JOEL LWAGA : SIWEZI KUFANYA MUZIKI MWINGINE, OLODUMARE SIO WIMBO NI MAPINDUZI, GOSPEL ULIKUA ZIADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 58

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 2 місяці тому +8

    Joel Lwaga is going International❤🔥

  • @SophieWaYesuKristo
    @SophieWaYesuKristo Місяць тому +2

    Keep shining kijana wa YESU KRISTO, mtumishi wa MUNGU Joel Lwaga. Kazi safi❤❤❤❤

  • @GodfreyMsangawale
    @GodfreyMsangawale 2 місяці тому +9

    Joel lwaga you are going to be international gosple artists

    • @Daudmponzi
      @Daudmponzi 2 місяці тому

      He is not going he is already international gospel artist

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 Місяць тому +1

    Gospel imekaa🔥🔥🔥

  • @philipojmwaipopo949
    @philipojmwaipopo949 Місяць тому

    Nachofurahi mimi ni kwamba cjaona mahari YESU alitembea na waimbaji au kwaya katika huduma zake zote . Nitakuimbia MUNGU wangu daima ndani ya moyo wangu.

  • @ELIWITNESSPHILIPO
    @ELIWITNESSPHILIPO Місяць тому +1

    Kwakwel Mungu , unachukua nafasi Kwa Dunia .

  • @ericmakomere9854
    @ericmakomere9854 2 місяці тому +1

    Joel lwaga🔥💯

  • @sporahlazaro6619
    @sporahlazaro6619 Місяць тому +4

    Kwa hiyo sasa mziki waninjili imekuwa soko huria sio soko la Mungu.kwa hiyo mnafanya vile watu wanataka sio Mungu anavyotaka kumtukuza yeye anayestaili.kwenye nyimbo zako hujamtaja Yesu.jina kuu lenye mamlaka kwa kuwa huko unayemwimbia amekuambia usimtaje Yesu.

    • @GeogeHebuka
      @GeogeHebuka Місяць тому +1

      Dadaangu uko sahii saaana bless

    • @lezachesc9822
      @lezachesc9822 Місяць тому

      Sio kila anaemtaja YESU anamaanisha
      Na wala sio lazima litajwe
      Hebu sikiliza ujumbe halafu uje tena usome hiyo comment yako

    • @OscarFrancis-mx7iy
      @OscarFrancis-mx7iy Місяць тому +1

      Acheni umbea yaani msione muimbaji wa mungu kawika baadala ya kumpongeza unaanza umbea ivii kwani kwa shetani tu ndio kunamafanikio na Mbona wachungaji matumizi yao yako kwenye sadaka...kwaiyo waimbaji wakitafuta ela mnaona wanamsapoti shetani bila ela haurikodi ndugu yangu na hiyo ya kujua nani yuko kwa mungu na nani yuko kwa shetani ni Mungu pekee ndio anajua

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Місяць тому

      kweliii kabisaaaa afu wimbo hauna ata nguvuuu hata kidogooo duuuh sijui kayumbia wapiiiiiiiii huyuuu

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Місяць тому

      kwa matendo yao mtawatambua​@@OscarFrancis-mx7iy

  • @Terro-s4x
    @Terro-s4x Місяць тому

    @joel Lwaga May The Almighty God Keep you and Bless you,

  • @GetrudSteven
    @GetrudSteven 2 місяці тому

    Nakukubali sana Mungu azidi kukuza kimziki na kimaisha🙏🏻

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 2 місяці тому

    Go bro go Internationally my peayes to you ufike kote watu wakamjue Mungu zaidi

  • @speroachpaulsen
    @speroachpaulsen 2 місяці тому +1

    Oya weee!! moto sana🔥🔥🔥

    • @HUZZAMSUZNAKISIMBA
      @HUZZAMSUZNAKISIMBA 2 місяці тому

      KWA WASIO ONA HAYA VIDEO HII HAPA....😂😂😂
      ua-cam.com/video/_MEx3xkVnrQ/v-deo.htmlsi=0dE-we6I2MeBWiwQ

  • @MulimaMilandu-w2q
    @MulimaMilandu-w2q 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @VyamuBwoy
    @VyamuBwoy 2 місяці тому +1

    Kings ❤
    ❤❤❤

  • @badilikakijana4032
    @badilikakijana4032 26 днів тому

    Mpeni nafasi ya kutangaza anasauti ya utangazaji

  • @PerfectJbo03
    @PerfectJbo03 2 місяці тому +2

    MMMMH LEO WANA YANGA WAMEKUMBIA HUMU NDANI

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 2 місяці тому +1

    Nice

  • @samdigitaldesigner3786
    @samdigitaldesigner3786 2 місяці тому +1

    Vibe 🎉🎉🎉🎉😂

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Місяць тому

    Kaka nakuona kwenye matamasha ya wasafi festival, Nandi festival na Fiesta...tengeneza pesa lakini kuwa makini nao wanaokuita huko

  • @SamirPeter-t4u
    @SamirPeter-t4u Місяць тому +3

    Joel, joel, joel nataman sana nikushaur kitu kakaang

  • @EdwardPaschal-j7b
    @EdwardPaschal-j7b Місяць тому +3

    Wadogo zake na yesu sasa mlivosala utadhani kuna mziki wowote ambao mliambiwa na yesu kuwa hu ndo mziki utaowapeleka peponi tendeni yaliyo mema tu hakuna nyimbo yoyote itayofanya mtu aende peponi iwe kwa kuimba au kuskiliza ata atajwe yesu mala milioni wala iimbwe akapela bila beat

    • @protas_butemi
      @protas_butemi Місяць тому

      Ukipata hata akili kidogo itapendeza sana

    • @EricahFransic
      @EricahFransic Місяць тому

      Kweli umeongea point Sana Sana

  • @janekijazi1365
    @janekijazi1365 Місяць тому

    Ila jiangalie huko ulipo mpendwa, wapi akina Tina shusho

  • @Evaristkomba-q6u
    @Evaristkomba-q6u 2 місяці тому +1

    Bro you do better give us more good songs Amen!!

  • @YohanaAyoub-y7q
    @YohanaAyoub-y7q 2 місяці тому

    Kongole🎉🎉🎉

  • @LeahBudeba
    @LeahBudeba Місяць тому +2

    Olodumare ninini maaan yake

  • @danstanmgaya1251
    @danstanmgaya1251 2 місяці тому

    leo ndo najua kua huyu jamaa ni Mtz

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 20 днів тому

    Shetani mkubwa Lwanga sikupendi tena unaimbia kumsifu shetani endelea na ushetani wako
    Pole sana
    Na hautapqta amani kamwe

  • @Saimonamon
    @Saimonamon 2 місяці тому +6

    Mapinduzi? Kwamba kuimba kama akina dimond ndo mmapinduzi kwamba zile pigo za akina mwaitege ni zilipendwa 😅

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj Місяць тому +2

      At least umetuwakilisha. Hakuna mapinduzi HAPA n upumbavu na kukosa akili... Olodumare n mungu sio MUNGU. THAT'S FOOLISHNESS.

    • @FloraSlivester
      @FloraSlivester Місяць тому

      Ndani ya moyo YESU kapinduliwa na tumeingia kidunia zaidi.

    • @nellpofficial
      @nellpofficial Місяць тому

      ​@@Abcdefghijjjjjjjjkoo unabisha lugha sio yakoo

    • @axmedcumar6196
      @axmedcumar6196 16 днів тому

      Daudi aliimba kwenye Zaburi msifuni Mungu Kwa vinanda na vinubi, hakusema Kwa Pigo za Mwaitege au za Joel Lwaga
      As long ni maneno ya kumsifu Mungu haijalishi beat ya mziki
      By the way Punguzeni Wivu

  • @MathiasKunnanga
    @MathiasKunnanga 2 місяці тому +2

    Iv huyu dada ni mtz kweli

  • @passlinemedia6657
    @passlinemedia6657 8 днів тому

    Olodumare ndo nani kaka?

  • @Dkitasa
    @Dkitasa 2 місяці тому +3

    Joel is Fallen

  • @lucysamsonow4963
    @lucysamsonow4963 Місяць тому

    He’s from which country?

  • @K25795
    @K25795 2 місяці тому +8

    NIPENI LIKES ZA OLODUMARE

    • @HUZZAMSUZNAKISIMBA
      @HUZZAMSUZNAKISIMBA 2 місяці тому

      KWA WASIO ONA HAYA VIDEO HII HAPA....😂😂😂
      ua-cam.com/video/_MEx3xkVnrQ/v-deo.htmlsi=0dE-we6I2MeBWiwQ

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 20 днів тому

    Ukishaona wimbo unapigwa club jua hauna Mungu wa kweli bali ni masonic
    Mungu haendi na soko
    Ushapotea wewe

  • @Gwenoboy
    @Gwenoboy Місяць тому

    Ngomakali

  • @RamadhaniHumay
    @RamadhaniHumay 2 місяці тому +2

    Mwambye hansi rafael asubuhi alikuwa ana leta takwimu za pacome ,maksi na aucho sasa leo wao wakuwepo uwanjani wakichukua gongo tatu some time muige jemedari anacho kiongea kina ukweli ww ungekuwa kocha ungefungwa nyinyi sana

    • @HUZZAMSUZNAKISIMBA
      @HUZZAMSUZNAKISIMBA 2 місяці тому

      KWA WASIO ONA HAYA VIDEO HII HAPA....😂😂😂
      ua-cam.com/video/_MEx3xkVnrQ/v-deo.htmlsi=0dE-we6I2MeBWiwQ