One of the best choir to happen in Mbeya. Mgogo rudi ufanye injili na hawa wadada. Hakika mliwezana sana. Wanajua ukipanda wao wanashuka. Wanakufaa sana kufanya nao kazi sote tunamwimbia Bwana kwanini usimame peke yako? Rudi umtumikie Mungu na hawa watumishi wenzio.
Oooooh wooow. ..woooow ..wimbo poa zaidi huuu. ..❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be Blessed Pastor Emmanuel Ezekiel Mgogo and Woman of Great lord God❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
To be honest, naumia sana moyo wangu kwa kukosa hii collaboration ya Sayuni band na mtumishi wa Mungu pastor Emmanuel Mgogo. Mungu ndie anaeita watu na ndio anaamua wapi na wakati upi amweke mtumishi wake. Hizi nyimbo zilikuwa ni injiri tosha, sio burudani
Ahimidiwe Bwana wa mabwana asiyetutoa mawindo kwa meno yao. Nguvu zake Bwana zimetufunika: Tunalindwa, tuko salama. Ubarikiwe @Emanuel Mgogo kwa wimbo.
Yaan huu wimbo hauna mfano wakuelezea naweza kusikiliza asubuhi hadi jion duh, ujumbe wake tu unanitosha kwa kweli Mungu aendelee kukutumia mtumish wa Mungu Emanuel mgogo salute nyingi zikufikie mahali popote ulipo 🙏🙏
Apana mungu ana mambo mengi kwako mtumishi emmanuel mungu akutumie kupitiliza nimeinua mikono mimi kwako mtumishi umetoka mbari sana ubalikiwe na upitirize kutubaliki nasisi🙏🙏🙏🙏💯
Shetani kufanikiwa kuisambaratisha hii kwaya,kuzimu itakuwa ilifanya sherehe ,wangekuwa pamoja hadi leo wangekuwa mbali sana kiroho na kimwili, Mungu tusaidie watoto wako,pale tunaposhindwa kwa akili zetu,tupe nguvu yako mpya ya kuanza upya
Hii nyimbo imenikumbusha mbali sana, kinachoniuma hii band ilishasambaratika kila mmoja anaimba kvyake@,majivuno na kujiona bora kuliwagawa hawa watu wa MUNGU😅😅
Wimbo mzuri Sana mpaka Sasa nabarikiwa nikiusikiliza , Mungu akubariki Sana Mtumishi wa MUNGU Hallelujah 🙏🙏🙏
Nimerudi tena kuusikiliza huu wimbo siuchokii kamwe ,,,Jina la Bwana litukuzwe
😍
Kama si Bwana mimi nisingefika mahali hapa mana yeye ni mwamba na salama yetu powerful song❤
My favourite song up to now 2024 .Glory to God
Zaburi 124:1-7🔥🔥🔥🔥
NA AHIMIDIWE BWANA🙌🙌🔥🔥🔥
My all time favourite song🙏
Hakika bwana nimwamba wetu,salamayetu
Nyimbo nzuri inafundishwa sana kaka angu
hakika mungu awe pamoja nanyi
Ndugu nyimbo Zaki Ni nzuri Sana.
One of the best choir to happen in Mbeya. Mgogo rudi ufanye injili na hawa wadada. Hakika mliwezana sana. Wanajua ukipanda wao wanashuka. Wanakufaa sana kufanya nao kazi sote tunamwimbia Bwana kwanini usimame peke yako? Rudi umtumikie Mungu na hawa watumishi wenzio.
Hongela mchungaji wetu mungu akubaliki
Oooooh wooow. ..woooow ..wimbo poa zaidi huuu. ..❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be Blessed Pastor Emmanuel Ezekiel Mgogo and Woman of Great lord God❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hakika kama si BWANA kua upande wangu adui zangu wangenimeza ningali hai,uhimidiwe BWANA🇰🇪🇰🇪
Only song touching and revealing the reality of how God help us.
To be honest, naumia sana moyo wangu kwa kukosa hii collaboration ya Sayuni band na mtumishi wa Mungu pastor Emmanuel Mgogo. Mungu ndie anaeita watu na ndio anaamua wapi na wakati upi amweke mtumishi wake. Hizi nyimbo zilikuwa ni injiri tosha, sio burudani
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂white white white woow Beautiful.. Dance Folks❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤be Blessed...❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahimidiwe Bwana wa mabwana asiyetutoa mawindo kwa meno yao.
Nguvu zake Bwana zimetufunika:
Tunalindwa, tuko salama.
Ubarikiwe @Emanuel Mgogo kwa wimbo.
Mgogo ni mtumishi mkubwa Mungu alimpatia huduma kubwa sana ya uinjilisti siku atapo amua tu italipuka hamtaamini
Kaka Emmanuel hiki kipondi ninakumbuka mengi jamani ni hakika yako Mungu kukuinuà
Nashukur mgogo unankumbusha nlivyokua naenjoy na mama kpnd u ai
Barikiwa sana mtumishi nilikuwa nautafuta cna huu wimbo kwa muda mrefu huwa najickia faraja cna pale ninapouckia huu wimbo
Ameni kubwa tumwimbie Yesu wetu❤❤
Watu wangu ambao tumefunrishwa na huyu mwalim njoeni apa tujuane
Tupo
wimbo wangu mpaka sasa2024
Barikiwa sana mungu azidi kukutumia utangaze injili yake
Nabalikiwà sana katika híí albamu ya íko wap njia from Zanzibar ñà eñjóy
Hii band ingerudi mzigoni ingependeza sana
Mnaupako sana
❤❤
Kabisa Kabisa 100%
who listen this song 2021??? 🤲🤲🤲
Mee🔥🔥🔥
Me here
@@gospelvibestv3914 blessed 🤲🤲
@@josephnicholaus6023 salute brother
2023 we here ✌️🔥🥰
2024 mungu ni mwamba wetu❤
kama. si MUNGU. kuwepo. nasi leo . Leo. tungekuwa wapi leo. hii. Mimi na wew
Hii iko vizuri,muendeleze huduma mzd kutubariki mgogo
Huyo dada natamani kumuona akifanya kazi zaidi na zionekane jamanii yaani huu wimbo sichokagi kuusiliza
wimbo mzuri sana
Mtumishi Roho wa vipawa ambaye ni Mungu mwenye enzi akutumie zaidi......nyimbo hii ni Neno la Mungu,,Yesu mwenyewe.....
Tunalindwa tupo salama. UBARIKIWE sana
More 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 lit nimebarikiwa
Barikiwa sana kaka emmanuel
Hii nyimbo huwa si choki kuisikiliza, 🙏🙏
Nyimbo zako nimahubiri tosha ubarikiwe baba
Daaaah inanikumbushaaa mbali sana kwenye graduation yetu 2012 ..swillah dah .... Barikiwaaa sana aiseh
HUU WIMBO TANGU NILIPOUSIKILIZA MARA YA KWANZA MIAKA MI5 ILIYOPITA NILIUPENDA SAANA YAANI HUWA SIUCHOKI KUUSIKILIZA
Waoooo wimbo mzuri sana huu mda sana yani nimefurahi kuona
Wimbo mzuri sana mbarikiwe hakika!!
Nabarikiwa Sanaa kupitia Nyimbo Hiii 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Yaan huu wimbo hauna mfano wakuelezea naweza kusikiliza asubuhi hadi jion duh, ujumbe wake tu unanitosha kwa kweli Mungu aendelee kukutumia mtumish wa Mungu Emanuel mgogo salute nyingi zikufikie mahali popote ulipo 🙏🙏
Jamani wimbo mzuri
Hakika ilikuwa band nzuri saaana mbarikiwe saaana
Hakika kama si Bwana wangetumeza hai
Wimbo mnzuri,unagusa una roho Mtakatifu,una mafuta.
Ahimidiwe Bwana Mungu asiye tutoa mawindo
Apana mungu ana mambo mengi kwako mtumishi emmanuel mungu akutumie kupitiliza nimeinua mikono mimi kwako mtumishi umetoka mbari sana ubalikiwe na upitirize kutubaliki nasisi🙏🙏🙏🙏💯
Mwacheni Mungu aitwe Mungu
Nmefurahi kuupatahuuu wimbo huwa nabarikiwa sn kila SKU haunichoshi barikiweni watu wamungu
Nice one
Nyimbo hii roho nt alihussika zaidi san
Yesu ni mwema
bro nakukubali sana mungu akutunze nabalikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako
Amen barikiwa sana
Amina kubwa ubarikiwe mtumishi, kila ninapousikiliza huu wimbo nauona mpya
Shetani kufanikiwa kuisambaratisha hii kwaya,kuzimu itakuwa ilifanya sherehe ,wangekuwa pamoja hadi leo wangekuwa mbali sana kiroho na kimwili, Mungu tusaidie watoto wako,pale tunaposhindwa kwa akili zetu,tupe nguvu yako mpya ya kuanza upya
Yaniuwimbo mzurisana natamaniwangekyapamoja
Naungana na aliyepita Mtumish Rudi kafanye kazi na Hawa wadada
Hii band ilitakiwa irudi jamani
ubarkiwe Sanaa mtumishi
Hii nyimbo imenikumbusha mbali sana, kinachoniuma hii band ilishasambaratika kila mmoja anaimba kvyake@,majivuno na kujiona bora kuliwagawa hawa watu wa MUNGU😅😅
Inauma Sanaaa aisee nakumbuka mbali sanaa
Hii ilikuwa ni EMMANUEL MGOGO FT SAYUNI KWAYA NA SIO SAYUNI KWAYAA
Jmn Mungu awabarik sanaa wapendwa huwa. Namwona Mungu jinsi alivyo mwema ❤️🙌🙏
Aminaaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Audio yake naipataj jaman😢😢❤
Niliutafuta nikaukosa huu wimbo asante umeupost upya
Hata mie niliutafuta Sana nikawa naukosa, Mungu ambariki Sana mtumishi.
Hakika huyu Mungu ni mwamba wetu na ni salama kwetu.
hawa watu huwaga na sauti nzur 😍
Glory be to God ❤❤
my all time Favorite song be blessed Servant Emanuel
Kama si Bwana hakika tungeisha
Powerfull song
Machozi yamanitoka dada huyu ana huduma kubwa saanaa nawapendaa kaka IMA mbarikiwee
Nyimbo hizi za injili mbona hazimbwi tena jamanii
Rudi sayuni band ndio kuna nyota yako mungu atakbariki
Amen najua nitatoka katika magum yangu
My all time favorite song be blessed servant Emanuel mgogo
Ameen
Amen
haleluyaaaa
Emmanuel mgogo Ako wapi huyu madam mnasolo naye,sauti yake n tamu
Ama kweli kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi Israel na waseme sasa... Ya kwamba fadhili za BWANA Ni za milele amina
Sifa na utukufu tumrudishie Mungu kwa watumishi hawa
Ahaa wale tulia angalia 2021 like apa
Huyo dada anayeimba namkubali sana Mungu amzidishie jamani
Hakika wangetumeza hai
Inanikumbusha siku ya Harusi ndo nilitokea kanisani baada ya kufunga ndoa
♥️♥️♥️
👏👏👏
Hakika moyowangu umepata kufurahi kupitia huu wimbo jamanijamani ndugu Emanuel Mgogo Mungu akubariki
Sana Anaupako Sana yani sauti to ni shida
Nakupenda aina hii ya Upako MH Emanuel mgogo
❤❤❤😂❤
Nalisifuu jina la yesuu
I like this
I love the song
2012 mbeya isanga kanisani kwa happy kamili
Surely it's God 🙏🙏🙏.
Wed 1 Jan 2020.
safi
Yap
Aleluyah ahmen🥰🥰😘