na wanatoa taarifa wakiwa huko! Tuache lawama tuungane katika sala kwa kila imani ya mtu ili Mungu atupe rehema zake.
Sema mkuu wa mkoa umejitahidi kuongea kwa hekima
Sana.pia Ana uchungu sana
Police ingieni kuokoa watu hapo unazunguka kwa makundi kwanini
Wapo wanao okoa
Tuendlee kuomba
MUNGU wa mbinguni awaponye wahanga wote
Mawaziri, manaibu,makatibu viongozi wengi sana na v8 nyingi! Vifaa hamna!
Kweli kabisa
Vina hitajika vifaa gani kuokoa?