Who is here in 2023? Wimbo huu umenikumbusha mwaka 2015, kuna rafiki yangu aliuweka ulikua ring tone yake. Mimi nilikua na mapito makubwa sana. Ila namshukuru Mungu alinikumbuka🙏
huyu binti ameimba hadi I feel it niliusikia mwaka 2014 kwene tz nilijaribu kuutafta nilishindwa nilikua nakosea title (jna ya wimbo) juzi 14/52017 nikausika Keene mabas yakwenda mbeya had I nilifurahia safar nilikua natafta huu wimbo miaka mingi sasa nimepata baada
Who is here in 2023? Wimbo huu umenikumbusha mwaka 2015, kuna rafiki yangu aliuweka ulikua ring tone yake. Mimi nilikua na mapito makubwa sana. Ila namshukuru Mungu alinikumbuka🙏
Huu wimbo mzuri sana ukiskiliza una pata faraja sana
Nawe Mungu akukumbuke Sana, wimbo umefanyika faraja sana
Mungu wangu unikumbuke
Mungu anikumbuke nimelia kwa muda mrefu sana sasa yatosha. naupenda sana wimbo wako dada. Mungu akubariki sana Dada
Hakika mungu wewe acha uitwe mungu maana tunakuimbia dada hakika umenikosha sana huu wimbo mungu akuzidishie miaka 100
Waoh! Huu wimbo unanikumbusha mbali sana jamani,
Ubarikiwe sana dada kwa wimbo wako mzuri
mungu akubariki na azidi kukuinua katika kazi yako
Ameen imetosha sasa ni wakati wangu
Endeleza kipaji chako mdg ang, pia mungu awe nawe!!
Nikisikiliza wimbo huu napata amani, ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Mpaka sasa nazidi kuupenda huu wimbo. Kweli sasa yatosha maana ni zamu yangu kubarikiwa
Amen! ahsante umenitia moyo.
4 years down the line since I first heard the song and it's fresh as ever..... glory to God
Kazi nzuri,, yaan jamn ubarikiweee,, kwa hudumaaaaa
nakukubali dadangu,tangu tulippoachana kwenye semina ya mwakasege
Dah we mtt umenikosha sana... Mbeya mmejaliwa vipaji jmn... Tukuyu nawasalimu, toka moshi
This song ❤
Nimekupenda Bure. Umeimba vizuri sana hii Nyimbo
MUNGU NIKUMBUKE NIMELIA KWA MUDA MREFU SANA SASA YATOSHA
kwer mimi mungu anikumbuke kwa mtihani niliovnao
I real like this song
MUNGU akukumbke MUNGU wangu akukumbuke umelia kwa muda muref sasa yatosha balikiwa kaz nzur
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri
ubarikiwe sana watoto wangu wanaupenda sana wimbo wako
Munyaane
hakika. mungu atatukumbuka amen
Na mm MUNGU anikumbuke nimelia kwa mda mrefu .MUNGU akuinue Festina
My GOD BLESS YOU ,SO MUCH
Mimi in mdau mpya kwenye mtandao wa youtube ninaomba Manikalibishe wadau
Karibu sana na Mungu akubariki.
Asante sana ndugu ningependa fahamu wew ni mwenyeji wa wap🔜
Ubarikiwe xana mdogo wang ilove song
Ameni Dada kaza wimbo mzuri
Mungu akutunze na kukuinua mdg wng
ubarikiwe na bwana kweli umenibarikiiii
ubarikiwe my dear
Safi sana
MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI KWA UJUMBE MZURI SANA UNAOTIA MOYO NA KUBARIKI
Karibu
Nice wimbo mbwana akubariki
Ulikughu mwana wa kyala
ahsante kwel mungu yupo nas
Asante sana dada angu naupenda wimbo wako Mungu akubariki
Karibu
Good
Mungu akubariki ainue huduma yako
Mdogo wangu wimbo wako unanibariki
Mwandwanga
naupenda sana huu wimbo
barikiwa Festina Mwandwaga, barikiwa gideon
Safi sn mdogo wang
huyu binti ameimba hadi I feel it niliusikia mwaka 2014 kwene tz nilijaribu kuutafta nilishindwa nilikua nakosea title (jna ya wimbo)
juzi 14/52017 nikausika Keene mabas yakwenda mbeya had I nilifurahia safar nilikua natafta huu wimbo miaka mingi sasa nimepata baada
car. speeds 3
Jmn uyuu dog aliendag wap daaah . Anaimba
MUNGU NIKUMBUKE
Amen
❤
2024 ❤
Mungu akukumbuke kipenz
Nausikiliza huu wimbo toka asubuh, yaani najisikia raha rohoni
Karibu sana philio
Huyu dada namtafuta sijui kapotelea Wapi naomba anitafute kama anasoma huu unumbe
Yupo mbeya kiongozi
Good
Nice song
Karibu
G media hilo tangazo lenu linalo jiludia kila baada ya sekunde kadhaa hamjautendea haki kabisa huu wimbo hasa kwa sisi watazamaji hii video
Hilo ni tangazo kama unahitaji hiyo albam wasiliana nasi kwa hayo mawasiliano ujipatie nakala yako.
0754 296 224.
Bahati Bukuku
najisikia raha nikisikia wimbo huu
ubarikiwe sana ujumbe mzur
barikiwa xana dada na nyimbo yako mu
mungu akubariki xana
Pendo Sana ujumbe huukweli mung ni mwema
Aminaaaa umenibark sanaaa
sf rafiki umrjitaidu
atosha kisava
You
Tube
wewe mtoto umeimba hadi raha
Weep not
4 years down the line since I first heard the song and it's fresh as ever..... glory to God