Ndaro x Steve Mweusi Au basi (official video music) Comedy

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 369

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  2 роки тому +143

    Asante kwa Support yako kwetu Usisahau ku Subscribe na ku Comment 🙏

  • @JulesIshimwe-dz6ps
    @JulesIshimwe-dz6ps 10 місяців тому +2

    Vizuri sana.songa mbere. I'm from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Masterkhantz
    @Masterkhantz Рік тому +2

    Wow Steve mweusi iyi nikali napenda endelea nishaona kitu mimi ni khan mercia gugs the super natural boy from Europe 🇪🇺 I love you all watu wa Steve mweusi God bless your job 🙏 ❤

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 Рік тому +2

    Nakupenda xana kaka xteve by xhalfa mungu akuxaidie

  • @ndarotz742
    @ndarotz742 2 роки тому +22

    AU BASI ACHA TU 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @leonardsimon2204
    @leonardsimon2204 2 роки тому +1

    Dah wazee mmeua sana aseeh kbe na huku mnaweza kazen sanaa endeleen kutupa mavituu tutapokeaa sana tuuu

  • @Mr-dave5676
    @Mr-dave5676 8 місяців тому +4

    Ila Ndaro na steve au basiii tuh!!😂😂😂

  • @nambitv3708
    @nambitv3708 2 роки тому +3

    Kwenye Hili Trapp Ndaro Umeua Ila corus mchiz naye kaplay kinouma noum an

  • @yohanakivuyo4261
    @yohanakivuyo4261 2 роки тому +5

    Ameuwa Kali sana ni mekomendi mara 3

  • @emaimaathuma5641
    @emaimaathuma5641 2 роки тому +5

    Ikopoa Ila SEMA nn au bas kama umeikubali ngomA laiki zihusike hapa chama la mweus a,k,a ndaru au bas

  • @YvonnePriya
    @YvonnePriya 11 місяців тому +2

    Mmmmmmmm! hiii ni very song ongereeni jamani ndaro na stevu nawapenda kinoma et

  • @latestvideos5221
    @latestvideos5221 2 роки тому +6

    Noma hii, alafu next tunataka collapo na diamond please Steve ,🤞🤞🤞

  • @BrianKibako
    @BrianKibako 9 місяців тому +2

    Wewwwww nafelll hadiii naeeza kuiiimba Jameniiiii

  • @homevideozproduction478
    @homevideozproduction478 2 роки тому +15

    Nasema bila kinyongo hii ngoma iko vizuri sana, hongera sana Broo Steven A.K.A Ndemwa

  • @NiyomwungereElyse-d6k
    @NiyomwungereElyse-d6k 3 місяці тому +1

    Nami wimbo n. Garuka bay wastan boy sapoti yenu malafiki

  • @GraceKanu-lr6yv
    @GraceKanu-lr6yv 10 місяців тому +2

    Nawapenda nyote mungu awajalie neema mfike mbali

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Рік тому +2

    Safi stev na ndaro, achieni bana

  • @donty_tv9918
    @donty_tv9918 2 роки тому +4

    Mwanangu Steve ukiweka nguvu naona unawakalisha wasanii wengi saana, una sauti unique saana....hongera

  • @eliasludani4201
    @eliasludani4201 2 роки тому +2

    Hii Ngoma ipo #1 On Trending for music...Au basi acha tu,,,acha acha tuu

  • @hakizimanaisael2460
    @hakizimanaisael2460 Рік тому +6

    Mweusi wafundishe wote

  • @JoyceWickman-mh3gd
    @JoyceWickman-mh3gd 7 місяців тому +1

    Steve ypo vzuli ana saut Nzuli yaa kuimbaa❤❤❤❤❤

  • @PacifiqueSumaili-xg5xk
    @PacifiqueSumaili-xg5xk Рік тому +1

    Ndaro, we ni musani wa kweli nakukubali bro 💪💪💪💪💪

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 роки тому +11

    WATU WA KORASI WANAOGOPA SANA WAKIMUONA STEVE MWEUSI "NDEMWAAAAAA"

  • @RamadhaniNdayizigiye
    @RamadhaniNdayizigiye 9 місяців тому +2

    Nawakubali watches wangu respect

  • @leahwanjiku5466
    @leahwanjiku5466 Рік тому +2

    Steve my stress remover, much love from Kenya ❣️🥰❣️

  • @BlessedHavoc-mg5eu
    @BlessedHavoc-mg5eu 5 місяців тому +1

    Ah ndarooooo mjeshi wangu uko sawa mshikaji wangu

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 2 роки тому +4

    Wanangu mumeua walai Alafu sema nini hili ngoma Kali,,Tena la🔥🔥🔥🔥🔥💯🙏🙏🙏 kazi nzuri sana

  • @yuzzohmangaboy5690
    @yuzzohmangaboy5690 2 роки тому +1

    Oyaaaaaaaaa eeeee mbn mziki mnauweza achen tu comedy 😂😂😂 Au basi achen vyote

  • @alimondbenson1751
    @alimondbenson1751 2 роки тому +1

    Uwezo mnao Mabro Ndaro home boy unaupiga mwingi Mwaka wenu huu Au Basi

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 2 роки тому +1

    Noma sana imeweza🇰🇪🇰🇪🇰🇪👊au basi wacha tu

  • @pausekay9467
    @pausekay9467 9 місяців тому +2

    🇲🇿Ngoma Kali sana🔥🔥🔥🔥🔥

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому +1

    Yaaan nyimbo hii burudani na comedy imejaaa daah hawajamaaa wanajuaa

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 2 роки тому +2

    oya nawaambia huyu jamaa ana kip.. AU BASI..!

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому +2

    Steve mweus hongera sana kaka ..Mungu aendelee kukupigania katika kipaji chako...na uweze kutimiza ndoto zako.🙏

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 2 роки тому +1

    Oyaah weh ngoma kali wanangu mmekill humu🙌🏽🇹🇿💥💥💥

  • @MariamuHamadi-j9c
    @MariamuHamadi-j9c 4 місяці тому +2

    Namie shabiki enu nambeni like❤❤❤

  • @eddovanny2553
    @eddovanny2553 2 роки тому +1

    Ndaro Ni Mchiz kapata platform kaitumia Vzuri ✊ Endelea kukaza Broo Au bas acha Tuu

  • @mhaaboykigoma7211
    @mhaaboykigoma7211 2 роки тому +4

    Nakubali sana wanangu wote mumeua hip hop

  • @Mrishojuma-k2r
    @Mrishojuma-k2r 11 місяців тому +4

    Nilitaka ku comment lakini au basi😂😂

  • @ntenwapaul7009
    @ntenwapaul7009 2 роки тому +6

    Saf ndaro na mweusi, mmefanya kwa nafasi yenu🙏 2meenjoy

  • @threewhiteband781
    @threewhiteband781 2 роки тому +4

    Au basi kazi nzuri kbs🔥🔥🔥🔥🔥au basi🤣🤣

  • @mutukumiriam5015
    @mutukumiriam5015 2 роки тому +10

    Congratulations Steve much love from KENYA 🇰🇪🇰🇪

  • @amosmkurubi6542
    @amosmkurubi6542 2 роки тому

    Daaaaaahhhhh!!!!!!!! Steve na jamaa yako mko fresh sanaaaa

  • @anithasimwinga1105
    @anithasimwinga1105 2 роки тому

    broo steve nakukubali sanayani natamani sikumoja 2kutane sema iposiku tutakutana

  • @kazulu7day986
    @kazulu7day986 2 роки тому +1

    Unajua sana kaka kaza kuimba utatoboa2

  • @medadjoseph1729
    @medadjoseph1729 2 роки тому +1

    Duh ngoma Kali kinoma Mr ndalo

  • @realitesducongordc657
    @realitesducongordc657 2 роки тому +2

    Kazi Safi Steve, tuko nawe pamoja Congo🇨🇩♥️

  • @neemashabanu7255
    @neemashabanu7255 2 роки тому +1

    Steve unasauti kuimba utaweza aisee🤞

  • @picdotstudio4785
    @picdotstudio4785 2 роки тому

    Na imagine hii nyimbo kwa jinsi ilivo kali ingepata kichupa kikali ingekuwa fire balaa..

  • @JaronChivatsi
    @JaronChivatsi 2 місяці тому

    Oooeeeh jamaa mumeweza saana tu 🤙🤙

  • @priscillakageha1689
    @priscillakageha1689 2 роки тому +13

    Bravo!much love from this side 🇨🇦🇨🇦

  • @namucoantoinnette9688
    @namucoantoinnette9688 2 роки тому +1

    Congratulations Steve mweusi from 🇺🇸

  • @Saidaaid
    @Saidaaid 2 роки тому +2

    Oyaaaaaaaaaa bongeeee la kiiituuuuuu🙌🙌🙌🙌

  • @amanke3846
    @amanke3846 2 роки тому +2

    Hii song imeweza sanaa🤗 naikubali

  • @marycosmas-o9p
    @marycosmas-o9p 3 місяці тому

    Steve anasauti manzee 🙌

  • @bramwelsimiyu4211
    @bramwelsimiyu4211 Рік тому

    Steve sauti imeweza sana..unyama aisee

  • @overover6820
    @overover6820 2 роки тому +3

    Ukisikia nyimbo nzuri kwangu nihii mhm mhm kweli au bas😂😂😂😂😂😂

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 2 роки тому +1

    Kazi nzuri sana ndaro ft Steve mwezi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @amosikondo778
    @amosikondo778 2 роки тому +4

    Bonge la ngoma na Steve you have good voice

  • @johnsonjohnson3365
    @johnsonjohnson3365 2 роки тому +2

    Kazi imetuliaa mmejitafuta huku pia mpo vizuri Big up

  • @Washikajimusictz2502
    @Washikajimusictz2502 2 роки тому

    Mmetisha sanaaaaaa tena sanaaaaaa wala sijawahi jutia bando langu kuwatazama 💯💯💯💯💯💯💯

  • @willylenky4569
    @willylenky4569 2 роки тому +1

    Watching from Kenya,,,kazi njema steve

  • @stephenkitili4043
    @stephenkitili4043 2 роки тому +4

    Steve ana talanta🤩🤩🤩

  • @kianababako349
    @kianababako349 2 роки тому +3

    Au basi salute sana mwanabgu

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 роки тому +4

    NDARO NI NYOKO SANA, AMEUMIZA HUMU NDANI

  • @Bintluckas3918
    @Bintluckas3918 Рік тому

    Waooh Steve na ndaro mpo vzur hongeren

  • @yasiniamri5458
    @yasiniamri5458 2 роки тому +1

    Love sn kk ndaro kigoma MABEGANI 🔥🔥

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 роки тому +6

    DADDYYOOH UNYAMA WA KUTOSHA 🔥🔥

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂viwazimu viwli🎉❤nawapenda bure❤❤

  • @suleimanlimbe5171
    @suleimanlimbe5171 2 роки тому +1

    Mfike mbaliii Zaidi ....apo✨💥

  • @iddymkota5735
    @iddymkota5735 2 роки тому +1

    Nice rap nice chorus comedy flan iv serious

  • @annahalick7520
    @annahalick7520 2 роки тому +3

    Good job steve keep it up and GOD hi gonna blessing you

  • @boomtz
    @boomtz 2 роки тому +12

    Much love from Cambodia ✌️

  • @goodvibetv8166
    @goodvibetv8166 2 роки тому +2

    Hii ngomaa kali akinani vilee💪💪💪💥💥💥💥

  • @philipo5
    @philipo5 2 роки тому

    Ongera Steve kwa kufikisha subscribe milioni moja💪💪💪

  • @swahiliinspirations7953
    @swahiliinspirations7953 2 роки тому +1

    Aliewatengenezea Beat Kaua sana😊😊

  • @yahyasuleiman9986
    @yahyasuleiman9986 2 роки тому +1

    😂😂😂Bb hii ngoma ndaro umetish👊

  • @anithanithaa2651
    @anithanithaa2651 2 роки тому +1

    Hii Nyimbo kwenye Bufa ina mdundo mzuri balaa 😍

  • @vectinStephan
    @vectinStephan 4 місяці тому

    😂😂😂 ndor nakukubar sana kazi nzur bro

  • @Mwamba67
    @Mwamba67 2 роки тому

    Kutoka, muleba kagera, kanda maalum, kanda ya kati hadi kakonko kigoma nasikiliza AU BASI,,,,!!

  • @soudybaroog2753
    @soudybaroog2753 2 роки тому +2

    Ndaro nakukubali sana Steve au basiii

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 роки тому

    Noma sanaaaa au basi acha tuu 😂😂😂 Big up sana

  • @kevinochanda5031
    @kevinochanda5031 2 роки тому +2

    Wauuh bro nice song

  • @zuueliza9463
    @zuueliza9463 2 роки тому +1

    Unajua Sana Sana aiseee wangu🙌🙌

  • @sadockmathias1171
    @sadockmathias1171 2 роки тому +2

    Congratulations to you and your friend🔥

  • @ramadanwario9960
    @ramadanwario9960 2 роки тому +3

    Au bc 😂😅, I really like you guys you are so talented

  • @Elkamembewiz
    @Elkamembewiz Рік тому +1

    Super song depuis RDC 🇨🇩

  • @emmanyotasb7287
    @emmanyotasb7287 2 роки тому +5

    Very strong songs 🙌🔥🔥🔥🔥

  • @vema_tv
    @vema_tv 2 роки тому +8

    Blessed ndaro on fire 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwingitv6070
    @mwingitv6070 2 роки тому +4

    Dah hii ngoma noma kama na wewe umeipenda piga like kwa steve !!!! au basi

  • @derrickkadesha8393
    @derrickkadesha8393 Рік тому +1

    Broh hio ngoma kali

  • @AbuuCholo-q5i
    @AbuuCholo-q5i 6 місяців тому +1

    Nawakubal Ngoma Iko vizur sana

  • @rehemaisaya668
    @rehemaisaya668 2 роки тому +1

    Goma gariiiii steveeeee

  • @lizyanderson6690
    @lizyanderson6690 2 роки тому +2

    Mmetisha🔥🔥🔥🔥

  • @frankngailo8707
    @frankngailo8707 2 роки тому

    Ila hivi vichwa 😂😂😂mko vzr mbn cjamwona dgo sele

  • @russia1253
    @russia1253 2 роки тому

    Ndaro unakuja moto mhh Aubasi 🤚🤚

  • @claudebaguma8134
    @claudebaguma8134 Рік тому

    ngoma ni kali keep vibrating bro

  • @robertokutoyi8036
    @robertokutoyi8036 Місяць тому

    Great family,au basi 😂😂😂

  • @danielsikawa962
    @danielsikawa962 2 роки тому

    Hongera sana Steve sauti yako laini kwelii

  • @ngenammunga5395
    @ngenammunga5395 Рік тому

    Hii wimbo ni kali 🔥🔥❤️