MANENO MABOVU YA ABU HASHIM DHIDI YA MITUME NA MAULAMAA WAKUBWA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 617

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 2 роки тому +8

    Maa Shaa Allah.
    Shkh Mohamed bachou Allah amekujaalia una uwezo mkubwa wa kuchambua.
    Allah akizidishie elimu wewe na jamii yako
    Wewe na masheikh wote wanaokuunga mkono.
    Allah akulinde
    Amin amin amin

    • @alisharif5541
      @alisharif5541 2 роки тому +1

      Akhy elimu yyote inamising uyo sheikh wako unaesema Mashallah hata kusoma jina la mtunzi hawez....
      Usimpake mafuta uwe muadilifu....
      Ameambiwa hawez kusoma ibara saiv naona ameacha kusoma kauli za wanachuon kawa ni mtu wa tarjama na kueka kina vandame...
      Elimu yake ni kujitia kwenye fitna asoziweza...
      Na iyo si elimu.

  • @adensir630
    @adensir630 2 роки тому +7

    Nataman siku.moja nikutane na sheikh Muhammed bachu in shaa Allah ni kama vile nilivyokuwa nikitaman nisome chini ya Baba yangu mzee SHEIKH NASORO BACHU Allah amrehemu Aamiin ya rabb

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому +1

      Huyu nassor bachu na Muhammad bachu Ni tofauti kabisa Kama mashariki na maharubi Kama utafuatilia

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 2 роки тому +2

      Siku ukiitambua haki na ukapambanukiwa na uozo wa mtoto ndipo utakapogundua usahihi wa baba yake Inshallah

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому +7

    ALIYEANGAMIA, hakuangamia kwa kingine ila ni kwa KUPENDA KUWA JUU.

    • @vitalcool9266
      @vitalcool9266 2 роки тому +2

      Hata hao majadida wanapenda kuwa juu,huyu kaja kuukomboa UISILAMU wa kweli kupitia hao wapingaji na watumwa wa America..

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому +1

      @@vitalcool9266 Alaa! Watumwa wa amerika tena!! الله المستعان

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому

      @@vitalcool9266 Alaa! Watumwa wa amerika tena!! الله المستعان

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 2 роки тому +1

    Allah akuzindishie kuwazindua waliolala walakini sio hati wajui basi tu lazima kuwe wapinga mtume wetu Muhammad SAW kama vile wapo wapinga kristo so Cha muhimu Allah atuigoze njia ilionyooka

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 2 роки тому +1

    Tumia maneno mazuri juu ya hao masheikh c saizi yako ww mdogo sana kwa wao.

  • @massoudhassan6870
    @massoudhassan6870 2 роки тому +2

    Shekh bachu Leo umeongea point zaidi na hongera sana. Allah akulipe yaliyo mazuri.

  • @islamiceducation_services
    @islamiceducation_services 2 роки тому +2

    Mashaallah sheikh Allah akupe nguvu na akuepushe na kila shari coz ummah unapoteza na watu wachache ,sheikh endelea Kuelimisha umma Allah atakulipa Inshaallah

    • @Heiswatching.
      @Heiswatching. 2 роки тому

      unapotezwa na watu wachache.. umeona wapi..??
      Angalia, kweny qur-an watu wachache wanasifiwa vipi..?

  • @mwashabanirashidimitumba7788
    @mwashabanirashidimitumba7788 2 роки тому +1

    Allah akupe afya njema namaisha marefu 🤲 Allah akuongoze akupe kher fildunia WalAkhera 🤲

  • @bakarimabele9295
    @bakarimabele9295 2 роки тому +1

    Sheikh Muhammad Bachu we umeishia form four, sisi fitna hii ilisababisha watu wakaacha masomo tuko chuo kikuu. Allah atujalie ufahamu juu ya jambo hili na awalipe khair masheikh mnaolizungumza jambo hili

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 2 роки тому +1

      Ndio maana ikasemwa lengo sio elmu bali ni maslahi pima maneno yenu yanavyojigonga ikiwa mmeng'ang'ana kuwa mtume kafundisha biology je hiyo elimu inapatikana vyuoni au ipo kwa Masheikh....?

    • @bakarimabele9295
      @bakarimabele9295 2 роки тому

      @@rajabumbendenga5480 Ufahamu wa kwamba waislam hawapaswi kujifunza elimu ya kimazingira ni ufahamu potofu na haufai hata kujadiliwa akhy Rajabu

  • @amirzamir483
    @amirzamir483 2 роки тому +3

    swali hujalielewa ikisha unajidai kulijibu swali linasema hiv "ni Mtume gani aliekuja kufundisha secular "ulikua umtaje jina ikisha utoe dalili "kwa kutumia mifano mambo ndio huwekwa wazi"

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 роки тому

      Vp kwani haifai kusoma elimu ya kidunia

    • @amirzamir483
      @amirzamir483 2 роки тому +1

      @@hamadali3231 inafaa ikiwa umeipa kipao mbele elimu ya akhera na uharamu wake unakuja Hiv watu wanaipa kipao mbele elimu ya kidunia kwa mfano mtu ana degree au phd ya seculr lakini kwa masikitiko makubwa mtu huyo hajui kuosha maiti haijui sala yake hajahifadhi kwa uchache hadithi 100 hanahata juzuu 5 alohifadhi sasa apo ndio inaingia uharamu

    • @ekishaschool163
      @ekishaschool163 2 роки тому

      Yafaa lkn first priority ni kusoma dini ...

  • @abuuimraanazenjibar2490
    @abuuimraanazenjibar2490 2 роки тому +1

    Abuu hashim allah amuhifadh yupo sahihi kwamba mtume salallah alayh wasalam hakupelekwa kujakuwafundisha watu sekula

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 2 роки тому +2

    Barakh Allah fik sheikh kwa elmu safi

  • @abdallahsaid4641
    @abdallahsaid4641 2 роки тому +3

    Kwakwel hata mm ninaejifunza sasa nimekutoa ktk mashekh wa kisunna, yaan unatetea maslahi yako tu, Allah akuongoze

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 роки тому

      Sio maslahi yake bali ni maslahi ya dini yake.ingelikua anatetea maslahi yake asingetoa dalili kwenye vitabu angetoa kwa matamanio ya nafsi yake.

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 2 роки тому

      Wewe Abdallah Said nani katika Uislamu hata umtoe au umuingize katika Sunna? Masalafy UCHWARA JADIDA bwana

  • @eastzooadmin6416
    @eastzooadmin6416 2 роки тому +1

    35:30, na ni kweli Sheikh wangu, waislam tumedharaulika, Nipo Qatar huku na embassy zetu za Kenya na Tanzania zote mbili zina represntiwa na makafiri, wakati hii ni nchi ya kiislam, na ndo ilivyo pia Saudia na UAE. Kwa kweli ni jambo la kustaajabisha lakini pia ni jambo la kuhuzunisha sana.

  • @ppandenassoro6666
    @ppandenassoro6666 2 роки тому +2

    Umekurupuka mno ,wahyi utabakia ni wahyi na hizo nadharia za wanabiologia zinatofautiana na wahyi .Hukumuelewa Mtume swallallahu alaihi wasallam hukumuelewa Abuu Haashimu Allah akuongoze.

    • @ekishaschool163
      @ekishaschool163 2 роки тому

      Swadakta , ni kweli kabisa hakumuelewa Abuu Haashim

  • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش
    @الحَمْدُِلله-ص8م9ش 2 роки тому +4

    ungelijib raddi uliofanyiwa na shekh fahad hanein

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 2 роки тому +4

    @muhammadbachuu mche Allah
    kwa talbis zako za kutaka kuwaharibiya watu heshima zao na kujenga chuki kwa watu hatujaona watu wenye kuhimiza na kutufunza kumpenda na kumfuata mtume swala llah alaihi wa salam kam mashekhe zetu hawa leo umekuja na tafsir na talbis zak ety wamewadharau wakati wao ndio hapo walikuwa wanatetea sunna za mtume kwa watu ambao waliona kila siku kunafundishwa mamb hayo hayo

    • @abuutamliikhaothmaan7244
      @abuutamliikhaothmaan7244 2 роки тому

      Tulia wew dawa imeingia,, sikiliza vizuri Tena rudia ,,mada sio kufundishwa kumpenda Mtumi swallallaahu alayhi wasallama anajibu hoja aliyotoa Abuuhaashim kuhusu elimu ya secula

    • @binaamour318
      @binaamour318 2 роки тому

      Mukitajiwa kasor za mashekh wenu nasridin m na wenzako mnaona wanavunjiwa heshima ila wao Kila uchao wanawatoa kasor na kuwavunjia heshima hamuoni acheni ushabiki uo

  • @hassanjuma5912
    @hassanjuma5912 2 роки тому

    nimekuelewa sheikh mouhammad naa anae kutukana muachie allah ipo cku atajuta allah atakupa thawabu kupitia hawa wanao kutukana

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 2 роки тому +1

    we kijana mpumbavu sanaa yaani waislam wawaita mijitu .huna adabu hata kidogo abuu hashimu umri wa baba yako

    • @ekishaschool163
      @ekishaschool163 2 роки тому

      Allaah amuongoze yeye na sisi pia kwa kweli

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 роки тому +5

    يحرفون الكلم عن مواضعه
    Na ni dhambi kubwa mno kuyachukua maneno ya Allah na kuyapa tafsiri na maana ambayo siyo iliyokusudiwa na Allah wakati alipoteremsha aya husika

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 2 роки тому

    Nakuunga mkono kumkosoa Shkh yeyote, lakini hapa umetumia kauli mbovu dhidi ya Shkh Abu Hashim, huyu ni mzee anaekujukuu, ilikuwa umkosoe kwa kutumia kauli za kiheshima.

  • @intisartv6539
    @intisartv6539 2 роки тому

    Tafadhali jiunge na channel yangu Intisar online tv
    ua-cam.com/channels/IQmTwy8ZtNwLlWAMhXdwtg.html upate faida zaidi ya kielimu.

  • @chanchubasammy4562
    @chanchubasammy4562 2 роки тому +1

    Bachu we hujitambui

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому +3

    MBONA ABDALLAH HUMEID HAJATAJA MTU!!VIPI WEWE LAKUSUMBUWA NA KUKUCHOMA!!
    AU WEWE NI HIZBI?

    • @jumanneissa7118
      @jumanneissa7118 2 роки тому

      Sio Kwan wewe HIZBI ni hizb lakufa mtu Hilo Toto la bachu

    • @alawisaid280
      @alawisaid280 2 роки тому

      Vipi Tena kijana unafeli wapi

    • @alawisaid280
      @alawisaid280 2 роки тому

      Kumbe nawewe unachangiaga mada

  • @abuurayyaan4306
    @abuurayyaan4306 2 роки тому +3

    Kila unapo papata kutaka kuutia dosari usalafi ujinga wako ndio unadhihiri....
    Allah akupe unacho stahiki...

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 2 роки тому +1

      Allah amuongeze

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому +1

      Tena leo kawa mtoaji taarifa ya habari ..baadaae atatumia mesegi watu huyo

    • @mussafakiu5322
      @mussafakiu5322 2 роки тому

      Nyote wajinga tu nyinyi hamjui muyatendayo

    • @abuurayyaan4306
      @abuurayyaan4306 2 роки тому

      @@mussafakiu5322
      Sisi wajinga ila naona hatukuzidi wewe
      Mjinga na hujijui kama wewe mjinga

    • @mussafakiu5322
      @mussafakiu5322 2 роки тому

      @@abuurayyaan4306 nyinyi ndo hamjijui wajinga tuu

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 8 місяців тому

    Mnagombana sana bila faida katika Umma mambo ya hovyo kabisaaa mnapoteza umma 😢

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому +4

    Kakimbia hoja za kina sheikh Hanein na Muhammad mafuta, kaenda kutapatapa bahari nyingine, muokoeni huyu jamaa yenu jamani, maji yamemzidi huyu anazama

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 2 роки тому

      Acha kuongea Kama upo kwenye Habar za ushabik

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому

      @@zaburionlinetv6245 hakuna kauli ya ushabiki hapo, MWAMBIENI ASIRUKE HOJA KABLA HAJAZIJIBU, sasa yeye kaanzisha mada inajadiliwa haijaisha analeta mada ya pili hapohapo, MIMI SIJAMUELEWA shekh wangu hapo

    • @esheryankey2169
      @esheryankey2169 2 роки тому

      @@abuutamiimattanzaaniy8676 Ssa hyo fahad abdallah hanein kaongea nn? c utumbo m2tu afu yule c muuza hotel ple mbagala Ana ushekh gan hyo fahad kasoma wapi, Aend akauze hotel hko mijadal ya kidin Awaachie wengn,yan mmekosa m2 kwel wakuongea mnataptap fahad nae kawa msemaj subhanallah

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      Mm nilizani atajibu zile hujuma alopewa kule Moshi kumbe anababaisha

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 2 роки тому

      @@abuutamiimattanzaaniy8676 Kassim mafuta alijibu Ile hoja ya Muhammad Bachu juu ya radd yake juu yake ?
      Au ndo upofu Unaona kwake yeye anapojibu hoja ya flani na kuacha Ile uliyotegemea Wewe kujibu Ila wale wengine hauwaoni
      Ushabik mnaouingiza kwenye dini utawatafuna Sana

  • @abuuuyaynah7153
    @abuuuyaynah7153 2 роки тому +2

    Unatakiwa ujibu ni mtume gani kwa maana hii ww hujui hadith za mtume upo wap ww na Jambo la mitende alipowakataza kupandishia je mtume aliwaambia nini baada ya hapo nyinyi ni wajuzi zaidi wa dunia yenu

  • @zakariaomari3840
    @zakariaomari3840 2 роки тому +3

    Hii si da'awa ndugu ila ni ushabiki.It is so sad the so called sheikhs to be seen arguing in social media 😢😢😢

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 2 роки тому

      Wewe ZAKARIA nani katika Uislamu hata umtoe au umuingize katika Sunna? Masalafy UCHWARA JADIDA bwana

  • @aliabdallsh7148
    @aliabdallsh7148 2 роки тому +2

    Jamaa anakurupuka tu hayo uliyo yasema ss tunafundishwa na hao mashekh

  • @masudmohhamed3146
    @masudmohhamed3146 2 роки тому

    Wewe Muhammad bachu acha upuuzii acha uhizbiya

  • @hassantirmiidh5991
    @hassantirmiidh5991 2 роки тому +1

    Asalam alykum*
    Suratu anNahli 89 quran imelezea kila ktu hivyo mtume Muhammad S.a.w kafundisha.

  • @jamaliramadhan5167
    @jamaliramadhan5167 2 роки тому

    Allahu Akbaru Allaha atuzidishie elimu ishallah

  • @abuuaiman9575
    @abuuaiman9575 2 роки тому +5

    sema ukweli we kijana maana ya hadithi hii انتم اعلم بأمور دنياكم pale mtume صلي الله عليه و سلم aliposema hayo maneno akiwaambia maswahaba nyie ni wajuzi zaid katika mambo ya dunia yenu na wewe unasema hakuna aliyomzidi kwenye ilmu za kidunia acha kuchupa mipaka ili tu eti umkosoe shekhe abu hashim pigana na hiyo hadithi ya mwenyewe acha kukurupuka na kuwafanya waislamu hawajui haya hivi kwa akili ya kawaida tu ndege za kivita zinazotengenezwa mtume صلي الله عليه و سلم amewazidi kielimu hawa anazozitengeneza wewe maneno haya umeyatoa wap mbon unatoka mabovu na mtume صلي الله عليه و سلم alisema musinisifu kupitiliza tuambie wap umeona kwamba hakuna aliyomzidi kwenye mambo ya kidunia kiukweli kwenye mambo ya dini tena yale ya haki tu ila katika bidaa hapo kazidiwa kama kupiga dufu watu wana elimu ya dufu kumzidi sasa njoo na hoja acha talbis zako tunamuomba allah atuongoze umesikiliza semina umeona makosa yako hapo kumbe ndo unazid kudhihirisha kama wewe hakuna ilmu hapo kwako ni sawa na yale maneno ما فيك يظهر عل فيك ikimaanisha watu watamjua mtu baada ya kuongea hoja zako ni dhaifu kwa watu wanaofuatilia dini ila utawapata wasiofuatilia dini ambayo wamebakia ushabiki unaulizwa من بطانته nani wenzako unakimbiakimbia tu jibu ulichoulizwa

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 роки тому

      Mtume Muhammad alikwenda mbinguni kwa ndege yenye spid nyingi sana kuliko hizo ndege za kisasa

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 роки тому

      Mtume alikua dokta bingwa kuliko madokta wa sasa hiv

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 роки тому

      Kisha maswahaba

    • @abuuaiman9575
      @abuuaiman9575 2 роки тому

      elimu ya kutengeneza hiyo ndege sio kusafiri chambua hoja na elewa kilichoandikwa au uliza

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 роки тому

      Je haifai kusoma elimu ya kidunia

  • @kirambirabinhassan9068
    @kirambirabinhassan9068 2 роки тому

    Naam,Sheykh Muhammad Bachu, Allaah akuhifadh,
    Uposahihiii.

    • @muhamadyabubakary6750
      @muhamadyabubakary6750 Рік тому

      Nilikuwepo kwenye munaqash huo ni kwel shekh bacho upo sawa bila ubishi

  • @muyungimyungi6222
    @muyungimyungi6222 2 роки тому +2

    Maa shaa Allah.piga radd mtt wetu usiwape nafasi ongeza mashambulizi wataharibu umma.NA wameharibu familia n jamii kwa ujumla.

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 роки тому +2

    Tafuteni makaburi muingie basi mana dunia hii tulonayo yote kuanzia vivazi Magari cim Nyumba umeme n.k yote haya yamepatikana kutoka hiyo muloibandika jina sekula Kazi kutumikia mayahudi tu nalau mungefanikiwa nyinyi kwenye kampeni yenu hii sijui waislamu wangekua nahali Gani ktk ulimwengu huu

  • @abubakarmwdini9535
    @abubakarmwdini9535 2 роки тому +1

    MASHALLAH SHEHE ALLAH AKULINDE NA AKUZIDISHEE ELIM ZAIDI AHSANTE KWA KUTUPAA ELMU NA KUFAFANUWA KWA UMAKINI ZAIDI NA MIFANO YA WAZI KABISA

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 роки тому +1

    Ww kwl hujielew. Unaropoka kwa jazbaaa

  • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
    @Muhammad_Nassor_Bachu_.  2 роки тому +3

    TANBIHI:'.
    أَلَمۡ تَرَ أَنَّ ٱللَّهَ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَاۤءِ مَاۤءࣰ فَأَخۡرَجۡنَا بِهِۦ ثَمَرَ ٰ⁠تࣲ مُّخۡتَلِفًا أَلۡوَ ٰ⁠نُهَاۚ وَمِنَ ٱلۡجِبَالِ جُدَدُۢ بِیضࣱ وَحُمۡرࣱ مُّخۡتَلِفٌ أَلۡوَ ٰ⁠نُهَا وَغَرَابِیبُ سُودࣱ.
    Neno حمر linatamkwa kwa sukun na sio kwa dhwamma kama ambavyo inasikilikana kwenye maongezi.
    بارك الله فيكم.

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому +1

      Nilitamani kwanza ulete TANBIH ya kalima yako uliyozungumza juzi kuhusu kina Abuu Qatada, Umetaraja'a kwa Shekh Muhammad Mafuta pekee wakati UMEHARIBU KWA MUJTAMAA, TENGENEZA ULIPOHARIBU WATU WAKO WAJUE

    • @yasirabdalla1430
      @yasirabdalla1430 2 роки тому

      Dafuta darsa usome

    • @ibrasaid9256
      @ibrasaid9256 2 роки тому +2

      Umeanza kua MAKINI baada ya kua unatolewa makosa yako katika usomaji? Ushamsikia Shaykh Abul A'aliyah Umar bin Kondo akibainisha makosa yako? Mbona kule huzungumzi? Punguza kutafuta UKUBWA Kwani kutavunja mgongo wako

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 роки тому

      @@ibrasaid9256 unapozungumza mambo ya dini shetani hakuachi lazima ata kushughulisha ili utamke sivo.almuhim muumini sahihi ni yule mwenye kujua amekosea na akapatengeneza alipo kosea.

    • @AlHilaalyOnlineTV
      @AlHilaalyOnlineTV 2 роки тому

      Hahhaa daah kila ukiongea lazma ukurupukee tuliza kichwa kwanza kabla ya kuraddi kijana daah hapa ndo unadhihirika uchache wa elimu yako daah

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 2 роки тому +1

    wew ibaratu zinakushinda kusoma vip ukae kupiga raddi mashekhe wakubo usiyo wafikia hata kwaa robotu tega nenda kwanza kasome acha ujinga umekaa hapo ujadida ujadida pumbafu jahili mukubo sana huyo yani wew unamuita abuhashimu mpumbafu mlopokaji hivyo sana ndy maana una shindwa kusoma

  • @abuubakarmuhsin219
    @abuubakarmuhsin219 2 роки тому

    بارك الله لك، أطال الله بقاؤك فى خدمة الإسلام والمسلمين، هذا هوو

  • @kavumohemedi871
    @kavumohemedi871 2 роки тому +1

    Allah awaongoze masheikh zetu

  • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش
    @الحَمْدُِلله-ص8م9ش 2 роки тому +5

    sasa tunaitizama vipi kauli ya mtume ﷺ aliposema nyinyi mnajua zaidi mambo ya dunia yenu

    • @seifnassor3729
      @seifnassor3729 2 роки тому

      Kauli hiyo ina maanisha elimu za kimazingira (secular) si haramu, yeye kama hakujua amewaachia wanaojua wayafanye.

    • @abuutamliikhaothmaan7244
      @abuutamliikhaothmaan7244 2 роки тому

      Yaani kumbe tafsiri hamjui ee hyo Aya iko surat rrum,namba 7 Anza mwanzo Kisha angalia tafsiri za wanachuoni lakn Kama utatafsiri Aya Kama hummaid utapotea na utaangamia

    • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش
      @الحَمْدُِلله-ص8م9ش 2 роки тому +1

      ikiwa kma ni kauli iko hivyo basi shekh abu hashim hakukosea
      kwasabab hiyo kauli haipingi kuwa hajui lakin watu wengine wajua zaidi mambo ya dunia kuliko yeye au kma nimefahamu vibaya nieleweshe akhy

    • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش
      @الحَمْدُِلله-ص8م9ش 2 роки тому +1

      na shekh abu hashim hakusema secular ni haram wala hakukataza kusoma secular

    • @seifnassor3729
      @seifnassor3729 2 роки тому

      @@الحَمْدُِلله-ص8م9ش Abuu hashimu kasema uhizbi ambapo si kweli, hakuna kauli kwenye hiyo hadithi kuwa mambo ya kidunia ni uhizbi, elimu ya uchumi wa kiislam ni uhizbi? KWELI?

  • @ismailhamis4428
    @ismailhamis4428 2 роки тому +1

    Muhammad bachu acha ufala ww

    • @saidifadhel9706
      @saidifadhel9706 2 роки тому

      Na wewe pia mche Allah. Maneno gani hayo unayo dai eti unamlingania mwenzako???

  • @suleimanmohamed3175
    @suleimanmohamed3175 2 роки тому +1

    Assalaamu alykum
    Ushauri wangu masheikh kwanini mutumie u tube kufanya mijadala na kuwapa nguvu wasiokuwa sisi kuzidi kuukandamiza uislam kwa maneno yetu yanayojaa matakwa ya nafsi zetu? Si katika mambo ya waja wema waliopita tunaupeleka wapi uislam wetu?
    Shukran hata kama mtu kakosea mtafute binafsi ongea nae kama hakukubali wewe umeshajivua na hilo.

  • @cassim4027
    @cassim4027 2 роки тому +2

    Masheikh siku izi wamekua wa kiki kutafuta views loh 😂😂😂😂😂, sasa nyinyi mliosoma dini mambo ndio haya je sisi wenye hatukusoma tufanyeje.

  • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش
    @الحَمْدُِلله-ص8م9ش 2 роки тому +3

    mambo ya msingi hasa hujajibu akhy

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 роки тому +1

      Amezungumza yale makosa yaliozungumzwa na akaweka sawa ili jamii isije kuzingatia yale makosa

  • @abdallahmikidadi5412
    @abdallahmikidadi5412 2 роки тому +2

    Leo kofia nzito

    • @swalehmaulid9974
      @swalehmaulid9974 2 роки тому +1

      nimecheka peke yangu

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 роки тому +1

      Limemchukiza sana jambo ndio maana akaona awavulie kofia.jambo liko wazi unawafanyia khiyana watu.

  • @ppandenassoro6666
    @ppandenassoro6666 2 роки тому

    Umepotosha umma kwa mfano ukifuata nadharia za geography dunia imemeguka kutoka kwenye jua na mengine mengi wamepotosha. Acha kupotosha umma utaulizwa, ,, fuata kwa mwenendo wa wema waliopita utaelewa .

  • @swalehmaulid9974
    @swalehmaulid9974 2 роки тому +2

    وحمر inasomwa kwa sukuni siyo kwa dhwama kijana unabadilisha maana ya aya

  • @hassanalbasq3160
    @hassanalbasq3160 2 роки тому +1

    Allah akuongoze katk haqqi

  • @mwangareyusuf6019
    @mwangareyusuf6019 2 роки тому +2

    Wakezenu wanazalishwa na makafiri mbona hamuwazalishi wenyewe,biology hata kwenye Quran iko bana,kutoka unaingiliana na mkeo mpaka mtoto kuzaliwa.

  • @rajabunchimbi2842
    @rajabunchimbi2842 2 роки тому +1

    Jibu yale maswali uloulizwa. We waanzisha lingine ili kusahaulisha. Hili nalo ukibanwa kwa hoja wahamia upande mwingine. Hakusikilizi wewe na kukufuata labda mwemye ujahili kupitoliza kuliko wewe.

  • @swalehejuma6611
    @swalehejuma6611 2 роки тому +1

    Mtume Rehema na amani ziwe juu yake, alisema itafuteni elimu hata kama ni uchina. Kule uchina alisema tukatafute elimu ipi?! Hakuna elimu ya dini wala isiyokuwa ya dini. Elimu zote ni za Allah na katufundisha tupate kuzitumia ili tuishi duniani na akhera. Akhera na dunia yote na yake.

    • @ppandenassoro6666
      @ppandenassoro6666 2 роки тому +1

      Hiyo siyo hadithi sahihi

    • @swalehejuma6611
      @swalehejuma6611 2 роки тому

      Kumbe, tumeambiwa mara nyingi sana, lkn bado haiondoi kuwa elimu zote ni za Allah.

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 2 роки тому +2

    Mzee wa labda

  • @swalehmaulid9974
    @swalehmaulid9974 2 роки тому +2

    unataka huruma ya umma shekh hajakoseya

  • @idrisaabdallah3789
    @idrisaabdallah3789 2 роки тому +3

    Hao walotowa comments za kukuponda ndio majadida wenyewe فاعرض عن الجاهلين

  • @isihakaabdul1134
    @isihakaabdul1134 2 роки тому +2

    Sh.Nassor Allah amsamehe makosa yake huko aliko na amlipe kila la kheri ikiwa ni pamoja na kutuandalia kijana huyu Sh.Muhammad. wewe ni ktk wanaoweza kuwafichua hawa jamaa na brain wash zao. Songa mbele usiogope mineno yao ya hovyo.

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому

      Unaonekana ni mvivu sana wa kupima hali za walinganizi wa dini yako

    • @isihakaabdul1134
      @isihakaabdul1134 2 роки тому

      @@abuutamiimattanzaaniy8676 endelea kupima madhaifu ya walinganizi wa dini yako na mm nitaendelea kuitafuta haqq ili nisalimike siku mwisho. Siku njema.

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 2 роки тому

    Sheikh nifahamishe huyu Nabii Muhammad SAW alikuwuwa Salafy au vipi hapo. Mbona mnakanyagana na kuna kosoro nyingi katika Uislam

  • @khamismwadini2169
    @khamismwadini2169 2 роки тому +1

    Nimekuckiliza nkabaini unajur-a kubwa kwawanawachuoni ,unafikia kusema usalafy niupumbavu .

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому +3

    Sasa ww ulitakiwa ujibu Ni mtume gani alitumwa akasomeshe gegraphy na biology ..mtume alisomesha qurani na sunna tu Ila hawo watu wa baio ndo wanatoa katika Quran na sunna .usitupelekeshe bwana huna elimu yoyote tapeli tu

    • @albassambakili3757
      @albassambakili3757 2 роки тому

      Hakuna mtume uyoo 😁 ila ukitaka kufahamu utafahamu mbona ila ukijitia uzuzu Allah anasema anakupeleka kulekule na atakuingiza motoni nanimafikio mabaya jaribu kuwa muelewa na kubali kukosolewa

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      @@albassambakili3757 na katika uzuzu mkubwa Ni kupinga manhaji salafy

    • @albassambakili3757
      @albassambakili3757 2 роки тому

      @@abdulkareemseif1892 km ndo iyo yakina humeid sijui na mafuta si kupingwa tu atavita ipigwe

    • @mussafakiu5322
      @mussafakiu5322 2 роки тому

      Wanatoa katika qur an nanikakuambia ww

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      @@albassambakili3757 iliokua si ya kupingwa Ni ipi ya huyu kina kishki sio anayoombea Simba ushindi ama ipi

  • @ummaumona6593
    @ummaumona6593 2 роки тому

    Ww ziweke aya katika sehemu yake inshaallah

  • @yusufahmad3212
    @yusufahmad3212 2 роки тому

    Hujui

  • @rajabunchimbi2842
    @rajabunchimbi2842 2 роки тому +1

    Jaahil leo kuisemea dini. Muhammad Bacho si mwanafunzi wa dini na wala sio shekhe ni jaahil.

  • @binmasoud6237
    @binmasoud6237 2 роки тому +1

    Bwana mkubwa tushakuzoea mtu wa talbisi kazi yako kusema uongo huna jipya babaa katafte cheti cha thanawy kwanza😃😃😃😃😃😃

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 2 роки тому +2

    Quran Imezungumzia Kuanza Upatikanajinwa ujauzito mpka siku ya kujifungo hii ni biology ambapo tunahusisha.... reproduction... Mambo ya marine science hisabu N.k tunaposema Biology Ni Uhai wa Kiumbe in general mambo 7 yanayomuhusu kiumbe hai

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 2 роки тому

    Hahahaha 🤣 vichekesho shekh lako Barahiyani anasema: sekula ni elmu ya kumkataa Mungu.. na ww uansema: M2me Ali fundisha sekula,
    SI ungesema2 unamradd barahiyani!,🤣🤣

  • @yahayaakbar8900
    @yahayaakbar8900 2 роки тому

    Huu usalafi ni uhuni mtupu wanatuonya sis alaf waoo wanafany....by HUDHAIFA KIMPUROO

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 2 роки тому

    Watu wanasema Ati Biology haihusiani na non.living thing
    Kidogo hapa tuelewane ktk biology kuna tawi au branch inaitwa Ecology.ambayo inahusisha Wanyama.na.mazingira yao yaani makaazi yao hayo.makaaz hujumuishwa ni non living thing tujue biology bila non living thing tunaacha branch yake muhimu ya ecology

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому +2

    Tutakipiga vita hichi kikundi
    Cha masalafia jadida
    Mpaka kiwe madfuun

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому +1

      Mhh huwezi kushindana na njia ya hakki kamwe

    • @manyotamussa1328
      @manyotamussa1328 2 роки тому

      Je cha mawahabi?

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      @@manyotamussa1328 nn maana ya wahabi hebu nambie .una dini ya mitandao

    • @alisharif5541
      @alisharif5541 2 роки тому

      Pavillion mche Allah hawa unaotaka kuwapiga vita wanalingania kitabu cha Allah na sunna za mtume tuuu..m

  • @makameally1962
    @makameally1962 2 роки тому +1

    Subhanallah 😭

  • @rashidi1979
    @rashidi1979 2 роки тому +1

    Kijana unaghurika nanini

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 2 роки тому

    Biology is a branch of science that deals with living organisms and their vital processes. Biology encompasses diverse fields, including botany, conservation, ecology, evolution, genetics, marine biology, medicine, microbiology, molecular biology, physiology, and zoology.

    • @yaasirhakim501
      @yaasirhakim501 2 роки тому +1

      Hakuna non living umo

    • @yaasirhakim501
      @yaasirhakim501 2 роки тому +2

      Sehemu kubwa ya elimu ya secular inapinga QUR AN na sunnah

    • @diegodanger56
      @diegodanger56 2 роки тому +1

      @@yaasirhakim501 kama ipi elimu ya secular inayopingana na quran naomba mfano lakini sayansi ndio inakubaliana na quran sio quran inakubaliana na sayansi maana yake quraan inaaza sayans ndo inafata

    • @yaasirhakim501
      @yaasirhakim501 2 роки тому +2

      وَالشَّمْسُ تَجْرِى لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَـا ذَلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ
      38. And the sun runs on its fixed course for a term (appointed). That is the decree of the Almighty, the All-Knowing
      Tafseer
      وَالشَّمْسُ تَجْرِى لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَـا ذَلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ ﴾
      (And the sun runs on its fixed course for a term (appointed). That is the decree of the Almighty, the All-Knowing) There are two views over the meaning of the phrase
      لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَـا﴾
      (on its fixed course for a term (appointed)

    • @yaasirhakim501
      @yaasirhakim501 2 роки тому +2

      geocentric model, any theory of the structure of the solar system (or the universe) in which Earth is assumed to be at the centre of it all.

  • @abuudihyahchande5729
    @abuudihyahchande5729 2 роки тому

    Ninayo yaona kutoka kwa huyu kijana ni moja kati ya haya matatu
    1.Jaahil
    2.Swaahibul hawaa
    3.Entrepreneur.

    • @binaamour318
      @binaamour318 2 роки тому

      Toeni hoja abuu dhyali na wzako cio kuita jahil leteni hoja za wazi

    • @abuudihyahchande5729
      @abuudihyahchande5729 2 роки тому

      @@binaamour318 Anamatamshi mengi ambayo ni makosa ktk 'Aqiyda,mfano Tanga barabara ya sita alifanya muhadhwara akasema ALLAAH YEYE NI "MUTLAQUL KAMAALI" hili neno ni lakimakosa ambalo lamaanisha kuwa Allaah anamapungufu.
      Usawa ulikuwa ni kusema ALLAAH NI "ALKAMAALU ALMUTLAQ"
      Lakini mahizb wenzake hawajamsahihisha huenda nao hawajui na hayo maneno yako youtube na watu wanayasikiliza nae hajaja kuyasahihisha huoni kuwa ni jaahil huyuuu
      Huo ni mfano tu ila ana VUNDO MWIIIIINGI
      HUEZI ELEWA WEWE BENDERA FUATA UPEPO ILA ALLAAH AKUONGOZENI IPO SIKU MTAJA ELEWA.

  • @ummaumona6593
    @ummaumona6593 2 роки тому

    Wewe mpumbavu napenda hizo actors

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 2 роки тому

    Mtume aliulizwa Swali kuhusu Kupata mtot wa kiume na wa kike na alijibu.....

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 2 роки тому

    Hao masalafi mpaka kufika hapo kwenye semina wameendesha magari kufika hapo
    Hivi ni Aya gani iliyowafundisha kuendesha gari?

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 2 роки тому

    Fanyeni munakasha ana kwa ana tuone nani ana hoja kuliko mwenzake.

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 2 роки тому

    In civics kuna gender equality inapinga sehem kubwa ya Qur an , inaonesha wazi Qur an ilivyowaonea wanawake kuanzia ndoa urathi na uongozi... Kufru ya wazi

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 2 роки тому +1

    ua-cam.com/video/AZGxZWesF3I/v-deo.html ungeskiliza huu ndio msimamo wetu juu ya elimu za secular MCHE ALLAH USIZUSHE NA KUWAPA WATU NAFSIR KWA KUFUATA CHUKI ZAKO

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 2 роки тому

      Yeye Anamjibu abuu Hashim Kama alivyoongea, Sasa Hizo Habar za kusema kwamba angesikiliza msimamo wenu haziendana na mada yake

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 2 роки тому

      @@zaburionlinetv6245 kwsababu msimamo wa mtu ndio kitu kinachozingatiwa

  • @salumsaid1545
    @salumsaid1545 2 роки тому

    Mtume kaja kufundisha uislam hakuja kufundisha biology kuwa na adubu.

  • @abdullahomary6914
    @abdullahomary6914 2 роки тому

    صدقت

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому +1

    Mwambieni barahiyani zile pesa za misikiti ashazilipa

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 2 роки тому +1

    Masha Allah.Mungu akuzidishie elimu na akujalie umri mrefu wenye kheri na wewe ktk dini yako na maisha yako ili tuweze kuelimika zaid kupitia wewe.elimu iko wazi kabisa kwa mwenye akili.

  • @zuwenasleiman3587
    @zuwenasleiman3587 2 роки тому

    Huyu kijana hapendi kuburuzwa nampongeza sana

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 2 роки тому +1

    Allah atuongoze

  • @Heiswatching.
    @Heiswatching. 2 роки тому

    Wew..,Jamaa.. hujielewi..

  • @kassimkassimsaid1999
    @kassimkassimsaid1999 2 роки тому

    Ndug Ikiwa unakusudia dini basi kakae chini usome dini vizuri.
    Ukiwa unakusudia dunia basi dunia itakuteketeza

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 2 роки тому +2

    Leo kaona bora ajifungie abwabwaje peke yake,

  • @unaysatafawzaan1749
    @unaysatafawzaan1749 2 роки тому +1

    ua-cam.com/video/3-6ISmVci0w/v-deo.html
    Huyo unae mtumia ww shekh mustafa adawiy sikiliza kwenye hiyoblinki

  • @leylasalim9380
    @leylasalim9380 2 роки тому

    Lkn huyu shhe hata simuelewi anampenda kuwasema mashehe wenziwe ktk kuwakosea km yy yuko ss Ahsant shekh Muhammed Nassor bach

  • @salumsaid1545
    @salumsaid1545 2 роки тому

    Huyu jamaa anachojiharibia huwa anakurupuka na kujikuta ni mjuaji mnoo! Tena kila akiambiwa akili zake sijui kaziweka wapi.

  • @yahyajuma9498
    @yahyajuma9498 2 роки тому +1

    Subhanallah Allah atuongoze

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 роки тому

    Sasa hivi naweka mkia wa taa kila hospitali 1, nikimkuta mfuasi wa Qasim Mafuta yoyote anausogelea mlango wa hospitali au Pharmacy namkumuta. Hiyo ndio dawa yao, maana hamna nyengine

  • @abousumayyahhassandjuma1332
    @abousumayyahhassandjuma1332 2 роки тому +4

    Leo nimeamini kuwa wewe nimropokaji kabisaa
    Kwani mtume swallallahu alayhi salam akukiri kuwa nyinyi (yani maswahaba) niwajuzi kwa dunia yenu bilashaka akiashiriya ilimu ya mazingira.
    Kwali wewe wakusamehe inawezekana shahiri ulilo soma linakulenga kabisaa koseya koseya wenda katika kukoseya utakuja kuelewa inshaa Allah
    Ilimu bila adabu ni bure anza kutafuta heshima na adabu kwa wakubwa ili ubarikiwe

    • @jabirmaulidi3420
      @jabirmaulidi3420 2 роки тому +1

      Hujitambui

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 2 роки тому +1

      @@jabirmaulidi3420 ungemjibu tungejifunza kujitambua kwako hoja hujibiwa kwa hoja kinyumecho ni................

    • @ustbll6181
      @ustbll6181 2 роки тому

      Duuuuh imeishaa hiyoo

    • @ibrasaid9256
      @ibrasaid9256 2 роки тому

      Akhy nadhani hajui Mas Ala ya ta'biir kwenye mitende mpaka mtume swalla llaahu Alaihi wasallam akawaambia maswahaba nyinyi ni wajuzi zaidi katika mambo ya dunia yenu

    • @ashrafuyusufu9344
      @ashrafuyusufu9344 2 роки тому

      Naam itakuwa halitambui hilo

  • @Heiswatching.
    @Heiswatching. 2 роки тому

    Zama za Mtume swallallaahu aleyh wasallaam ni Zama za giza..??

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 2 роки тому

    Matatizo ya waxilamu ni makubwa xana dah! Mungu tu awasaidie waxilamu maana kila siku ni majanga matupu

  • @athumanisururu1711
    @athumanisururu1711 2 роки тому

    Ndugu zangu mwenye clips ya marhemu sheikh Bacho kuhusu tafsiri ya surati mudathir juu ya walid binughira anisaidie

  • @yaasirhakim501
    @yaasirhakim501 2 роки тому

    Ktk biology kuna topic inaitwa EVOLUTION of Man ( humu mnasomeshwa kufru tupu)