Jambo my family ni nawafata kutoka Rwanda 🇷🇼 mweusi family nawaomba season 2 tujuwe mwisho ya kidawa alfu kumbe mandevu ni muzima ana ulemavu season 2 itakua fire🔥 🔥
The literature we learn here is good and educating. As an artist in literature you have based only on the dark side that we see how humans are mistreated by the others who are evil ones. And you have taught us patience. You have shown us conflicts and how they arise in the society but every conflict has a solution behind it. You have left us with hundreds of questions. How the evil ones get punished as their rewards, you did not show it. We do not know how they house selling issue ended as the owner didn't have the legal papers. The ones who has was being convinced to double cross them. You didn't show the reaction of Sele's father to his evil wife and friend. The man who acted as a day-worker deserves a critical punishment as he was the one brought the house buyers and he was selling Mama Sele to fornicators. You must see how to overcome all these. Otherwise it was a nice teaching. Only climax was missing.
Allah awalipe khair masheikh na awazidishie kheir duniani na kesho akhera. Sheikh Hamza Mansour nilitamani sana kukuona physically ila sikufanikiwa mnaporudi majumbani safari njema Allah awahifadhi mfike salama Allahuma Ameen
Nzuri sana ila haikwisha vizuri Pil mkiffanya mchezo mwengine wekeni mziki mtupu bila maneno ya mwimbaji .kwasababu maneno ya mwimbaji yanapunguza ladha ya mchezo. Mziki mtupu ndio move inakua bomba ok.
Steve na group lako wehu kweli mmeshazoea comedy,hizi za siliasi zinawashinda kabisaa yaani mlokuwaa vizuri weee ila sasa mwishoni ndo inakuwa vichekesho
Mbona imeisha vibaa. Angemfanyia kitu mama sele Maana amemuumiza sana. Pia wanawake wengi wanatabia mbaya sana yakiivo yani. Ila Asante. But me naona mungetuletea yakufyata😢im innocent from to 🇧🇮 Burundi country bujumbura capital
Pole kakangu mungu mwema atakusaidia naenda katibiwe utapona kwa mungu hakishindikani kitu
Kaka yangu ma ndevu. Ahsante kwwa subra zako
Mafundisho maziri❤❤❤❤❤
Nyie wapuuzi nini, mnamalizaje filamu Kizembe sana 😢😢😢😢 Yaaani mnakera 😊😊😊
Wanaziguwa😢
Steve umezingua kweli movie ilikua kali kinomaa imekushind kuimalizia 😂😂😂😂😂unashindwa ata na clam bhan mdog
Jambo my family ni nawafata kutoka Rwanda 🇷🇼 mweusi family nawaomba season 2 tujuwe mwisho ya kidawa alfu kumbe mandevu ni muzima ana ulemavu season 2 itakua fire🔥 🔥
Duuuh kumbe mnyama sio mlemavu!!!
Safi sana zinga la fundisho!!
Hukubahatika mke wala mtoto ispokula mtoto mmoja tu ( sele ).
SAFI.
Aaaah kipende cha 10 kina dk 5 tu 😂😂😂 hafu imeisha vibaya hatari mmezingua bhana
Wa Kwanza Leo from Doha Qatar 🇶🇦
Kazi njema kaka
Aaahhhh yani mumefail sanaaaaa hatujafurahia na mwisho bwanaaaa
😭😭😭
The literature we learn here is good and educating. As an artist in literature you have based only on the dark side that we see how humans are mistreated by the others who are evil ones. And you have taught us patience. You have shown us conflicts and how they arise in the society but every conflict has a solution behind it. You have left us with hundreds of questions. How the evil ones get punished as their rewards, you did not show it. We do not know how they house selling issue ended as the owner didn't have the legal papers. The ones who has was being convinced to double cross them. You didn't show the reaction of Sele's father to his evil wife and friend. The man who acted as a day-worker deserves a critical punishment as he was the one brought the house buyers and he was selling Mama Sele to fornicators. You must see how to overcome all these. Otherwise it was a nice teaching. Only climax was missing.
Allah awalipe khair masheikh na awazidishie kheir duniani na kesho akhera. Sheikh Hamza Mansour nilitamani sana kukuona physically ila sikufanikiwa mnaporudi majumbani safari njema Allah awahifadhi mfike salama Allahuma Ameen
😢😢😢😢😢waah kweli Reachel alimvumilia mumewe kwa shida na raha😢😢😢lakini huyu dada katili mungu tusaidie tuwe na tunda la roho ambao ni upendo
Watching from Kenye 🇰🇪
Wakwanza apa Kutokeya Congo 🇨🇩 DRC from Goma naomba liké
Mbona imeisha kipuuzi ivoooo mmezinguaaaaaaaaaaaa😊😊😊😊😊😊😊😊
KIDAWA UMEPLAY PATI NGUMU JAMII INAKUONA MBAYA SANA MIMI MWENYEWE NIMEKUCHUKIA SANA
Jamani tunaomba mwendelezo jamaniiii filamu kali sana
Kidawa maneno yko ni ngumu mbiti pale sana ungekuwa uku kwetu
Unyama Sana kaka uyamasana unaweza Kazi Sana duguzagu
Imemalizwa sivyo mjomba labda ingeendelea Kidawa kakukuta anatembea lakini ilikuwa tamu ❤
Wakwanza leo❤❤ nipewe like zangu
For the first time I wish to see the next part of a given movie
Kazi nzur lakn finish ndyo bado mno
😮 mmezingua sana kwenye kumaliza
Kwa kwwli hii move amjaimaliza vizur, mmekosea embu tuekeen seoson 2, tumuone mama braton atakavyoumbuka
Imeisha ovyo sanaaa mmezingua kweny finishing
Hii filamu ni nzur sana aiishi hamu kabisa
Nzuri sana ila haikwisha vizuri
Pil mkiffanya mchezo mwengine wekeni mziki mtupu bila maneno ya mwimbaji .kwasababu maneno ya mwimbaji yanapunguza ladha ya mchezo. Mziki mtupu ndio move inakua bomba ok.
Hongera zenu lkn 😂 mmezingua kinyama sana
Acha kufanya hivyo wew dada sio vizur unamnyanyasa mmewako
Haifai kuisha Ivo bana , that's reflects the continuity possibility
Duuh ndo maisha yalivo sehemu zingine duh!
hongera sana sele you act as the good samaritan ata ile movie ya mama yangu kichaa uliperform vizuri 👍👍👍👍👍👍...
Mniungqnishe na huyo mary namtaka mimi 😂😂😂
Courage ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Haija isha poa aki nilitaka kumuon huyo kidawa akihangaika😂😂😂
Aziza tengeneza hizo nywele zako zinakaa mbaya
Dah movie nzuri Ila mnachelewesha hadi tunasahau season 😮😮
Hii imeisha kishamba sana😮😮
Tena sana
Yaani niliiangalia nikatoa machozi 😢😢 namani kujuwa after hospital kuliendaje we need EP11
Steve makinika,hii series ilikua kali washindwa kuimaliza,ndio hapo Clam anakushindia
Sio Clam tu. .ajifunze kwa #Kp wa Akwino
Siyo kwa kp tu ata kwa kelvine wa donta tv
@@bobdzombo3557 KP AKO NEXT LEVEL JAMANI HAFANANISHWI NA YEYOTE
Bwanaee tuna omba muendelezo amuwezi Kumaliza ivon bwana
Imeisha kishamba😂😂😂 ckutegemea
😢😢😢😢😢jamani hii move tupewe season 2 imenifundisha kitu kikubwa😮😮😮😮😮 umeniacha mdomo wazi.
Steve mweusi mbona marudio tena mm Tu naumia moyo Sana yaani mlevu anapitia hii Hali jamani wanawake😭
Makaa sana jaman had tunasahau
Hayikumalizika vizuri tunaomba mutupatie sel 2 kidawa aonane na bwana wake akiwa muzima ajute Kwa ajiri ya maovu yote ariyo mutendea asante
Naomba uni sadie❤
mwanamke mchawi kabisa ivoivo thu😌😌
Hamuwezani na series mnakaa mwezi mzima mnaleta ujinga
Movie nzuri iko very innovative 100% but hii movie haikutakiwa iishe Kama ilivyoisha " a best dancer must know when and how to leave the stage".
Umeonaee yn inabidhi wafanye season two 😂😂😂😂😂
Kweli
Poa
Sana
Muvee
Mmezingua ndo imeishaje sasa 😢😢
ahhh imeishiaa vibayaa mungeendelezaaaa tuone hatma ya yule mwanamkee
Wakwanza hapa tokea kenya
Mungu mkubwa hongereni kwaafundosho
Iyi movie haifahi kuishia hapa tunaomba iendeleye ata kidogo jamani
Mbona haijaisha vzr
Mbona imeisha mahali pazuri hivo😊😊😊
Muna zinguwa pakubwa sana
Hii movie inafaa iendelee bana,, kidawa ajutie alfu madevu aoe mwamke mwingine,, mastamind apewe adhabu kubwa
Kam imeisha kabis bas wabongo hamn kitu kabis na hatuwez kumaliz kitu kam kilivyoanza
Muvi nzuri ...... Ila finishing imeboa mno
Steve na group lako wehu kweli mmeshazoea comedy,hizi za siliasi zinawashinda kabisaa yaani mlokuwaa vizuri weee ila sasa mwishoni ndo inakuwa vichekesho
Natak nione brai na mama ake watalipokeaje swala la baba sele kutembea 😢imeisha kinonko sana
❤ Huna baba steve
Tafadhali leteni baba yangu mlemavu season 2 ili tuone mwisho wa kidawa na huyo Brian wake please tunapata mafundizo mazuri sanaa
madevu nilikuona mtu wa maana kumbe ovyo mwanangu. sa unasimamaje afu mali inaishia hapo. umezingua sana mwanangu
Yaan kaz hii imewashinda jamn mbna mnatuboa an
Najuta Kupoteza Time yangu Upuzi mtupu au mmechoka Kushuti sasa What means of the End😅😅😅😅😅
movie nzuri sana jamani nimeipenda ndiyo mwisho kabisa au inamuendelezo???
Leo wakwanza 🎉
Mmezingua sn stori katunga sele au yaan hata mm siwezi fanya ujinga km huuu
Mbona imeisha vibaa. Angemfanyia kitu mama sele Maana amemuumiza sana. Pia wanawake wengi wanatabia mbaya sana yakiivo yani. Ila Asante. But me naona mungetuletea yakufyata😢im innocent from to 🇧🇮 Burundi country bujumbura capital
Ni Kweli Ila kiukwel imenifundisha mengi mno,…. Hii movie,
Very good 👍
Aiii mbona aamke kisha iishe mnatuwacha kwa dilema bado ajapatana na kidawa but it's a good finish
tafazali sanamuongez ya mwisho hi munaimalizavibaya sana
Acheni utani muvi nzur inafundish kwanini mnaludia naistoshe mnakaah sana bila kutoa jamn mtawapoteza mashabiki
Mweusi family mnaweza sana
Mungu uniepushe mwanamuke kamahuu
Imeishia vibaya tupeni season2😂😂😂😂😂😂😂😂
Amjui kuigiza mwehu nyie fyuuu 😂😂
Imeniliza sanaaa😢😢😢
Napenda hiki kipindi kwa sababu kina fundisha
Piah mm naomb lik❤ zngu kwnu 🙏🙏
😂😂😂😂😂😂ila inasikitisa😢❤
Safi sana kwakazi nzuri
Mbona hukuisha vizuli! Wekeni series 2 alafu kidawa ajutie and then mandemvu aowe muke Yule mamdogo Sele
Ata pia kina movie nyengine iliisha vibaya pia
Alafu Sasa hii movie Ina maana Gani,Uyo nae Alipewa hati abwabajahh kazii kweli,na huyu mwengine kidawa asoachwa kudanga tuh
Ep11
Inauma sana aky😂😂😂😂😂😂
Nah this one went off crazy 😂
Steve umfikii clam hata kidogo tulia rudi tu kwetu katavi kawajense ma mv kibao umeishia njiani unaboa
Ovyo movie imeisha kizembe sana
Its a good movie full of lessons to be learnt, but mbona imeisha hivi vipi Kidawa na okorofi wake
Mumezingua nyieeee yaani inaishia maali ilipo ishia episode ya tisa😮😮😢😢😢😢😢😢
kazi nzuri ❤❤
Very Nice
😂😂😂 mbon hivi😂😂
Movie nzuri sana ila haukujua kuimalizia. Siezi kukupa pongezi hata venye nimeona
Wekeni siriz 2 ihishe vizuri Kidawa aje ajute nawewe madevu ukaoe kwayule mamdowake Sele iliajuteeeee kidawa
Atleast hikue na continuity, hapa imeisha vibaya
Safi
Ningekuwa mimi ndio Baba Tayari tungekuwa tunasubiria Arubaini za huyo mwanamke tule wali😅😅😂
Finishing mbovu sana dadadeq😂😂