Jazz Allah jazzakallahu khairi shekhe Muhammad Bachu na sheikh Kishiki Kwa Elimu nzuri ni matumaini yangu kua shekhe Muhammad Iddi ataelewa KWANINI sisi tunawafuata mahujaji Kwa kutekeleleza ibada ya funga ya Arafa.
Assalaam alaykoum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran sana sheikh wetu kwa ufafanuzi mzuri.Allah Subhanahu Wataala azidi kukupa elimu yenye manufaa.na kukuhifadhi na mabalaa .Allahummaamiin
Nchi zilizo kwao usiku zitawezaje kutumia hesabu ya *matlai* wakati mwezi kwao hauonekani sehemu kubwa ya mwaka. Hivyo inabidi wafuate Saudia au kwengine. Hivyo kufuata matlai hapo imefeli. Sasa wajibu wao hilo suala nchi hizo zifanye nini.
Yaani masheikh mmekosa mambo ya msingi ya kujadili, kazi kulumbana tu Kila siku na kuwagawa waislamu, mijadala yenu Haina afya kwa umma wa kiislam zaidi ya kutambiana kielimu. Hapo naona ni ushindani tu wa Nani anajua zaidi. Upuuzi mtupu
Sheikh Muhammad bachu Mimi nakukubali sana lakini swali alilouliza Abuu Idi limekushinda umeamua kulijibu utakavo wewe arafa safi Haina shaka nikufuata muandamo wamwezi Yani waislamu wachina hawatopata arafa mpaka kiama duh hio haijakaa sawa
Masheikh acheni kupotosha Umma wa kiislamu! Muogopeni Mwenyezi Mungu la sivyo mtaja kuwa masuuli mbele ya Allah kwani sunna ya funga ilianza kabla ya HIJJA. Hoja zenu hazina mashiko!
Vote nimekubaliana na wewe siku ya funga kuchinja nk lkn jambo mmoja tu kuzama kwa jua na kuchomoza Saudia ni tofauti nimekaa mm saudia mwaka mzima lkn jua kule linachomoza mapema sana km sa11:40 jua tayari kipindi Fulani na linazama karibu sa 1 yaan huku kiza yaan huku kiza sa1 usiku kule masaa sawa sawa lkn saa moja ndo jua linazama
@@mohamedhaji2200 hahaahaaaa !!!! Kufunua vitabu sio hoja hata mjing pia aweza akafunua vitabu lkn jamb la msingi ni fahamu anayo au abwabwanya 2 Ngug ; kasomen bado xana
Masha'Allah sheikh ameeleza vzur sana lakn mie swali lang ni Je waumin waliokuwepo zaman zama hzo hakuna Technolojia kama tuliyonayo sisi huku waliitambuaje hyo siku ya Arafa ikiwa hawakufuata siku ya 9/10 kama alivojaribu kueleza sheikh ABU IDD?
Dini kila mtu afuate anavyoona sawa. Mimi kwa mtizamo wangu wala sitaki kitabu cha yoyote (hakuna kitabu cha Mtume Muhammad SAW) Ibada haina kitu kinachooitwa kuunga mkono dini sio siasa, Ibada ambayo hukushiriki huhusiki nayo. Pia mchana wa Makka wapo watu ni usiku watafungaje au hawahusiki na Ibada hii.
Ile nchi ambayo ni usiku kwao wakiamka wafanya kama wenzao waliowatangulia jibu jepesi tu, na Tanzania na saidia hatupishani hata dakika Moja, ila namuona mpumbavu anaetulinganisha na marekani badala ya kutulinganisha na saudi Arabia ndiyo tunaenda sawa sawa
Sheikh Mohamed eid muongo uyu...eti anasema dunia aina siku moja....alafu ukimsikiliza oja zake yan ata kama umeishia alifu kama uliizingatia vzr wati waisoma lazima umcheke sana uyu sheikh yaan ajielewi
Asalaam aleykum ...mashekh kaeni pamoja uwisilam iwe kauli moja tuo doe.tofauti zetu itapendeza Sana heee viongozi wetu wa dini ondosheni tofauti hiii kwa hekima kubwa na m/mungu atakulipeni inshallah
SWAUM YA ARAFA YA FUATA MUNADAMO WA MWEZI HAIFUATI WATU KUSIMAMA ARAFA. سئل الشيخ محمد صالح العثيمين رحمه الله : إذا اختلف يوم عرفة نتيجة لإختلاف المطالع المخت لفة فى مطالع الهلال فهل نصوم تبع رؤية البلد التى نحن فيها ام نصوم تبع رؤية الحرمين ؟؟ فأجاب : هذا يبنى على اختلاف اهل العلم ، والصواب انه يختلف باختلاف المطالع ، فمثلا اذا كان الهلال قد روي بمكة ، وكان هذا اليوم هو التاسع ، وروي في بلد آخر قبل مكة بيوم وكان يوم عرفة عند هم اليوم العاشر فإنه لايجوز لهم ان يصوموا هذا اليوم للأنه يوم عيد وكذالك لو قدر أنه تأخرت الرؤية عن مكة وكان اليوم التاسع في مكة هو الثامن عندهم ، فإنهم يصومون يوم التاسع عندهم الموافق ليوم العاشر فى مكة ، هذا هو القول الراجح لان النبي صلى الله عليه وسلم يقول إذا رأيتموه فصوموا انظر ( مجموع الفتاوى ج 20 ALI ULIZWA SHEIKH UTHAYMIN RAHIMAHULLAHU : inapo tafautiana miandamo wa mwezi je tutafuata miandamo wa kwetu ama tutafuata muandamo wa Maka na madani ??????????? Akajibu Shekh UTHAYMIN Akasema:. Suala hili latafautiana kwa wenye ilimu , na usawa nikua miandamo ya tafautiana, mfano mwezi ukawa umeonekana Maka , na ikawa kwa wengine wameona kabla ya Maka , na ikawa siku ya ARAFA Maka kwao ni siku ya kumi, Haifai kwa watu hao kufunga ARAFA siku hio kwa sababu kwao itakua nisiku Ya idi ,. Na vile vile Lau itakua kinyume chake, Maka ikawa ni siku ya kumi na kwa wengine ikawa nisiku Ya Nane Basi watu hao watafunga ARAFA Kwa tareh tisia ya kwao ,. Nahi ndio kauli yenye nguvu , kwa sababu MTUME صلى الله عليه وسلم. Asema MUTAKAPO UWONA FUNGENI . Angalia kitabu (MAJMUUL FATAWA) JUZU 20
Wakati wa ma salaf, muislamu alioko masri na kwengine ulimwenguni walijuaje siku fulani ma hujjaji wasimama Arafat? Ilikua hakuna TV, radio na Simu. Barua yachukua miezi kufika sehemu mbali mbali. Si watafuata mwandamo ya mwezi ya kwao?
Kwa hiyo tuseme zamani watu walikuwa wanapanda jahazi farasi punda ngamia wengine kwa miguu kwenda kuitafuta elimu... sasa hivi Allah kafanya uwepesi wa usafiri na mawasiliano hamna haja kufanya mambo mazito na hali ya kuwa kuna uwepesi... Mbona sasa hivi mambo yako wazi waliLlaahilhamdi lakini bado tuwazito. Siku mahujaji wanachinja watu wao wanafunga arafa. Hali ya kuwa tunaambiwa tuwahi kuswali idi ili tuendane na mahujaji katika kuchinja. Lakini wapi... نسأل الله السلامة والعافية.
Sifa zote njema anastahiki MWENYEZI MUNGU yeye ambae ameleta teknolojia kwa wanaadam ikiwa faida kubwa ya teknolojia n kutuunganisha watu dunia nzima...
Siku ya arafa ni tarehe tisa baada ya mwezi kuandama kulingana na maeneo uliyokuwa na tarehe kumi ni idd. Hoja zako hazina mashiko wapenda kuwakejeli mashekhe wengine ukijiamini wewe ni mkweli saanaaa . Mashekhe wa makkah wenyewe wasema wasema mufwate mwezi wenu. Toa dalili mungu amesema watua waangalie watu wa makah wakisimama kisimamo cha arafa. Wakati hakuna tecnology kila mtu afatwa mwezi wake akiwemo babako na maisha ualikuwa mazuri kuliko sasa kwenye mashekhe wengi ambayo mwaonge mambo na kuyajenga hoja sababu mumelipenda jambo lakini sio kufwata haki na mungu anayotaka kwenye Qur'an. Hizo vitabu vyote na Qur'an ipi iko juu?? Nyinyi mwaleta fitn a mashekhe wa vizazi vipya na technlogy mungu awaongoze.
Kwa mimi elimu yangu ndogo lakini nnaupeo wa kufikiri nachojiuliza yakwamba kama nihivii kua sunna y arafa(funga) lwe siku moja kw kuangalia mwezi tisa y Makka basi tukubaliane yakwamba kunanchii hazitaipata sunahiyo au kuwahii au kucherewaa Kwan hiii dunia n yamungu na kwa uwezo wakee Mungu alitaka tuishi ndani y ulimwengu huu kwa tofautitofauti Yani maanisha kunawatu kwao mchana mwezi saba kuna wengine hawajaamkaa kuitumikia mwezi saba n wengine wapojioni n wengine siku washaimalizaa kwa maana hiyo niwazii kunawatu ili waipate Suna ya funga wahamee mijiyaoo waende saidia maana maishaaa hawataipataa sunna hiyooo
Kuna watu wanauliza Je kati ya kufynga siku tisa za dhul-hijjah na kufaradhishwa hija kipi kimeaza? 2. Ikiwa ni funga ya siku tisa ikiwemo afara ilikuwa inafungwaje?
S Mashekhe hawa wabakwata nawaogopa sana maana wamekizana na serikali hebu tumua akili ya kawaida pia idd hii tunafata mahojaji vip ufunge tofauti na arafa yenyew, waislam tuamkeni,namkubl shekhe Mohd Bachu
Sheikh nakukubali lkn sidhani kama ni jambo jema kutowa muhadhara kwa kutumia clip za mashekhe wengine. Hii haioneahi sura nzuri kwa wasiokuwa waislamu
الله سبحانه وتعال..... Amesema hakita simama kiama isipokua siku ya ijumaa, Je kutokana ma kutofautiana masaa, watu wa Australia, makaa na marekan watatofautiana ktk kisimamo cha kiama? Ukipata majibu utaelewa usahihi wa shekh kuhusu siku ya Arafa na funga yake. MashaAllah shekh umetufafanulia. Hoja ya kua miji/nchi zinatofautiana haina mashiko. Swaumu ya arafa ni siku ya Arafa ambayo sote dunian tunaipata siku hiyo japo tonatofautiana kuna wanaotangulia na watakao chelewa. Lau km kuna nchi imetofautiana na saudi kwa masaa24 basi hawa ndo wataikosa siku ya arafa na hakuna nchi iliotofautiana kwa masaa24. ALLAH ana hekima zake. والله أعلم.
rejea sheikh wangu surat fusswilat aya ya 47. usilinganishe jambo ambalo mjuzi ni allah tu na mambo ambayo mwana wa Adam amepewa ilmu nayo. wabillah taufiq
Assalaam alaykum warahmatullah Sheikh nilivokuelewa, arafah ni siku ambayo mahujjaj watakuwa kwenye viwanja vya arafah na sio siku ya 9 ya Dhul-hijjah. Swali, ikija kutokea mwaka ibadah ya hijjah haitokuepo, je siku ya arafah/funga ya arafah itakuwa lini?
@@yasinkitiku1382 unamaanishaje kusema kiama kitakua kimesimama? Kulikuwa na Corana na watu hawakwenda hijjah, Arafa ilikuaje? Bila shaka ilikuwa ni kwakuhesabu tarehe, enzi za hakuna TV na hizi simu za kupeana taarifa na mashekhe kutupia mawaidha humu, Arafa ilikuaje na tulikuwa hatuna taarifa kuwa watu wamesimama arafa? Bila shaka ni tarehe ndio iliyokuwa anafuata. Kabla ya kuanza ibada ya hijjah, tunakubaliana mtume wetu Muhammad saw alikuwa anafunga arafa na alikuwa anafunga tarehe 9 dhul hijjah, sasa iweje mitandao na hizi elimu zetu mpya zibadili dini kiasi hiki? Pia itilafu zipo kuanzia enzi za mtume, iweje leo mashekhe wetu hasa hawa vijana wanakosa adamu na kuwakashishe mashekhe wenye mtazamo tofauti na wao? Tunatakiwa tuheshimu itilafu zilizopo. Allah atufanyie wepesi aameen
Ndugu yangwewe bado sana kasome tena utulie uelimike usiwe na pupa za kutaka kujifakharisha unable elimu... KIGOMA na DAR tu zinatafautiana mataali'i itakua SAUDIA.....فاسألو اهل الذكر انشئ كنتم لا تعلمون
Na Tv Nyengine Wawape Wavuvi Wanao Kaa Muda Mrefu Baharini Na Vidau Vyao Ili Nawao Waangalie Live Muongozo Wa Ibada Zote Duniani Zinategemea Juwa Na Mwezi Muandamo
Watanzania wengi wenu wataangamia kutokana na ubishi aisee Eti Dunia aina siku moja haya Dunia inasiku ngapi Dunia ikiwa alhamis ni alhamis duniani kote ispokua masaa ndo Allah akayatofautisha
Assalam alykum! Australia na Saudi Arabia wamepishana baina ya masaa 5 mpaka 7 inategemea unaishi wapi. Kwa hiyo still wanaipata siku ya Arafa bila shaka wala Tabu yeyote!! Baraak ALLAH feekum
Watajuaje?? Kwa kusikiliza vyombo vya kisasa ??. Jee kama hivo wakati wa masalafiya ilikua jeee .. Ikiwa wewe ni salafiyaa.. Salafiya wa karne 3 nyuma .wakifaata mwezi . Waislam wafata jua kwa namna ya kusali na mwezi kwa tarehe . Ndio maana LONDON TUNAFUNGA MPAKA MASAA 18 kwanini masalafii wasituonee huruma wakasema tufuate makka .
Azhar Dady kwani hujasoma hata kidogo ?? Hadithi ya mtume inasema funga ya siku ya Arafa inafuta dhambi za mwaka uliopita na mwaka ujao. Sio funga ya siku ya 9 kasema funga ya siku ya Arafa sasa wewe hadithi hii uijui uyo Muhammad idi ndio anaulizwa kupitia hadithi ya mtume je ametaja tar 9 au siku ya Arafa kiufupi hadithi ntakutajia mimi apa sio uyo unaemsikiliza ila waislam mnatia fedheha inamaana wewe hata hadithi moja kichwani mwako hauna ?? Muulize Abuu idi hadithi ya mwezi 9 kaitoa wapi njoo unikate kidole kama kuna hadithi inayosema watu wafunge mwezi 9 bali mtume kasema wafunge siku ya Arafa haijalishi mwezi ngapi ukisema mwezi 9 tunataka dalili ya hilo.
@@alimaalimahmad837 sasa mwezi 9 ndio jumatatu ya tukio hilo la arafa na matlai ya saudi na tz yote sawa kinachotakiwa watu wac je kukosa fadhila za siku hiyo tatizo ila kama hawafahamu watu sawa bali insanu ala nafsihi baswira
Asie kua na kiongozi huongozwa na shetwani . Hawa kiongozi hawamtaki kadhi wa waislaam . Kwa hiyo wanaongizwa na shetwani ndio maana wote wamekua MAKADHI.
Sheikh bachu LEO UMETOA MPYA BIDA YA WAZI YANI SISI TULIOKO AUSTRALIA we are not going to benefit fm arafa fasting duh! Uislamu sio wa Australia? Sasa hikma gani Ana tuambia juu kupatikana thawabu nyingi maca na Medina ndio hoja hio yakukosekana fungo ya arafa kwa mabilions of muslim all in different time zones this is fake preaching rudi uka some utapoteza majahil wengi
Hawa watu hawana akili waona arafa ni yao tu Africa. Mfano Fiji pia hawatopata Arafa .coz watu wakiwa Arafa at Dhuhr time. Fiji kwao ni saa tatu za usiku. 9pm at night.
Assalaamu alaikum Shekhe wangu hapo kidogo sijafahamu kuhusu kuifuata suudia katika kisimamo cha arafa. Inakuwaje zile funga zetu tulizofunga miaka 20 nyuma na tulikua hatuna mawasiliano nao? Na vipi waliokuwepo kabla yetu funga zao zikoje? Nieke sawa kidogo hapo. Shukran
@@adamhashim3352 haongelei adhana anaongea funga ya arafa kwasababu watu wanafunga arafa ikiwa ishapita kwani hakuna uwanja tanzania wakusmama arafa uwanja wa nimmojatu dunia mzma
Nyinyi fuateni maendeleo tu baada ya kushikamana na Qur-an na sunna mwisho mtajikuta alieachwa baada ya kukaa miezi 3 na siku 10 mnapelekana clinic kuangalia ujauzito ili aolewe.
Je km kule thiland ikiwa ni mwezi 9 lakini siku hiyo ikiwa sauidia ni mwezi 8 sasa hawa wa thiland wafunge mwezi 10 au wafunge mwezi ngapi ilhali wametofautiana na suudia kwa muandamo?
Jazz Allah jazzakallahu khairi shekhe Muhammad Bachu na sheikh Kishiki Kwa Elimu nzuri ni matumaini yangu kua shekhe Muhammad Iddi ataelewa KWANINI sisi tunawafuata mahujaji Kwa kutekeleleza ibada ya funga ya Arafa.
ربنا يبارك فيك يا استاذنا محمدا ونفع بك الإسلام والمسلمين
Shukran jazakallahu khairan
Kweli kabisa Allah akuzidishie ilmu
Shekhe mohamed idd maelezo yako yanamashiko sana asiyeelewa sijui kwanini? Mbona kila kitu kiko wazi mungu akuzidishie shekhe wangu mohamedi
Alhamdulilah sheikh mi nakuelewa vizur Sana kwasababu bainisha atakae atashika njia na atakae apotoke
Shekh Mohamed Bachu Wallah umefanya hiyana kielimu katika majibu ya kiilimu katika suala Hilo ama ilimu Yako haitoshi katika hoja.
بارك الله فيك وأطال الله بقائق
Jazakallah kheyra shukran nakuelewa vizur mimi naona uko ✅✅✅
Assalaam alaykoum warahmatullahi wabarakatuh. Shukran sana sheikh wetu kwa ufafanuzi mzuri.Allah Subhanahu Wataala azidi kukupa elimu yenye manufaa.na kukuhifadhi na mabalaa .Allahummaamiin
Nchi zilizo kwao usiku zitawezaje kutumia hesabu ya *matlai* wakati mwezi kwao hauonekani sehemu kubwa ya mwaka. Hivyo inabidi wafuate Saudia au kwengine. Hivyo kufuata matlai hapo imefeli. Sasa wajibu wao hilo suala nchi hizo zifanye nini.
@@mbarakaljabri3450 kama wewe upo katika nchi ambayo inaenda sawa na saudi Arabia usiwazungumzie wengine
Mimi nimekuelewa sana Bachu Ahsante sana kwa elimu Allah akupe nguvu Amin
Yaani masheikh mmekosa mambo ya msingi ya kujadili, kazi kulumbana tu Kila siku na kuwagawa waislamu, mijadala yenu Haina afya kwa umma wa kiislam zaidi ya kutambiana kielimu. Hapo naona ni ushindani tu wa Nani anajua zaidi. Upuuzi mtupu
ماشاء الله شيخ، أحب لكل مجادلة لها دليل في الكتب المعتبر! مش الكتب لأي كلام، هذا قيل وهذا قال.. شكرًا جزاك الله خيرًا
Weeee dini sio ushabiki Wala sio umutu Wangu,, dini ni dalili tupu kama ilivyotolewa hapo Wala sio akili. Makinika mzeee!!!
Sheikh Muhammad bachu Mimi nakukubali sana lakini swali alilouliza Abuu Idi limekushinda umeamua kulijibu utakavo wewe arafa safi Haina shaka nikufuata muandamo wamwezi Yani waislamu wachina hawatopata arafa mpaka kiama duh hio haijakaa sawa
Jazakalahu khairan, Allah akupe umri mrefu, Muhammad Bacho, Ameen ya Rabb
Shukran shekh kwa elimu yenye ushahidi wakutosha.
Kwahio waislam wa Zaman wote walikuwa wanakosea? Msitushughulishe
Allah atuongoze inshaa Allah@@aliyidrisa1536
Shukran sheikh Bachu umefafanuwa vzuri sana
Siku.moja.tumepishana.masatu
Maka.jumamosi.watuwote.dunianiani.wana.amkia.jumamosi
@@yusuphngolwe5674kwa Saudia hatujapishana masaa usitudanganye
tumetembea na mpakasasa tupo nnje ya Tanzania
Unajichanganya sana Bachu.
Masheikh acheni kupotosha Umma wa kiislamu! Muogopeni Mwenyezi Mungu la sivyo mtaja kuwa masuuli mbele ya Allah kwani sunna ya funga ilianza kabla ya HIJJA. Hoja zenu hazina mashiko!
Maa Shaa Allah
Mashaallah Shekh barakallahu fyka, Majibu mazuri sana ulotoa kwa wapotoshaji
ALLAH akulipe kher duniani na akhera kwa kutuonesha njia Muhammad bacho sasa nikuzingatia tu tusipotoshwe tena
arafa inaanza sa7 mchana haiyanzi asubuhi ikiwa mtFwata fuwatene sa7
Vote nimekubaliana na wewe siku ya funga kuchinja nk lkn jambo mmoja tu kuzama kwa jua na kuchomoza Saudia ni tofauti nimekaa mm saudia mwaka mzima lkn jua kule linachomoza mapema sana km sa11:40 jua tayari kipindi Fulani na linazama karibu sa 1 yaan huku kiza yaan huku kiza sa1 usiku kule masaa sawa sawa lkn saa moja ndo jua linazama
امين يارب العالمين
Wew hapo ulipo kushapotoshwa
Mashaallah,sheikh bachu, na sheikh kishki allah awazidishie, nuuru nami niko pamoja nanyi
Shekh Wang umenukuu maneno menge ya wana zuoni lakn huja yafaham walimu watakihamisha Isha allah vuta subra tu
Waallah wew bado kijana mdogo sana huna hadhi ya kiilimu kusimam kuradd
Kasome kijana
Nenda kasome ww kwanza
@@allykhamisally9131 hapo hamn kitu ni ujanja 2 hakun elimu huyo ustadh pamoj na wew
@@يحيىاحمد-ت9ض lete dalili sasa na ww, mwenzako kafungua vitabu ww unaleta taarabu tu
@@mohamedhaji2200 hahaahaaaa !!!! Kufunua vitabu sio hoja hata mjing pia aweza akafunua vitabu lkn jamb la msingi ni fahamu anayo au abwabwanya 2
Ngug ; kasomen bado xana
@@يحيىاحمد-ت9ض kama wewe unyo elim hem sema wewe tuone iyo elim yako juu y hili swala la Aarafa
Masha'Allah sheikh ameeleza vzur sana lakn mie swali lang ni Je waumin waliokuwepo zaman zama hzo hakuna Technolojia kama tuliyonayo sisi huku waliitambuaje hyo siku ya Arafa ikiwa hawakufuata siku ya 9/10 kama alivojaribu kueleza sheikh ABU IDD?
Allaahu awasamehe masheikh mnapoteleza ktk mafuhumu na hii ni ajili ya misimamo ya kulinda matamanio yetu
Mashaallah vizuri sana Shaikh Muhamad Bachu .......بارك الله فيك
Ma Sha Allah, swadaqta shukran ustadh. Mola atuoneshe haki tuifuate.
Nmependa Zaid comment za waumin wameuliza maswali ya msingi Sana Allah atuongoze katka njia iliyo sahihi ameen!
Dini kila mtu afuate anavyoona sawa. Mimi kwa mtizamo wangu wala sitaki kitabu cha yoyote (hakuna kitabu cha Mtume Muhammad SAW) Ibada haina kitu kinachooitwa kuunga mkono dini sio siasa, Ibada ambayo hukushiriki huhusiki nayo. Pia mchana wa Makka wapo watu ni usiku watafungaje au hawahusiki na Ibada hii.
Ile nchi ambayo ni usiku kwao wakiamka wafanya kama wenzao waliowatangulia jibu jepesi tu, na Tanzania na saidia hatupishani hata dakika Moja, ila namuona mpumbavu anaetulinganisha na marekani badala ya kutulinganisha na saudi Arabia ndiyo tunaenda sawa sawa
Saudi arabia na tanzania wamepishana lisaa limoja tuu
Kuwa muelewa
ss Tanzania na Tz na Saudia
Tonawanda Sawa kimasaa
@@saudahassan6667Saudia na Tanzania hatujapisha hata nusu saa
Nchi iliyopishana na Tanzania kwa Lisaa limoja ni Omani
@@allyhuyu1892acha kuita wenzio wapumbavu wewe unaukamilifu gn nadi utukane wenzio ebu kuwa na tafsida
بارك الله فيكم ❤️
Sheikh Mohamed eid muongo uyu...eti anasema dunia aina siku moja....alafu ukimsikiliza oja zake yan ata kama umeishia alifu kama uliizingatia vzr wati waisoma lazima umcheke sana uyu sheikh yaan ajielewi
بارك الله فيك ويثت قلبك علي الحق
Jazzak Allâhu Khayran akhii na Allāh Akuhifadhi.
Asalaam aleykum ...mashekh kaeni pamoja uwisilam iwe kauli moja tuo doe.tofauti zetu itapendeza Sana heee viongozi wetu wa dini ondosheni tofauti hiii kwa hekima kubwa na m/mungu atakulipeni inshallah
Sa hihi kabisa shekhe uko sawa
Allah akuhifadhi shekh wetu muhammed bachu ameen
Mashallah
SWAUM YA ARAFA YA FUATA MUNADAMO WA MWEZI HAIFUATI WATU KUSIMAMA ARAFA.
سئل الشيخ محمد صالح العثيمين رحمه الله : إذا اختلف يوم عرفة نتيجة لإختلاف المطالع المخت لفة فى مطالع الهلال فهل نصوم تبع رؤية البلد التى نحن فيها ام نصوم تبع رؤية الحرمين ؟؟
فأجاب : هذا يبنى على اختلاف اهل العلم ، والصواب انه يختلف باختلاف المطالع ، فمثلا اذا كان الهلال قد روي بمكة ، وكان هذا اليوم هو التاسع ، وروي في بلد آخر قبل مكة بيوم وكان يوم عرفة عند هم اليوم العاشر فإنه لايجوز لهم ان يصوموا هذا اليوم للأنه يوم عيد وكذالك لو قدر أنه تأخرت الرؤية عن مكة وكان اليوم التاسع في مكة هو الثامن عندهم ، فإنهم يصومون يوم التاسع عندهم الموافق ليوم العاشر فى مكة ، هذا هو القول الراجح لان النبي صلى الله عليه وسلم يقول إذا رأيتموه فصوموا
انظر ( مجموع الفتاوى ج 20
ALI ULIZWA SHEIKH UTHAYMIN RAHIMAHULLAHU : inapo tafautiana miandamo wa mwezi je tutafuata miandamo wa kwetu ama tutafuata muandamo wa Maka na madani
???????????
Akajibu Shekh UTHAYMIN Akasema:. Suala hili latafautiana kwa wenye ilimu , na usawa nikua miandamo ya tafautiana, mfano mwezi ukawa umeonekana Maka , na ikawa kwa wengine wameona kabla ya Maka , na ikawa siku ya ARAFA Maka kwao ni siku ya kumi, Haifai kwa watu hao kufunga ARAFA siku hio kwa sababu kwao itakua nisiku Ya idi ,. Na vile vile Lau itakua kinyume chake, Maka ikawa ni siku ya kumi na kwa wengine ikawa nisiku Ya Nane Basi watu hao watafunga ARAFA Kwa tareh tisia ya kwao ,. Nahi ndio kauli yenye nguvu , kwa sababu MTUME صلى الله عليه وسلم. Asema MUTAKAPO UWONA FUNGENI .
Angalia kitabu
(MAJMUUL FATAWA) JUZU 20
Masha Allh ,Allah Azidi Kukujaza Kheri Na Swiha Njema ,nafatilia Sana hizii Videos ,Mwanzoo Hizi Clips Za Kumrekebisha Abuu IDD,Hii Kazi Wallah Sio Rahisii Kusikiliza Na Kujua Tofautii,Allah Akulipe Sanah Sheikh Bachu
Sasa km nimwezi hapa Tanzania iyocku yamwezi wetu ita simamiwa viwanjagani au vya mnazi moja hakuna arafambili km cc watanzania tunaipata nineemaa
الحمد الله wafahamishe watafahamu inshaallah
Nikikutizama WEWE MBWA Bachu,nasikia kichefuchefu.
Acha kumchukia mwanachuoni ni makosa makubwa hayo
Nyny mashekhe mnatuzonga, hv kaeni pamoja mkubaliane halafu ndo mtufikie sisi waumini. Huu ndo uislamu
Icho hakiwezekani, khitilafu haziwezi kuepukika
Dah mashaallahu sheik Muhammad uko vizuri sana yani awa mashehe jazba achana nao vichwa maji awo
Saudia usiku,marekani mchana,
Pamoja na vichwa vyao maji but bado swali lao halijajibiwa.
@@ahmadbadawi9664 wewe ni miongoni mwa vichwa ngumu lakin sikushangai mana ata shule kuna wa kwanza wapili mpaka unakutia wa mwisho yani
@@muhsinabdullah9066 kama chako
@@muhsinabdullah9066 kama chako
@@ahmadbadawi9664 Hahaha sasa si umeona kama na wewe mwehu mana wewe inaonesha ata shule ulikua mtu wa mwisho kabisa
MASH ALLAH
Asante Sana sh ila bd nipo njia panda hebu naomba unijuze, makka wamesimama wengine jua linazama ili wande Sawa c wafunge, Sasa Kuna funga ya usiku
Shukran shekhe, baaraqa ALLAAHU FIYK
Wakati wa ma salaf, muislamu alioko masri na kwengine ulimwenguni walijuaje siku fulani ma hujjaji wasimama Arafat? Ilikua hakuna TV, radio na Simu. Barua yachukua miezi kufika sehemu mbali mbali. Si watafuata mwandamo ya mwezi ya kwao?
mm swali langu linakuja,zamani watu walikuwa wanajuaje kama makkah watu wamesimama arafah,maana tv hazikuwepo,simu hazikuwepo,radio hazikuwepo
Shekh teknolojia hiyo wee upo wapi.
Kwa hiyo tuseme zamani watu walikuwa wanapanda jahazi farasi punda ngamia wengine kwa miguu kwenda kuitafuta elimu... sasa hivi Allah kafanya uwepesi wa usafiri na mawasiliano hamna haja kufanya mambo mazito na hali ya kuwa kuna uwepesi...
Mbona sasa hivi mambo yako wazi waliLlaahilhamdi lakini bado tuwazito.
Siku mahujaji wanachinja watu wao wanafunga arafa. Hali ya kuwa tunaambiwa tuwahi kuswali idi ili tuendane na mahujaji katika kuchinja.
Lakini wapi...
نسأل الله السلامة والعافية.
Sifa zote njema anastahiki MWENYEZI MUNGU yeye ambae ameleta teknolojia kwa wanaadam ikiwa faida kubwa ya teknolojia n kutuunganisha watu dunia nzima...
@@sikikaTv sikiza sawa sawa jibu ametoa .Ama nikusaidie sheikh asema ukikosa habari nikuwa siriziki yako hizo tawab za arafa
Shekhe nimekuelewa vzr Hawa wengine Wana ishi kwa mazowea ya nidi ckutafuta ukweli
Inshaallah Allah awape uelewa wasioelewa
بارك الله فيك وجزاك الله خير ياختي الكريم
Siku ya arafa ni tarehe tisa baada ya mwezi kuandama kulingana na maeneo uliyokuwa na tarehe kumi ni idd. Hoja zako hazina mashiko wapenda kuwakejeli mashekhe wengine ukijiamini wewe ni mkweli saanaaa . Mashekhe wa makkah wenyewe wasema wasema mufwate mwezi wenu. Toa dalili mungu amesema watua waangalie watu wa makah wakisimama kisimamo cha arafa. Wakati hakuna tecnology kila mtu afatwa mwezi wake akiwemo babako na maisha ualikuwa mazuri kuliko sasa kwenye mashekhe wengi ambayo mwaonge mambo na kuyajenga hoja sababu mumelipenda jambo lakini sio kufwata haki na mungu anayotaka kwenye Qur'an. Hizo vitabu vyote na Qur'an ipi iko juu?? Nyinyi mwaleta fitn
a mashekhe wa vizazi vipya na technlogy mungu awaongoze.
Mti wenye matunda unapigwa mawe mbn Muhammad bachu hajamdharau mtu yy kabainisha kama alivyo bainisha Abu Idd we tumia akili yako kuchagua pakufata
@@abuuikramkalokaza1496 kwa hivyo wewe umeaona matunda hapo...... huyo bachu alivowapiga wenzake aliona matunda yapi?? Fanya bidii ufike hajj ama ummrah ukaulize mashekhe akiweme abdulaziz bin baaz na wengineo
Hujulikan unaongea nini shekh ,we fata unapoona uko ni sahihi acha kuleta shubha
Mashallah barakallah sheikh
Kwa mimi elimu yangu ndogo lakini nnaupeo wa kufikiri nachojiuliza yakwamba kama nihivii kua sunna y arafa(funga) lwe siku moja kw kuangalia mwezi tisa y Makka basi tukubaliane yakwamba kunanchii hazitaipata sunahiyo au kuwahii au kucherewaa Kwan hiii dunia n yamungu na kwa uwezo wakee Mungu alitaka tuishi ndani y ulimwengu huu kwa tofautitofauti Yani maanisha kunawatu kwao mchana mwezi saba kuna wengine hawajaamkaa kuitumikia mwezi saba n wengine wapojioni n wengine siku washaimalizaa kwa maana hiyo niwazii kunawatu ili waipate Suna ya funga wahamee mijiyaoo waende saidia maana maishaaa hawataipataa sunna hiyooo
Kuna watu wanauliza
Je kati ya kufynga siku tisa za dhul-hijjah na kufaradhishwa hija kipi kimeaza?
2. Ikiwa ni funga ya siku tisa ikiwemo afara ilikuwa inafungwaje?
S
Mashekhe hawa wabakwata nawaogopa sana maana wamekizana na serikali hebu tumua akili ya kawaida pia idd hii tunafata mahojaji vip ufunge tofauti na arafa yenyew, waislam tuamkeni,namkubl shekhe Mohd Bachu
Jazzakallahu khayran
Mashaalah!!!
Sheikh nakukubali lkn sidhani kama ni jambo jema kutowa muhadhara kwa kutumia clip za mashekhe wengine. Hii haioneahi sura nzuri kwa wasiokuwa waislamu
الله سبحانه وتعال.....
Amesema hakita simama kiama isipokua siku ya ijumaa, Je kutokana ma kutofautiana masaa, watu wa Australia, makaa na marekan watatofautiana ktk kisimamo cha kiama? Ukipata majibu utaelewa usahihi wa shekh kuhusu siku ya Arafa na funga yake.
MashaAllah shekh umetufafanulia.
Hoja ya kua miji/nchi zinatofautiana haina mashiko.
Swaumu ya arafa ni siku ya Arafa ambayo sote dunian tunaipata siku hiyo japo tonatofautiana kuna wanaotangulia na watakao chelewa.
Lau km kuna nchi imetofautiana na saudi kwa masaa24 basi hawa ndo wataikosa siku ya arafa na hakuna nchi iliotofautiana kwa masaa24.
ALLAH ana hekima zake.
والله أعلم.
rejea sheikh wangu surat fusswilat aya ya 47.
usilinganishe jambo ambalo mjuzi ni allah tu na mambo ambayo mwana wa Adam amepewa ilmu nayo.
wabillah taufiq
Masha Allah.....Allah akuzidishie hikma, yani umegonga ndipo kabisa. Watu kuelewa ndo hawaelewi. Muhammad IDD hajaelewa
Muhammed Bachu anapenda kukosoa tu mashekhe wenzake lini tutamuona akisifia mashekhe wenzake au yeye ilmu yake imebobea katika kukosoa tu
@@abubakarbakari9372 hatuna la kukuambia zingatia vizuri somo hilo hata kwa kurudia rudua inshaa'allah unaweza ukafahsmu tuuuuuu,
American watachinja maghribi??
Shukran Jazakallahu khyran..🙏
سبحان الله وبحمده ،سبحان الله العظيم ❤️
Assalaam alaykum warahmatullah
Sheikh nilivokuelewa, arafah ni siku ambayo mahujjaj watakuwa kwenye viwanja vya arafah na sio siku ya 9 ya Dhul-hijjah.
Swali, ikija kutokea mwaka ibadah ya hijjah haitokuepo, je siku ya arafah/funga ya arafah itakuwa lini?
Kiyama kitakuwa kimesimama
@@yasinkitiku1382 unamaanishaje kusema kiama kitakua kimesimama? Kulikuwa na Corana na watu hawakwenda hijjah, Arafa ilikuaje? Bila shaka ilikuwa ni kwakuhesabu tarehe, enzi za hakuna TV na hizi simu za kupeana taarifa na mashekhe kutupia mawaidha humu, Arafa ilikuaje na tulikuwa hatuna taarifa kuwa watu wamesimama arafa? Bila shaka ni tarehe ndio iliyokuwa anafuata. Kabla ya kuanza ibada ya hijjah, tunakubaliana mtume wetu Muhammad saw alikuwa anafunga arafa na alikuwa anafunga tarehe 9 dhul hijjah, sasa iweje mitandao na hizi elimu zetu mpya zibadili dini kiasi hiki?
Pia itilafu zipo kuanzia enzi za mtume, iweje leo mashekhe wetu hasa hawa vijana wanakosa adamu na kuwakashishe mashekhe wenye mtazamo tofauti na wao? Tunatakiwa tuheshimu itilafu zilizopo. Allah atufanyie wepesi aameen
Baba aliziba mashimo kwa kifusi mtoto ana weka lami ili tufike vizuri maashaallah sheik
Aaah sheikh sio swala lafunga kipato unalinganishanafungakweri
Allah akuongeze elimu na umri maana unawafungua vipofu macho.uko sawa Bachu jr.
Shukran Jazeelan Sheikh Kwa Ufafanuzi. Allah Akulipe Kheir
Bachu Bora ungenyamaza tu akhy maana nimetambua yaliyomo ndani yako
Duuuuuuh
Bachu muongo bhana
Ndugu yangwewe bado sana kasome tena utulie uelimike usiwe na pupa za kutaka kujifakharisha unable elimu... KIGOMA na DAR tu zinatafautiana mataali'i itakua SAUDIA.....فاسألو اهل الذكر انشئ كنتم لا تعلمون
Sawa umesemahvyo sasa je wazee wetu kabla ya utandawazi waliambiwa au walijuaje kuwa leo nisiku ya kismamo makka?
Tupo pamoja inshallah pande zaoman
TUNAOMBA HADITHI ISEMAYO, KUFUNGA ARAFA NI KUANGALIA MAHUJAJI ?!
PIA TUSAMBAZIENI TV VIJIJINI ILI TUWAANGALIE MAHUJAJI TUWEZE KUENDANA NAO !
Na Tv Nyengine Wawape Wavuvi Wanao Kaa Muda Mrefu Baharini Na Vidau Vyao Ili Nawao Waangalie Live
Muongozo Wa Ibada Zote Duniani Zinategemea Juwa Na Mwezi Muandamo
A.alkm unajuaa maana ya arafa
Watanzania wengi wenu wataangamia kutokana na ubishi aisee Eti Dunia aina siku moja haya Dunia inasiku ngapi Dunia ikiwa alhamis ni alhamis duniani kote ispokua masaa ndo Allah akayatofautisha
Allah atuongoze kuifuata kheri
Aamin
Ma shaa Allah shekh bachu
Yaan hii hutumii nguvu nyingi kuilewa today is my special day to meet with my Allah through Arafa day,
mashaalla sheikh
Ma shaa Allah, Allah akuhifadhi akhii
Jazakaallah khairani
Je kama umeandama kabla ya Makkah?
asalam.alykum.naomba.nichati.shedhe.kishiki
Bado hujajibu swali kwa wale ambao mchana wa Saudia kwao ni usiku hoja ya kusema kwamba wao M/Mungu hajawajaalia si Hoja
Kipindi cha Mtume alifungaje Arafa?
Acha wivu wewe kijana wa bhachu.Muhammad Id amefunza vizuri sana wewe hunalolote kuvuruga dini tu
ndo umesema nini
Kijoho mmoja weee
Assalam alykum! Australia na Saudi Arabia wamepishana baina ya masaa 5 mpaka 7 inategemea unaishi wapi. Kwa hiyo still wanaipata siku ya Arafa bila shaka wala Tabu yeyote!! Baraak ALLAH feekum
Watajuaje?? Kwa kusikiliza vyombo vya kisasa ??.
Jee kama hivo wakati wa masalafiya ilikua jeee ..
Ikiwa wewe ni salafiyaa..
Salafiya wa karne 3 nyuma .wakifaata mwezi .
Waislam wafata jua kwa namna ya kusali na mwezi kwa tarehe .
Ndio maana LONDON TUNAFUNGA MPAKA MASAA 18 kwanini masalafii wasituonee huruma wakasema tufuate makka .
Na winter jee masaa mangapi??
Wanaipataje hali mahujaji wana anza SAA saba kwao saanne usiku hebu fafanua ueleweke
Umeongea Mengi sana ila sijakusikia Ukituambia Mtume (saw) yeye anasemaje, zaidi umenukuu maneno ya shekh Uthaymiin
Tatizo lake ni mtu mwenye kuongea wenzake sana
Azhar Dady kwani hujasoma hata kidogo ?? Hadithi ya mtume inasema funga ya siku ya Arafa inafuta dhambi za mwaka uliopita na mwaka ujao. Sio funga ya siku ya 9 kasema funga ya siku ya Arafa sasa wewe hadithi hii uijui uyo Muhammad idi ndio anaulizwa kupitia hadithi ya mtume je ametaja tar 9 au siku ya Arafa kiufupi hadithi ntakutajia mimi apa sio uyo unaemsikiliza ila waislam mnatia fedheha inamaana wewe hata hadithi moja kichwani mwako hauna ?? Muulize Abuu idi hadithi ya mwezi 9 kaitoa wapi njoo unikate kidole kama kuna hadithi inayosema watu wafunge mwezi 9 bali mtume kasema wafunge siku ya Arafa haijalishi mwezi ngapi ukisema mwezi 9 tunataka dalili ya hilo.
@@mahengomwenyewe4204
عن ام سلمة رضي الله عنها قالت : كان النبي صلى الله عليه وسلم يصوم يوم التاسع من ذي الحجة.
Vipi tuje tukukate kidoleeee
@@alimaalimahmad837 sasa mwezi 9 ndio jumatatu ya tukio hilo la arafa na matlai ya saudi na tz yote sawa kinachotakiwa watu wac je kukosa fadhila za siku hiyo tatizo ila kama hawafahamu watu sawa bali insanu ala nafsihi baswira
Lll
Mimi naomba mukutane pamoja
Na mkubaliane kwa ushahid ili sisi wafuasi tujue wapi tushike
Bachu yuko sahihi
Mkuu pakushika hujapajuw had sasa
Asie kua na kiongozi huongozwa na shetwani .
Hawa kiongozi hawamtaki kadhi wa waislaam .
Kwa hiyo wanaongizwa na shetwani ndio maana wote wamekua MAKADHI.
@@karimdaud3993
Kiongozi hutiiwa ktk kupatia
Akikosea hatiiwi
Waislam wengi tunashika misimamo ya bwana mtume nuhamad (s a w)sasakama we hujuwi ushike wpi utashika misimamo yashetani (aghazanalwah minshar zalka)
Hivi kabla ya mawasiliano kuwa rahisi watu wasiokuwa Makka walikuwa wanafahamuje siku yao ya Arafa
hii ndio hoja ya msingi ndugu yangu hivyo wanaomshabikia bachu nafikiri hawajaelewa mimi bwana mohammed idd yuko sahihi
Sheikh bachu LEO UMETOA MPYA BIDA YA WAZI YANI SISI TULIOKO AUSTRALIA we are not going to benefit fm arafa fasting duh! Uislamu sio wa Australia? Sasa hikma gani Ana tuambia juu kupatikana thawabu nyingi maca na Medina ndio hoja hio yakukosekana fungo ya arafa kwa mabilions of muslim all in different time zones this is fake preaching rudi uka some utapoteza majahil wengi
Yaan mm hua simuelewi huyu shekh bachu mungu atuongoze inshaallah
Mtihani. yeye sheikh bachu ametoa ushahid kwa kamnukuu U'lamaa Ibn Uthaymeen alivyozungumza na yeye alikuwep zama hizi za Technologies
Hawa watu hawana akili waona arafa ni yao tu Africa. Mfano Fiji pia hawatopata Arafa .coz watu wakiwa Arafa at Dhuhr time. Fiji kwao ni saa tatu za usiku. 9pm at night.
Dini ishakuwa uwanja wa ushindani sasa Allah atuongowe.
kwakweli nilikua cjaelewa kuhusu Arafa lkn sasa nimeelewa Bachu upo sahihi watu sasaivi wameanza kuelewa
aslm Kwa Leo TU ukosahihi lakini saigine wakoseya shekh wangu kuwamakini sana plz
Assalaamu alaikum
Shekhe wangu hapo kidogo sijafahamu kuhusu kuifuata suudia katika kisimamo cha arafa.
Inakuwaje zile funga zetu tulizofunga miaka 20 nyuma na tulikua hatuna mawasiliano nao?
Na vipi waliokuwepo kabla yetu funga zao zikoje?
Nieke sawa kidogo hapo.
Shukran
Watarukaruka tu hapo lakini hawatakupa jibu proper. Na hiyo ndio bidaa lakini hawaijui.
Ebu jaalia leo angekuwepo Mtume SAW akasikia mwezi umeandama kupitia TV , hivi unafikiri asingekubali?
Sheikh bachu ame kwepa kutuambia juu ya sisi tulioko Australia kuwa hatuna kufunga hii ni bida impya
@@adamhashim3352 haongelei adhana anaongea funga ya arafa kwasababu watu wanafunga arafa ikiwa ishapita kwani hakuna uwanja tanzania wakusmama arafa uwanja wa nimmojatu dunia mzma
@@adamhashim3352 ujinga huo, kama huwafati wao nenda kawe na qibla chako kama unaweza!
Huyo abbu iddi amechanganyikiwa Mohammed nasor bachu uko sahihi Allah akulipe kila lakheri
Allah atuongoze kuifuata haki shukraan Sana sheikh weti
Ili kuwafikiana na mahujaji Kuna miji mengine waswali swalatul Eid usiku vipi itaswihi shekh?
Nyinyi fuateni maendeleo tu baada ya kushikamana na Qur-an na sunna mwisho mtajikuta alieachwa baada ya kukaa miezi 3 na siku 10 mnapelekana clinic kuangalia ujauzito ili aolewe.
Safisana kwasababu wanachuki watapinga e wemungu nakuomba wape ufahamu muhamedi idi na j opolake aamin
Ameen
Je km kule thiland ikiwa ni mwezi 9 lakini siku hiyo ikiwa sauidia ni mwezi 8 sasa hawa wa thiland wafunge mwezi 10 au wafunge mwezi ngapi ilhali wametofautiana na suudia kwa muandamo?
Umefeli.kwaswaliuliloulizwa.kuhususikumbili.duniani